MWENYEKITI ATUHUMIWA KULA PESA ya VIKOBA - MAKONDA AAGIZA ASAKWE AKAMATWE ATUPWE NDANI HARAKA...

  Рет қаралды 70,106

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 75
@Nguzofurniture
@Nguzofurniture 8 ай бұрын
Wanaomkubali makonda gonga like twende wote💪
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 8 ай бұрын
Makonda Ubarikiwe sana Mdogo wangu
@lilylema5292
@lilylema5292 8 ай бұрын
Vipi hapa mashirika ya haki za wanawake . I love makonda
@ezekielialen7395
@ezekielialen7395 8 ай бұрын
Wanajua kutetea vigogo wenzao Ila hawawez kutetea masikini
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 8 ай бұрын
Team Makonda Ukombozi, kazi ni moja kutetea wanyonge, hongereni sana, vilio kila kona, Mungu azidi kuwatangulia
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 8 ай бұрын
Hapo sawa kaka makonda kula vichwa vya wahuni wote weka ndani
@jalinachilala8465
@jalinachilala8465 8 ай бұрын
Haki nasinzia hadi nadondosha simu,,,,,ila Mheshmiwa Paul makonda Mungu akulinde Kila la Kher ...
@CikeTanzania
@CikeTanzania 8 ай бұрын
Haya maisha tunayoishi ni kwaajili ya wala rushwa mbwa hawa.
@ramadhanhitimana3003
@ramadhanhitimana3003 6 ай бұрын
Natamani sanaa nikuone Lkn MwenyeziMungu akupe maisha mzuri hadi peponi.
@EmanuelkesseyMollel
@EmanuelkesseyMollel 4 ай бұрын
Huyo jamaa mungu akupe maisha marefu unafanya kazi san
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 7 ай бұрын
Huyo mama anavyo mpiga jicho hyo mama aliye thulumiwa baada ya hapo sijui itakuwaje 😔
@elizabethkikoti7265
@elizabethkikoti7265 7 ай бұрын
Kumbe umemuona nilijua peke angu
@AbdulmalikFredrick
@AbdulmalikFredrick 8 ай бұрын
Mueshimiwa makonda mmoja Chadema waje miatano awampati Kwa uongozi wake na ekimazake Alha akujalie afya Yako mueshimiwa makonda
@Zawadi.juma.t9
@Zawadi.juma.t9 4 ай бұрын
Siosili Tunakupenda Sana Mh Makonda
@kilogreek4050
@kilogreek4050 8 ай бұрын
UKIWA RAIS WA TANZANIA 🇹🇿 MAKONDA MPAKA UCHUMI WETU UTAPANDA NA WANANCHI WATAISHI MAISHA BORA KUPITA ATA ULAYA NAKUOMBEA MUNGU MAKUFULI JUNIOR ❤❤❤
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 8 ай бұрын
Urais wa tanzania sio pipi kila mtu apewe, na kuna vigezo
@DaudiHamisi-un2uu
@DaudiHamisi-un2uu 8 ай бұрын
Atauliwa maana mifumo inatungwa uraya na mabeberu
@binseif2216
@binseif2216 8 ай бұрын
Watumishi wa serikali wahovyo sana kwanza ukiwakuta ofisin wanaringa kukuhudumia wakat mshahara wanaolipwa unatokana na kodi ya mwananchi
@NeemaMei
@NeemaMei 7 ай бұрын
Kabisaaaa wanakeraaaaaa
@johnmunguawepeujasirikejo3853
@johnmunguawepeujasirikejo3853 8 ай бұрын
Makonda 🔥
@mariakabonga2
@mariakabonga2 7 ай бұрын
barikiwa sana mtumishi mungu akukumbuke na uzao wako
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 7 ай бұрын
Asantee Mungu.
@paulocharles4258
@paulocharles4258 7 ай бұрын
Ni kweri makonda Fanya kazi kaka
@super815
@super815 8 ай бұрын
Makonda anapigya kazi sana jamaaa
@FloraIloko
@FloraIloko 7 ай бұрын
God reedem my country aisee kila kona dhuluma
@CatherineMushi-m7q
@CatherineMushi-m7q 8 ай бұрын
Makonda safi sana
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 7 ай бұрын
😂😂😂 Kwajinsi navomfaham Makonda hapo Kazi Masaa 24 watakoma watendaji Wavivu yani ningekua namimi nimtendaji mapema naachia ngazi naenda Kulima Malinyi 😂😂😂😂
@isayaolemauna
@isayaolemauna 7 ай бұрын
you right
@rehemakimungu6494
@rehemakimungu6494 8 ай бұрын
Halafu chatanda anaongea pumba hembu ona huyo mama miaka 10 hajapewa pesa yake ,tuachie makonda wetu sisi wanyonge,We kula maisha
@RajabuZakaria
@RajabuZakaria 8 ай бұрын
Muacheni MH makonda aifanye kazi yake inayo itajika afanye kama MH raisi JOHN POMBE MAGUFURI
@emmanuelmmbaga5209
@emmanuelmmbaga5209 8 ай бұрын
Daaah Inauma sana
@emmanuelbirindwahabamungu5715
@emmanuelbirindwahabamungu5715 7 ай бұрын
Hee Mungu yukowapi makonda wetu wa Congo drc?
@jamesgustav196
@jamesgustav196 8 ай бұрын
Kuna yeyote alieona kipande cha dakika 2:17 jinsi huyo mtumishi alivyomuangalia huyo mama wa kimasai
@hellenmgonja6137
@hellenmgonja6137 8 ай бұрын
Nimemuona anadharau sana
@elizabethkikoti7265
@elizabethkikoti7265 7 ай бұрын
Nimemuona nilijua peke angu
@fatemafatema4780
@fatemafatema4780 6 ай бұрын
😂😂😂makonda unafurahisha sana hahaha mungu akubari usiwache hao wanahitaji spaner hahaha
@starjay3052
@starjay3052 8 ай бұрын
✅🙏🙏
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 8 ай бұрын
😂😂😂 haki ya nani unaweza ukajiuliza hawa hawapo dunia hii maana wanayoyafanyia hawana huruma na binaadamu wenzao duuh
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 8 ай бұрын
Watumishi wa UMMA khaaa...
@IdrisaLubwaza
@IdrisaLubwaza 13 күн бұрын
Tujufunzeni.kwamakonda.watanzani.wengi.wanaonew..wakuu.wamikoa.wengine.mukowapi.au.hamfi.kwenye.nafasizenu.hatulni
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 8 ай бұрын
Daah kuna wakati ukiwa kiongozi unatamani kucheka kesi za watu weer😂😂😂😂 ila rohoo inakukataza.
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 8 ай бұрын
Hahaaaaa
@DickisonFinias
@DickisonFinias 6 ай бұрын
😅
@leonardobedi4779
@leonardobedi4779 8 ай бұрын
alaf wanakuja watu wanasema tumia lugha nzuri.. natamani makonda apewe kichwa cha yule jamaa wa kenya😂
@valenakomba7686
@valenakomba7686 8 ай бұрын
HALAFU UTAKUTA HUYO MTUMISHI NI MLOKOLE ,LAKINI HANA HATA HURUMA.
@marthaswai1185
@marthaswai1185 8 ай бұрын
Hivi hii njia tutamaliza kero ???Watendaji huku chini mbona kazi hazifanyiki ???Tumefeli wapi???Makonda hataweza kufanya pekee yake
@TitoNgomuo
@TitoNgomuo 8 ай бұрын
Hakika huu ndio utawala Bora tunaouhitaji
@ashakijaji5869
@ashakijaji5869 8 ай бұрын
Mbona huko Arusha wanafaidi sana,matatizo Yana fanyiwa kazi
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 7 ай бұрын
Na nyie mkome kujiunga kwa kikundi vya mashetani,yaani mbwa anakusanya hela linarusha wanyonge,afilicwe hill mbwa jixi.
@COMPASSIONMEDIA
@COMPASSIONMEDIA 8 ай бұрын
Huku mkoa wa simiyu pia uje utetee wananchi Makonda
@charles5633
@charles5633 7 ай бұрын
Kichwa Sana jamaa huyu anajua kaziyake
@EnikoSanga
@EnikoSanga 7 ай бұрын
Wakuu wa mikoa wengine hawaoni hata kujaribu kufuata nyayo za huyu kamanda wamelala yooh
@NeemaMei
@NeemaMei 7 ай бұрын
Hasa Manyara hovyoooo
@EnikoSanga
@EnikoSanga 7 ай бұрын
@@NeemaMei ni hakuna kitu kabisaa vitambi tu
@maswamills3161
@maswamills3161 8 ай бұрын
Huyu mama atumbuliwe,.
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 8 ай бұрын
Fikoba Ngasi
@MagrethEmmanuel-qn4ud
@MagrethEmmanuel-qn4ud 7 ай бұрын
Vumilia baba kiswahili Chetu ndo hivyo tuokoe baba
@MossesMollel-yv7uz
@MossesMollel-yv7uz 7 ай бұрын
Baba wewe nikiboko Yao ata wewe ni rais wa wanyonge 😂😂
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 8 ай бұрын
Haki za wanawake mko wpi.mnatetea vigogo vp masikini mbna hamtetee.
@ushindidaycare234
@ushindidaycare234 7 ай бұрын
Huyo ndomakonda bwana
@abubakarsaid7303
@abubakarsaid7303 8 ай бұрын
Hawakawii kusema wana nyanyaswa kijinsia😂😂😂
@priscamrekoni3451
@priscamrekoni3451 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙈
@AkilinyingiTaifa
@AkilinyingiTaifa 8 ай бұрын
Mingu kamludidha magufuli
@SelijusiMalambo-rh6sf
@SelijusiMalambo-rh6sf 8 ай бұрын
Piga kazi makinda
@praygodmawalla7884
@praygodmawalla7884 8 ай бұрын
Hakuna tena kufanya kazi ni mikutano tu ya hadharani. Hii sidhani ndio njia sahihi kutawala. Kangaroo court will never work in TZ.
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 8 ай бұрын
Wewe tumia akili hiyo pia ni kazi anafanya hapo,kazi sio officini pls.
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 8 ай бұрын
Unaonesha kichwa 0
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 8 ай бұрын
Unajua kazi ni office to?
@wilsonjaphet5547
@wilsonjaphet5547 8 ай бұрын
Hata hapo ni office Maana Kuna picha ya President na ni official
@JovitaEvard
@JovitaEvard 7 ай бұрын
We naye matako tu
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Diwani ALIEZUILIWA kuongoza awasha moto kwa MAKONDA Kasulu
23:28
Habari Digital
Рет қаралды 28 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН