HUYU NDIYE MFANYAKAZI WANGU WA KWANZA WA RADIO - GeorDavie TV

  Рет қаралды 5,647

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Ай бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Пікірлер: 22
@rmmedia3288
@rmmedia3288 Ай бұрын
Kwakweli Baba Mimi nakushukuru sana, maono Yako ya kuanzisha radio ndiyo yaliyonifanya kumjua Mungu wako Baba, nisingewahi kufanikiwa kiasi hiki kama si N.Y.U radio kunikutanisha na Mungu wa GeorDavie, wakati wote nakushukuru Baba Kwa kutii wito huu wa Ki-Mungu! Na Mungu adumu kukutunza na kukuinua siku zote, uishi Miaka mingi mno. Asante!!
@prophetbashandochannel1116
@prophetbashandochannel1116 Ай бұрын
Historia inagusa sana hii... Keep moving man of God. God bless you 😇🙏
@salmampinga4995
@salmampinga4995 Ай бұрын
Hakika hii radio(Mtumwa mwaminifu) ndiyo imenifanya niijue Ngurumo ya Upako, Shukrani Baba kwa Maono haya🙏🙏❤
@talentedboys-tv1507
@talentedboys-tv1507 Ай бұрын
Hio Redio ni hatar💥💥😅ikifika usku... hizo nondo Baba anatoaga ni hatarii .. jitege ty saa 7 hivi baba anajua kufundish haswa... ✅
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md Ай бұрын
Amina
@user-jo3cs3yu3o
@user-jo3cs3yu3o Ай бұрын
WA kwanza kumsalimia Nabii mkuu Dr. G. Devi 👋👋👋👋👋
@fatumaibrahim8973
@fatumaibrahim8973 Ай бұрын
BABA mungu akupe maisha marefu kukuona2 ni Aman ndani ya moyo Wangu
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md Ай бұрын
Wapili mimi shalom babayangu
@nurumollel5988
@nurumollel5988 Ай бұрын
Amen
@josephitangishaka960
@josephitangishaka960 Ай бұрын
Hongera Sana. Radio Ifike mbali Sana Kazi Nzuri
@Dr.lyana2024
@Dr.lyana2024 21 күн бұрын
Kwamtu asie pitia kwenye ushilikina hawezi kujuwa nguvu yako lakini sisi tulio ishi kwenye mateso ya uchawi tunajuwa nguvu yako wewe na nguvu zamungu kweli endelea kukombowa wengine
@tsoundonlinetv
@tsoundonlinetv Ай бұрын
❤❤❤More from Kenya Baba Tunakupenda sana
@VictorJohn-fu7ch
@VictorJohn-fu7ch Ай бұрын
Hii redio imeniokoa ❤❤❤❤
@user-jo3cs3yu3o
@user-jo3cs3yu3o Ай бұрын
Salaamu kwako Nabii mkuu!!!!
@psy795
@psy795 Ай бұрын
Amen Amen
@Fatma-rj7vs
@Fatma-rj7vs Ай бұрын
❤❤❤
@user-ys1yu6wj2k
@user-ys1yu6wj2k Ай бұрын
Nabii mkuu wa zamu Oye eeee
@alizakayo3963
@alizakayo3963 Ай бұрын
Amen amen amen 🧎🙏🙏🙏🙏
@wankenanyakigaga8494
@wankenanyakigaga8494 Ай бұрын
Baba nakupennda
@godfreypaul251
@godfreypaul251 Ай бұрын
Sema kweli
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md Ай бұрын
Amina
@sajienswebe5557
@sajienswebe5557 Ай бұрын
Amen
SOMO: MAREKEBISHO YA MOYO - GeorDavie TV
1:16:36
GeorDavie TV
Рет қаралды 2 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 65 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 62 М.
MUZIKI UNAVYOANDAA WATU KUPOKEA ALAMA YA MNYAMA. MCH PAULO SEMBA.
39:11
Petro Tumaini TV
Рет қаралды 24 М.