ILI UFANIKIWE UNAITAJI NIDHAMU BINAFSI: JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 4,997

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 19
@saidzubeir2111
@saidzubeir2111 3 ай бұрын
WEW BROW MUNGU KAKUONGOZA KATKA NJIA YENYE TIJA SNAA JUU YAMAISHA YA WATU ILA MM NENGE KUKUMBUSHA EBU JARBU KUFANYA UTAFITI WAKUTOSHA KATKA DINI YA KIKIRSTORE NA UISLM FUATILIA BILA UBINAFC ALFU CKU UKIPATA JIBU SAS HII BC ITKULTEA FAIDA KUBWA SNAAA KATKA MAISHA YA DUNIA NA AKHRA .....NAAMN OMBI LANGU UTALIFANYIA KAZIII ..... NAKUHURUMIA SNAAA ILA NAKUKUBALI SNAAA ....👏👏👏
@TudamsheB
@TudamsheB 4 ай бұрын
Sasa nadhani nimepata nguvu nifike hata semina moja niongee anijibu huyu kaka kwa sauti mimi hiyo itanifikisha niendako kabisa maana nimejifunza mengi kwa simu bariki wa sana .
@ministernikolaus
@ministernikolaus 4 ай бұрын
Naisubili hiyo kwa Ham kweli kweli Brother Joel, Niwe wa Kwanza kuisikia
@KalabaKlb
@KalabaKlb 4 ай бұрын
Kiukweli mimi nipo sawa mwaka huu
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es 4 ай бұрын
Exactly teacher
@user-uo4ug1ym2e
@user-uo4ug1ym2e 4 ай бұрын
Yan leo umenigusa mwanzo mwisho yani nimejiona kabisa kaka😢 naanza nikifika sehem naacha asa nikipitia changamoto
@LovelyOutdoors-wd5nh
@LovelyOutdoors-wd5nh 4 ай бұрын
Asante kaka joe nimepata kitu
@user-ih1ib9kc5j
@user-ih1ib9kc5j 4 ай бұрын
Kaka nikupe shukrani za dhati kabisa Kwa kazi nzuuri unayoifanya haswa kwetu sisi vijana na hongera saana tena saana... Maana Mbingu zimekukubali na Mungu amekuthibitisha kuwa Mwalimu wetu.... 🎁🙏🙏
@user-jb5tb7qq5f
@user-jb5tb7qq5f 4 ай бұрын
Broo ubarikiwe
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 4 ай бұрын
Asante sana mwalimu
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka ❤❤
@jamesromano5679
@jamesromano5679 4 ай бұрын
Amen 🙌🙌🙌
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 4 ай бұрын
Nidham ✊✅
@kuruthumukondo7149
@kuruthumukondo7149 4 ай бұрын
Shukrani kaka ❤❤
@EliasMateleka
@EliasMateleka 4 ай бұрын
Kaka tuletee hiyo speech bnafsi Niko tayar kusikia nondo
@EliasMateleka
@EliasMateleka 4 ай бұрын
Thank you very much bro for the brief,clear lesson this evening.But the question comes; Some people had formerly committed themselves to have self discipline but finally they lose perpetuation of doing so. What do you think is the challenge behind such a failure and how can one overcome the situation?
@KalabaKlb
@KalabaKlb 4 ай бұрын
👂👂
@user-ro5qm1lh8g
@user-ro5qm1lh8g 4 ай бұрын
Hapo kweny kula ovyovyo Sina nidham binafsi😢
@everose276
@everose276 4 ай бұрын
Nidhamu binafsi imekuja baada ya kukusikiliza wewe hasa eneo la pesa
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
LIFE WISDOM: VITU VINAVYOFANYA UNG'AE - JOEL NANAUKA
17:12
Joel Nanauka
Рет қаралды 26 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 43 МЛН
TAMBUA MAJIRA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA
10:18
Joel Nanauka
Рет қаралды 6 М.
Usiruhusu mtu mwingine akuumize
4:43
Elias Mwinuka
Рет қаралды 9 М.
KUGUNDUA KUSUDI LA MAISHA YAKO: JOEL NANAUKA
11:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
SIFA 8 ZA WATU WENYE AKILI NYINGI SANA a.k.a Ma Genius 😊| FUNGUKA NA MIMI
8:12
AINA10 ZA WANAWAKE WASIOPENDWA
20:49
Mbeki TV
Рет қаралды 121 М.
LIFE WISDOM : VITA YA MAPENZI  - JOEL NANAUKA
14:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
Core Genius audiobook by Joel Arthur Nanauka
35:04
Tai wa Tanzania Tv
Рет қаралды 1,8 М.
HATUA ZA KUJENGA USHAWISHI - JOEL NANAUKA
12:35
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.