Huyu ndiye BILIONEA mpya | Mchimbaji madini aliyepata Tanzanite ya zaidi ya bilioni 7/-

  Рет қаралды 15,636

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

#Tanzanite #Mirerani #Manyara #Madini
Mchimbaji wa madini Saniniu Laizer aliyepata mawe makubwa mawili ya Tanzanite ambapo moja lina kilo 9.2 ambalo lina thamani ya shilingi bilioni 4.5 na la pili lina kilo 5.8 lenye thamani shilingi bilioni 3.3.- Wizara ya Madini. Amekubali kuiuzia Serikali na makabidhiano yamefanyika leo ‪@DailyNewsDigital‬

Пікірлер: 12
@josephinamarijan5567
@josephinamarijan5567 4 жыл бұрын
Hongera aisee
@rugejoel6058
@rugejoel6058 4 жыл бұрын
Asante sana serikali kwa kuwa waaminifu kwa wananchi
@isaacsengunda3099
@isaacsengunda3099 4 жыл бұрын
Uaminifu uko wapi? Hapa ajipange,, Mkuu wa wilaya atataka aww rafiki yake, Mkuu wa mkoa atataka awe rafiki yake, Ocd atataka awe rafiki yake, Mkurugenzi awe rafiki yake, Naibu waziri wa madini, Waziri na madini, Na waziri wa ardhi,nk,nk, Kubwa zaidi atawekwa kitengo fulani hasa maswala ya kampeni ili hio hela itumike kufanya kampeni kwa mvunge wa eneo hilo,yaani asupokua macho,miaka mitano mbele atakua si bilionea tena.
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
@@isaacsengunda3099 Asante asante sana tuko na wazo 1
@christianmponda6511
@christianmponda6511 4 жыл бұрын
Maisha hayana formula, Mungu akutangulie
@jacqmosha874
@jacqmosha874 4 жыл бұрын
hongera sana
@kumulwa
@kumulwa 4 жыл бұрын
Uwe tayari kunyoywa rafki yangu
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Kama kawa
@shadowmedia7644
@shadowmedia7644 4 жыл бұрын
Kam IPO IPO tu hata kma itakuja kwa kuchelewaaa
@bilioneabichwa
@bilioneabichwa 4 жыл бұрын
Hatar sana
@jackobsabore4655
@jackobsabore4655 4 жыл бұрын
MUNGU KAWAKUMBUKA WAMASAI
@amosikabalata6381
@amosikabalata6381 4 жыл бұрын
Jacob Mungu yupo nasi tangiepo.
TAZAMA MIJENGO ya BILIONEA wa MADINI MAREHEMU MATHIAS MNAGA wa ARUSHA....
5:21
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2,1 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 20 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,5 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 4,6 МЛН
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Kalamutz
Рет қаралды 10 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 105 М.
TAHA yazaa milionea mwingine wa parachichi mkoani Njombe
6:32
TAHA ONLINE TV (TAHA)
Рет қаралды 17 М.
Simu ya Magufuli kwa bilionea wa madini ya Tanzanite
2:10
Daily News Digital
Рет қаралды 4,8 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН