Nakupenda Rais wangu, ntakuombea kwa baba mungu akupe maisha marefu sana
@freddymello32276 жыл бұрын
Hongera Mh. rais J.P.M Mwenyezi Mungu akulinde,akupe maarifa zaidi ya kuliongoza taifa hili. tunakuombea afya njema! ombi langu ni kwa waziri wa kilimo afanye juhudi kubadili mfumo wa kilimo chetu toka kilimo cha kujikimu(small scale agriculture) kuboresha kiwe Medium -Large scale agriculture. mipango hii inawezekana.ninavision hii! kilimo cha jembe la mkono,mkulima asiye na elimu ya mazao na ardhi na mkulima mwenye kulima nusu heka au heka moja haitatufikisha popote. tunahitaji mabadiliko makubwa katika mfumo wa kilimo hiki tulichonacho. tupange upya safu za watendaji wa serikali katika sekta hii.(maafisa ugavi,maafisa biashara n.k)wawe wenye uwajibikaji na Tija katika sekta hii.
@stephanosholla77316 жыл бұрын
Mungu akubariki sana akupe maisha marefu Rais wetu Hakika unastahili kuongezewa Muda
CCM hawakukosea kukutuma wewe uwe rais wa nchi hii wewe kweli ni mwalimu hulali muda wote unaelimisha taifa lako nakupenda Rais wangu
@masagapaul50396 жыл бұрын
Hongera sana sana sana sana MHESHIMIWA Rais
@godlovekasaka41666 жыл бұрын
mwenyez Mungu akujalie afya njema mh Rais wetu
@mosesedwardmagembe96576 жыл бұрын
Nakushukuru sana mkuu! Nilikuwa sijui nini kazi ya hizi bodi. Kumbe kunataratibu nzuri sana zimepangwa kiutendaji lakini mi bodi hii imekuwa haijitambui . Basi ww tumbua sana baba .
@ericluminator6 жыл бұрын
Kwa hili Mheshimiwa Rais uko sawa ingawa kwa wale wasiolitakiwa taifa letu mema namaanisha waliozoea kupiga dili itawakosti. Usihofu Piga kazi baba kwani katika safari ya kwenda nchi ya ahadi haata Musa mwenyewe hakufika walifika akina Joshua. Go On with such a spirit we are with you, you really show the meaning of being a true leader in a corrupted environment like this, I am with you 100% kwa jambo hili we have to move on right now no matter what!
@GMShifo6 жыл бұрын
Very true ..
@allyfutto87636 жыл бұрын
Amini usiamini wakulima wakifurahi TZ tutabarikiwa sababu wakulima wanafanya kazi ya Mungu ya kula majashoyao sio watu wengi wanaokula jasholao sikuhizi wakulima wote wameokoka watakwenda peponi tuwashike mkono twendenao pamoja Mungu wabariki wakulima🙏🏿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@stewartmagiri4726 жыл бұрын
magufuli barikiwa sana baba,hakika wewe ni mkombozi wa wa Tanzania
@katokabuhaya8596 жыл бұрын
wewe kweli ni rais wa wanyonge jpm mungu akuepushie mabaya akupe afya njema
@babuusemvua48316 жыл бұрын
Safi sana Rais wangu...Rais anayejali wananchi
@victustemba6 жыл бұрын
Ikulu mnachelewa sana kutoa habari zenu..! Nilidhani mngekuwa wa kwanza kutoa hii hotuba, mmekuwa wa mwisho sasa.
@ngoshasuzi6 жыл бұрын
Tuendelee kuwapazia sauti. Live streaming hawana
@eliasboniphacekidanha75966 жыл бұрын
Tunakuombea maisha marefu ili uweze kuondoa dhumaruma kwa wanyonge kweli wewe in mzalendo uliapa
@mwamengele6 жыл бұрын
Aliyefanya alignment ya hizo sound proofing panels nyuma ya rais akabangue korosho zote za Mh Rais kwa kucha
@bisekoc.k.jenjela79366 жыл бұрын
Sasa vijana tutarudi kujikita vijijini, hongera sana JPM.
@sk-wj9or6 жыл бұрын
Salute muheshimiwa.
@mohamedgilala84236 жыл бұрын
Kweli nineamini Jpm ni mtoto wa mkulima
@mwitawambura89206 жыл бұрын
Rais paka sahiv upo vizur tunakuamini sana, ila fungulia ajira na ongeza mishahara
@godfreybethod21866 жыл бұрын
Good jpm
@susangibai26916 жыл бұрын
Tumamaga bhabha. MH: RAIS. Hata mazao mengine nunu tu mwenyewe mkomboe mkulima duni
@josephsaghana10566 жыл бұрын
Mzee piga kazi
@musamkali59546 жыл бұрын
Chapa kazi baba
@petersilas42346 жыл бұрын
Nadhani Raisi na hata mawaziri wanapata shida sana kwani sekta binafsi ya Tanzania ni dhaifu sana na imekuwa dominated na watu ambao ukiangalia kwa ukweli uzalendo wao ni mdogo na mwisho huenda Wingereza au Canada. Wasomi wetu kwenye sekta binafsi ni wachache sana . Tuanzishe Chuo chetu cha postgraduate ya 'Entrepreneurship and innovations' haraka ili kutumia wasomi wetu ambao wanatangatanga. Rwanda wameanzisha chuo kama hicho. Shirika la Elimu Kibaha liltenga eneo la Folk University au chuo kikuu cha VETA ambacho kingekuwa na college kama hiyo. Pale Kibaha na Dakawa ni sehemu tosha kuweka chuo kama hicho kwa mambo ya ufundi, kilimo ,mifugo na biashara na vyote viko chini ya TAMISEMI. Mwalimu aliona mambo haya na kutuwekea msingi mzuri hivyo ni jukumu letu kutumia maono haya kujenga sekta binafsi imara. Vijana wetu wakipata mafunzo na kukutanishwa na financiers na kupata exposure ya kutosha nje na ndani wanaweza kubadili kabisa sekta zote na kuingia kwenye uchumi wa kati wenye manufaa kwa wananchi wetu. Hata mabenki yetu yatapata wakopaji na kufanya biashara. Tusipeleke vijana Israeli kujifunza kilimo bila kuweka mazingira ya kuja kuwafundisha wengine.Vyuo vyetu hasa SUA, UDSM, Mzumbe, wangeshiriki kufundisha. Degree yoyote ni base nzuri ya ujasiriamali wa aina yoyote kwani upeo ni mkubwa na ni rahisi kupokea au kutafuta ushauri wa kitaalamu. Tuondokane na aibu hata ya kuvaa nguo ya ndani inayoshonwa nje kwa kufikiri tu kwamba kushona ni kazi ya darasa la saba kumbe hatujui kwamba ndani yake kuna designing , equipping , financing, marketing na ni sekta yenye fursa kubwa sana.
@jofreykasian71846 жыл бұрын
peter Silas very true, it can be done, good point
@saydbarakismailiya15156 жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri mh rais ila wanzanzibari wengi tunataka kujua msimamo wako kuhusu mashekh wetu walioko huko bara hatma yao ni IPI ???? Bado tunawahitaji huku
@freddymello32276 жыл бұрын
Sayd barak Ismailiya,kazi hiyo iko katika vyombo vya usalama.kawaulizie maendeleo yao huko.watakujulisha. elewa mihimili ya serikali na mipaka yake.ndio uulize swali kama hilo.
@josephsaghana10566 жыл бұрын
Baba piga kazi tunao kuelewa tunajua nia na dhamila yako kwa taifa ila usife moyo na wanaojifanya hawa wenda wazimu hawakuelewi piga kazi