UMENIFUNDISHA KULA TENDE LAZIMA NIKUPENDE (KIPINDI: HUBBUL HALAL)

  Рет қаралды 17,444

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 50
@MwanajumaShaban-z2x
@MwanajumaShaban-z2x Ай бұрын
Maa shaa Allah maneno mazuri,niko apa najifunza mengi🙏
@abdulmajid5089
@abdulmajid5089 Жыл бұрын
Masha Allah kipindi kizuri sana lakini kuna baadhi yavitu vinatakiwa kurekebishwa hususani Kwa upande wamwanamke,kwanza anapokuja apo anatakiwa ajistiri vzuri avae hijab yakisheria pamoja nakufunika mikono yake ahsanteni sana
@fatumaramadhani1283
@fatumaramadhani1283 Жыл бұрын
Ukhty wangu mapambo ni kwaajili ya mumeo dini.yako.mbona.hauifanyii kazi habibty,usiongee sanaa haufanani na uislamu unavo sema!!
@ahmedalkiyum7592
@ahmedalkiyum7592 Жыл бұрын
Mjane na pia angalia mafunzo je yanakufaa au hayakufai usingalie mtoa mafunzo🎉
@nassoromarelbajouny4462
@nassoromarelbajouny4462 Жыл бұрын
Analazimika kuelekezwa anapokosea, na kweli alipaswa avae gloves za mikoni kuficha mapambo yake ya mikononi
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
Nyie dini hamjui kabisa
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
@@nassoromarelbajouny4462 glopis ni dini wewe na mtume nani anajua sheria mtume mahammadi s w s kasema uchi wa mwanamke ni mwili mzima isipokuwa uso na viganja sasa wew unayetaka mpk viganja vifunikwe Unajua dini kuliko mtume
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
​@@tanzaniaonmzamiloon8627ww unajua basi
@AllySalim-fo5gw
@AllySalim-fo5gw 4 ай бұрын
Mashallah
@kitosio
@kitosio Жыл бұрын
Mmelenga kuelimisha sawa lakini mama Picko hawa wanaoiona huoni kama kuna laana zinafata. Mashekh nyny tunawapenda sana ila hili tusifanye tena ni fitna.
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 10 ай бұрын
Na mimi nimeliona hilo, sasa inakuwaje hapo aonyeshe mapiko(mapambo) wakati Allah amesema wanawake wasidhihirishe mapambo yao
@omanmuscatmus2155
@omanmuscatmus2155 Жыл бұрын
Nilikuwa nasubiria kwa ham kubwa ici kipindi nakipenda sanaa💖💖
@maimunakhalid-rh4sw
@maimunakhalid-rh4sw 10 ай бұрын
assalam alkum vipi hali zenu natumai muazima nashukuru kuskia mafunzo munavyotunfundisha allah awajaze kila la kheir
@user-nv6ox2to8t
@user-nv6ox2to8t Жыл бұрын
Ukhty usidhihirishe mapambo yko,halafu dini yetu imetukatataza kukaa na wanaume hvo
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
Sio acha uongo hapo wapo faragha au
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Na nyie nanyi!! Kwan kajipamb nini apo?? Me naon yupo kawaida tu, mnataka kuufanya huu uislam wetu tukufu mgumu, wakati mung kashasema wanawake wajistiri mwil mzima ispokua paji la uso na viganja viwili vya mikono TU, Sasa jee!! Huyo dada yuko uchi apo?? Hebu mstufanyie mambo meusi
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
kipindi kizuri sana...dimoso yuajua kutembea na biti
@mwantumswalehe2300
@mwantumswalehe2300 Жыл бұрын
Shukran jazaqallah kheiry
@shabansaid2323
@shabansaid2323 Жыл бұрын
Mashaallaah baraka llaah dimoso kama dimoso
@zuhuratahir3521
@zuhuratahir3521 Жыл бұрын
Mafunzo mazurii👌
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze Жыл бұрын
Ukhuti mbona Hina unaiyonesha ukitiya Hina aiyone aiyone mumeo tuu na siyo wanaume nje
@athmaniathmanisimba4976
@athmaniathmanisimba4976 6 ай бұрын
Sio.lazima.kuagalia.hina.sklz.ujumbe hali.si.nzuri.kwenye ndoa
@babazungu3180
@babazungu3180 Жыл бұрын
😂😂😂 tafuta bahari wa south Africa akuowe, ukiolewa na mtu cyo baharia utaamshwa had kuchemsha chai.
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 Жыл бұрын
😂😂mashaallah tabarakaah 😂😂 😂😂swadakta 😂😂
@KhairallahCassian
@KhairallahCassian Жыл бұрын
Allah kipindi kizuri sana
@hamadfaki2503
@hamadfaki2503 Жыл бұрын
Mapambo yako dada unatuchanganya wanaume
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
😂😂😂😂wewe skiliza maneno tuu angalia na kipini Hana pambo hata moja la kuvutia hapo
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 Жыл бұрын
Wanaume wengi hawajui kupenda hata uwasugue kea hawawi.
@HassanHassan-sr3fq
@HassanHassan-sr3fq Жыл бұрын
njoo kwangu
@aishasaleh6070
@aishasaleh6070 Жыл бұрын
Mwanamke ni stara jamani
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 10 ай бұрын
Tunaomba huyo ukht avae gloves ili asitutamanishe, na kufanya hivo ndio Uislam, katika Quran Allah amewataka wanawake wasidhihirishe mapambo yao.
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Hii channel imegeuka kuwa sensationalist. Headings kama hizi haziendani na maadili ya kiislamu. Tukumbuke kuna masuali ya kujibu yaumul qiyama. Allah atupe hidaya.
@MahraMansoor5969
@MahraMansoor5969 Жыл бұрын
Jamani msimungilie na heenana take mwacheni nyie mnayenu mangapi hamuyaoni kama mumewe karidhika basi kwani hajamuona atakae mjaji ni Allah acheni hukumu hamchoki wwja Hebu tuskiluzeni yanayo tuhusu nyie kaziyenu kuangalia kasoro tu
@AliShee-mb2gh
@AliShee-mb2gh Жыл бұрын
yani dini yafundishwa kupitia drama,twaelekea wapi? wanawake hata hawakufinika nyuso zao mafundisho gani haya
@zainabuali9915
@zainabuali9915 Жыл бұрын
Tuwekee namba za ukhty
@Angaza708
@Angaza708 Жыл бұрын
UKHTY JIEPUSHE NA FASHION KATIKA MASUALA YA DINI. UTAUZA IMANI YAKO KWA THAMANI NDOGO ukhty ,Mungu akulinde unataka kuelimisha jamii ya kiislam. ila huna stara ya kiislam. umevaa kifashion. Watazamaji wa hii video mkiangalia hii video utaona wakati anazungumza , alikuwa akionyesha kilicho mleta,mara kadha akinyanyua mikono yake muone urembo huo wa PICO, hapo ni biashara kapiga ndege wawili kwa jiwe moja, BIASHARA YA piko na kuuza sura tu. kiasi cha kwamba ukiangalia hapo shekhe Demoso muda wote alikuwa akiinamisha kichwa chini , akiogopea fitina , Shekh kashindwa kusema hapo lakini ina Ukiangalia hiyo video hakuwa na utulivu alijikaza tu ili kipindi kiende. waandaji wa vipindi msiangalie maslahi tu angalieni uislamu wenu kwanza,
@Angaza708
@Angaza708 Жыл бұрын
UKHTY NI KOSA NA MADHAMBI KUMUITA MUME MAMA HAIFAI NI HARAMU, JARIBU KUREJEBISHA HAPO. USIWAPATISHE WATU MADHAMBI WAKADHANI NI SAHIHI. ukht , tahadhari usitumie neno mama ,ukimaanisha mume akimuita mkewe kwa jina hilo ni haramu na haifai. jamii kubwa inakutazama , mkikosea mmeupotosha umma,kwani watu wengi wana watazama. mnapaswa kuwa makini na kauli na Matendo muwe kama mfano bora. hapo mlipo mnaaminiwa na jamii inawamini mkizungumzacho jamii ya kiislam inakipokea mkoenda wrong mmeiumiza jamii , na nihatari sana kwa Allah
@Angaza708
@Angaza708 Жыл бұрын
SHEKHE DEMOSO UNAONEKANA KWELI WEWE NI MTAALAMU WA MASUALA YA NDOA HASWA . KAMA NI KUNGWI BASI NI PROFESSOR KUNGWI. shekh demoso hapo tumekuelewa umesoma saikolojia halisi, ya jinisi wanamume na wanawake walivyo kiuhalisia ,umesaidia kuondoa madhaifu, aliyonayo ukhty katika stara.
@Angaza708
@Angaza708 Жыл бұрын
MAVAZI NA UREMBO WAKO UMEWATOA WATU KWENYE KIPINDI ukhty mavazi yako yamekosa stara. Hiyo siyo sitara ya kiislam, umevaa kifashion, mi siamini mpaka unaingia kwenye kipindi hujui kama umejiremba kiharamu, Urembo huo ulionyeshwa hadharani alipaswa kuona mume pekee na simtu mwingine, kama ulikusudia kuwachanganya wanamume umefanikiwa, wengi hawakuwa wakitazama na kusikiliza kipindi , bali walikuwa wakitaza urembo wa pico zako, umewapatisha madhambi, kama ulikuja kutangaza , kuwa labda unatoa huduma za piko. yaani unawapaka watu piko, ulipaswa kutafuta television nyingine sio hiyo ambayo inaoneka ipo kimaadili ya kidini.Rudi kwa Allah utubie.
@Angaza708
@Angaza708 Жыл бұрын
UKHTY UNATANGAZA BIASHARA YA PICO AU UMEKUJA KUUZA SURA.KUMBUKA RIA NI MADHAMBI mapiko kama hayo kuna mwanamme atakayekusikiliza bali atakuwa akitazama mikono yako na mwisho kukutamani, mwisho asielewe ujumbe uliozungumza. Kama ulitaka kutangaza huduma ya kupaka piko ni vyema ukatafuta TV za kawaida zisizo na element za kiislam. UKWELI DADA HAUKUWA KIMASOMO HASWA ULIKUWA KAMA UMEKUJA KUUZA SURA, MASHOGA ZAKO WAKUONE , TUMEKUONA KWENYE AL FATAH TV. Mugope Allah ,
@Angaza708
@Angaza708 Жыл бұрын
UCHAGUZI WA MAVAZI NI MUHIMU HASA YA STARA KWA WANAWAKE . tuchague mavazi ya kuvaa tunapokuja kwenye kipindi kama hiki, halikadhalisha muendeshaji wa kipindi, umemrushapiki,padi na Kuangalia kuwa mnaasi ,kitendo cha mke wa kumuonyesha maumbile huyo dada, kimesababisha watu wamtazame nakushindwa kutazama kipindi, waibaki wakimuangalia yeye ,dada muigine Mungu, ukijua unakuja kwenye kipi ndi na bado ukavaa hivo, si haki na haujawatea wema waliokuangalia wakijua maadili ya stara.
@nasrimswaki4824
@nasrimswaki4824 Жыл бұрын
mafunzo mazuli sana
@Angaza708
@Angaza708 Жыл бұрын
Asalaam alaykum, ndugu katika imani. namshukuru Allah kwa kuweza kunijalia kuwa miongoni mwa watzamaji wa mwanzo katazama kipindi hiki cha leo, (Hubal alal) jina la kipindi ni zuri basi lindane uhalali wa misingi ya dini. ndio kwa mara ya kwanza nakiona kupindi hiki,nikavutisha tu mmoja wa mashekh hapo mwanzoni ametoa ujumbe mzuri kweli, ila ndani nilipoingia , kumechafuka ! usishangae kumechafuka, nini namaanisha tuungane kwenye maoni sasa. hiki nichokiona kwenye chanell kwanza ni kwa wamiliki wa chanell hii. Sio mbaya kama nitawapongezi kwa Ubunifu wa kipindi kizuri kama hiki. kuelimisha jamii masuala ya ndoa hasa jamii ya kiislam .tunapozungumzia umejengwa juu ya misingi na mipaka yake.katika taratibu zote,kuanzia uchumi, utawala , uongozi ,Ustawi na nk. shida iko hapa WAMILIKI WA CHANNEL. Naomba kuuliza je mpo mnamuogopa Allah kweli, mnafuata misingi anayotaka ili kuufisha ujumbe kwenye jamii ya kiislam, na wakanufaika na ujumbe wenu, au mnataka mate views tu, muingize fedha, natumaini kabla ya kipindi kuna maandalizi ya namna kuendesha kipindi, ikiwemo maswali yatayoulizwa na hata aina za mavazi kabla ya kuanza kipindi , namna ya kukaa na muda utakaotumika kuendesha kipindi .sina hakika kama hayo yote hamkuyatazama , ila baadhi imeyapuuza , kwa kutaka viewers kuwa wengi. hiki kilichofanywa hapa kimefuata misingi kweli ya dini. au tupo kwa ajili ya dunia . mada ilikuwa nzuri , ila imechafuliwa na huu mtihani mliouweka , wa huyu mwanamke , hakuwa kwenye stala inaofaa kukaa na kuzungumza mbele TV kila mmoja anamuona akiwa kapaka pico,mikono iko wazi , ndio mafumdisho ya mtume yanavyoeleza kweli, haonyeshe mapambo yake kwa wanaume namna hiyo, nieleze wazi asilimia kubwa walioangalia hiyo video yenu alipokuwa akizungumza huyo mwanamke hakuna walichokielewa zaidi kutazama pico alizopaka, wengi walikuwa wakitamani mikono yske alivyokuwa akiichezesha,hakuna kingine,mnapata madhambi, na mtendelea kupata madhambi kwa hilo, mapambo hayo alioyaweka wazi, yameutia ndoa uislam, na nawaislamu wenye kufuata misingi sahihi.muombeni Allah msamaha na ikiwezekana ,video hiyo muirudie , aum mmfiche huyo mwanadada sura yake na pico zake. cha kusikitisha nimesikia akisema ni mke wa mtu, jamani ni kweli , mume ana kuruhusu ukauze sura kwenye channel, uso wazi , umechora pico kila mwanaume anaziona , lakini pia tazama hapo kifuani kunaonyesha maeneo ambayo yenye kujenga hisia kumtamani, vazi pia limekaribia kumbana laonyesha baadhi ya sehem ya maumbile. Kinachonisikisha Allah atulinde Mume kumuachia mke ajianike hivyo, inaonyesha mume kakosa kabisa wivu. mtume amasemaje juu ya mwanamume asiye na wivu. Alizungumza na kueleka vyema na ndiye aliyeleta Thaman ya kipindi na kufanya tuendelèe kumsikiliza ni huyo shekh Demoso Ameongea kwa muda mchache lakini anetoa elimu kubwa kweli. mashallah tumevutiwa na ujumbe wake umeendana saikolojia halisi, USHAURI. Kama kipindi kitaruka wiki ijayo tafadhali huyo mdada kama atashindwa kivaa stara ya kisheria basi asionekane, bali isikie sauti yake .hapo tunaweza kumuelewa ., nanyi pia maweza kuwaelewa. nilieleza kuwa ni mgeni katika Alfatah- ( Hubal Halal) nimelazimika ku subscribe ,ili none manolesho wiki ijayo, narudia tena huyo demoso , Ametukosha na ndio alionogesha kipindi kuwa na ladha nzuri na elimu Tumeipata. Kama wiki ijayo hatoshiriki akabaki huyo mdada mmekosa viewers, kipindi kitaooteza mvuto ,Tafadhali wamiliki wa channel muogopeni Allah acheni kuwaaanika hawa wakina dada hivyo wazi watu wengine wakadhan ndio sitara hiyo na huo ndio Uislamu.kama hamtolifanyika kazi mtapotosho Waislamu na wasiojua uislamu wakidhani ni sawa .Keho yaumuli kiama mtaulizwa.
@zuhuratahir3521
@zuhuratahir3521 Жыл бұрын
Mafunzo mazurii👌
@Angaza708
@Angaza708 Жыл бұрын
ukhty tahadhari epuka kutumia neno ukimanisha mume akimuita mke. kama utakuwa unamaanisha hivyo ni kosa kidini haturuhusiw kumuita mke,mama ikiwa mke mama , mama atakuwa nani, nitusi kwa upande mwingine .
@abuuhhashim
@abuuhhashim 10 ай бұрын
Assalaam alaykum warahmat Allah wabarakaath. Muogopen Muumba . Wewe Ukhty Tafuta Vaz la kisheria uvaee. Daaah
@ahmedmrema4242
@ahmedmrema4242 10 ай бұрын
mimi niko mombasa je naeza kupta vipi hivi vipindi
HII NDIO SABABU PEKEE INAYOFANYA MWANAUME AONGEZE MKE
14:34
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
KWA NAMNA HII MUME WAKO ANAWEZA KUWA RAFIKI YAKO (HUBBUL HALAL)
17:07
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 2,5 М.
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 50 МЛН
NDOA NI YA WATU WAWILI: KIPINDI HUBBUL HALAL
18:31
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 18 М.
FANYA HAYA ILI UMREJESHE MWANAUME ULIYEMPOTEZA (HUBBUL HALAL)
20:46
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 7 М.
UKARIMU UNA MIPAKA (HUBBUL HALAL)
30:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4,6 М.
AMESTAREHE KILA ALIYEMFUGA MUMEWE HIVI. (HUBBUL HALAL)
22:26
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3 М.
HII NDIYO TOFAUTI KATI YA NDOA NA HARUSI
15:44
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 8 М.