No video

HARMONIZE aitwa kwa nabii mkuu Dr GEOR DAVIE Kisongo ARUSHA akaimbe wimbo wake

  Рет қаралды 40,847

BONGO NEWS TV

BONGO NEWS TV

Күн бұрын

HARMONIZE aitwa kwa nabii mkuu Dr GEOR DAVIE Kisongo ARUSHA akaimbe wimbo wake

Пікірлер: 25
@WakilongoHassan
@WakilongoHassan 8 ай бұрын
Yule nimuwongo bibilia inasema ya kwamba akuna usiyano kati ya giza na nuru,wala kanisa la Mungu na sanamu,yule ni muwongo kabisa shetani ni muwongo masikini tena Hana adabu,kanisa la mungu siyo mahali pa nyimbo za Armonize
@user-ee9ye3qt6l
@user-ee9ye3qt6l 10 ай бұрын
Nini nikinaendelea makanisani lakini!!!!!😢😢😢😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mchungajisecilia8029
@mchungajisecilia8029 2 ай бұрын
Baba Mungu akubariki sana
@jcsoliste
@jcsoliste 7 ай бұрын
Neema ya Mungu ikazidi kupaa juu zaidi ya vile Mtumishi wa Mungu anavyo ongelewa huwa na wenzake watumishi ila Mungu huchambua kati ya magugu na ngano
@user-dm8iw2iu6l
@user-dm8iw2iu6l 6 ай бұрын
Hakuna nabii mkuu zaidi ya yesu eee mwenyez mung turehemu
@emmanuelsichula7117
@emmanuelsichula7117 6 ай бұрын
YESU akukemee usihalibu Mali ya MUNGU
@user-cf2df1zx9i
@user-cf2df1zx9i 8 ай бұрын
Kukanyaga iyomadhabahu muokoke madhahu itawadai😮
@coolruler6820
@coolruler6820 10 ай бұрын
Makanisha ya leo shetani anaimba kwaya
@STAMONJA
@STAMONJA 7 ай бұрын
Nabii with bodyguard on stage? I wint judge but hii ni red flag 😂
@user-dy9ht1on7y
@user-dy9ht1on7y 6 ай бұрын
Iro nikanisa au niuwanja wa sinema
@ImanueliNyela
@ImanueliNyela 9 ай бұрын
Nabii.mkuu.kazi.nzuri
@user-vk7lk4xc3r
@user-vk7lk4xc3r 8 ай бұрын
Nice i like you(nabii mkuu)
@jcsoliste
@jcsoliste 7 ай бұрын
Tupate mutu kama huyu wapi Mungu aendelee kumupa upako zaidi
@user-qs4bz8zj5c
@user-qs4bz8zj5c 6 ай бұрын
Baba shikamooo
@yohanamp-ec7im
@yohanamp-ec7im 6 ай бұрын
Kuna watu wataangamizwa milele kwa upumbavu waliouchagua
@essieprincekayce
@essieprincekayce 9 ай бұрын
Shetani yupo kweli kanisani
@user-db1uy6hv9q
@user-db1uy6hv9q 10 ай бұрын
Alihamndulilahi mashala
@user-yq2zp2lc9c
@user-yq2zp2lc9c 7 ай бұрын
Amna naabii waivoo huyo msaanii tu
@user-ql7to3rm3p
@user-ql7to3rm3p 6 ай бұрын
Natamani kumuona huyu nabii akihubiri
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Gd
@JohnSylvesterEdward
@JohnSylvesterEdward 7 ай бұрын
Hakika sitaacha kuku fuatilia mitandaon man unaupendo kwa watu sana na unainua vipaji vya watu
@msafiriomary893
@msafiriomary893 8 ай бұрын
Njaaa ya pesa hamna rorote
@user-oz8kq2jw4i
@user-oz8kq2jw4i 8 ай бұрын
Kama kawida nabi mkuu naitaka number yako ya sim
@Tuyizerepatikay-ol7tx
@Tuyizerepatikay-ol7tx 11 ай бұрын
😢 mtume wa Mungu wewe?
@petermatabwa2133
@petermatabwa2133 10 ай бұрын
Mkumbuke yesu alikuja kwa waliopotea sasa sijui ninyi mnahukumuje huyu nabii? Mnataka awafukuze wasanii?
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 69 МЛН
Hatimae mazinge abatizwa tanga #Debate #tangamjini #shalbaonlinetv
21:37
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 335 М.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН