KUPIKA TAMBI/ Kutengeneza CHEURO / Kerala Mixture

  Рет қаралды 45,293

Ika Malle

Ika Malle

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@khadijajuma7352
@khadijajuma7352 4 жыл бұрын
Jamani napenda xan mapish yako ika yaan unanigusa najifunza vitu ving toka kwako kwaajili ya familia yang😋😋 mwenyez mungu azidi kukuongoza kutujuza tusiyoyajua
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Amen 🙏
@salhasalumhamis3331
@salhasalumhamis3331 2 жыл бұрын
With a fresh juice...yummy
@lilianmuthoni4923
@lilianmuthoni4923 2 жыл бұрын
Asante Sana dadangu naulizaa,hii machine naeza kuipata wapi Nani pesa ngapi? Kindly Please niambie
@mercymbauni6991
@mercymbauni6991 3 жыл бұрын
I want that machine can't find it help please
@anjukuloba7271
@anjukuloba7271 4 жыл бұрын
First let me just say getting to subscribe to your channel was the best thing ever..... Ahsante kwa kueneza ujuzi wako..... Thank you for this video very much.... Barikiwa.
@sarahwilson586
@sarahwilson586 4 жыл бұрын
Thanks dia kwa kushare maujuzi.
@hamidahamad3618
@hamidahamad3618 4 жыл бұрын
Habar dada kama waeza kutuelekeza jinsi ya kutumia jiko hilo la gesi na oven ake jinsi ya kutumia ninalo menunuliwa but sijui jinsi ya kutumia nshazoea ya gesi kawaida ya mtungi Ila hilo jiko sijajua especially kwa oven
@avelinabishanga713
@avelinabishanga713 3 жыл бұрын
Safi, naendelea kupata maujuzi
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
Karibu
@dionisiajonas6305
@dionisiajonas6305 4 жыл бұрын
Ahsante Dada najifunza
@AsiaBadru-xq6fv
@AsiaBadru-xq6fv 11 ай бұрын
Upovizuli aika nahomba nambayako
@siriyangu4724
@siriyangu4724 4 жыл бұрын
Mashaallah zury
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
Mashallah zinavutia kwaivyo nusu kilo umetoa pakti ngapii .. sante kw pishi
@njokiwaweru2158
@njokiwaweru2158 4 жыл бұрын
Hapo mwanzo tunatumia maji warm ama baridi?
@elizabethgasper2909
@elizabethgasper2909 4 жыл бұрын
Wow asante
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Ninavyo zipenda hadi mate yanitoka😋
@mehboobdosa3719
@mehboobdosa3719 Жыл бұрын
🤪👌
@nurumoshi3248
@nurumoshi3248 4 жыл бұрын
Samahani hivyo vijani unasema vinaitwajee na navipata wapi
@GlowCharls
@GlowCharls 4 жыл бұрын
Yaani hizi ningezipata wakati huu wa karanti 🤤🤤🤤🤤vingenikoma
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Glow Charles 🤣🤣🤣 Umefikiria kama mm
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Location wapi nije dear😋😋😋😋
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Location tumboni dada 😂😂😂
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
@@ikamalle 😂😂😂
@mwashiraka9214
@mwashiraka9214 4 жыл бұрын
Mashallah
@manbonge3015
@manbonge3015 2 жыл бұрын
Hello hichi kifaa chaku tengeza chauro cha patikana wapi
@ikamalle
@ikamalle 2 жыл бұрын
Maduka ya vyombo
@manbonge3015
@manbonge3015 2 жыл бұрын
@@ikamalle shukran
@winnie9076
@winnie9076 4 жыл бұрын
😋😋
@nancynjoki1668
@nancynjoki1668 4 жыл бұрын
Nkienda kwa duka kununua Unga wa dengu nitaelezaje mtu WA duka kma hajui jeeeee Kuna Jina ingine???
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Gram flour, unga wa dengu za Yellow
@nancynjoki1668
@nancynjoki1668 4 жыл бұрын
Thanks for replying let me subscribe 🤗
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Asanteee👌👌👌
@GodfreypeterMushi
@GodfreypeterMushi Жыл бұрын
hi mashine inauzwa shingapi
@hanskidd2290
@hanskidd2290 4 жыл бұрын
Mbn ni smpl hvy ila utakuwa mwnmke mwngn hawezi kupika me sjawata mtu apa mama wachaga hwachelew kununa 😇😇
@onelove7830
@onelove7830 4 жыл бұрын
First..💃
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 жыл бұрын
Unavyozipepeta zinalipa kama kokoto😅🤣😄😂
@nurumoshi3248
@nurumoshi3248 4 жыл бұрын
Kuna mtu nimemshirikisha hili jambo na ananiuliza nahitaj kuwa na kiac gani ili nipate hiyo mashine naomba msaada wako dada
@stevenmathias8176
@stevenmathias8176 4 жыл бұрын
Nenda maduka ya vyombo , kinauzwa 25,000
@LifestylewithLyne
@LifestylewithLyne 4 жыл бұрын
kumbe ni rahisi hivyo kupika hizo tambi......nlikuwa nawazaga sijui zinapikwaje. asamte nikikua siku moja na kuamua kukaa jikoni ntajaribu
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
🥰🥰🥰
Cheuro / Chevda  nzuri na Tamu mnooo #Cheuro
4:45
Malkia Foods
Рет қаралды 11 М.
Jinsi Yakupika Half Keki Zakupasuka/Half Keki/Kangumuu/Half cake
8:03
Hadija Sheban
Рет қаралды 1,8 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 18 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 28 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 105 МЛН
TENGENEZA TAMBI ZA BIASHARA BILA KIFAA MAALUM
8:32
keki plus
Рет қаралды 304 М.
Tambi Za Dengu Bila Kifaa Maalum/Snacks
7:57
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 55 М.
Jinsi ya kupika tambi za dengu nyumbani/upishi wa chauro/crispy besan sev recipe
5:11
الهام الخروصية
Рет қаралды 160 М.
Chevdo (Nairobi Style) Chivda
8:05
Recipe Treasure Trove
Рет қаралды 32 М.
MCHELE WA KUKAANGA
8:11
keki plus
Рет қаралды 39 М.
JINSI YA KUPIKA TAMBI ZA DENGU PART2
3:56
Happy Hely
Рет қаралды 143 М.
VIAZI KARAI
9:47
Maggie Deli
Рет қаралды 81 М.
jua kali leo usiku jumapili full hd
20:57
PIMBI EMPIRE
Рет қаралды 4,7 М.
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 18 МЛН