Poleni sana,ila huo ugomvi wa familia ndugu jamaa marafiki ,hasa majirani wawe walinzi.Majirani wakishaona jirani zao wanagombana na kupigana wamsaidie anayenyanyaswa.Kama majirani hawatasaidia ,dhambi inayotokea kwa jirani yao nao ni wahusika
@PaulinaSemindu-ob3de9 күн бұрын
Mjifunze kitu jmn ukiona limwanaume halina ujirani na watu toroka nenda kwenu" jitu limeona chakula kimeiva badala mle linaanza ukorofi likenikera sana jmn 😭 pumzika kwa aman mwanangu 😭🙏
@user-hg9rw9ov4j14 күн бұрын
😭😭😭
@demicratia407117 күн бұрын
Naye labda a😮nyongwe tuu
@florianhenry719817 күн бұрын
Duuu hii mibaba ya kifikia Nayo mijinga sana ..pole dada
@user-us5xl4zu3r17 күн бұрын
Acha matusi wewe,tabia ya mtu ni tabia yake mwenyewe.Kuwa na heshima wewe.Ebo.