KIPINDI MAALUM RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI WA BARRICK GOLD CORPORATION JUNE 17,2017
Пікірлер: 129
@adomhagama69027 жыл бұрын
aya mambo kumbe yanawezekana. watanzania waoga waliogopa lkn mwisho nao watasimama kama watanzania. tusimame pamoja kwa ajili ya tanzania tusimame kwa ajili ya future ya tanzania. Mungu ibariki Tanzania
@olenyghosho70087 жыл бұрын
thanks God for John Magufuli
@Maxwelljaphethsamweli10 ай бұрын
Huyu@@olenyghosho7008
@marieconnect63892 жыл бұрын
The best negotiation ever to happen in Tanzania. The beat news ever. We are so blessed to witness that. God bless our leader JPM and give more wisdom and courage to our African leaders. Africa is not poor but poor mindset and poor vision. God help and bless Tanzania and Africa. We need hige Transformatio
@jamesluteli78642 жыл бұрын
WHO IS WATCHING THIS WITH ME NOW!!?.............WE NEED TO RISE UP AND TAKE ACTIONS SUCH AS THIS FOR A BETTER AFRICA!
@Lex_review7 жыл бұрын
im in UK and i together with my family we are now proud to Tanzanian #my president my coutry
@rajaburamadhani60347 жыл бұрын
Rais wangu,Ni ukwel uciopingika moyo wangu unaamani sana,cna chakusema mkuu ila Allah atakulipa
@oricktunyoni31433 жыл бұрын
Mpaka kesho nntazidi kukuangaliaa... My prezdent na nmepata chakuwasimulia watoto..... Nataka kua kama wew
@paulhando62862 жыл бұрын
Umeondoka baba wa wanyonge, Mungu atakulipa kwa yale uliyotutendea Watanzania na bara hili. Vigumu kufutika katika nyoyo za wanyonge
@eliyakapaya58582 жыл бұрын
Inauma sana lakini Mungu yupo
@tatulalia82112 жыл бұрын
Kidume cha Africa Utakumbukwa daima dad
@neozoran2442 жыл бұрын
Greatest Of All Time (G. O. A. T) ❤️💪
@7ndasir3237 жыл бұрын
Magufuli mtumwa wa Mwenyezimungu, ... Afya njema milele rais wangu
@cemdotanzaniacemdo32167 жыл бұрын
Nitabaki mzalendo kwa nchi yangu Daima---Gerry
@shukuruexperius50354 жыл бұрын
Sijuwi kwakweli kama atatokea mzalendo wa kweli kama huyu sijuwi kwakweli Jpm hongera sana
@mokhimji7 жыл бұрын
The fact that Mr. Thornton said he is looking fwd to "Resolve" the "Problem" with a "Win-Win" situation clearly indicates that they were categorically aware the Mining activities in Tanzania were NOT a "Win-Win" scenario and that the Tanzanians were being looted! This is a big problem with Multinationals since they are only Profit oriented. Thank you JPM for putting the record straight.
@mnzavachris54237 жыл бұрын
Mohammed Khimji asalam aleykum!
@habiblalji8756 Жыл бұрын
Mo khimji well said even if it was six years ago ...May he rest in peace!
@freudntanama78397 жыл бұрын
Mungu awape uimara na upendo pia uzalendo. penda sana inchi yangu Rais wangu na wasaidizi wake wote. Mungu ibariki Tanzania
@0maryMuna7 ай бұрын
Jpm bas Mzee wangu endelea kupumzika kwa amani my president
@EliasBoniphase4 ай бұрын
Tutampata wapi wa aina his?
@azizisalimu38287 жыл бұрын
Asante Raisi wangu,, Endelea kutupigania Mungu ndiye atakae kulipa inshaallah..
@benjaminabisemba53313 жыл бұрын
RIP mzee wetu JPM 😭😭😭
@elisantewawa30477 жыл бұрын
Ni kweli kuna watu wanachuki na Hawa wazee mungu atawalinda asante MUNGU
@rosemongi52732 жыл бұрын
Najua kuna kupatwa na simanzi lakin tangu nimezaliwa na sasa mimi ni mtu mzima sukuwahi kupata simanzi niliyo pata kwa kifo cha j,p,m na sinitokaa nipate tena simanzi kama hiyo hapa duniani,R,ip shujaa wa nchi yangu tutaonana baadaye.
@kenethfanuel40154 жыл бұрын
Mungu mlinde rais wetu magufuli.
@selemsigala47712 жыл бұрын
Ukweli uliipenda nchiyako kwa moyo ote nasi tunaendelea kukupenda japo hat uko nawe tutaendelea kukuenzi na kuheshimu michangoyako sikuzote. R I P Baba
@MultiHeriel7 жыл бұрын
Pongezi kwa Mh. Raisi na Serikali yake nzima kwa kazi nzuri.
@peterkavishe22267 жыл бұрын
mungu akupe maisha marefu baba yetu raisi ukiendelea hivi utawale daima
@shabbyprotus65522 жыл бұрын
Dah sasa mbona huyu mzee alikua anataka watanzania wote tunufaike ni kwanini walimuua baba wa watu jamani hizi mali tutaziacha jamani utu kwanza et
@Olaiserriomunyak10598 ай бұрын
🔥🔥🔥 yani mpaka wazungu walikunja mikia. .. Lala salama Baba JPM.
@asumanonchari74632 жыл бұрын
BABA kheri ungerudi uangalie taifa lako
@marieconnect63892 жыл бұрын
We love JPM in our heart and we love Tanzania with all our heart
@rusirimir42387 жыл бұрын
huyo ndio raisi wa wanyonge Mungu akulinde Baba..Barikiwa
@damianichayo8952 жыл бұрын
Yaani huu wimbo ukiimbwa unapata ujumbe thati kutoka moyoni.
@francishimangi26952 жыл бұрын
we remember your forever for every where you're
@adilanil23182 жыл бұрын
You are very positive my presdent JPM rest in peace
@kawiche49112 жыл бұрын
SIMBA wa Africa Pumzika baba Mengi umefanya Mungu ailaze Roho yako mahali pema peponi
@stokiamkuju49073 жыл бұрын
Yohana umeleta njia tunamgonja Yesu ila hatujui ni lin?
@nurdinngwegwe29432 жыл бұрын
Ukweli Ni Kwamba Ninakuombea Kheir Akhera Na Nakukumbuka Kila Wakati Fulani. Na Hunitoka Machozi Kinamna Flani. NIMEKUELEWA BINADAMU HAFUNDISHWI HURUMA. NI UTU MAADILI BUSARA NA KUHESHIMU SHERIA. (ULALE PEMA. MUNGU AKUPUNGUZIE ADHABU ZA KABURI. AMEN
@johnmalila14857 жыл бұрын
Vision with action can change the world thanks in advance Dot john pombe magufuli my president aluter continuer
@josephsjohnmk6362 жыл бұрын
Tumepoteza rais wa kweli sioni kama Kuna rais anaweza kuja kuyafanya haya! RIP JPM tunaendeleea kukukumbuka daima!!
@olaislukumay5717 жыл бұрын
Rais wetu Mungu akubariki kwa moyo huo kiukweli hata mimi sikutegeme kama utachukua hatua Kali za namna hii kwa kweli ni uthubutu wa hali ya juu
@Almas1207 жыл бұрын
change date please 17 june 2017
@kiliantereba65022 жыл бұрын
We miss you dad
@davidcosmas90557 жыл бұрын
Mungu akutangulie tunakuombea Mkuu wetu.
@mbokaandbahatitv85097 жыл бұрын
Mungu akubariki rais wetu mpendwa Mh. Dr. John Pombe Magufuli
@t1910j7 жыл бұрын
All the way from California, USA. Congratulations Mr president. I'm proud of you. This is just the start. We are our own worst enemy for going into these bad contracts. But it's time we wake up and our future is in our own hands. Congratulations president Magufuli.
@mnzavachris54237 жыл бұрын
t1910j wazawa tutakuwa tunakuja huko kama twaend k/koo 😉😆
@t1910j7 жыл бұрын
Karibuni sana. I can't wait for the day that will be possible :-)
@mnzavachris54237 жыл бұрын
time is always the best healer!
@ndeshukurwakaaya43852 жыл бұрын
Ndoto za HAYATI JPMAGUFULI zinatoa matunda yaliyojaa haki, na haki tupu. Haki huinua Taifa. Nimejifunza, watanzania tumebarikiwa tutumie baraka hizi kupiga HATUA KUBWA KWA UCHUMI WA NCHI.
@omarimusa40697 жыл бұрын
asnte sana pongezi kwako mweshimiwa jpm wamezoea kutuibia wakamatwe hao walio saini mikataba na uwafunge Maisha
@muhundaramadhani50572 жыл бұрын
Well said Well done
@mohamedkhalifa6014 Жыл бұрын
Pumzika baba yetu utakumbukwa daima,hii nchi wewe ndo uliiwezea
@francishimangi26952 жыл бұрын
am feeling happy to a citizen of tz God bless me
@faidamanoni22857 жыл бұрын
You have my vote 2020...ur the only president who can stand for his Nation in Africa. I'm proud being Tanzanian under Magufuli, I hope our father J.K Nyerere is happy & enjoying now in heaven having his substitute.
@kimanimain92392 жыл бұрын
God bless you tanzania I love so much for tz ❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mosesedwardmagembe96577 жыл бұрын
Big up my President. Together we will go further.
@saxannjo61734 жыл бұрын
We waited 4 u Magufuli...... now u r our president.... Take us 2 da promice land
@titus_maridhia7 жыл бұрын
aibu ya Tundu Lisu kusema tutalipa badala ya kulipwa. yaan sijui kwanini ukiwa upinzani n lazima upinge hata vile ambavyo vinamasrahi kwa taifa
@muhundaramadhani50572 жыл бұрын
Gooood job comrade
@ndikumanaismail5419 Жыл бұрын
is same people the kili you father we never know but is fine we always pray God is good always
@johnhaule47597 жыл бұрын
Jpm ju juu juuzaidi wanafiki wote yamewashuka.wanafiki kwa kofia ya upinzani wamekwisha wanaona haya Asante Jpm mungu akutangulie. sasa mabush lowyer ongeeni na mpost kwenye mitandao mitazamo yenu. JPM mwendo ni huohuo kanyaga twendee kitaeleweka
@mnzavachris54237 жыл бұрын
John Haule sasa uchama unaingiaje tena apo!
@mnzavachris54237 жыл бұрын
John Haule sasa uchama unaingiaje tena apo!
@shalomjoseph475411 ай бұрын
Tunakukumbuka sana JPM,
@dollokasuka81312 жыл бұрын
Magufuli, ulengosha sana!
@philiplenardsylvester60632 жыл бұрын
Pumzika kwa amani amri jeshi mkuu JPM 😭😭😭😭
@petermwanitipowvp95142 жыл бұрын
Mungu naomba uibarik nchi yetu tanzania
@octavianzubery62664 жыл бұрын
mungu akubaliki sana baba
@georgegeorge96882 жыл бұрын
Wewe ulikuwa mkombozi mkubwa wa watanzania ila nimejifunza kitu, itapofika MUNGU Atakapoinua hasira yake, kupitia maumivu ya mioyo yetu, tutapata mabadiliko, kama awamu ya Tano,
@dct4lif7 жыл бұрын
Magufuli nampenda sana na ni busara kuwapa maraisi wastaafu kinga lakini mimi binafsi sitakaa niwasamehe. Mikataba yote isingeweza kupitishwa bila idhini ya raisi. Nchi imeoza rushwa watu wanasafiri Ulaya kama unaenda Manzese wakati mama ztu hospitalini hawana vitanda. Nyerere mwenyewe alitubu dhambi zake kabla ya kustaafu ndo sembuse Kikwete na Mkapa ? Umaskini wakujitakia umeletwa na hawa wawili na tumuombe mungu tusiwahi kuwapata Maraisi wabovu wasio na chembe ya uzalendo wenye ubinafsi kama hao wawili. MUNGU IBARIKI TANZANIA
@josephsulusi90372 жыл бұрын
Upumzike kwa amani mzee wangu JPM
@ndikumanaismail5419 Жыл бұрын
Ndowalikuja na sumu hao yakum.maliza baba yetukipenzi mabeberu hao washenzi sana nao wata farikitu one day is one day
@renatusndyamkama82507 жыл бұрын
well done Mr president
@sirvestartumia10642 жыл бұрын
Halafu leo mnasema JPM aliisamehe hiyo pesa .kabudi.mwigulu muogopeni mungu laana hii haitowaacha salama watu wanateseka nyingi Wala hamuoni Wala hamjali yaani hamna tofauti na marekani na washilika wake.
@tereseamasawe81117 жыл бұрын
mungu akupe nguvu rais wetu magufuli.
@sasha-ri7tf2 жыл бұрын
Kipokea uchumba kimetolewa , kikiongozwa na mwanasheria mkuu wa wakati huo Profesa wa jalalani (KABUDI) (TRAB NA TRACK).Wa Tz tumepigwa kipigo cha usanii wa Albunuwasi. Tume imeundwa na Magu na kuwapa ma V8 haitowataja asiotaka watajwe na kwasababu kapewa kijiti na Kikwete. Mkapa ktk kitabu chake kakiri kuchota mabilion ya pesa za walipa kodi.
@hamadrajab8042 Жыл бұрын
Prof kabudi, is so keen about the fact that all predecessors and successors president are embracing each other despite of declining democracy and human rights, i don't view that as achievement or something to be proud of.
@Mwalukani Жыл бұрын
😂😂😂😂 mungu akulinde
@kawiche49112 жыл бұрын
Viongozi walio madarakani leo wanafanya nini. Hii ilikuawa Magofuli SIMBA wetu
@KichwaHuru7 жыл бұрын
Long live, the long awaited Rightful Ruler!!!
@samsonmwijage53017 жыл бұрын
Be Titus Maridhia kumbe nawe umemgunfua tundu lisu, yaani anapinga na Kisha anajipinga yeye mwenyewe.
@bensonmusyoka51044 жыл бұрын
Chunga sana hukiona handshake Ya mzungu kwa mtu mweusi kuna kitu hameona 😱😱😱
@rajabumaftaha3838 Жыл бұрын
"The kind people live shortly". I don't think if Tz will get the ruler like JPM once again.
@DavidJohn-l7s Жыл бұрын
Raisi ambae alishinda ata Mandela, baba wakweli wa taifa la Tanzania.
@norbert_gilbert_nganzi Жыл бұрын
Mr President
@emmanuelbonifas28042 жыл бұрын
Pumzika kwa aman baba kazi yake uliitenda vyema mwenye masikio alisikia na mwenye macho aliona leo hii yale yale kila kitu ovyo
@mohamedngoi1612 жыл бұрын
Mkombozi umeondoka,tunategemea Viongozi mnaopata Mamlaka ya juu ktk nchi kufuata mazuri yaliyofanywa na Viongozi wetu waliopita kwa uzalendo wao ktk kuipigania nchi na hali za maisha ya watanzania wote badala ya maisha ya kundi la watu fulani
@damianichayo8952 жыл бұрын
Angalia haya maamuzi magumu yaani jamani Magu!!! Halafu tunamsema vibaya jamani!!
@andrewmalamsha3042 Жыл бұрын
MUNGU kaz yako haina makosa wewe ndiye MUNGU wa wote tupe kiongozi mzuri kama huyu
@samolamahona29202 жыл бұрын
NAIPENDA SANA HII
@damianichayo8952 жыл бұрын
Kabudi babaa!!!!
@BenjaminJackson-m5iАй бұрын
Hiv bado tunapata 50% mpaka leo
@mwinukafundibombanjombe2 жыл бұрын
😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘🤫
@EcoEssence_wellness7 жыл бұрын
Well done Mr. Prezzo...
@Mkrist7 жыл бұрын
Kwa haka ka katoto Katundu Lisu kasichukuliwe hatua na hutwo twote tukina Msigwa, Kubenea, na twingine twingi twingi tujinga na tupotoshaji. Hutwo twote tunaotakia Tanzania na viongozi wake mabaya. Hayo magazeti kwa nini yasifutwe? Dunia nzima ukileta ujinga ujinga unashughulikiwa. Please, fanya kitu kwa hutwo tujamaa
@zakariarantsim106424 күн бұрын
Kwa hili nimeshindwa kumsahau huyu mzee😢
@rashidamzomoz81807 жыл бұрын
piga kazi rais wetu achana na hao wapumbavu Wa akil
@johnpeter90512 жыл бұрын
Hatuta kusahau
@shindapapaya91947 жыл бұрын
😂😂😂😂 wale wote vibaraka mliokua mna tutisha eti tuta shitakiwa mjiandae na kuburuzwa mahakamani na nyie wenye kumiliki magazeti njaa na tv zenu za ajabu ajabu dawa yenu ina chemka shikamoooo JPM pamoja na serikali yote kwa ujumla endeleeni kui nyoosha nchi yetu
@ramadhaniyahaya7286 Жыл бұрын
Tumekukoswa magufuli sioni wa kuyafanya naona wengi wezi tu
@karimmveyange2802 жыл бұрын
Saa hii vipi,nani kabadilisha hayo hadi mizigo inaondoka burebure na haitolewi hadharani migawo au mapato yatokanayo na Madini????????
@hemedjackson22615 ай бұрын
Barrick ni mayahudi ambao wanaamini kila madini duniani kote ni ya kwao, ni company ambay iko nyumba ya masonic societies kukuuwa hawa jamaa ni kit km rahisi sana ila mwamba amewakalisha huy hapo RIP Mr. President