Ahsante sana kaka mungu akupe maisha marefu ,ila kaka samahani naomba nkulize nivipi naweza kumrishisha mume wang kama nikiwa kipindi cha period
@GhatiMwita-e8t3 ай бұрын
@@HalimaRajabu-f4e ukiwa period maliza period. Na yeye awe mwelewa na asubiri umalze ndo heshima iyo
@mwanakombojumaakhalid3 ай бұрын
Naitwa mwanakombo jumaa khalid ninabinti yangu akitaka kuolewa nitakutafuta uwe kungwi wake nimekupenda sana ❤❤❤❤ 6:52
@ShamsaZamda3 ай бұрын
ASante kungwi allah akulipe kheri nabaraka 🎉🎉
@zulekhChimamy9 сағат бұрын
Naomba niunge kwenye group lako
@NizarBakari3 ай бұрын
Habari kungwi,naomba uniunge kwenye group lako
@EURO-PATRICK-Tz3 ай бұрын
Wow I like it Mr ibrah you are the most🎉
@azizaaziza79963 ай бұрын
As, allaykum warahmatullah wabarakatu kungwi dume, Mimi ninayo huyo shida ya kutoka na upepo mfano wa kujamba ukeni kwangu na hio hali imenitokezea tangu sijaolewa na ata sijamjua mwana ume hio hali ninayo Hadi Sasa naomba msaada wako yani niseme ukweli Ina niumiza namara nyinyi hunitikezea nikiwa ktk swala au nikikaa tuu ivi Ina nitokezea ila ktk tendo lando ilikua haitokei nakumbuka iliwahi kunitijea mara Moja tu , ila ktk hali ya kawaida ipo sana
@ZuhuraAthuman-u2i2 ай бұрын
Ahsante kungwi somo nzuri maji ya moto tiba lkn kumbe ni majanga Kwa upande mwingine Sasa kwenye uzazi yanatumika sana
Asante kaka mimi nilikuwa napenda sana maji ya moto ila kuabzia leo situmii tena.
@FatmaAbubakari-ki5tv3 ай бұрын
Wallah nimecheka apo kwa panya😂😂 Alhamdulillah shukran kaka kwa mafunzo ndo mara ya kwanza kufatlia mm mkenya 🇰🇪 ❤
@FatmaMohamed-i7b3 ай бұрын
nakukubali brooo unafundisha vizur mnoo
@RizikiZiki3 ай бұрын
Nafika kwa kungwi Dume 🎉🎉🎉🎉🎉
@ChristinaMbogolo4 күн бұрын
Samahani kungwi eti nisahih mwanamke kulala na nguo ya ndani
@AishaAliyame2 күн бұрын
A alkm. Naomba nijbu swali hilo kuhusu ukiwa na hedhi huwezi kufanya tendo la ndoa ukiwa na hedhi hata dini imekataza ni shambi kubwa sana mume anatakiwa kukuchezea kwake mwisho chini ya kitovu uku kwa bibi asifike dini imeelekeza hivo
@Aishaboss-w8v10 күн бұрын
ss kungwi mm mwanaume wang anapend kunambia non malaya halikuw mm sijawah kuchepung tang niinsh nae nimfanyej
@MwaidaMsiku3 ай бұрын
Asante kaka kwa darasa lako pendwa
@AnnaMundia-d3o3 ай бұрын
Laiti upate channel ya runinga ili mafunzo haya yafikie wanawake wote ulimwenguni..Ibra umebarikiwa..kenya
@shishiShishshi3 ай бұрын
Usijali Kila kitu na mda wake mambo mazuri hayataki haraka😊😊
@Aishanasma2 ай бұрын
Asalam alaykumu kungwi samahan mie sina hisia namie wangu je nifanye ili nipate hisia nae mana mh doa yangu inakufa kungwi
@fatmakhanii167624 күн бұрын
@@Aishanasmanitafute utanishkuru mpenzi ❤
@godblessbwire9793 ай бұрын
Ahsante kwa mafunzo yako bro, ningependa kuuliza na kujua kwamba, mwanamke akiwa period anaruhusiw kusafisha uke wake kama ilivyo kawaida... maan huw nasikia hawaruhusiwi kusafisha kutkana na taratib za kisayansi kwamba unakuta mrango wa uzazi upo wazi so akijisafisha inaweza pelekea kupata changamot kweng uzazi..
@SaraA-r8w3 ай бұрын
Mashaallah kaka etu Leo katukumbuka ❤❤❤❤
@MaisaraFikiriniАй бұрын
Naomba kuungwa kwenye group lako
@aminamwivita76903 ай бұрын
Mashaallah tabaraka Allah Akbar 💞❤😍💖🥰💕😘🔥
@HafsaAmour-h6x3 ай бұрын
Shukrani sana kugwi nakupenda sana
@UpendoMohamedАй бұрын
Naomba niunge kweny group lako tafathali
@marylynliseche7733 ай бұрын
Habari kungwi naomba n jiungi kwa grp yk
@ZuwenaMuhamed-u4g17 күн бұрын
Naomba niunge kwenye gruop
@SaraA-r8w3 ай бұрын
Kweli kabisa kaka Mimi niliapitia hayo
@KhadijaNuru-e4n3 ай бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 nimekuelewa kaka
@aminamwivita76903 ай бұрын
Congratulations keep it up good job ❤
@ibrahthedon3 ай бұрын
Thank you!!
@IbrahimHamidu-c2h17 күн бұрын
Kaka habari sanahani naomba niunge kwa ngrup
@maryamChumas3 ай бұрын
Aaaaa hapo kwenye maji ya moto aaaaaa kungwii mie nipo huku nchi ya joto maji moto na napenda kutumia maji ya moto hata wakat wa hedhii maana majiya bomba ni yamoto na sijawah kuwa na mwanaume lakini toka nnje huku nilipo sasa ni miaka 6 natumia maji ya moto mungu wangu 😢😢sa itakuwaje nisaidie
@Naima-o9rАй бұрын
Mmnawasha sana
@AishaRashid-qr7leАй бұрын
Asalaam aleykum kungwi naomba uniunge kwny group lako naitwa hawa
@MariamWilson-x3kАй бұрын
kungwi naomba niunge kweny group lako
@Beibshinninglight3 ай бұрын
😂😂😂😂Jamani tepeta tepetepeeee
@ShadyaSaid-r2q3 ай бұрын
Habari kungwi, mm baada ya kujifungua mwanangu wa kwanza nimepata tatzo la uke mkavu nisaidie tatizo nn
@MerashidSaidi3 ай бұрын
🥺😮jaman somo la leo😢😂😂😂. Limenigusa ndio maana Sina hamu nikiwa na mpenz wangu
@SaudaKibona2 ай бұрын
naomba uniunge kwenye group
@KhadiaKhadia-w3d3 ай бұрын
Asant kaka Allah akupe umri mref utuelimishe na ntamani uwe mume wngu dah
@bethermassawe9293 ай бұрын
Naomba uniunge kwenye group
@victormutunga4177Ай бұрын
Hi doctor Mimi nimekaa Na huu ugonjwa wa kisonono Kwa miaka mbili naeza Pata ujauzito?
@fatumakushonda42773 ай бұрын
Tupoo kungwi wetu🥰
@SheillaHassan-m4l13 күн бұрын
Kaka naomba uniunge kwenye group lako
@mesa-he2tt3 ай бұрын
Maneno mazuri
@MwanamisiMwamakalo3 ай бұрын
Mashaha ❤❤❤
@QudratSaid-p4tАй бұрын
Niunge kwa group kungwi dume
@safinafadhili50743 ай бұрын
Shukran bro
@merylyatuu3 ай бұрын
Naomba niunge kungwi nimeenda somo lako...
@kwekwetsuma35243 ай бұрын
Asante sana
@JudyChazya2 ай бұрын
Naomba niunge kwa group
@AshaJuma-eu2wk2 ай бұрын
Asalm aleikum kunguwi niekekwa group yko
@HusnaLibuburu3 ай бұрын
Hbr za Leo naomba uniunge kwny group lako
@AnnaMpogole-h4v3 ай бұрын
Naomb niung kweny group lak
@HuzaimaAmeir3 ай бұрын
Shukran my dear
@HappyBamboo-wm4ep2 ай бұрын
Assalam aleykum kaka naomba niunge grupu lako plizi thx brother
@KhayratHaji-x8e3 ай бұрын
Habr naomba uniunge kwenye group kungwi dume
@halimaali37193 ай бұрын
Kabisa kakaau 😢😢
@IbrahimHamidu-c2h17 күн бұрын
Kaka habari samahani naomba uniunge kwa grop lako
@ZainabRashidi-w9y3 күн бұрын
Sante kk kwa mafunz yk
@BalqeesSaif-s7bАй бұрын
Kugwi naomb uniung kweny group namie
@MauwaSuleiman19 күн бұрын
Ute wa maziwa maziwa
@Ashamwandoto18 күн бұрын
Asalam allaykum mimi mume wangu aliniambia mbona umekua mgumu yani umejiachia ata kidole hueki
@RamadhaniJabiri-p2x3 ай бұрын
napenda sana
@KuvunaGonda3 ай бұрын
Asante
@Asmini-xp5ld3 ай бұрын
Wawooo je daw yake niipi mtu akiacha naon tuambie
@KhadijaOmar-b6j3 ай бұрын
Naomba uninge group
@franciscakija17023 ай бұрын
Naomba niulize swali Mwanamke akijifungua anatumia maji ya moto na wewe umesema maji ya moto yanasababisha k kutepeta. Je kwanini mtu akijifungua anatumia maji ya moto??
@fathimakarama2362Ай бұрын
Naomba namba
@gracemwingwa-jx7yy3 ай бұрын
Mbona cjaelewa kujamba kwa uke
@NIISHIYBAEBIY3 ай бұрын
Kwenye tendo kisha unatowa upepo km unashuta
@gracemwingwa-jx7yy3 ай бұрын
@@NIISHIYBAEBIY Sawa husababishwa na nini,, wengine huwa zinajamba Tu hatakama hukufanya tendo,, je ukiwa kwenye Hali hiyo ni nini chakufanya iliisijitokee
@OtiliaElick2 ай бұрын
Naomba uniunge Kwenye Glub Lako
@MariamMariam-ln1vk3 ай бұрын
Havari kungwi naomba uniunge kwa group
@WangulutaNgulutaАй бұрын
Mwanamke kila ikiingia nyumbn ugomvi hiv inaletwa na nn
@SaraA-r8w3 ай бұрын
Shukuran
@ChidasedaLupaa2 ай бұрын
Nilichelewa wapi mie jamaniii
@ZenaMustapha-tj8yn3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@RuhaymanSinani2 ай бұрын
Habari Kaka Mimi ndo Kwanza leo nione masomo yako nimependa naomba kuungwa grup na nijue garama zake au utaratibu wakuungwa naomba
@RayyanMohammed-r6b3 ай бұрын
Samahan kungwi kunasehem ulielekeza kutumia mick sa mick cjaelewah nimick ya rangi gani?
@fatmaali65713 ай бұрын
Miski nyeupe
@RayyanMohammed-r6b2 ай бұрын
@@fatmaali6571 Ahsantee my
@fatmakhanii167624 күн бұрын
Kua makini kuna jinsi ya kuitumia sio kwamba unatumia tu mpenzi
@Shadia-eg7nx3 ай бұрын
Asalam alaikum naomba uniunge
@Joanmsuya-z5u3 ай бұрын
Niunge kwenye group lako
@Mwajumasaidi-o4kАй бұрын
hilo group unalipia
@ThelesiaLuwena-i3uАй бұрын
Sawa ya uke kujamba inapatkana wap piy kuhusu garama zake
@SabihaMasoudАй бұрын
mimi mume nikiwa katika priod alud nyumbn huwa ana sema awez kulala na mm bila kufanya tendo
@PendoSaid-v4u2 ай бұрын
Kungwi habari mimi ni mara yangu ya kwanza naomba uniunge kwa group lako ili niweze kupata masomo yako tafadhal
@Sidrat-q6p3 ай бұрын
Mimi naomb linki nijiunge kwenye ilo group lako
@MervailleMargeritteАй бұрын
Sasa kama ulifanya tendo usiku wamanane utajisafisha
@FatumaSalimu-pn4vo2 ай бұрын
Niuge kwenye group
@NIISHIYBAEBIY3 ай бұрын
Jee !! Wakati wa tendo ama baada ya unatowa damu kitu gani kinasababisha na je inaweza mpa madhara mwanaume ?
@KuluthumMwemtelo3 ай бұрын
@@NIISHIYBAEBIY nenda hospital ukachek zipo sabab nyng maan inawez kuwa n dalili ya cancer ya shingo ya kizaz
@KhadijaNuru-e4n3 ай бұрын
Niunge kwenye group kaka angu
@iddifatma53703 ай бұрын
Weee noma sana😂😂
@JosephDebora-r9zАй бұрын
SS kugwi kuingiy kwenye groupe tunalipiya
@youngbreezytz983 ай бұрын
Mbona unatoa kaz kwa kuchelewa why..?
@jumashop7003 ай бұрын
Ibra the Don ww ni mwamba kaka 🙏
@JosephMlelwa-h9wАй бұрын
Maumivu wakat wa tendo inasababishwa na nn
@ShaluluBanks3 ай бұрын
Kujiunga n grp lko n bei gn nko kenya
@LucknessPeter3 ай бұрын
mimi ndo mara ya kwanza nmeanza kufatilia kipindi chako nmekupenda bure kaka
@Trifozanestory3 ай бұрын
Kuna changa moto nyingine ya bisuti midomo ya key kuwasha kungwi naomba utuelezee kama inatokana na nini??
@janetmbwana5532 ай бұрын
Asalam alleykum kungwi Ivi huu ute wa zile siku za hatari kama unatoka mwingi sana hauwezi kuleta kero kwenye tendo?
@AmizentosAmia-jn8lx2 ай бұрын
Niulize maji bado ya kawaida ama ya Kwa fridge
@FatimaTanzania-r3jАй бұрын
🤣🤣🤣🤣Pambe tu jomon wewe
@AlmasJoely2 ай бұрын
Sasa wale wanawake waliotoka kujifugua je
@zaburi34873 ай бұрын
Me nataka kujua maana ya shanga au chen za kiunoni coz nazipend
@omanoman37703 ай бұрын
Hongera saana kwa mafunzo mazuri. Naomba uniunge group vp ni kiasi gani malipo?