IBRAHIM TRAORE AMEKUWA RAIS WA MILELE BURKINA FASO KWA MENGI ALIYOIFANYIA NCHI

  Рет қаралды 25,370

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)

20 күн бұрын

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Пікірлер: 104
@JuniorCyrilMramba-oo9gs
@JuniorCyrilMramba-oo9gs 18 күн бұрын
Kama unamkubali Traore usimsahau Jembe letu Magufuli kwa maana anayopigania huyu ni sawa bulldozer wetu Magufuli
@KADALAtv255
@KADALAtv255 3 күн бұрын
Nampenda sana TROURE IBRAHIM namuona MAGUFULI katika MY PRESIDENT TROURE🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@JohnValle-xn1dx
@JohnValle-xn1dx 17 күн бұрын
Ma Raisi wa Africa hawana mikutano ya kujadiri kuhusu bara la Africa baadala yake wanakimbilia kwenda kutembelea kwa wazungu
@user-pj8cj7ps5b
@user-pj8cj7ps5b 18 күн бұрын
Uko vizuli sana mwalim nakuelewa sana✈️
@SalumMajorhood
@SalumMajorhood 17 күн бұрын
Waambie ukwl bro sisi ndy mpngo mzm Afrika people❤
@tradamus4158
@tradamus4158 4 күн бұрын
Safi sana tunapenda kiongozi mzuri akae tu miaka yote nchi itaendelea
@hamisihemedi1099
@hamisihemedi1099 18 күн бұрын
Huyu jamaa yuko sawa
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 17 күн бұрын
Jpm kweli kweli njembe
@hbdina
@hbdina 18 күн бұрын
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Amefanya mengi kuliko Tanzania kwa miaka yetu 60 ya Uhuru licha ya kuwa na amani
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 17 күн бұрын
Usijidanganye ndugu hapana uhuru wwte tupo undercontrol kutoka kwa wazungu na ndio maana ikawa hatuendelei maisha. Na kama huamini bc sema leo tz tunaweza kutengeneza gari uone. Mpaka ruhsa iombwe kwa mabwana wakubwa na waje kukukagua kila kitu. Wakitaka wqtasema yes. Kama hawajataka watakwambia noo. Na hatuwezi kuwapinga. Sasa hapo na maendeleo tusahau. Sheria kandamizi za weupe zinaumiza sana. Na ukijaribu kupingana nao bc ujuwe unawindwa hupo salama. Gadafi aliona mbali alipotaka kuziunganisha nchi za afrika na tutumie pesa yetu lkn hawakumuacha salama
@abuuahmad524
@abuuahmad524 11 күн бұрын
Mwalimu hakika unatufunua macho mungu akusimamie Kwa kweli Una elimu mzuri Sana tena dunia ya Leo hakuna ajuae haya Kwa kweli mm sio mfatiliaji wa haya ila saivi nafatilia Sana kipindi chako hongera sana
@maulidimpili698
@maulidimpili698 18 күн бұрын
Wako vizur sana hawa viongoz
@ismailmohamed502
@ismailmohamed502 16 күн бұрын
We jamaa historia unaijuwa mungu akupe umri mrefu
@toymadebho7048
@toymadebho7048 17 күн бұрын
mwalimuu mwalimuu serikali haikuonii daaa😢😢😢😢😢😢😢
@MahdouMomba
@MahdouMomba 2 күн бұрын
Serikali inatakiwa imuone na imsapoti kwa kiasi kikubwa sana huyu bwana, anafanya juhudi kubwa sana kutufungua macho na masikio yetu
@kitumainikubatu3182
@kitumainikubatu3182 17 күн бұрын
AFRiKA Tufanye kazi soteeeee; tusikalie kuomba ‘Omba. Tutaonewa sana.
@josephatmakongoro889
@josephatmakongoro889 17 күн бұрын
Uko vizuri Mwl
@piussogoye
@piussogoye 18 күн бұрын
safi sana, vijana kama nyie inatakiwa muwe wengi, ili waafrika tufunguke,
@shijamohamed369
@shijamohamed369 18 күн бұрын
Hata majina ya asili yamepotea
@KADALAtv255
@KADALAtv255 3 күн бұрын
MAKONDA WETUUUU🥰🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@amisisongolo6652
@amisisongolo6652 8 күн бұрын
Courage
@djumakadege659
@djumakadege659 14 күн бұрын
Hayo maelezo au matusi unayoyaseama si kweli ! ukweli ukiutaka ishi na hao wazungu ndiyo utajua ukweli . kwa kifupi wazungu na Waafrika hawana tofauti yeyote kimaumbile isipokuwa rangi tu. Waafrika wamejaliwa utu na uungwana tofauti wazungu, wazungu ni wabaguzi tofauti na Waafrika. kuhusu akili hakuna tofauti yeyote.isipokuwa maandalizi ni tofauti. usijidharau hata kidogo Mwafrika tembea kifua mbele. ishi nao ndiyo utajua ukweli wote. sisi sio watu wa hovyo hata kidogo. chakula kutoka Afrika huwezi kukinunua ukiwa ulaya bei yake ni kubwa sana na ndiyo chakula bora. tudhamini lugha zetu katika kujiongoza na kusomea katika masomo. Bila Afrika hakuna ulaya na Marekani. Aksante.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 17 күн бұрын
SUBIRI KIDOGO CIA WATAMLAMBISHA ASALI AU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@thadeombani7869
@thadeombani7869 3 күн бұрын
Mwalimu Danieli tuko nyuma yako tutakusuport kwa harakati za kumkomboa mwafrika ki fikra na kimaendeleo afrika yetu iludi kama awali
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 15 күн бұрын
Africa hatuhitaji kuwa na viongozi kila mara tukiwa na mchapakazi inatosha kwani tutakuwa na maendeleo haraka hata hao wazungu walishindwa
@user-ty5fh6jc8d
@user-ty5fh6jc8d 4 күн бұрын
Very Good bro
@user-ty5fh6jc8d
@user-ty5fh6jc8d 4 күн бұрын
Viogozi wengi vibaraka hawana utu uko sawa Sana uchawi is science
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 17 күн бұрын
Huyu jamaa yupo vzuri sana
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 7 күн бұрын
Hapo kwenye dini mwalimu umeteleza nchini urusi kuna zaidi ya Mashahidi wa Yehova 800 wameshitakiwa kwa ajili ya imani yao ya dini, na 200 hivi wapo jela wakitumikia vifungo
@giftndimbo5526
@giftndimbo5526 18 күн бұрын
Nakuunga mguu mwl
@user-dt1pb5bl3s
@user-dt1pb5bl3s 18 күн бұрын
Iko ivi uyo sio kama anaisifia ccm ila ao ccm wakiamua jambo Lao atutasikia ichi tunacho kisia leo kwaiyo nilazima awasifie kido ili tuendere kupata habali izi mimi nawaombea sana mungu awabaliki sisi tunaweza kuona wanacho kifanya awa wakina mpoki buya kama nijambo rakawaida ila nataka nikwambieni wana wakuu waafrica hawa niwatu muhim sana kwa waafrica kiujumla tuwa ombeeni kwa mungu waenderee kuwepo nakutupa elimu
@mussajuma645
@mussajuma645 15 күн бұрын
Uko sawa kabisa akuna mtu anaweza jitolea kukufikishia ujumbe kama huu ukiwa umefafanuliwa kiasi hichi Africa inabidi tuamke 💪 uwe na maisha malefu mwalimu
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 18 күн бұрын
Matusi yote lkn wanakuja kuchukuwa nini? Waafrika ubinafsi na rushwa pia fikra potofu ya kuwa mzungu ndio kila wakati sio,viongozi wetu wanafanya kazi kwa interested ya manyang'au mtihani mkubwa
@michaelliungo7811
@michaelliungo7811 15 күн бұрын
Upo vzr mwamba
@aronindibalema4964
@aronindibalema4964 18 күн бұрын
Sawa
@AwaziRajab
@AwaziRajab 11 күн бұрын
Kabis Nchi Yoyote Africa Ikiwa Chini Ya Ufaransa Nchi Iyo Aifiki Mbali Itakumbwa Na Mizozo Na Wanasiasa Wataanza Kugawanyika Wa Nchi Mwisho Wa Siku Nchi Itakua Vipande Vipande Bola Hata Uingereza Na Marekani Mkikomaa Wataishia Kuweka Vikwazo
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz 18 күн бұрын
Demo ni shetani, class,gredy
@tradamus4158
@tradamus4158 4 күн бұрын
Ila hapo kuusu chama umeongea pumba saabu ccm wanatetea wezi wew unasema eti ndio chama kitakacho tufikisha just imagine umeme maji toka uhuru imekua changa moto wapigaji wengi mno
@athumanikadaika5817
@athumanikadaika5817 3 күн бұрын
Binafsi sio muumini wa demokrasia kwakuwa ndio msingi wa kutufanya tuchelewe kuyafikia maendeleo kwakuwa haikuwa na dhamira njema ktk kuanzishwa kwake.
@TunayesuImani-vh3yl
@TunayesuImani-vh3yl 14 күн бұрын
Huyu raisi âme nifurahisha sana kabisa
@mussasaid284
@mussasaid284 17 күн бұрын
Daah mwalim me huwa na kuelewa sana,mawazo yako ndio mawazo yangu kbs,binafsi mambo mengi ya imani nilikujagundua ni uongo
@user-rk9gr9yf3i
@user-rk9gr9yf3i 18 күн бұрын
🎉🎉🎉
@jonathanmwakabuku4714
@jonathanmwakabuku4714 17 күн бұрын
Unaongeaga vizuri lakini mambo ya siasa za bongo ziache maana waliopo sasa hawana moyo huo wa Traore kwahiyo usimfananishe huyo na wapigaji utaaribu
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 15 күн бұрын
Kweli mchungaji hilo ni funzo kubwa sanaa wachache watakuelewa tumedumaa sanaa hao jamaa wananidii mnoo sisi tunafikili kufanikiwa huku umekaa tu
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 17 күн бұрын
Nikweli kabisa ata wanchi wanting nchi ata kufanya nao kazi nikazi sana sijui wamelishwa nini mfarans
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 16 күн бұрын
Nakuelewa sana
@shijamohamed369
@shijamohamed369 18 күн бұрын
Omary juma hamisi kumbe mmakonde
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 15 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jospeterjosiah
@jospeterjosiah 18 күн бұрын
Pia nchi ndogo ni rahisi kupata maendeleo kama kiongozi nimzalendo
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 15 күн бұрын
Hawezi kua raisi wa milele atakuepo muda mfupi ataicha dunia wa milele ni Mungu tu
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 17 күн бұрын
Siasa sio kabisa
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 17 күн бұрын
Tunaagiza mahindi kutoka ulaya halaf tunatangaza kama habari nakujisifia kua ni maendeleo😢
@toyimwamedi6460
@toyimwamedi6460 18 күн бұрын
MUMCHAGUWE MM SAMIYA AHENDELEYE KU WATAFUTIYA WAKINA MAKONDA WENGI
@lazarowilison-c9r
@lazarowilison-c9r 7 күн бұрын
Rais huyu ni wa pekee sana lakn shida ipo kwa wale wanaongozwa tumekuwa tukiwaangusha sana viongoz na wanaonekana hawafai tena waafrika tubadilike
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 18 күн бұрын
Kwenye ustaarabu na rangi kidogo nimekuwa confused!
@edgarmbegu1974
@edgarmbegu1974 14 күн бұрын
Acha uongo! Eti nchi zilizoendelea zina chama kimoja. Hebu ondoa ufisiem wako hapa!
@boaziamos1224
@boaziamos1224 17 күн бұрын
Wazee wengi sio sasa hv vjana ndio wanaonekana wanaakili kuliko wazee
@bethkimani92
@bethkimani92 6 күн бұрын
Hana Tamaa na Mali ya serikari mapresident wa Africa tafathari ongozeni serikari kama Traore huyo anasitahiri kua president wa maisha
@geofreybakina6010
@geofreybakina6010 18 күн бұрын
Viongozi wengi wa kiafrica wanachagua kula badala ya maendeleo
@AssaBenson
@AssaBenson 17 күн бұрын
Bwana mwakilembe nivigumu sana sisi waafrika kutambua kuwa sisi nibora kiasi Gani kwasababu sisiwenyewe tunajikataa nahaya unayo yaongea wanakuona kama mwehu frani hivi.
@shinipapaya846
@shinipapaya846 17 күн бұрын
Ndio na ww anza kuwakazia hao wanaojikataa huu ndio muda wa kuamshana na kuwa wamoja na kuwachukia toka moyoni jamii inayokuchukia kwenye bara lako na nchi yako 😢😢
@GeorgeJaphet-ge4qm
@GeorgeJaphet-ge4qm 18 күн бұрын
Africa tuamke😢😢😢😢
@kimeajuma3267
@kimeajuma3267 18 күн бұрын
Mwalimu huwa nakuelewa sana
@AbdulazizMohammed-wi8qz
@AbdulazizMohammed-wi8qz 18 күн бұрын
Mpaka mifumo ya elim tumetengenezewa ni ya ovyo kabisa
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 12 күн бұрын
Ni kweri muda kwa mtu mweusi hatuelewa
@jospeterjosiah
@jospeterjosiah 18 күн бұрын
Kuna nchi ikonyuma yake so hatujui baadae nn kitafuata
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr 18 күн бұрын
Burkinafaso itaipita East African very soon
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie 17 күн бұрын
Asantesha mwalim waneno ramungu 😂
@michaelkimathi1549
@michaelkimathi1549 15 күн бұрын
China imeendelea Kwa sababu ikiwa na madaraka ya umma ukiiba utauwawa,jaribu hapa tz unasifiwa na huchukuliwi hatuna ye yote . Fanya utafiti wako Vizuri.
@jumashimba9620
@jumashimba9620 18 күн бұрын
Usilinganisha ccm ya sasa na makufuri na sasa wamebaki
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 17 күн бұрын
Mpaka leo tunaumiana wenyewe kwa wenyewe wakati wazungu wanatupangia kila kitu. Kama mataifa ya kiafrika hayatakuwa pamoja bc sisi ni watumwa wa wazungu mpaka dunia itaisha. Kwan mpaka hao marais basi wametupangia wao sheria za kukaa madarakani. Kama twengekuwa tuko huru bc na sheria zetu pia zengekuwa ni nzuri naamini na viongozi wengekaa madarakani kwa kuwaheshimu raia. Rais engechaguliwa kwa matakwa ya wananchi na engeonekana anakwenda kinyumbe bc raia wengali kuwa na nguvu ya kumtoa na akachaguliwa mwengine.
@AliAdam-bz9wx
@AliAdam-bz9wx 18 күн бұрын
Ni ukweli mtupu Usona Paziya Mwalimu isaya . Kama hapa visiwa vya KOMORO , ufarasa
@user-hh5ew8wb7d
@user-hh5ew8wb7d 18 күн бұрын
Kwetu ccm hawana bali ni wizi
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t 11 күн бұрын
Ole wako wewe umsifiaye MGEMA chunga sana na misifa yako juu ya Paul christian makonda Epuka sifa sio nzuri
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 6 күн бұрын
Kumbe ww ccm sasa Ibrahim utamfananisha na makonda mefel ww
@saididuri3518
@saididuri3518 18 күн бұрын
unajifanya kuwaongelea wanaarakati wa kwel kumbe nia yako unajipendekeza ccm
@barakamuhanzo1492
@barakamuhanzo1492 15 күн бұрын
Jifunze Acha utumwa wa vyama na ubinafsi
@kavakurejeanBaptist-nk7jz
@kavakurejeanBaptist-nk7jz 18 күн бұрын
Wa fransa ni wapolaji majambazi
@abduljuma7807
@abduljuma7807 18 күн бұрын
Waingereza mnawasahau Wajerumani Wabeligiji pia na wanatumia ujanja wananjua kutugawanya
@abduljuma7807
@abduljuma7807 18 күн бұрын
Unakenya Uganda Kila mmoja naliwalia kiaina sisii pia nikama wao kwa mpango mwingine watuweke watu wanajidai kama wao maraisi wetu kuwa wanawachukia waingereza kumbe ni walewale
@kavakurejeanBaptist-nk7jz
@kavakurejeanBaptist-nk7jz 18 күн бұрын
@@abduljuma7807 ndio lakini wa fransa wapolaji kwa nguvu na kuua vyongozi bola wa Africa
@kavakurejeanBaptist-nk7jz
@kavakurejeanBaptist-nk7jz 18 күн бұрын
@@abduljuma7807 ma raisi wengi wa Africa watumkia magharibi
@UmmuSumayyah-tk1ul
@UmmuSumayyah-tk1ul 17 күн бұрын
Umesema uongo kuhusu serikali za kiislaamu!!!, Uislaamu hauwavunjii haki za kuabudu wasio waislaamu ktk nchi hizo, letee ushahidi
@barakamuhanzo1492
@barakamuhanzo1492 15 күн бұрын
Chukua cha kujifunza Acha utumwa WA dini😊
@UmmuSumayyah-tk1ul
@UmmuSumayyah-tk1ul 14 күн бұрын
@@barakamuhanzo1492 Weee unaelewa maana ya dini ama umefurahishwa na kureply basi?
@alphoncekazeba3958
@alphoncekazeba3958 17 күн бұрын
mchambuzi ila chawa!
@barakamuhanzo1492
@barakamuhanzo1492 15 күн бұрын
Mmmh chukua cha kujifunza Acha utumwa
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq 18 күн бұрын
Kuisifia ccm nimekuzarau
@barakamuhanzo1492
@barakamuhanzo1492 15 күн бұрын
Kaka kama uko Sawa CCM inaafadhar Sana,hawa WENGINE bado hawajajipanga,ni vibaraka Pia kama baadhi ya ccm
@prospermakole7258
@prospermakole7258 17 күн бұрын
Hopeless
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 18 күн бұрын
Umesha Anza kujipendekeza
@saididuri3518
@saididuri3518 17 күн бұрын
kwanza huwez kujifanya unamkubali mwanaharakati km traore halafu bado unegemea ccm kwa makonda kiufupi wew ni mbeya km wambea wengine tu
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn 16 күн бұрын
Huwa nakukubali lkini kitendo chawewe kuwa upande wa unyonyaji, wezi wa Fedha za Uma kwa mujibu wa CAG
@dastandomition7665
@dastandomition7665 16 күн бұрын
Hili lijamaaa bhana, eti mimi siyo mwanasiasa!!! Afu anapigia debe CCM!!!
@nicodemusngwala2079
@nicodemusngwala2079 15 күн бұрын
Dhana ya ukuu wa mwagrika hiwexi kutofautisha na siasa ... Hata huo Umajumui unaodai wewe kuwa ni sehemu ya siasa .... Kila kitu ni sehemu ya siasa ....
@dastandomition7665
@dastandomition7665 16 күн бұрын
Kumbe huyu jamaa ana matatizo!!! Yaani unamfananisha Makonda na Traore ???? Jamaa anatafuta kick!!! TU!!!!
@barakamuhanzo1492
@barakamuhanzo1492 15 күн бұрын
Yan ww kati ya yote umejifunza Hilo tu
@jumashimba9620
@jumashimba9620 18 күн бұрын
Isa nilikuwa nakuamini sana kumbe uko ovyo hivyo
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 18 күн бұрын
Kumbe na Wewe ni Chawa tu Mpuuzi.Huwezi kumfananisha Traore na hao Wajinga Wenzako wakina Makonda na CVM yetu.Chawa mkubwa wewe na Ulaaniwe
@barakamuhanzo1492
@barakamuhanzo1492 15 күн бұрын
Acha ujinga
@edgarmbegu1974
@edgarmbegu1974 14 күн бұрын
Kenge kweli hili jamaa😊
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 18 күн бұрын
Kumbe wewe nimpumbavu
@barakamuhanzo1492
@barakamuhanzo1492 15 күн бұрын
Ww ni zaidi yake,Yani umekosa cha kujifunza kwel
Kim Jong un drives Putin during state visit to North Korea
1:39
The Times and The Sunday Times
Рет қаралды 6 МЛН
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 195 МЛН
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 64 МЛН
MCH: NDACHA :ETI? MUHAMMED SI MTUME WA MUNGU!
19:52
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 7 М.
RAIS WA BURKINA FASO TRAORE AFUASTA NYAYO ZA MAGUFULI | MAPAMBANO YAKE
6:35
Halte mémorable du chef de l’Etat, le capitaine Ibrahim Traoré à Péni
4:39
علماء بوركينافاسو
Рет қаралды 529 М.
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31