Mashujaa 10 Wasiotajwa: #4 Mufti Hassan bin Ameir

  Рет қаралды 22,481

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

3 жыл бұрын

Alikuwa ulamaa mkubwa na msambazaji dini aliyefanikiwa kwao Zanzibar, lakini akaamuwa kuhamia Tanganyika kwa ajili ya kuendeleza kazi hiyo ya Muumba. Akatambuliwa, kuthaminiwa na kuaminiwa hadi akawa Mufti Mkuu wa Tanganyika nzima, akaungana na Watanganyika kuasisi na kukitetea chama cha ukombozi cha TANU kwa nguvu zake zote. Baada ya uhuru wa 1961, akafukuzwa kwa hizaya na kurejeshwa kwao Zanzibar, na kupigwa marufuku kuikanyaga tena ardhi ya Tanganyika kwa amri ya Mwalimu Julius Nyerere. Jina lake ni Mufti Hassan bin Ameir Al Shirazy.

Пікірлер: 43
@feiz3180
@feiz3180 3 жыл бұрын
wako wapi masheikhe wetu kama Sh. Hassan bin Ameir. Yarabbi mueke katika pepo ya waja watukufu. Ameen
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 3 жыл бұрын
REHMA za Allah zimfikie sheikh Hassan Bin Ameir
@salehemohamed2937
@salehemohamed2937 2 жыл бұрын
Allah amuweke pepo ya juu sheikh Hassan bin ameir
@mussamahmoud2376
@mussamahmoud2376 3 жыл бұрын
Haondiwo Maulamaaa alowazungumzia Mtume Muhmmad (SAW) sio ulamau sui Allah awaghufirie wao nasisi kwaujumla amiin.
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 3 жыл бұрын
Nashangaa kuna waislamu hawakufanya lolote juu ya dini hii ila wanamtukana shekhe hasan Bin AMEIR. Hawa viostadhi kanzu waliozuka juzi ati wanadidai wao ndio wanajua sunna za Mtume sw NA Qur-an kuliko waliopita kabla yao.
@saidkhamis1061
@saidkhamis1061 3 жыл бұрын
Mashaallah Jazakallahulkheir Allah awalipeni kwa kheir hii na elimu hii kutoka kwa somo yako Allah amueke ampe afya sihha na umri fu mrefu tustafidi zaidi
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Hawatokuwa radhi Makafiri na Manasara mpaka tufuate Mila zao. InshaAllah Wauslamu tujitambuwe (tuwe Waislamu kutoka Moyoni na Kivitenno), tuuogope Unafiki, Dhulma na Fitna. Dunia ni mapito na Starehe za Muda.
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Жыл бұрын
Mashaallah ALLAH Awarehem Masheikhe Zetu Wote Duniani Wale Wakweli na Wachamungu
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@sharifahmed7346
@sharifahmed7346 3 жыл бұрын
Na shikamaneni kwa Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yenu: vile mlivyo kuwa nyinyi kwa nyinyi maadui naye akaziunganisha nyoyo zenu; kwa neema yake mkawa ndugu. Na mlikuwa ukingoni mwa shimo la Moto, naye akakuokoeni nalo. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Ishara zake ili mpate kuongoka. Suratil Al Imran 3:103 ALLAH awape jaza kwa historia ndefu ya Uislamu Tanzanyika !!!
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 2 жыл бұрын
Mungu amrehemu shekh wetu
@dullysavage5939
@dullysavage5939 2 жыл бұрын
Mungu amuweke pema shehe Hassani Bin Ameir ktk pepo yake tukufu
@salminmussakhamis4301
@salminmussakhamis4301 3 жыл бұрын
Allah amrehemu na amuweke Daraja ya juu katika Pepo yake tukufu Mufti Hassan Bin Ameir na wale wote waliosimama na Kalimat Tauhid.
@GumzolaGhassani
@GumzolaGhassani 3 жыл бұрын
salmin mussa khamis Amin Allahumma Amin
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 3 жыл бұрын
salmin mussa khamis Amin
@MrKhatibu
@MrKhatibu 3 жыл бұрын
Ameen
@salimsalim8421
@salimsalim8421 3 жыл бұрын
Ameen Ameen
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 3 жыл бұрын
Huyu alikuwa alim mkubwa vipi aliweza kuridhia kumtanguliza mwl na kumpigia debe kulikoni..!?
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 Жыл бұрын
رضي الله عنه
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 2 жыл бұрын
Mashallah
@abdullkilawi5504
@abdullkilawi5504 3 жыл бұрын
Masha , Allah
@rashidomar2771
@rashidomar2771 3 жыл бұрын
Kumbe sisi waislam ni haki yetu kudharaulika katika nchi hii mana tulijidharau wenyewe ,,mmungu ametupatiza ,,ahh mmungu atusamehe kwa makosoa makubwa aliofanya wazee wetu wa kiislam katika siasa za Tanzania
@kassimugulumu5460
@kassimugulumu5460 3 жыл бұрын
Kabbisa,kabisa
@shaabanideauniversal6591
@shaabanideauniversal6591 3 жыл бұрын
Ningependa tumzungumzie Bibi titi Mohamed
@GumzolaGhassani
@GumzolaGhassani 3 жыл бұрын
Tunauchukuwa ushauri wako na tutaufanyia kazi. Ahsante
@martedimohamed6327
@martedimohamed6327 2 жыл бұрын
Mr Ghassani mm naomba tupate history y Bibi Titi mohamed na kuna mzee Anaitwa mwinyijuma huyu mzee nyumba yke ndo ilitumika kuunda chama Tanu na huyu mzee jina lake ndo linatumika kuna Branch y ccm ndo inaitwa ccm mwinyijuma mwananyamala huyu mzee ndo alowapa serikal eneo lote la mwananyamla na nyumbn kwake kuna bango limeandikwa nanukuu HII NDO NYUMBA ILIPOZALIWA CHAMA CHA TANU,, lkn cha ajabu ilo bango limeondoshwa mpk leo lipo chini Bibi yangu kazaliwa kariakoo historia alonipa ndo hvyo km anavyozungumza sheikh Mohamed lkn bahat mbaya Bibi yngu now days ni mtu mzima sana ana miaka 93 yupo mpk leo lkn amehama kariakoo anaish mwananyamala
@abdisalamjamal5375
@abdisalamjamal5375 3 жыл бұрын
Said (Sydney) akikusheresha na kukusifu ni mzuri sana kwa kuchambua na kumsifu mtu ampendaye kwa kiwango cha kupitiliza.
@jeanmubemba1204
@jeanmubemba1204 3 жыл бұрын
leo ndo nimeona picha ya mfuti shehe hasan bin amir tena yuko na nyerere,miwani yake imependeza sana hapo alikuwa mzee nadhifu sana,
@lwabulaladickson988
@lwabulaladickson988 3 жыл бұрын
Sehemu nambari tatu mbona haionekani ndugu Ghassan
@omarinasoro9712
@omarinasoro9712 3 жыл бұрын
Wapowengine wwhuwajui lakinisiovibaya kun akin a Muhammed I ayubu tanga zotebaharihizo
@hajiali9300
@hajiali9300 2 жыл бұрын
Hizi chanal zenu kwanini utanguliziwenu inakua magoma?
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 3 жыл бұрын
Napata hisia frani hivi
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Miongoni mwa Ishara/dalili (alama) za Kiama ni kuondoka/kufa kwa Maulaamaa/Wanazuoni Wakubwa.
@kassimugulumu5460
@kassimugulumu5460 3 жыл бұрын
Na nyie mashekhe kama mnampenda kweli sheikh hassan bin amir basi nanyie fugeni ndevu walau kidogo kama alivyokuwa yeye.
@calvinjuwenisefuccmnakuhas1132
@calvinjuwenisefuccmnakuhas1132 3 жыл бұрын
Mienonahakunanejuwa hitoriaya zanzanzibar kwani kilamtuanasemavyake kwaniwotehao hawakuwepo wanatudanganyatu
@ramimsatinhoarino2723
@ramimsatinhoarino2723 3 жыл бұрын
Sheh hajibu unachomuuliza badala yake anaruka
@emmak444
@emmak444 3 жыл бұрын
Ally Abas aliishi Mwenge?
@omarinasoro9712
@omarinasoro9712 3 жыл бұрын
Sheusizidishe vyoovipovingi wajuakamanyere alikwenda mnyanjani tanga
@mrokana6493
@mrokana6493 7 ай бұрын
Kama waislam ndio walitafuta uhuru wa tanganyia na kumshirikisha nyerere mbona sasa wako nyuma serialini kumbe mzee takdiri aliona mbali hata kawawa hakumbukwi ila ukweliutabaki palepale kuwa wenzetu walidandia reli na kujimilikisha
@ramimsatinhoarino2723
@ramimsatinhoarino2723 3 жыл бұрын
Sheh hajibu unachomuuliza badala yake anaruka
@hillview775
@hillview775 3 жыл бұрын
Historia ni nzuri ila wazo la kumueka nyerere mbele limetuangamiza waislamu maisha yetu na vijukuu vyetu.
@suleimankindy6465
@suleimankindy6465 3 жыл бұрын
@@hillview775 Mashaa Allah, historia ni Nzuri saaana lakini kasoro ni kule kushirikiana na watu ambao sio washirika wa Shari Lakini Pia Mwalimu wetu umetutolea mfano wa Mufti Hassan bin Ameir na kulinganisha na mfano Kwa nfasi zao hao Makadinali Natumai hapa "UMEMDOGOSHA" Shk Hassan bin Ameir Kwa "Comparison" hiyo
Haifai kutukana - almarhum muft sheikh Hemed bn Jumaa bn Hemed Al-Buhury
26:18
USTADHI SAMPA KATEMA
Рет қаралды 14 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 28 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
SHEIKH HASSAN BIN AMEIR
3:49
Mohamed Said
Рет қаралды 388
Historia ya  Kumbukumbu za  Mapinduzi ya Zanzibar
10:24
Iddi Mtumweni
Рет қаралды 299
MAISHA YA ALLY SYKES
1:19:54
Mwanahistoria MohamedSaid
Рет қаралды 28 М.
KUMBUKUMBU Ep10 | Sheikh Hassan Bin Amir As- Shiirazy
14:35
AlhudaTv Kenya.
Рет қаралды 3,6 М.
Mashujaa Wasiotajwa: #5Yussuf Chembere na #6 Salum Mpunga
1:02:38
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 6 М.
Mashujaa 10 Wasiotajwa: #1 - Kleist Sykes
1:00:56
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 2,6 М.
HUYU HAPA MWAMBA SHEKHE MUHAMMAD AYUBU TAFSIRI YA QURUAN
26:42
NEEMA YA UISLAMU TV
Рет қаралды 10 М.
ToRung short film: the robber pretended to be a statue😬
0:30
La emociones de Bluey #歌ってみた #bluey #burrikiki
0:13
Bluey y BurriKiKi
Рет қаралды 33 МЛН