No video

HILI APA SWALI LA DK SULE LILILOZUA GUMZO KWA PASTA NDACHA KUSHINDWA KUJIBU.

  Рет қаралды 614,847

Ibrahim Zancom

Ibrahim Zancom

Күн бұрын

Kwa mahitaji ya Qaswida Mpya, Tenzi, Mawaidha, Nasheed, na matukio mbali mbali ya kijamii, usisahau ku SUBSCRIBE, LIKE, COMEENT, SHARE ili uwe wa mwanzo kupata matukio hayo kila yanapotoka kwa wakati sahihi.
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia simu No.
Whatsapp. +255772285543
Call. +255772285543
ASANTENI NA KARIBUNI.

Пікірлер: 888
@frankmwakalinga7455
@frankmwakalinga7455 Ай бұрын
Kumbe kwenye uslamu ni Dini ya kuunga unga pia nimejifunza kuwa hii Dini ni ya Majini sio ya Mungu harisi Ubarikiwe sana Mtumishi ndacha
@AsukileGwalugano
@AsukileGwalugano 17 күн бұрын
Hakuna ajuae dini ya kweli hapa duniani usiseme NI dini ya kuungaunga
@shyneafya2468
@shyneafya2468 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Ndacha MUNGU akupe umri mrefu
@NiyonkuruVianey-pl9jn
@NiyonkuruVianey-pl9jn 5 ай бұрын
Yesu ni mwokozi wangu tena nikiongozi wangu nampenda sana
@RinoMajembe
@RinoMajembe 4 ай бұрын
Mbona yesu ajaoa wewe unampenda atakuganyia nn
@NiyonkuruVianey-pl9jn
@NiyonkuruVianey-pl9jn 4 ай бұрын
@@RinoMajembe ndio hajaoa kwa sababu sio kitu kilikuwa kinamuletaga hapa kwa dunia
@user-ny1ut7zy3m
@user-ny1ut7zy3m 7 ай бұрын
Kunawatu wariebarikiaw ndacha mungu akubarikik❤❤❤❤❤
@charleskamau645
@charleskamau645 4 ай бұрын
Mimi wakati nilikuwa Kenya tuliongea na Muislam mmoja huko Muranga na wakati tuliachana aliniambia neno langu kuhusu Mungu ni nzuri na angetaka siku fulani niende kwake tuongee na akaniambia mahali tutakurana. Nilifurahi sana na nikaambia Mungu anipe neno lile nitaenda kumwambia huyo muislamu. Nilipofika nyumbani kwangu nikaomba na nikalala lakini kwenye vision nikasikia sauti ya Mungu ikiniambia nisiende kwa huyo muislam sababu ana jama ya kuniua. Kwa hivyo sikwenda kwake. Pia Mungu aliniambia Allah ( mungu wa waislamu ni sanamu yani an idol god who cannot talk or hear and thats why they fight for him to the point of even killing somebody who opposes their god. For me nobody told me that Allah is an idol god but God himself spoke to me that day. Its a day l will never forget.
@lizzymwangi9940
@lizzymwangi9940 2 ай бұрын
Yeah it truth 👏 I beside you 🙏Our God is Faithful Elijah tyme wth wanabii mlima kalimeli Dio hawa xaxa Waislamu
@donatienbest6043
@donatienbest6043 7 ай бұрын
Ata nibaki pekeyangu nitabaki kuhamini yesu Christ nibwana namokozi wamaisha yangu amen
@ihuriroGroup
@ihuriroGroup 6 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
@IsnailMudi
@IsnailMudi 6 ай бұрын
Mbona bado nimasikini kama kakuokolea maisha yako
@jamesnjoroge8627
@jamesnjoroge8627 5 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeen
@user-it8pu9od2w
@user-it8pu9od2w 5 ай бұрын
WW una akiri
@user-pf3gm9sy7k
@user-pf3gm9sy7k 5 ай бұрын
هل تؤمن بأن لديك اب ثاني فإذا قلت لا، كذلك نحن الإسلام لا نؤمن إلا بالله وحده والمسيح عيسى لبن مريم ليس إلا رسول الله وخلقه الله من طين كمثل ادم عليه السلام
@evarlneambiyo881
@evarlneambiyo881 5 ай бұрын
Ndacha Mungu akuinuwa sana tena sana ❤❤❤❤❤
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 5 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Ndacha.Mungu Akutunze na akupe Afya njema.
@desirendikuriyo7557
@desirendikuriyo7557 4 ай бұрын
Anae juu huu mchungaji aniunganishe nimpe hâta kidogo jamani
@IbrahimIbrahimramadhani
@IbrahimIbrahimramadhani 4 ай бұрын
Allah wafahamishe wote wahaziri wadini ufaham mzur..
@husna1892
@husna1892 3 ай бұрын
1:03 ​@@desirendikuriyo7557
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 10 күн бұрын
❤❤amen Yesu Kristo ooooooyeeeeeee
@charleskamau645
@charleskamau645 4 ай бұрын
Waislamu wa huko Kenya mkitaka kujua neno la Mungu na mambo ya Holy Spirit of God mtafute mtu kutoka church of God wale tunavaa nguo ndefu kama ninyi lakini hatuvai kofia kama vile mnafanya. Yule muislamu ataenda huko atafundishwa ukweli wote na vile Mungu hutaka watu wake wakae wakijitaarisha kwa kurudi kwa Yesu mara ya pili kuchukuwa walio wake. Waislamu wote hawajaokoka pamoja na wale wanajiita wakristo na hawajaokoka wote wataenda motoni milele na milele.
@user-ru4wm6bc4l
@user-ru4wm6bc4l 7 ай бұрын
Ndacha Mungu akulinde akuongezee maisha marefu unajua sana
@Jin-fl1hq
@Jin-fl1hq 4 ай бұрын
Mungu awe nawe daima mchungaji mkristo
@user-gp7sd9kg4t
@user-gp7sd9kg4t 7 ай бұрын
Congratulations ndacha mashaalah Mungu kakujalia wewe akueke miaka mingi urndelee kufunza wengi
@JustinKadongo
@JustinKadongo 3 ай бұрын
asante
@kabarezephanie3573
@kabarezephanie3573 5 ай бұрын
Ndacha wewe nimwalimu kbsa ❤❤❤
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 7 ай бұрын
Bwana YESU krisito asifiwe Sana damu ya Yesu inanena mema
@Ciciczi
@Ciciczi 5 ай бұрын
Huyu ndacha mpaka kiama hawezi kujibu maswali
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x Ай бұрын
@@Ciciczi according to u
@mchungajiZachariatv
@mchungajiZachariatv Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/jmmWfGakjMmVkJosi=rtuM55hCBs_72Len Kanisa limewaka moto Fuatilia nguvu ya kufunguliwa
@gediontumaini1285
@gediontumaini1285 7 ай бұрын
Ndacha Mungu akuongezee hekima zaindi kwa Jina la Yesu.
@OmyGizo
@OmyGizo 5 ай бұрын
Csasa ivi mna silkilizaa au unajbu swali la kitabuvinginau mmekwama
@LuisFaustinoLuis
@LuisFaustinoLuis Ай бұрын
Ndacha mungu akubaliki sana mazinge ajuwi kitu chochote
@user-vb4ek9jd7x
@user-vb4ek9jd7x 5 ай бұрын
Yesu ndiye njia ya pekee ya kwenda mbinguni
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 5 ай бұрын
Waislam ni wapinga kristo 😢😢😢😢😢
@lulkul7784
@lulkul7784 4 ай бұрын
Yesu c mungu yesu ni mtume wa mwenyezi Mungu njia ya pekee ni njia ya Allah subhanallahu wataalaa......na njia ya haki ni usilamu
@muhamedbashir2661
@muhamedbashir2661 4 ай бұрын
Baba soma yohana yesu alikuwa maskini ndo maana kashindwa kuhiji
@lucasmisati6086
@lucasmisati6086 3 ай бұрын
Amina
@maulidsuleh4924
@maulidsuleh4924 3 ай бұрын
Jasho linamtoka pastor
@user-iq1pl8nw2y
@user-iq1pl8nw2y 5 ай бұрын
Sifa nautukufu zamwenyezi mungu ziwe pamoja Nawe mtumishi wamungu yesu Cristo akupe nguvu pasta
@MarysianaMalekanana
@MarysianaMalekanana 5 ай бұрын
Ndacha mungu aendelee kukutumia
@sumenokisupai8171
@sumenokisupai8171 3 ай бұрын
Munjungaji mkrsito hongera sana mungu akubariki sana
@JusterNtinyari-qx4fv
@JusterNtinyari-qx4fv 3 күн бұрын
Wooow mungu anatupigania ,kweli mtu aliye mchagua mwokozi yesu uko sahihi na mbinguni tunaigia ameeni ,mungu akupiganie na akulidie huduma yako ,bt Muslims wawezi kubali kristo
@NeemaMashiku
@NeemaMashiku 5 ай бұрын
Hakuna Dini kama uko safi ndani ya moyo wako, mujueni mungu kwa kufaata sheria zake ... Sio kutambiana Dini..Ndacha hongera, majibu yako, kumbuka hata yesu alijaribiwa na shetani but nae yesu hakujibu tofauti na bible
@user-ws6kn8tp3x
@user-ws6kn8tp3x 7 ай бұрын
Ndacha you are a blessing to christians
@davidnyerere2016
@davidnyerere2016 3 ай бұрын
Mwenyezi mungu alitoa mwanawe msalabani kwa watu wenye dini tofauti
@geofreykosgei202
@geofreykosgei202 6 ай бұрын
Nafurahia mafundisho,i learned and i grew up knowing that the Bible was written by inspired men of God
@mambilemembe8892
@mambilemembe8892 4 ай бұрын
🎉❤❤❤ndacha nimekukubali,yesu ni bwana
@adnanel-islam3291
@adnanel-islam3291 4 ай бұрын
Hamna dini nyie anachukua aya azitakazo kwenye kitabu hicho nyengine anazikataa Hamna dini wakristo mnayumbishwa tu
@CatherineGodfrey-dx2uo
@CatherineGodfrey-dx2uo 4 ай бұрын
Okay honger very now god
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 7 ай бұрын
Mimi ni mwislamu, Nakubali majibu ya ndacha, Sule acha uoga kuleta ukorofi
@allyhamad9665
@allyhamad9665 6 ай бұрын
Wewe ni muislam kweli au unataka kuuchafua tu uislam
@farhiaabdii8279
@farhiaabdii8279 5 ай бұрын
😂😂😂
@ismailkhamis-ks8gp
@ismailkhamis-ks8gp 5 ай бұрын
Ww si mwislamu ni mnafiki tu
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 5 ай бұрын
​@@farhiaabdii8279hipo siku utajua yesu ndio njia maanake Sasa hupo kwenye giza
@allyhamad9665
@allyhamad9665 4 ай бұрын
Halaf usituone sisi waislam watoto eenh
@JoseAmirabdala
@JoseAmirabdala 4 ай бұрын
Mtumishi WA mungu mungu akulinde na azidi kukubaliki bwana yesu asifiwe Milele Im from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@user-cq5pt8zy7t
@user-cq5pt8zy7t 7 ай бұрын
Bibilia ni mkusanyiko wa vitabu hapo Ndacha nakubaliana na wewe🙏🙏
@samkabayiza6212
@samkabayiza6212 5 ай бұрын
Ndacha hadanganye
@barakafondo8090
@barakafondo8090 7 ай бұрын
Waslaimu kwisha , Ndacha be blessed
@egidideule7285
@egidideule7285 7 ай бұрын
Mim nafurahi sana kweli zinapo Julikana kama hivi neno linaongea Bwana Yesu asifiwe
@user-sh9mn1ir5q
@user-sh9mn1ir5q 7 ай бұрын
Pastor Ndacha Mungu akulinde wapukutishe waislamu kwa maandiko
@mathewhabyarimana
@mathewhabyarimana 4 ай бұрын
Ubarikiwe Mwalimu Ndacha
@laylayl5166
@laylayl5166 7 күн бұрын
Mashaallah. Namshukuru mungu kuzaliwa mwislaam sikupotea
@user-os5yq3pg2e
@user-os5yq3pg2e 6 ай бұрын
Ndacha uko sawa big up mwalim , wacharase🎉
@EllenStephano-pg9hj
@EllenStephano-pg9hj 5 ай бұрын
Safi sana ndacha mungu akulinde
@pauluyagirwe6189
@pauluyagirwe6189 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mch Ndacha
@GeasiMkobani
@GeasiMkobani 2 ай бұрын
Ahsanteni kwa mdahalo mzuri,hakika tunaelimika. Ukristo ni dini imara.
@user-nt6ug7nb1e
@user-nt6ug7nb1e 8 ай бұрын
Docta Allah akupe umri mrefu ili uelimishe watu dini Ya Mungu.
@JeanbaptisteMwenyemali
@JeanbaptisteMwenyemali 4 ай бұрын
Kiukweli nimechanganyikiwa jibu yenu nyinyi wote ni kwamba . Kwaimani yangu Mungu na dini yangu wako Rohoni mwangu . Imaniangu ndo kilakitu
@aminanekesa3718
@aminanekesa3718 4 ай бұрын
Mdahalo wa Elimu jamani😂d'alibi za Ndacha ziinaonekana kama hana éliminer ya kutosha Allah Akulinde Sheih Dr sule❤
@threebrothers..
@threebrothers.. 5 ай бұрын
Endeleeni kutukuza maiti, Muhammad
@trophywilson7211
@trophywilson7211 4 ай бұрын
saana ti
@ProsperKilenga
@ProsperKilenga 2 ай бұрын
❤❤ ndacha wetu wewe noma sana baba waeleweshe
@ZakariaAlly-vq2rd
@ZakariaAlly-vq2rd 7 ай бұрын
Doctor sule Allah akubarik ukupenguvu uweze kuwabana wabaya wadini akuingize peponi
@user-ln5lt4pl7m
@user-ln5lt4pl7m 5 ай бұрын
Amiyn ya Rabin
@drmonasser1332
@drmonasser1332 5 ай бұрын
Aaaamin
@user-ty8ci5oi9m
@user-ty8ci5oi9m 5 ай бұрын
Kwani wa Isilamu mtaendelea lini kujiweka vitambaa kwa macho wacha nikwambie ukifuatilia bibilia ukaona agano lakale na agano lipya kama Yesu agekataa kukuja kuwaokoa musingeishi vizurii maana zamani ukifanya dhambii ulikua ukiwuliwa na Mungu au uwekwe msalabani. Na kila mtu wa kawaida alikua hana Uezo wakumuongelesha Mungu. Lakini kwa sasa juu ya JESUS unaishi na sio waminifu wako nyie wa ililamu nawapia hukuna kufika Mbinguni Bira gupitia Yesu Kristo labda ukitubu.🙏🙏
@BaloziWacobra
@BaloziWacobra 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji wetu tena akupe akiri sana
@NYAHURURU_ICON
@NYAHURURU_ICON 6 ай бұрын
Kutoka leo ndini niya kikristo nimeachana na ndini ya muisilam kutoka leo tafadhali mnikubali ndugu zangu wakristo🎉🎉🎉
@jonathansolomon456
@jonathansolomon456 6 ай бұрын
Safi sana wamuzi muzur
@user-sf2lf9mc4n
@user-sf2lf9mc4n 6 ай бұрын
Karbu sana Kwa Nuru God bless you
@user-tv4cf5ed6g
@user-tv4cf5ed6g 5 ай бұрын
Asante sana karubu kwayexu
@user-mm2ze1cq5z
@user-mm2ze1cq5z 4 ай бұрын
We mbwa Ni mkristo kitambo usijifanye muislam Lakin usiwe Fala mbwa Wewe kafiri mkubwa
@NYAHURURU_ICON
@NYAHURURU_ICON 4 ай бұрын
@@user-mm2ze1cq5zwewe ndie wanijua kweli mbwa ni wewe sasa mkuu wewe utaniambia nn kumamako nlibadili dini mimi na nmekuwa mkristo nimetakaswa na damu ya Yesu kwa Muhammed sikujua nliendea nn
@LovelyAntenna-eq9fv
@LovelyAntenna-eq9fv 7 ай бұрын
Nakupenda xana ndaacha mjasiri❤
@AllyIssere
@AllyIssere Ай бұрын
Sijaona jibu sahihi kwamtushi shekhe sule ! Mungu akulipe kwa kher
@SmilingBlueMackerel-sl3xt
@SmilingBlueMackerel-sl3xt Ай бұрын
Tatizo waislaam sijui awaja soma Yani ukweli uko wazi lakini awaelewi na sule anauliza maswali yakitoto kabisa
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 2 ай бұрын
Ndacha mungu akupe uhai mzuri naulinzi baba 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@cabylake2320
@cabylake2320 7 ай бұрын
Mashaallah mashaallah Allah akbar Allah akbar ndacha jubu swali acha kukwepa
@jacksonmwamkinga8729
@jacksonmwamkinga8729 6 ай бұрын
Pastor upo vizuri sana
@ErickSimon-k7e
@ErickSimon-k7e 26 күн бұрын
Bila unafik kwl kuna wasomi wa biblia jins ndacha alivyojibu mungu pekee amlipe hitaji la haja zake🎉❤
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 Ай бұрын
Safi sana najifunza mengi kupitia huu mdahalo kikubwa ukiangalia wote tu njia Moja.Kikubwa Hekima.
@JofreyAbdala
@JofreyAbdala 5 ай бұрын
Jaman hzo nkama vta kilaamt aamin kiviake me nampenda yesu aamina mtumishi yesu kasema wawili au watatu na yeye atakuwepo
@francessimilanzi4545
@francessimilanzi4545 7 ай бұрын
Mungu akubariki paster ndacha
@nahashongichine4877
@nahashongichine4877 7 ай бұрын
I love how people in the great nation of Tanzania co-relate together, both Muslims n Christians live together in peace n love
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 8 ай бұрын
Ndacha Mungu kakupa hiyo kazi kwa makusudi,mtumikie yeye
@EuniceNgigi-ot6pg
@EuniceNgigi-ot6pg 7 ай бұрын
Ukweli
@PriscillaThadeo
@PriscillaThadeo 5 ай бұрын
Yesu ni Bwana na mwokozi wa maisha yangu EFATHA
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 5 ай бұрын
Huyu jamaa Mbona kanyosha jibu fresh tu
@esterkanudachandaruah6619
@esterkanudachandaruah6619 2 ай бұрын
Hawezi akaelewa kama Hana d mbili
@user-lq6fd4tv4m
@user-lq6fd4tv4m 5 ай бұрын
Nakubali ukristo
@apostlepeter2411
@apostlepeter2411 3 ай бұрын
Ameeeen Yesu wetu asifiwe walimu nguvu za Yesu ziwe nanyi
@dominickyalo5517
@dominickyalo5517 5 ай бұрын
Ndacha Mungu akuzidishie hekima
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 8 ай бұрын
Shekhe nakupenda kwaajili ya Allha yan Allha awajalie afya njema
@richardchimba3800
@richardchimba3800 2 ай бұрын
Mbona kashindwa Sule 😂
@user-nz2sk8tk1o
@user-nz2sk8tk1o 5 ай бұрын
Amina amina umenena baba yesu akuongeze
@Official_Sunday_Mjeda
@Official_Sunday_Mjeda 4 ай бұрын
Jamn ulizi wa binadam kwny mamb ya mungu yajay yanafuraisha kweli kweli
@ShabanKiringi
@ShabanKiringi 3 ай бұрын
Congratulations Ndacha
@JoyceMonewa
@JoyceMonewa 2 ай бұрын
Bwana yesu akubaliki sana wakatea wasikubali yesu ni Bwana na Bwana ndiye mungu❤
@princejsong73170
@princejsong73170 6 ай бұрын
God bless you pst Ndacha. Although the venue was biased, you always beat the odds
@AdeshMoha-ir4be
@AdeshMoha-ir4be 4 ай бұрын
Ni pastor wakuru karuka kuliko wajibu swali anaitwa pasta ndacha endelea tu kuwadanganya wapange mzuri panga wao mzuri😂😂😅😅
@user-pg3se6ge1z
@user-pg3se6ge1z Ай бұрын
Doctor sule Allah akuzidishiye
@MichaelNyobange-ss5pp
@MichaelNyobange-ss5pp 6 ай бұрын
I love pastor Ndache you are a true pastor of God
@hafidhmohd8696
@hafidhmohd8696 6 ай бұрын
mwambie ajibu swali sio kutofautisha baina ya sule na wanavuoni swali andiko la kusema bibliya ni kitabu chake 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Jamilahjm-l3c
@Jamilahjm-l3c Ай бұрын
Mungu akulinde siku zote akupe nguvu ya kutufuza napenda mawaidha Yako
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 3 ай бұрын
Ndacha elimu ndogo, doctor Sulley uko juu sn MashALLAHu
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 5 ай бұрын
Ndacha nakupenda saana hadi kifo kunichukue
@AdeshMoha-ir4be
@AdeshMoha-ir4be 4 ай бұрын
Kuele ama pasta wanawadanganya anaulizwa swali anaruka swali kwani hamna maskio ama😮😅 namuoni ama
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 3 ай бұрын
​@@AdeshMoha-ir4beSoma bibilia
@pettybrown2655
@pettybrown2655 7 ай бұрын
Pastor ndacha GOD guide and give you more power and strength
@baumaeddytoutestprophetiqu6322
@baumaeddytoutestprophetiqu6322 7 ай бұрын
God works with hearts not heads! All these these people do not know either God or His word
@baumaeddytoutestprophetiqu6322
@baumaeddytoutestprophetiqu6322 7 ай бұрын
Wakorofi nyote
@AdeshMoha-ir4be
@AdeshMoha-ir4be 4 ай бұрын
Pawagani hadi ja jibu suali anaruka swali masikio ama ona ama
@RogerJulius-le3xs
@RogerJulius-le3xs 3 ай бұрын
Hawakuwezi hao mungu akutie nguvu kamand ipo siku na sisi tunapigania din yetu tupo pamoja
@CatherineGodfrey-dx2uo
@CatherineGodfrey-dx2uo 4 ай бұрын
Amen god teaher work sewing
@rizikikasangandjo6018
@rizikikasangandjo6018 4 ай бұрын
Ubarikiwe pasteur ndasha.
@islamninja8306
@islamninja8306 8 ай бұрын
Ndacha anakwepa ukweli hali ya kua unajua sababu ya maslahi ya kidunia, Mwenyezi Mungu atuongoze tusiwe ni wenye kupotea 🤲
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x Ай бұрын
Acha ka wivu wewe
@RoseMuniss-y5q
@RoseMuniss-y5q Ай бұрын
Mmhhh uwe unakuja na hojaa
@mohamedmohamud9691
@mohamedmohamud9691 6 ай бұрын
Huyu ndacha badala ya kujibu maswali moja kwa moja anajifanya mjanja kwa kuleta topic tofauti ili kuchanganya watu. Hana mwelekeo hutu ndacha mnao wasikiliza bali ni mbishi anae piga ma kelele ili kuichanganya na kupotosha fikra za watu. Hii ni Aibu kubwa mno.
@SuleshKE
@SuleshKE 3 ай бұрын
Wewe unamwelekeo jibu
@MichaelNyobange-ss5pp
@MichaelNyobange-ss5pp 6 ай бұрын
Pastor Ndache you are a true pastor
@user-su5jq6zl4o
@user-su5jq6zl4o 7 ай бұрын
Sheik dr sule mungu akupe maisha malefu
@wideman8362
@wideman8362 8 ай бұрын
Kiukweli namkubali dr suley ila ndacha hana mpinzani hapo
@NyanjeMwalimu-qy5ug
@NyanjeMwalimu-qy5ug 8 ай бұрын
Hawamiezi hawa wakosa hoja
@JosephNyabero
@JosephNyabero 7 ай бұрын
Amen,mukusanyiko wa vitabu.
@user-qj3mq4nk4c
@user-qj3mq4nk4c 4 ай бұрын
Yaaaani huyoooo ndachaaaa hajibuuu swaliiii anatoa maelezooo anakeraaaaalooooh bt i am proud to be muslim i love muhammad❤❤❤❤ sws
@RoseMuniss-y5q
@RoseMuniss-y5q Ай бұрын
Akuna sehemu ambayo ajibuu ndachaa
@nicholasonsomuoyaro9549
@nicholasonsomuoyaro9549 5 ай бұрын
Kutamka si hoja! KAZI aliyoifanya Yesu yadhihirisha Biblia ni neno la Mungu.
@UddymanThegreat
@UddymanThegreat 5 ай бұрын
Namshukuru allah kwakunipa dini ya haki islam ndio dini yangu
@DrUno-kp8go
@DrUno-kp8go 5 ай бұрын
😂😂😂
@lulkul7784
@lulkul7784 4 ай бұрын
Alhamduliliah proud to be a Muslim ❤
@Raymtumishi
@Raymtumishi 4 ай бұрын
Mjinga wee mbinguni hatuend kwa dini
@mchungajiZachariatv
@mchungajiZachariatv Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/jmmWfGakjMmVkJosi=rtuM55hCBs_72Len Kanisa limewaka moto Fuatilia nguvu ya kufunguliwa
@user-ln5lt4pl7m
@user-ln5lt4pl7m 5 ай бұрын
Nashukuru Mwenyezi Mungu kwaku nitowa kwenye ukritu nakuni fanya Muisilamu
@victorgasper7563
@victorgasper7563 5 ай бұрын
sio ukristu bwege ww
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 Ubarikiwe mchungaji
@kassimmwandoro4092
@kassimmwandoro4092 5 ай бұрын
DR Sule mungu akupe afya na hekima zaidi na kuraani haijabakisha kitu ila ni ubishi tu kwa wasio na elimu.
@cyrusgathogo5639
@cyrusgathogo5639 7 ай бұрын
Wazee kumi kapewa elimu na mwanaume mmoja kwa Jina Ndacha 😂😂
@gatijoseph6788
@gatijoseph6788 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@daniellourencojaime
@daniellourencojaime 6 ай бұрын
BWANA YESU KRISTO ATUKUZWE,ATA MUKAFANHAJE AMUWEZI KUPOTOSHA YESU KRISTO.MIMI BADO NIPO KWA YESU KRISTO MILELE,ATA IWEJE.🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@lulkul7784
@lulkul7784 4 ай бұрын
Dr sulle 🔥mungu akulinde sheikh masha allah
@AsukileGwalugano
@AsukileGwalugano 17 күн бұрын
Jamani MUNGU HABISHANIWIIIII TUJIFUNZE TU KWA UPOLEEEE
@MURHATIKIGUMI
@MURHATIKIGUMI 2 ай бұрын
uislamu raha Allah awabariki mitume n manabii wake wote n wajumbe waliokuja baada yao mashekhe woteee dunian wazid kuwatoa watu ktk giza n kuwaleta ktk nuru ya ALLAHU
@petermwelesa1749
@petermwelesa1749 5 ай бұрын
Amen kwa mwalimu wa bibilia
@GeboGebo-c5v
@GeboGebo-c5v Ай бұрын
Mungu akulinde mtumishi wa mungu
@Kanyabobothefirstborn
@Kanyabobothefirstborn 6 ай бұрын
You good to go pastor ndacha may God bless you tell them the truth
@smartlifefun
@smartlifefun 8 ай бұрын
If this is a doctor in tz am afraid😢😢 l mean he doesn't comprehend and connect the dots😂😂
@siryahesabu3710
@siryahesabu3710 3 ай бұрын
Huu mdahalo nuliusikiliza hadi mwisho, waislamu walishundwa wa wakristo
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,8 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 22 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 14 МЛН
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1,9 МЛН
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 42 М.
Hatimae mazinge abatizwa tanga #Debate #tangamjini #shalbaonlinetv
21:37
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 338 М.
SWALI LA Dt Pro MAZINGE HALIJIBIKI
17:03
arkas online tv
Рет қаралды 120 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,8 МЛН