IFAHAMU HALI YA MTOTO YATIMA LAIYEKUA ANALALA NA NYOKA PEMBA

  Рет қаралды 10,050

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 72
@sadahamad6158
@sadahamad6158 4 ай бұрын
Alhamdhulillah MashaAllah Mungu ni mwema jaman nilijua ni mtoto wa kiume kumbe wa kike mzuri❤❤❤ Allah azidi kumpa afya🤲🤲🤲
@nasramussa2370
@nasramussa2370 4 ай бұрын
Maaashallah m pia nilijua wa kiume voh Alhamdulillah
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 4 ай бұрын
Na mm hvo hvo Alhamdulillah allahu akbar Allah ampe afya wote waliosaidia allahuma amiiin.
@FarhiyaThani-yc5et
@FarhiyaThani-yc5et 4 ай бұрын
Mashallah tabarak rrahman ❤️ hata mm nlijua mtot wa kiume ivo kumbe mashallah cute baby girl ❤Allah amjaalie afwan inshallah
@MaryamAbass-z1x
@MaryamAbass-z1x 4 ай бұрын
Mashaallah Allah awalipe kheri kwa kila alie jitolea hamida kwa ss kapendeza Hali ngumu maskini inazidisha maradhi Allah atamuafu Inshaallah kwake hakuna linalo shindikana
@KhalfanSaid-mo9jh
@KhalfanSaid-mo9jh 4 ай бұрын
Awe namaisha yke mazuri.... aingie kwenye ndoa inshaallah tuombe allah inshaallah....Allahummatakabbalminna innaka anta ssamiu l-alim
@SharifaSalim-cc5dg
@SharifaSalim-cc5dg 4 ай бұрын
Wallah nalia na mda huu nataman kma nipige kelele maskin kaingia afya maisha nyie aya umaskin n mtihan mzti unakufa huku unajiona Allah ampe shifaa na nyinyi awalipe kher tuko pamoja
@sadahamad6158
@sadahamad6158 4 ай бұрын
Alfatah Allah awajaze kheri na nyinyi 🎉🎉🎉🎉🎉
@assiakhadijz4167
@assiakhadijz4167 4 ай бұрын
Mashallah nilijuwa ni mwanaume kumbe ni binti tena mrembo mashallah 😊
@HhRt-m5z
@HhRt-m5z 4 ай бұрын
Subhanallah Allah amfanyie wepesi inshallah
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 4 ай бұрын
Subhanallh Allah azidi kumpa Uzim Hamida shifaaa ya rabbi😭
@umumuhammad1352
@umumuhammad1352 4 ай бұрын
Mashallah Allahu akbar,Allah ampe swiha njema😊
@GatekaFatma
@GatekaFatma Ай бұрын
Mashallaaah tabaraka llaah jmn kapendeza Allah azidi kumuhifadhi ampe afya na nguvu
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 4 ай бұрын
Mtoto amekuwa mzuri ❤ alhamdulillah
@KhalfanSaid-mo9jh
@KhalfanSaid-mo9jh 4 ай бұрын
Mashaallah Allah amjaaliye arudi kwenye Hali kama zakwetu au zaidi asome afanikiwe inshaallah
@RossaMengo
@RossaMengo 4 ай бұрын
MA SHA ALLAH TABARAKA ALLAH...Alhamdulillah kwahii neema
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 4 ай бұрын
MaShaAllah Tabaraka Rrahman. Mm nilidhani ni wa kiume pia. SubhannaAllah
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 4 ай бұрын
Alhamdllah Rabbllaamin MashaAllah MashaAllah Mwenyeez Mungu mkubwa mtoto mzuri
@NgololoBinSuleiman
@NgololoBinSuleiman 4 ай бұрын
Mashallah mungu amjalie afya njem inshallah
@khadijaseif3897
@khadijaseif3897 4 ай бұрын
MashaAllah mheshmiwa hemed suleiman Allah akubarik kwa kweli una moyo nzur sana ❤
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 4 ай бұрын
Alhamdulilah. Allah amzidishie afya njema ameen ya rabil ❤
@WaydaHaji
@WaydaHaji 4 ай бұрын
Alhamdulilah. mungu ni mwema ..kumbe ni mwnamke ...mungu ashukuriwe SNA.. alhamdulilah
@MamiMohamed-c6l
@MamiMohamed-c6l 4 ай бұрын
Allahummah machozi ya furaha yamenitoka mashaAllah mtoto sai ameanza kurudi vizuri wallah afya ngozi hata nywele mashaAllah mm sikujua mara ya kwanza kua ni mtoto wakike saii kapendeza Allah azidi kumrudishia mtoto Afya njema Allahummah Amiiiin
@NahirSaid-wj6ux
@NahirSaid-wj6ux 4 ай бұрын
Allhamdulillah,jina la marehem mama yangu hamida,hata mm nilijua wa kiume, Allah atamuafu.
@mariyamgharib940
@mariyamgharib940 4 ай бұрын
Bismillah mashaa allah allah azid kumuafu inshaa allah
@SwalehHashim
@SwalehHashim 4 ай бұрын
aaallhamdu lilahh walwahi kwakweli nafsi inauma mungu ampe nguvu ishaall
@OmanOman-e8w8f
@OmanOman-e8w8f 4 ай бұрын
mashaallah mungu atamfanyia wepes
@SalamaRajabu-c6h
@SalamaRajabu-c6h Күн бұрын
Allah amjalie shifaa
@FirdausAli-i7v
@FirdausAli-i7v 4 ай бұрын
Mashallah Mashallah mtoto hamida allah akufanyie wepes
@fatmamansour676
@fatmamansour676 4 ай бұрын
Mashallah vara mwili umeingia kidogo alhamdulilah
@OmanwafiWafi
@OmanwafiWafi 4 ай бұрын
مشاءالله تبارك الله ❤❤❤
@kadejakk4127
@kadejakk4127 4 ай бұрын
Alhamdulilah mungu ni mwema🤲🤲
@Aminahlamranl420-hw2ie
@Aminahlamranl420-hw2ie 4 ай бұрын
Maashaallah Maashaallah Alhamdulillah
@aishahazary4097
@aishahazary4097 4 ай бұрын
Maasha Allah bint yetu amependeza sana
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 4 ай бұрын
Màashallah amenawiri
@JalanOman-m4j
@JalanOman-m4j 4 ай бұрын
Masha allah mungu mwemaaa
@AminaAhmed999
@AminaAhmed999 4 ай бұрын
maa shaa Allah mtoto amekuwa mzuri .Allah awape kila kheri kwa juhudi zenu
@thehumblediti4939
@thehumblediti4939 4 ай бұрын
Maa shaa Allah ❤alhamdulillah thumma alhamdulillah nafurahia wallahi kama vile mm ndo nimepata hiyo afueni wallahi
@LeilaKanyinyi
@LeilaKanyinyi 4 ай бұрын
Allah awajaalie wote mlo fanikisha Jambo hili
@sheikhanasser4714
@sheikhanasser4714 4 ай бұрын
Bismilah Ma Sha Allah Alhamdelilah kwa Neema zake Allah Alhamdelilah 🤲🤲
@MwajumaJuma-h4k
@MwajumaJuma-h4k 4 ай бұрын
Maa Shaa Allah
@Latifaally390Latifa
@Latifaally390Latifa 4 ай бұрын
Mashaallah Allah ampe shifaa zaid na allah wajalie kila la heri
@ZuhraNassor-jm7hq
@ZuhraNassor-jm7hq 4 ай бұрын
Allah SW atupe nguvu ya kutoa katika kheri
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 4 ай бұрын
MashaAllah
@halimaoman8726
@halimaoman8726 4 ай бұрын
Alhamdulillah mungu kubwa tuzidi kumshukulu mungu
@MaryamMaryamsalum
@MaryamMaryamsalum 4 ай бұрын
Mashallah Allah awazidishie waliotoa
@FaustaNyagawa-oq1eb
@FaustaNyagawa-oq1eb 4 ай бұрын
Mungu amtie nguvu
@SalamaAli-cv6uj
@SalamaAli-cv6uj 4 ай бұрын
ALLAHU AKBARU!
@HalimaZuberi-o5o
@HalimaZuberi-o5o 3 ай бұрын
Alhamdulillah
@ghhyhh7591
@ghhyhh7591 4 ай бұрын
Subhanallah hakika allah ni muwenza wa yote amakweli umaskin m.baya😢😢😢
@KhadijaSalum-nf5mf
@KhadijaSalum-nf5mf 4 ай бұрын
Alhamdullillah
@khadijaseif3897
@khadijaseif3897 4 ай бұрын
Amiin
@mwantumkombo3014
@mwantumkombo3014 4 ай бұрын
Alhamdulillah, mashallah❤
@saumkassim4056
@saumkassim4056 4 ай бұрын
.اللهم انتشاقي لاشفاء الشفاءك
@sharifafatawy9874
@sharifafatawy9874 4 ай бұрын
ALHAMDULLILAH
@khadija5761
@khadija5761 4 ай бұрын
Alhamdulillah 🎉🎉🎉
@annesmatemu4264
@annesmatemu4264 Ай бұрын
Ni mzuri jamani
@KHAMISKHATIBFAKI
@KHAMISKHATIBFAKI 4 ай бұрын
AmUstdh Rashid kikweli ww ni mtu wa watu kikweli sote tulitokwa na machozi tulipomuona Ramadan Alla akulipe khr ustdh Radhid
@OmanOman-gu1wy
@OmanOman-gu1wy 4 ай бұрын
Allah azid kumuimarish afya yak
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q 4 ай бұрын
Muulize Daktari wake kama tangawizi mbichi si shida kwa huyo mtoto kuitumia. Akiruhusu basi msagieni, ichujwe vizuri apewe kijiko kimoja (Cha chakula) mara tatu. Yaani, kijiko Asubuhi, kijiko Mchana na kijiko usiku kabla kulala. Ni kwa ajili ya kukunjua mifupa na kuondosha kukakanaa.
@WaydaHaji
@WaydaHaji 4 ай бұрын
Tusikate tamaa na rehema za mungu jamani ...kw hali alivyokuwa nayo Huyu mtoto na alipofikia MUNGU TUACHE AWW MUNGU TU
@aziza9093
@aziza9093 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@MwanaidiPapuu
@MwanaidiPapuu 4 ай бұрын
Taqbili
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 4 ай бұрын
Mashaalah Hamida nimefurahi ❤❤❤Allah kareem
@fatuma5208
@fatuma5208 4 ай бұрын
Mashallah
@AnissaMuhammad-z5m
@AnissaMuhammad-z5m Ай бұрын
Alhamdulillah
@zuwenasaleh9613
@zuwenasaleh9613 4 ай бұрын
ALHAMDULLILAH
@SuleimanMkubwa-ic1ig
@SuleimanMkubwa-ic1ig 4 ай бұрын
Mashallah
@yussufkhalifa5206
@yussufkhalifa5206 4 ай бұрын
Mashallah
@SuleimanMkubwa-ic1ig
@SuleimanMkubwa-ic1ig 4 ай бұрын
Mashallah
@khalifamohamed3123
@khalifamohamed3123 4 ай бұрын
Alhamdulillah
@ArafaAli-dl5vr
@ArafaAli-dl5vr 4 ай бұрын
Mashaallah
HUYU NDIYE MAMA ALYEFIKWA NA MTIHANI MZITO PEMBA
8:22
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 62 М.
HIZI NI DAKIKA 8 ZA MANJONZI KWA KILA MWENYE IMANII
8:11
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 9 М.
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,3 МЛН
MUUZA SAMAKI ANUSURIKA KUUWAWA ZANZIBAR
8:07
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 67 М.
MWANAMKE MAKINI HUMDAKA MWANAUME HIVI
19:55
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
JUMA LOKOLE, IDRIS WAMKALIA KOONI DIDA KISA KUPEWA TALAKA
3:04
Wasafi Media
Рет қаралды 7 М.
SURA MPYA YA MAMA ALIYEKUA ANAISHI CHINI YA MTI
7:57
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
MBINGU ZAPOKEA KILIO CHA MTOTO YA YATIMA PEMBA
4:28
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 17 М.
YATIMA SABA WANUSURIKA KUMEZWA NA CHATU
7:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 33 М.
UMENIFUNDISHA KULA TENDE LAZIMA NIKUPENDE (KIPINDI: HUBBUL HALAL)
18:23
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 17 М.
BIBI WA MIAKA 85 HIVI NDIVYO ALIVYO FURAHIA HARUSI YAKE JANA.
6:57
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 85 М.