IBADA ISIYO NA KANISA YATUA TANZANIA (MUNGU KWANZA)

  Рет қаралды 2,888

Chomoza Tv

Chomoza Tv

Күн бұрын

Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi kabla ya kutaka kufanya jambo lolote ni lazima uangalie je ni wakati sahihi wa kufanya hilo jambo?
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
KZbin : www.youtube.com...
#ChomozaTv#2021

Пікірлер: 27
@victorchaungwe8066
@victorchaungwe8066 Жыл бұрын
Mubarikiwe sana upon hearing mazungumuzo z Ndugu Aaron wa Mungu Kwanza huko na wewe ambaye haujutaja Jina Asante ktk offsite yako
@MiracletestimonyofGodinJesusna
@MiracletestimonyofGodinJesusna Ай бұрын
Mungu kwanza ibada hii imenisaidia sana kusimama kiimani ,nimebadilika nakuwa mpya,nahofu kutenda dhambi hata kama sionekani hakika sifa na utukufu kwa Mungu Baba wa Mbinguni katika Jina la Yesu.Mungu azidi kuibariki Huduma hii ifike katika mataifa yote, Mungu ambavyo amenigusa mimi basi nimaombi yangu akawaguse na wengine.
@user-hl9gy6cn9e
@user-hl9gy6cn9e 4 ай бұрын
Nîme sikiya huzuni sana kis ikiya iyo ujumbe. Basi pole sana victa
@HarunaFifi-oj9tj
@HarunaFifi-oj9tj Жыл бұрын
Ninawapenda sana
@user-yd9hq1de3t
@user-yd9hq1de3t Жыл бұрын
Umbari kiwe sana mutumi shiwa Mungu
@lyidiamkini5485
@lyidiamkini5485 Жыл бұрын
Amina tupo vizuri mtumishi
@abednegosimoni7716
@abednegosimoni7716 11 ай бұрын
Mungu Awabariki sana wana MUNGU kwanza
@leahmzundu9374
@leahmzundu9374 Жыл бұрын
Barikiwa Victory
@baumJONATHAN
@baumJONATHAN 3 ай бұрын
Tuko pamoja. Bauma Luanda guylain. DR Congo/ GOMA
@mayamonabeatrice6823
@mayamonabeatrice6823 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu victor🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@winifridarutaindurwa182
@winifridarutaindurwa182 Жыл бұрын
Mungu ibariki Huduma hii ya Madhabahu ya Mungu Kwanza. Barikiwa Watumishi wote mkiongozwa na Mbeba maono Erick Brighton. Wahubiri wetu Victor Aaron na Christine Kingsley.
@abishuawafula3395
@abishuawafula3395 Жыл бұрын
I still miss huyu mtumishi wa Mungu
@agneesasdf3008
@agneesasdf3008 9 ай бұрын
Kwani alienda wapi pia mm ni swali nko nalo ila cjui wa kumuuliza hili swali kwa mwenye anajua apo wapi aniambie🙏
@lyidiamkini5485
@lyidiamkini5485 Жыл бұрын
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🏼🙏
@RachelMapendo-nn3tb
@RachelMapendo-nn3tb 2 ай бұрын
bwana yesu asifiwe kwa wana Mungu kwanza ! n'a kwako pia meneja wa radio ubarikiwe n'a Mungu!
@mwamaletv3407
@mwamaletv3407 Жыл бұрын
Mungu mkuu
@alicedeb9047
@alicedeb9047 3 жыл бұрын
Man of God, Victor Aron be blessed.
@winifridarutaindurwa182
@winifridarutaindurwa182 Жыл бұрын
Mungu Kwanza ni huduma inayonibariki sana. Hongera Victor kwa mahojiano yaliyozidi kuitangaza Huduma hii.
@daurdwambuto1877
@daurdwambuto1877 Жыл бұрын
Mungu endelea kubariki madhabahu hii ya mungu kwanza, tunabarikiwa sana.
@teresahjuma9305
@teresahjuma9305 3 ай бұрын
Mungu Kwanza imesaidia kupatanisha watu wako inch za Gulf kupokea yesu
@estherngaja9913
@estherngaja9913 Жыл бұрын
GOD BLESS WANA MUNGU KWANZA
@colethaandrew0609
@colethaandrew0609 Жыл бұрын
Kwakwely huduma ya Mungu kwanza Mungu awabari na pia awinue ubariwe mtumishi Victor mwana wa Aron
@godlistenlema6259
@godlistenlema6259 Жыл бұрын
Pole sana mtumishi MUNGU awalinde na kuwatunza ubaya wowote usiwakaribie
@susandaniel1374
@susandaniel1374 Жыл бұрын
Mungu Akutunze mtumishi wa Mungu
@murefufiston4199
@murefufiston4199 Жыл бұрын
Barikiwa mutumishi wa Mungu victor
@user-uw7zb2wx3e
@user-uw7zb2wx3e Жыл бұрын
Kila nikukutana na iyi interviux lazim niisikilize. Napnde nisikiy nyingi jimmy ukiwa na kaka Brighton. Mubarikiwe nyote.
@sophiamihayo8085
@sophiamihayo8085 Жыл бұрын
Hakika katika Madhabahu ya MUNGU KWANZA, MUNGU YUPO katika Madhabahu hii.
"Mawazo" Sehemu Ya 69 Thoughts Dr Elie VD Waminia
41:14
Chomoza Tv
Рет қаралды 3,7 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 16 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,2 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 98 МЛН
USHUHUDA WA KILICHO MFANYA OSINACH KUTOKUINGIA MBINGUNI
23:22
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 43 М.
Hakikisha umepanda miti hii nyumbani kwako
8:04
Topten Tv
Рет қаралды 83 М.
MAOMBI YA USIKU WA MANANE by Innocent Morris
3:14:49
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 123 М.
MUNGU KWANZA MENGINE BAADAYE
6:34
Akaniwa 04 TV
Рет қаралды 74 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 16 МЛН