Yaani sura za kifisadi zinaonekana tu cheki iyo misura yao JPM oyooooo ❤️🇹🇿🙏
@stn48732 жыл бұрын
Hakuna aijuae Kesho, ona Mama Samia kakaa zake hapo hajui kama ndio atakuja kuwa Rais
@ambakisyejeremia42042 жыл бұрын
Kwakwer ndg
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Yaani,,,
@MwigaKatumpula-mi3zt Жыл бұрын
Sio kweli ukisha kuwa makamu wa raisi Tyr lazima uwaze kua raisi at any time kwa Mujibu wa katiba ya nchi
@jedidahbintidaudi82416 ай бұрын
Ni kweli yaani...
@jumakhamis2264 ай бұрын
Kweli kabisaa
@yusufuheri652410 ай бұрын
Eh mungu maisha yana maswali magumu sana
@metrom8009 Жыл бұрын
Ma afisa wa uhamiaji mji funze kuaongelesha vizuri wageni wa afrika Kama nyinyi kwa upendo. Utu ni Jambo muhimu
@stn48732 жыл бұрын
Mama Samia.😍😍😍
@johnsebastian48686 ай бұрын
JK mbona alikuwa anacheka kinafiki sana
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Asante studios
@onesmoasenga2662 жыл бұрын
Rip jpm
@BBCFintl9 жыл бұрын
Peaceful, void of pomp...down to earth!
@jumakapilima56746 жыл бұрын
Yajayo yanafurahisha,,,,,!
@sir_ENOCKMACHA2 ай бұрын
Dah maisha haya basi tu
@amanikazinja48555 жыл бұрын
"dhana ya hapa kazi tu inakamilika haraka" maono yako yalianza mapema na sasa tunashuhudia yakikamilika kupita ata haraka yenyewe. Mwenyezi mungu azidi kukusimamia,Wana wa Nchi tu nyuma yako
@MatronaThomas-wz5si6 ай бұрын
Mwamba tutakukumbuka mbunifu
@jedidahbintidaudi82415 ай бұрын
Rais John Magufuli na VP Samia Suluhu Hassan
@Nufaila4422 жыл бұрын
Dah
@pastorrusagarajosephsolo86922 жыл бұрын
Yesu alisema, "Niliwachagua ninyi Thenashara na mmoja wenu ni shetani..." Wenye akili ya kupambanua wamenielewa!
@sultanjunior89102 жыл бұрын
Hilo limama halifai na mungu amzidishie misukosuko ktk utawala wake
@hassanmfaume45222 жыл бұрын
Wewe unafaa acha kutumia majina ya kiislamu hivi mkitumia majina yenu Kuna ubaya gn au ukitumia hili jina linakuoa nn ktk ushawishi wako wa kijinga .!
@hassanmfaume45222 жыл бұрын
Namkumbuka Antony Diallo Sana kila nikimuangalia sipati picha..!
@modestwenceslaus9 Жыл бұрын
Kwa hiyo wewe ndiyo unafaa,uandishi wako waonekana wewe ni chokoraa na mkora maana huna nidhamu.
@BilaliNuhu6 ай бұрын
Kumbe wewe ni fisadi na husda. Mama anafanya kazi wewe unamuombea misukosuko
@farajastudioandstationery57983 жыл бұрын
KIKWETE hafai kabisa kwenye hii Nchi
@DemonSlayer9992 жыл бұрын
We unaefaa umetuletea nn?
@abi-onlinetv41812 жыл бұрын
Si bwege tu huyo.
@ramadhanimtetu72462 жыл бұрын
sababu si Msukuma kama ww
@hassankurwa464 Жыл бұрын
Naunga mkono hoja Na sijui kwanini yupo
@kingwatabata42305 жыл бұрын
Naomba tafsiri ya kicheko iki jamani plz🙏
@jamesmgimba47552 жыл бұрын
Umeona
@winfordmwangonda53752 жыл бұрын
Duuh nimeelewa ,kicheko cha dharau na kebehi
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Yaani, we Acha tu
@Winford-f4l8 ай бұрын
Kicheko kina mambo mengi yasiyo salama
@frankfabian5436 ай бұрын
Niwatu wapwani tu ndowaelewa hiki kicheko 😢😢😢😢
@kallahassan48966 жыл бұрын
unacheka chekann?
@farajastudioandstationery57983 жыл бұрын
KIKWETE hafai kabisa kwenye hii Nchi
@hassanmfaume45222 жыл бұрын
Mm bado namkumbuka Antony Diallo Sana kila nikimuangalia sipati picha huyu mtu