Hayo ni maoni tu .na kunausemi unasema ukijiona unajuwa sana basi juwa wapo wanaojuwa zaidi yako .kimaa ukihisi unajuwa basi usjuwe ndio hujuwi .tusicheze na maneno ya haki kutokka kwa mungu .tusiulize maswali kihuni tuwe na heshima tuchunge sana ndimi zetu .
@Al.habeebAl.habaaib27 күн бұрын
SHEIKH NURDEEN KISHKI NI MWAMBA NI MTU WA QUR.AAN MASHARIFU FEKI WOOOTE HAWAMUWEZI KABISAAAAAAAAAA
@alhadajjmohammedsmith904225 күн бұрын
Tatizo mnaitumia Qur'an Kutapeli Watu ! Tafuteteni Rizki kwa Kufanya Kazi za Halali zinazompendeza Allah. Mnasoma Quran Vizuri laakin hamna Imaaan Moyoni/Nafsini na hilo ndo Tatizo lenu baadhi ya Masheikh/Wasomi (Masharifu wa Uwongo), Rafudhi Safi laakin Tabia ni Utapeli 🙌
@AlabdbFoone27 күн бұрын
Uyu elimu ya dini hana ila ni mganga wa kienjeji 😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@tamimBasha-e6p18 күн бұрын
Asalam allaykum warahaatullahi wabarakatu. Ndugu muandishi wa habari usimzonge shekhe akafikia kubabaika .kukujibu hata hiyo Panadoli Pia ni sababu tu haiponesho h
@AhmedAladhary19 күн бұрын
Shehe unasema kweli
@faiditv553528 күн бұрын
Allh anasikia lugha yeyote
@Kuminamoja199527 күн бұрын
M'mungu anawaona
@AhmedAladhary19 күн бұрын
Huyu ni mcheza karate 3
@voisaclassic186626 күн бұрын
basi kama sio haramu kwamba hata nyie mnauza mafuta na maji basi waacheni wachungaji wauze mafuta na maji mwisho wa siku mungu ndo atahukumu
@alhadajjmohammedsmith904225 күн бұрын
Sasa wanaumbuka
@humoudseyd731027 күн бұрын
Huyu shekh hajui kujieleza huyu muandishi ni mzuri ila akatafute mtu mwenye elmu tajibiwa majibu yake yote kwa fasakha huyu mwalim kashindwa kuyajibu...yule sharifu anayoyafanyq ni ushirikina..ila huyu shekhe hajajuwa kufafanuwa ki dini
@zully75627 күн бұрын
@@humoudseyd7310 yes ni shirk, mwenye tatizo amuombe Muumba moja kwa moja.
@balkissMuhammad-sk1ic27 күн бұрын
Muslim mbona kajibufwaswaha miminimemuhelewa kishase uyo anajihita sharif anafanya shreki sasa Wewe hunatakahajibuhaje subhanallah
@rashidathumani675626 күн бұрын
Asee wewe uikua na mawazo kama yangu, hawezi tu shekh kujieleza.!!!
@mybabyarchive210424 күн бұрын
@@humoudseyd7310 Sio ushirikina anachofanya ni utapeli, usanii na ulaghai ndio maana hata wagonjwa hawafanikiwi. Ndo maana utakuta ajifanya kufukua uchawi kumbe ni usanii tu.
@JaffariJumanne-n7l26 күн бұрын
Haishi mpaka kieleweke
@mrafm728528 күн бұрын
Huyo ni tapeli na waislam wengi hawakusoma dini Yao uislam unakataza mambo ya shirki
@abasiramashoo502628 күн бұрын
Nakunga mkono sh
@HusseniMadebe24 күн бұрын
Yani ni kwamba quran pekee ndio itasomwa kwa kiarabu km ilivyo asiliyake,
@AlabdbFoone27 күн бұрын
Usiseme haulusiwi kulusha au kupaka ata wao ni mafunuo yao kwaiyo usiwapangie watu kitu cha kufanya na wewe alafu usijifananishe na kina mwaposa zile ni levo zingin kunguru wewe na mpiga lamri
@Officialmalengwe27 күн бұрын
Simulizi ukiwafata watu wenye ilmu ndogo kuwahoji tunakua tunakoxa kujifunza wafate watu wenye ilmu kaka samahan kwa hili mana hyo shekhe m naona inajkanyaga kwa kukosa ilmu kubwa
@AllyKipende27 күн бұрын
Hili swala haliitaji elimu kubwa ili kujua kama shekhewako firdaus anafanya ushirikina na kutuchafulia dini yetu tukufu ya haki, soo elimu ya huyu shekhe inatosha
@mzaliwaseif707927 күн бұрын
Ma Pastor walitumiya mafuta hayo kuibiya waumini wao na kuritadisha waislam wengi huku wakiaminishwa kuwa ni nguvu za yesu na masheikh wetu walishindwaga jinsi ya kustopisha uyo utapeli hadi pale CASI aliposilim na kutowa siri inje, ila bado baadhi ya waislam waliendeleleya kuritadishwa. Sharif japokuwa anamakosa yake ila anaokowa pia nafsi
@shambebro38228 күн бұрын
Sasa Mpaka Komba Mwiko ,Panya, sismiz wote Watamusema Sheikh Sharif ..Dhuuu ....Yule anatisha
@Catherine-mh8sw27 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Hamima-hf7ld25 күн бұрын
😂😂😂😂@@Catherine-mh8sw
@richardkonzo571727 күн бұрын
Huyu shehe anajikanyaga Na hana hoja za msingi, anajaribu kuonyesha madhaifu ya uislamu kwa wasikilizaji.
@Mubarak-e6p27 күн бұрын
Kha ! Mbona nikama Sheikh wamchongo. Huyu ni sheikh wakutengenezwa ama nini
@voisaclassic186626 күн бұрын
huyu shekhe mbona kama simuelewi sasa kukanyaga na kunywa au kujipaka kama na nyie waisalam mnafanya sasa hua mnamuandama mwamposa wa nini
@KhalidAli-nk5qh27 күн бұрын
ule ni uchawi hakuhana kutafuna maneno
@alimatambwe340227 күн бұрын
Sheikh labda hujaona kitabu cha Quoraan kinaandikwa muandiko Kiswahili’vitabu hivyo vipo kusidiya watu kuhifadhi haraka.
@Al.habeebAl.habaaib27 күн бұрын
KIJANA UMEJITAHIDI SANA
@azizsoud431927 күн бұрын
Ata tafrisi ya Quran kwa kiarabu ipo
@MoinaminaAmina-qh1jb27 күн бұрын
Kwa Nini polisi hawacheki kitambulisho shake ikiwa anajulikana kwa majina ya sharifu firdausi ??? mana tafsiri ya firdausi ni pepo kwa dunia nzima na nchi zote za kisilamu hakuna shehi ambao jina lake ni firdausi ?? huu ni mfuasi wa shetani ndani ya maframason ambao wana jifunza nakusoma kuruani ili kupoteza waisilamu
@MoinaminaAmina-qh1jb27 күн бұрын
Kuruani inatafisiriwa kwa lugha yoyote haitakazwi
@JumaAthuman-bk6hx27 күн бұрын
YAANI HAYA MAGENGE YA KUJIFANYA WAHADHIRI WA KUTANGAZA DINI WOOOTE NI MATAPELI NA VIONGOZI WAO KINA MAZINGE,WOTE WANATAKIWA WAKAE CHINI WASOME KWANZA.VINGINEVYO UPOTOVU UTAENDELEA,NA MATAPELI BADO WENGI.
@kazinaimwishehe-ec3xu27 күн бұрын
Wanatafuta pesa mungu kwao ni wakazigani
@kazinaimwishehe-ec3xu27 күн бұрын
Watakuwa kuni
@pammymoraamoraa670227 күн бұрын
Mwanahabari maswali yako moto moto endelea hivio hivio , majibu mingi wanakwepa maana wenyewe hawajielewi . Kijana sheikh F amewashinda na lakwake ,
@SaadaAlsheibani27 күн бұрын
Wewe ndio naona hujielewi uko sawa na huyo firdaus
@ayubutwalbu659427 күн бұрын
Yule ni manyau nyau
@MoinaminaAmina-qh1jb27 күн бұрын
Hivi wajukuu wamtume Hassan na Hussein waliwahi kuja Tanzania ??? na wa kaoa bibi yake ???au alio mzaa bibi yake hapo Tanzania ?????
@MoinaminaAmina-qh1jb27 күн бұрын
au alio mzaa bibi yake sharifu alitoka uarabuni ?? rangi yamkaa ambao ana fanana kweli huo ni sharifu toka kwa ukoo wa bwana mtume ???
@hamzanangameta624318 күн бұрын
Shida sio lafudhi, tatizo ni usahihi wa matamshi! Hajuwi quran amesoma kwa sheikh gani?
@TheAlman28 күн бұрын
Ruqia inasomwa kwa kiarabu kwasababu maneno ya Mwenyezi Mungu ni ponyo ili iwenangu na usahihi basi inafaa zaidi ikisomwa kwa lugha yake original ndio maana imesisitizwa kusomwa kwa kiarabu Japo sio sheria ila inapendeza sana
@edwardngugi353728 күн бұрын
😂😂 ngombe ww
@TheAlman28 күн бұрын
@edwardngugi3537 vp unatatizo gani? 🤔
@Catherine-mh8sw27 күн бұрын
@@edwardngugi3537mbona unamtukana
@jumakassim111226 күн бұрын
mpumbavu huyu ni mshirikina mkubwa kuffaru na kwa misingizi ya kiislam kichwa chake ni halali kukatwa lau tungekua katika dawlatul Ismaliyyah
@pammymoraamoraa670227 күн бұрын
Semeni tu ukweli duah ni ushirikina pia nivile tu hamtaki kukubali, waislamu wengi wanna iubishani mingi mahali hata haifai. Hawa wakubishana wanaogopa Firidausi juu bado ni kijana mdogo anawatetemesha hawa wanaofikiri wanajua yote,. Fanyeni yenu hafanye yake, chamuhimu kile anafanya kinamatokeo
@SaadaAlsheibani27 күн бұрын
Dua sio ushirikina ni kumuomba utakapokua na shida yoyote Tena inavyotakiwa dua ni kuomba wewe mwenyewe kwa lugha yoyote muhimu inafahamika sio uwende kwa mtu akakuombee kama mnavyofanya nyinyi kanisani mwaenda kuombewa sisi waislamu hakuna kitu hicho Wala huyo firdaus haogopewi ndio akambia aache upumbavu wake wa kupotosha watu na ushirikina wake halafu ajificha kwenye uislamu hauna ushikina mbumbavu zake
@selemanishabani684327 күн бұрын
sawa afanye lakini asiihusishe dini,na kisoma dua ni kusoma maneno ya mungu ambayo ni quraan,ndugu yangu ielewe dini kwanza,usifanye ubishi, ujue njaa ni mbaya sana,, tatizo anahusisha uchawi wake na dini yetu......