RAIS WA BURKINA FASO TRAORE AFUASTA NYAYO ZA MAGUFULI | MAPAMBANO YAKE

  Рет қаралды 134,638

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

11 ай бұрын

SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
kwa Mfano
1 - WENYE MARADHI
2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
4 - UBAKAJI
5 - MATUKIO YA KIKATILI
6 - AJALI
7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
8 - WAZEE NA WATOTO
___________________________________________________________________________________
KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

Пікірлер: 100
@uwimbabaziesperance8478
@uwimbabaziesperance8478 11 ай бұрын
Sawa kabisa,tunampongeza huyo kijana wa Africa fanya kazi baba,mabeberu wametuchosha❤
@YunusuKantangayo
@YunusuKantangayo 11 ай бұрын
Asante Magufuli Mungu akurehemu Amina
@edwardmongi4484
@edwardmongi4484 11 ай бұрын
Mungu akubariki sana mkombozi wa Burkina Faso
@buharimwanga284
@buharimwanga284 11 ай бұрын
Traore afanye mambo makubwa kwenye nchi yake kwanza ndo tumuweke kwenye level ya mzee wangu na mzee wa watanzania wote #magufuli
@duvaboy
@duvaboy 11 ай бұрын
😂😂😂💯
@user-mz5jq7te2n
@user-mz5jq7te2n Ай бұрын
Hao ndiyo wanume na Marais kutoka kwamwezi mungu
@user-mz5jq7te2n
@user-mz5jq7te2n Ай бұрын
Better, than M7 could have the best of all this can you imagine at 35 may God protect you my brother
@user-mz5jq7te2n
@user-mz5jq7te2n Ай бұрын
Magufuli daaaah Yani mungu ni mutakatifu una magufuli wengi nyumbani mwako uheshimiwe baba
@AlexSamweli-jg4yh
@AlexSamweli-jg4yh 11 ай бұрын
Mngu amlaze mahali pema baba yetu magufur yeye ndo ali kua kama mwanga wetu wa Tanzania wote
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 ай бұрын
We love magufuli
@ReubenMwavizo
@ReubenMwavizo 5 сағат бұрын
May the Lord protect him with his precious blood.
@salimramadhani740
@salimramadhani740 11 ай бұрын
Very Good vivah Africa ❤❤❤❤👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪🇧🇮🇧🇮🇧🇮from Burundi Lives in Cape town 🇿🇦
@Ambwene
@Ambwene 11 ай бұрын
Vivaaa kaka 👊 🤜 🤛
@Ambwene
@Ambwene 10 ай бұрын
Magufuli ametuamsha zaidi ya watanzania asilimia 60 na tutaendelea kuwa strong zaidi
@florencemeza6540
@florencemeza6540 11 ай бұрын
MAGUFULI forever
@uaeuae1871
@uaeuae1871 11 ай бұрын
Nikweli ❤
@piuslugata4931
@piuslugata4931 Ай бұрын
Namini hata raisi wa Zambia na yeye kafata farisafa ya Raisi wa Tanzania magufuri
@issamwembe9851
@issamwembe9851 11 ай бұрын
Kweli
@KikandiKahemulo-em1yn
@KikandiKahemulo-em1yn 11 ай бұрын
tunashukuru nauongozi wajeshi ndani ya bara la afrika nzima
@maulidipingika4452
@maulidipingika4452 11 ай бұрын
Kabisaa,yaan haya mapinduzi ni safi kabisa sio kuendelea kunyonywa na mashoga hawa wa magharibi halafu tunawachekea
@mohamedS-yd9wh
@mohamedS-yd9wh 24 күн бұрын
Raisi Traore ni mfano mzuri kwa Afrika na dunia. Allah amhifadhi
@ismailmaulid1616
@ismailmaulid1616 11 күн бұрын
Tulipewa JPM tukasema dikteta lakin nchi za wenzetu tunavyowapenda 😂😂
@user-fx5cr3cc1q
@user-fx5cr3cc1q 10 ай бұрын
Hi sawa👍
@salimramadhani740
@salimramadhani740 10 ай бұрын
Yes very Good vivah Africa❤❤❤❤💪💪💪💪💪💪🇧🇮🇧🇮🇧🇮 from Burundi Lives in Cape town 🇿🇦🇿🇦
@NshimirimanaSylvain
@NshimirimanaSylvain Ай бұрын
Irambire
@AngerusLijuja-bg6sb
@AngerusLijuja-bg6sb Ай бұрын
INANIUMA SANA NIKIMKUMBUKA MAKUFULI
@estheroscar6520
@estheroscar6520 10 ай бұрын
Ongera kaka kwa maamuzi mangumu.
@magesamuchomason452
@magesamuchomason452 22 күн бұрын
Bado Africa 🌍 nzima imekanyagiwa chini na mabeberu lakini kisasa zaidi raia wa Africa wasifahamu na kuleta noma, if maraisi wooote afrika wakitoka Kama theore wajisimamie kidedemua afrika ingejizaa upya na afrika iwe pure afrika tufahamu ni wapi kunanyesha ili tuzibe wenyewe maisha yasonge.
@user-ic6wq9qb7r
@user-ic6wq9qb7r 14 күн бұрын
👍👍👍👍👍
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 25 күн бұрын
Kweli kabisa walikuwa wanamfuatilia kila hatua magufuli aliyokuwa akifanya na ilikuwa ndio maneno walikuwa ni mfano kuwa kiongozi wa Tanzania anafanya mambo makubwa magufuli alifungua macho Africa nzima hii mitandao imefanya Africa kuwa karibu sanaa.
@user-ep7tb9cf7f
@user-ep7tb9cf7f Ай бұрын
🎉
@bingwamshauli4679
@bingwamshauli4679 11 ай бұрын
good job
@eliatimagason231
@eliatimagason231 10 ай бұрын
Ndio raha ya kua na raisi kijina mkakamavu shujaa
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 ай бұрын
Tunamkumbuka magufuli
@sammysammy2001
@sammysammy2001 11 ай бұрын
Maskini hawana mtetezi😢😢😢😢
@jimmyselejimmysele2821
@jimmyselejimmysele2821 11 ай бұрын
Ndio. Ni kweli
@rashidalbalushi8355
@rashidalbalushi8355 13 күн бұрын
Mfano wa Lumumba na Kwame Nkuruma na Ghadafi na Magufuli ninahofia hao mashetani hawatamuacha tumuombee MOLA amlinde
@KihangoIsmail-qn2uh
@KihangoIsmail-qn2uh Ай бұрын
Maneno baba magufuli yataendelea kuishi ndani ya vichwa vya watanzania
@ayubumoha6313
@ayubumoha6313 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ viva afrika
@ismailmaulid1616
@ismailmaulid1616 11 күн бұрын
MAGUFULIFICTION OF AFRICA
@patrinraura1397
@patrinraura1397 11 ай бұрын
Haya Tuna Magufuli ameibulkia Buina Faso Kama Hayati Dr MAGOFULI
@Gallaxy-sc4rl
@Gallaxy-sc4rl Ай бұрын
Pambana kijana
@user-py3mz6xd2t
@user-py3mz6xd2t Ай бұрын
Magufuli alijitaindi sana viongonzi waki Africa wajiamini sio kutengemea wasinichi wa zungu wananchi wanaumia safari zinaongezeka
@user-uy7oc7vv8s
@user-uy7oc7vv8s 11 ай бұрын
Tutamuombea mwenyezi mungu afuate nyayo za gwiji wetu magufuli.but magufuli is the best ever.jpm pengo lako haliwezi zibika.
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 Ай бұрын
Hao ndio viongozi wanao takiwa afrika sio hawa tulio nao kwa sasa wachumia matumbo yao RIP JPM.
@ausonjustinian4673
@ausonjustinian4673 10 ай бұрын
Unachoongea mwandishi nikweli. Hakika tulifiwa watanzania. Mungu atabaki kuwa Mungu tu.
@mathiasbukombe3543
@mathiasbukombe3543 11 ай бұрын
sio kweli ,huyo dogo hafananishwi na mtu yuko peke yake
@user-gh7sm3yf2v
@user-gh7sm3yf2v 11 ай бұрын
natamani hataninge kuha mwana jeshi wa ibraim
@fafakimchicha1337
@fafakimchicha1337 Ай бұрын
Hafanani kabisa na magu sawa na shetani na ibilllisi
@CarolineAdhiambo-zk3ct
@CarolineAdhiambo-zk3ct 16 күн бұрын
YakeyalaoJnhokede
@HamzaFamily-sw4td
@HamzaFamily-sw4td 11 ай бұрын
VIVA AFRIKA
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 28 күн бұрын
Wabongo wanapenda kufananisha na maono ya mwengine dah ajaanza kufananishwa na rais Torourre tu da bado tunaendelea tutaona hahahahhah
@franksiame8441
@franksiame8441 11 ай бұрын
Bora jeshi kuongoza nchi sio panya rodi
@Worldunite
@Worldunite 3 ай бұрын
Hakika😂😂😂😂
@mohdmnemo9281
@mohdmnemo9281 11 ай бұрын
Uyu ni nabi iburaimu mungu kataka afirika tuwe uruu
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 10 ай бұрын
Wametuzurumu sana walamba asali msoga timu majipu magufuli wetu
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 11 ай бұрын
Kujana huyu ndii anatakiwa kufuata nyayo za maghu. Huwezi mfananisha na maghu bado sana
@mdungimdungikhamis7779
@mdungimdungikhamis7779 10 ай бұрын
Mumgu akupe moyo huo huo broo ingawa mwema hadumu ila mungu akulinde broo
@CarolineAdhiambo-zk3ct
@CarolineAdhiambo-zk3ct 16 күн бұрын
Akomakutumeasreagutana
@kahmardintebe9266
@kahmardintebe9266 11 ай бұрын
Magufuli mpende mkatae kwa Karne hii ndiyo kiongozi Bora kuwahi kutokea barani Africa huo ndiyo ukweli Kama unachuki binafsi hizo ni zenu
@Worldunite
@Worldunite 3 ай бұрын
Sio bara la Afrika tu peke yake,JPM alikuwa ni rais bora zaidi kuliko marsis wote ktk dunia hii, rip JPM
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 ай бұрын
Na sisi kwetu jeshi lichukue nchi tu maana bandari inauzwa mama lishe wanatimuliwa hovyo wamachinga nk titafurahi sana nchi ikichukuliwa na jeshi utawala huu umekuwa kizingimkuti sanaaaa tumeuchoka mama anarimotiwa
@paulhando6286
@paulhando6286 11 ай бұрын
Sisi tumetupa wenzetu wameanza kukitumia, wakipiga hatua tutaanza kugongana kwanini tulitupa
@EmanuelPaulo-gn8qf
@EmanuelPaulo-gn8qf 14 күн бұрын
Magu hafananishwi na mtu mwingine
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 11 ай бұрын
Wasije wakakuua tuu maana cc waafrica akili zetu cjui ziko wapi akitokea mzalendo anapotea kama maji gadafii,magu,pumzikeni kwa Amani.
@CarolineAdhiambo-zk3ct
@CarolineAdhiambo-zk3ct 16 күн бұрын
Manoameanehediaoyahokiania.awaesakaka
@JustusMwania
@JustusMwania 10 ай бұрын
Mwana jeshi but a leader
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 Ай бұрын
Mwamba
@melchiorndayizeye8825
@melchiorndayizeye8825 10 ай бұрын
Nafikili kwasasa kuku inaatamia yayi mpya ambalo litatotolewa kijana alie mufanana au anamuzidi magufuli ili tupate uhuru wakutosha ,nahapo kale kipindi magufuri alikuwa anatomy inje ya inchi inasemekana alikua na girl frien wa bourkinafaso ndie kumuza mutoto ana yitwa Ibrahim traore!
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 10 ай бұрын
Mta nikumbuka lala kwa amani kingi wa Tanzania
@msafiriomary893
@msafiriomary893 11 ай бұрын
Acha ajenge akifa hata ondoka nao acha usenge mnao msema JPM wetu majizi nyinyi
@zuberympulo6564
@zuberympulo6564 10 ай бұрын
We. Muandishi Ulianza kwa Unafki kwa kukosowa mapinduzi ya kijeshi Sasa Umeanza Elewa 😅
@ZachMoney-zn6kc
@ZachMoney-zn6kc 11 ай бұрын
Lakini vibaraka wa watu furani wamemsaliti
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 11 ай бұрын
Sema vibaraka siyo vibalaka
@ZachMoney-zn6kc
@ZachMoney-zn6kc 11 ай бұрын
@@edsonnelson4464sema unanifatilia we boya
@user-sv6vs6ev9m
@user-sv6vs6ev9m 13 күн бұрын
pambna
@CarolineAdhiambo-zk3ct
@CarolineAdhiambo-zk3ct 16 күн бұрын
Manoyagerutoakomakuweasedia
@CarolineAdhiambo-zk3ct
@CarolineAdhiambo-zk3ct 16 күн бұрын
PapotaiaguseauhadaatasavaleaGuweakomasasa
@adilhabib8988
@adilhabib8988 11 ай бұрын
hakuna cha magufuli huyo anafuta puton nyayo zake
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 ай бұрын
Sasa hivi nchi inakombwa na mama hachukui hatua yoyote asichukue fomu tunamtaka majaliwa
@officialmutrahlg2484
@officialmutrahlg2484 11 ай бұрын
😂😂😂
@alouisejohn7752
@alouisejohn7752 11 ай бұрын
Atajenga uwanja wadenge kijijini kwao kama magufuli
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 11 ай бұрын
Wewe Fala kweli
@JustusKihoza-dh2dc
@JustusKihoza-dh2dc 11 ай бұрын
Uwanja wa ndege uko Tz kuna shida gani? Unataka ujengwe moshi, arusha na dar tu wakati huko viwanja vipo tayari? Fikiri kwa mapana kabla hujasema jambo.
@hadjihadji197
@hadjihadji197 11 ай бұрын
Hamna mpya yoyote mlionayo ispokua kuabudu Mzimu wa Magufuli tu.
@stevensosipita
@stevensosipita 10 ай бұрын
BADO TANZANIA RAIS HANA UCHUNGU NA NCHI YETU ANATHUBUTU KUCHUKUA UAMZI KUWAPA WARABU BANDARI? HUWO UCHIZI NA UKATILI JESHI LIINGILIE KATI LICHUKUWE NCHI TUMECHOKA NA HUYO MAMA SAMIA MAMBO ANAYOFANYA HATA CHIZI HAWEZI KUFANYA
@maulidipingika4452
@maulidipingika4452 11 ай бұрын
Magufuli Ana nn cha maana?yaan unfananishe traore na magufuli?mmekosa cha kuandika asee
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 11 ай бұрын
R. I. P Magufuli tutakukumbuka daima hakika uliandika historia
@mwitaprotus7649
@mwitaprotus7649 11 ай бұрын
Wewe koma usimzalau magufuri mamayo wewe mjinga sanaa
@maulidipingika4452
@maulidipingika4452 11 ай бұрын
@@mwitaprotus7649 jibu hoja Acha upimbi,magufuli amefanya nn cha maana mpaka alinganishwe na komandoo kama huyu ambaye nchi zote za mashoga hawalali wanamuwaza kijana mdogo wa miaka 35?
@chingychingy2066
@chingychingy2066 11 ай бұрын
we cha maana unacho..?
@maulidipingika4452
@maulidipingika4452 11 ай бұрын
@@chingychingy2066 inaonekana hata mada huijui umekurupuka kutoka uvunguni
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 17 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,2 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 86 МЛН
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,1 МЛН
Почему треки липкие🤔
0:31
FERMACHI
Рет қаралды 272 М.
Идеальный баскетбол🤯
0:19
EasyBasket
Рет қаралды 7 МЛН
Paige VanZant absorbs and delivers strong slaps in Power Slap debut 👋
0:33