Nilikutana Na Mtanzania mitaa ya Beverly Hills huku Marekani | Africans Living In America 🇺🇸

  Рет қаралды 32,043

Jack Wa USA

Jack Wa USA

Күн бұрын

Пікірлер: 104
@ElikanaKiheka-fl4wu
@ElikanaKiheka-fl4wu Жыл бұрын
Mie nagonga 👍tu , da ! inapendeza sana . Lakini , od-odero katoa mtazamo wake . mtazamo wangu ni huu "ikiwa hujafanikiwa vema hapa bongo , its better to change. Riziki popote na ni siri ya mungu " , naamini America kuna opportunity nyingi kufikia ndoto zako kuliko hapa , labda utokee middle au upper income family 👪 , success is not easy here. Really bongo is the best place ikiwa umewahi vuka boda , na unaiona tofauti . Ambao bado , tunaiona America 🇺🇸 to be the best place , maisha bwana !
@msengisimon9491
@msengisimon9491 Жыл бұрын
Dah nakukubali sana jack huwa najihisi kama nipo USA pamoja sana bro
@2116-n
@2116-n Жыл бұрын
Jamaaa nimempenda Sana alivyomnyenyekevu, USHAURI MZURI SANA
@matatizojuma7544
@matatizojuma7544 Жыл бұрын
Very interesting kukutana na Mtanzania mwenzio mahala fulan big up Jack
@Kidamui
@Kidamui Жыл бұрын
First today jack weka like yako hapa na wengine mfate ❤ .. much Love from singida 🎉
@ReyzDon
@ReyzDon Жыл бұрын
yesaaaaaaa Noma Noma Bro
@robbyartsproduction7606
@robbyartsproduction7606 11 ай бұрын
Oya jack kumbe we msukuma alafu wa hapa kahama mi niko hapa kwa ndegesera mzee baba nimefurahi kinoma mwamba one love boi
@jackwausa
@jackwausa 11 ай бұрын
Pamoja sana!
@MichaelPhidelisChoggo
@MichaelPhidelisChoggo 10 ай бұрын
Hongera jack
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz Жыл бұрын
Uyo jamaa ni kamati ya roho mbaya anasema watu wasije wabaki kwao yeye nafanikiwa akiwa wapi kama sio nje asipotoshe watu maisha ni kupambana tu mwenye ndoto aje uyoo apendi watu watoke
@bestmilltz7071
@bestmilltz7071 Жыл бұрын
I strongly agree with you 😂😂
@valentineshembilu1256
@valentineshembilu1256 11 ай бұрын
Tatizo hata walioko dar nao wanawaambia watu wa mikoani wasije dar😂😂
@berthatz
@berthatz 7 ай бұрын
😂
@ramamakelo3780
@ramamakelo3780 5 ай бұрын
This man is useless, ansema tusiende nje wakati yeye mwenyewe katembea nchi 18. Nonsense
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 3 ай бұрын
USHAURI MZURI KATOA....TAFAKARI
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 11 ай бұрын
Amani sana mwanangu jack
@Yonzomc01
@Yonzomc01 Жыл бұрын
Hasante sana kaka Jackson 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tunakupata kama ilivyo hada
@vkmalove1307
@vkmalove1307 Жыл бұрын
Umetisha sana jack ngosha
@SuleimanIbrahim-lp7qs
@SuleimanIbrahim-lp7qs 11 ай бұрын
Good nimependa
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga Ай бұрын
Nakusoma sanaaaa kutoka korogwe tanga
@Solomoni-e8y
@Solomoni-e8y Жыл бұрын
Jack hatamm wa shinyanga
@engribertinnocent7536
@engribertinnocent7536 Жыл бұрын
Safi saana
@BongoCryptos
@BongoCryptos Жыл бұрын
Good
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s Жыл бұрын
Safi sana
@FaustineTz
@FaustineTz Жыл бұрын
Daaaa nice aiseee unyama
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 Жыл бұрын
Very interesting nmekutana wote mnavibe kubwa sana katowa ushauri mzuri sana kwa wanaoweza unaweza kujijenga vzuri hapa na ukaamia ulaya piya au kuishi maisha mazur bongo kuna watu nawajuwa bongo wako na maisha powa walijenga misingi bongo ndiyo wakajitanuwa kwenda kwenye nchi zingine
@msellemomar-zc5ze
@msellemomar-zc5ze 5 ай бұрын
Uyo jamaa ni kamati ya roho mbaya tu sasa tuliyoshindwa bongo tukipata nafasi tusiende?? Mbona yeye haji kuishi bongo hayo maisha mazuri
@jonaspreiz7194
@jonaspreiz7194 Жыл бұрын
Ila mwanangu Jack huwa najihisi kama nipo marekani.... Unatisha sana mwana
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Pamoja sana
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 8 ай бұрын
Hata mimi nataman nikutane na mbongo mwenzangu hapa Nouakchot
@brianmani_
@brianmani_ Жыл бұрын
Lots of love
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Жыл бұрын
Kazi nzuri Sana kaka
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante
@JilbertDanifordMathayo-sn2gy
@JilbertDanifordMathayo-sn2gy Жыл бұрын
Napenda mnavyoonyesha upendo wenu ndugu ZANGU IAM at DSM
@AidanSambule-wx7kw
@AidanSambule-wx7kw Жыл бұрын
So amazing
@thedicesman
@thedicesman Жыл бұрын
Jack kenya loves you, i am also in California but am in san diego we'll meet one day..... brother ❤
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
One love!✌🏾
@omarjuma2937
@omarjuma2937 Жыл бұрын
​@@jackwausakaka naomba namba yako nashida na ww niko kahama shinyanga
@ElikanaKiheka-fl4wu
@ElikanaKiheka-fl4wu Жыл бұрын
@@omarjuma2937 atakupatia he is a good person. Akichelewa please let me know.
@MichaelFredrick-qm1pf
@MichaelFredrick-qm1pf Жыл бұрын
Jamkaya jack,, Michael kahama town
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 Жыл бұрын
Jack nakufatilia nikiwa Dar Tanzania
@chensigns6748
@chensigns6748 11 ай бұрын
❤❤❤🎉 one love
@MasanyiwaTz.
@MasanyiwaTz. Жыл бұрын
Oy mimi khm natokea nyasubi wew sehemu gani niwelage
@user-cheedycheedy
@user-cheedycheedy 8 ай бұрын
Tunawapata sana
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 7 ай бұрын
Maisha popote.Jahbles
@muemastanslaus1651
@muemastanslaus1651 Жыл бұрын
One love jack✌
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Жыл бұрын
Niko apa Houston Texas mimi sinaga ushikaji na watanzania sababu nawajua vzr sana mambo yao wengi wao awapendi kuwaunganisha ndugu zao ndo maana utajili ni mdogo Tanzania wengine bilionea utakuta ni wa nje tu watanzania bilionea ni mfuruki lugumi msuya bc kwanza uyo odelo ni mkenya Tanzania akuna jina la ivo
@josephnyanda1512
@josephnyanda1512 11 ай бұрын
Brother may have your email address or any contacts please 🙏
@FreeGod368
@FreeGod368 7 ай бұрын
Mchawi ni wewe namba moja usietaka kuungana na community yako..tena watu kama nyie ni wabaya sanaa ,unataman ata iwe ni ww mtanzania tu unaishi marekani unaona uchungu wabongo wengine kuwa marekan, nothing more ur envy and bad hearted
@noelkipera6581
@noelkipera6581 Жыл бұрын
Saluteeeee
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Жыл бұрын
Kaka uyo ajui uchwi uyo mleteni akae mwaka alafu muulize how is it
@themanofgod7562
@themanofgod7562 Жыл бұрын
KAHAMA STAND UP.
@BivanyTV
@BivanyTV 6 ай бұрын
Blood respect
@Abasahly
@Abasahly Жыл бұрын
Mmh kahama sehem gani
@dullymsafi3149
@dullymsafi3149 Жыл бұрын
Mpk raha pale upo far unapo kutana na mtu wa nyumban
@ReyzDon
@ReyzDon Жыл бұрын
Jesaaaa
@dennischarles8524
@dennischarles8524 Жыл бұрын
Huo ushauri sio wa kila mtu, Kama umetoka poor family nenda Marekani, 90percent utaweza kutoboa.
@lahdadibrahim5006
@lahdadibrahim5006 Жыл бұрын
Glad🇺🇸🤗🤗🤗🤗🤗👊💣
@mosesafwilile8786
@mosesafwilile8786 5 ай бұрын
Miaka yote yupo huko kwa nn asirudi huku kama anaona huku kuna ridhki
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf Жыл бұрын
Bongo hakuna kitu..njoon alafu mm nije huko
@User92.invisible
@User92.invisible Жыл бұрын
Jack tuwakilishe vyema huko
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
🙏🏾
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz Жыл бұрын
Anazingua uyo jamaaa apendi kusaidia mbinafsi umemtoa wapi mshamba
@MasaluMartine-xe1kb
@MasaluMartine-xe1kb 3 ай бұрын
Sifaa nyingii huyo ni mjaluo wa Kenya sema anakuzuga sikiliza sifa alizonazo
@abdulshaq-qx8wz
@abdulshaq-qx8wz Жыл бұрын
tupeleke maduka ya wazanzibar
@upendolema3323
@upendolema3323 3 ай бұрын
@jumasunday7212
@jumasunday7212 Жыл бұрын
Huyo jamaa akili imechanganikiwa kama Marekani akuna kitu kwann asirudi afrika akatafutie maisha uku
@elimbotoraphael3940
@elimbotoraphael3940 Жыл бұрын
Hujamuelewa .amemaanisha maisha ni popote anza na nyumbani kwanza.kama Huna channel marekani siyo sehemu ya kukimbilia utateseka😅
@georgeboniface-r9e
@georgeboniface-r9e 5 ай бұрын
Watanzania wachawi tu
@wenceslausmpanduji134
@wenceslausmpanduji134 Жыл бұрын
Gashinaga Ongwise Shinyanga
@luhindakanige2987
@luhindakanige2987 Жыл бұрын
Jaki niaje
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Fresh
@brigeddiageneral3759
@brigeddiageneral3759 8 ай бұрын
That's my nigga.. OD
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 Жыл бұрын
niliacha kuangalia video zako ulipoanza kuonge kingereza.
@jumasunday7212
@jumasunday7212 Жыл бұрын
Kwann amekuja afrika kutembea na akaruri marekani bs angebaki Afrika kama ulaya maisha ni magumu au tubadilishane aje afrika mimi nije ulaya nione kama atakubali binadam acheni roho mbaya na chuki mwaka huu lazima tufike uko atakama amtaki watu wengin waingie ulaya
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
😆🤣🤣🤣 Kwakweli mbona wao hawarudi Bongo kama kweli huko maisha ni magumu??
@valentineshembilu1256
@valentineshembilu1256 11 ай бұрын
Tatizo hata walioko dar nao wanawaambia wamikoani wasije dar😂😂😂
@KibwayaMsouth
@KibwayaMsouth Жыл бұрын
Vizuri kukutana ma homeboy Ila uyomwana Hana mpango ataki wenzake waje huko Kama Maisha magumu huko mbona ueye harudi tz
@amoskagika8884
@amoskagika8884 Жыл бұрын
Kwani unafikiri alichosema ni uongo? Kinachotupeleka hizo nchi ni umasikini tu lakini maisha Matamu Yapo Africa huo ndio ukweli
@mohdloushmoney9994
@mohdloushmoney9994 Жыл бұрын
Wasenge tuu awoo mbona hawarudi kama life ngumu haaaakuna kitu Cha kutustopisha tunakuja usa
@amoskagika8884
@amoskagika8884 Жыл бұрын
@@mohdloushmoney9994 unataka kuniambia ukienda USA ndio hautamiss kitu chochote huku bongo au unafikiri ndio itakuwa umemaliza shida zako zote😂😂
@amoskagika8884
@amoskagika8884 Жыл бұрын
@@mohdloushmoney9994 unataka kuniambia ukienda USA ndio hautamiss kitu chochote huku bongo au unafikiri ndio itakuwa umemaliza shida zako zote😂😂
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Жыл бұрын
​@@mohdloushmoney9994😆🤣🤣🤣Kweli bhana wasiwakatishe tamaa,nendeni hivyo hivyo mkajionee wenyewe.
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🔥🇹🇿🇹🇿
@michaelthevisionary
@michaelthevisionary Жыл бұрын
🎉 that name "Odero" definitely is from Kenya, a Luo community which I comes from 😅😅
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Hao ni wajaluo wa Tanzania wewe usikariri kwamba wajaluo wapo Kenya pekee
@michaelthevisionary
@michaelthevisionary Жыл бұрын
@@miltonjohn9779 Hukuskia akisema Mama ni Mkenya aliyehamia TZ. Always watch full vidz before commenting.
@R.Dickon
@R.Dickon Жыл бұрын
@@michaelthevisionary sasa mtoto huchukua utaifa wa nani... issue sio hiyo surname maana babake ni mnyasa aliyetokea Malawi so sisi ni wabantu tunaingiliana na yy anajitambua na kujivunia kuwa mtanzania
@Kabwela776
@Kabwela776 Жыл бұрын
@@michaelthevisionarymtoto achukui utaifa wa mama au kabila la mama kwa hiyo huyo ni mtanzania
@rashidimdee
@rashidimdee Жыл бұрын
#Jack Usipende kujitambulisha Kwa kabila Kila siku ww ni msukuma sio kitu kibaya ila haipendezi Kwa Nini usiishie Kwa kusema mm ni Mtanzania tu
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Na wakenya watakuja kusema nisiwe nasema mi mtanzania, niwe najiita muafrika...na wa mataifa ya ulaya, watakuja na yao pia...NIACHE NISEME NITAKAVYO!
@emmanueljohn7
@emmanueljohn7 Жыл бұрын
Safi Nyanda wasitupangie kwani Msukuma si ni MTanzania pia😅😅😅kamwe hatutasahau tulipotoka asili yetu
@akleiludovick9853
@akleiludovick9853 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🔥
@maselejonathan8452
@maselejonathan8452 Жыл бұрын
Jack kumbe wewe ni wanyumbani kabisa
@stevephilip5850
@stevephilip5850 Жыл бұрын
Acheni tuje mnajua msoto wa bongo nyie ua kwakua nyie mpo usa
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 11 ай бұрын
Kwanini wewe usitafutie nyumba, unatafutia marekani acha uhuni wewe
@OmaryKaniki-hs5mz
@OmaryKaniki-hs5mz Жыл бұрын
Acheni kuwapumbaza watu nyie roho mbaya tu
@amoskagika8884
@amoskagika8884 Жыл бұрын
Shida nini bwana Ommy?
@OmaryKaniki-hs5mz
@OmaryKaniki-hs5mz Жыл бұрын
@@amoskagika8884 msiwakatishe watu tamaa
@amrikamani9396
@amrikamani9396 Жыл бұрын
Dis like
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Сравнение Армии Турции и Израиля 2024
9:02
Гравитация
Рет қаралды 2 МЛН
KENYAN LADY  LIVING IN A HOUSE WORTH 8MILLION US DOLLARS🤭 IN CALIFORNIA SACRAMENTO
40:08
Главные неудачи иммиграции в США 🇺🇸 по грин-карте
42:25
Отправьте меня в Америку!
Рет қаралды 692 М.