Poleni sana nyie watu, mimi naamini huyo kaka yupo zake mbinguni, na sauti yake nzuriii anaimba wimbo wawashindi
@BenjaminNyakoe2 ай бұрын
Toka kwa hizo roho za giza, wacha kudanganya watu , ww tubu dhambi okoka, Marco joseph kwa akiki Mungu ataandika jina lake kitabu cha uzima.
@NancyShisia-g4s3 ай бұрын
Lakini mi ujuwa tz mpo na heshima juu ya makaburi kumbe mnasarakasi mungu wangu
@sylvia39993 ай бұрын
Nenda ufanye Selee 😢😢😢 kwani yye ndio wa kwanza kuaga , wacha utoto 😮😮
@NeemaMghamba-h7x3 ай бұрын
Mbona Kama haueleweki,mwacheni mtumishi wa mungu apumzike salama
@SimonSprian2 ай бұрын
Ww mzee uwe na hofu ya mungu ustake kujenga iman za kipuuzi ambazo zinaweza kuwajengea maswali meng watu jalibu kuwa mtu bac
@OcharoJeremiah3 ай бұрын
Kwann watazania mnahamin freemason hivyo ,,wacheni mutumishi wa mungu apumzike kwa amani kama nyinyi hamhamin zabron wa Kenya tunawaamini na tuna wapa pole nyingi sana ❤
@DouglasSimiyu-o6n2 ай бұрын
Plz ujui yakesho yako so Kimmy
@farajapeasonmagota82263 ай бұрын
Hivi kwann hiz media zisifungiwe
@jacklineokello3 ай бұрын
Usifurahie ya mwenzio, familia iko ma machungu lakini wewe uko na nguvu yakweneza uvumi ole kwako.
@PaulMakoye-v2f3 ай бұрын
Daaaaah jaman bado tupo kwenye manjozi tena tunaretewa mauzauza jaman
@VeryniceWillson2 ай бұрын
Mbona wanadamu munamambo ya uzushi kiasi icho nanini aliye shuudia tukio la Kabuki likiongea mbona mukiwa Nina mtonesha Muke wake na munamufanya awe mutu was majonzi kilasiku ebu acheni uzushi siyo vizuli na mukumbuke mungu apendi poleni San wte niliyo kutwa na musiba huwo
@ElieNduwayo-n5o2 ай бұрын
😂😂kabuli ndo yeye make tunamsikia yeye kuna watu waumbea kweli kabuli nihilo lidomo lake
@ShakraaSam2 ай бұрын
Achani kuwa na imani potofu Toka lini??? Kaburi likaongea... huyo kaka ameitwa na muumba wake Yani YESU kristo aliyehai aliyeshinda kifo na mauti hivo ninaimani naye yupo kufurahia ushindi wake wa kumtumikia Mungu
@PHILIPOWINO-d4x2 ай бұрын
Mi nashangaa na watanzania mara marco karogwa, mara kaburi laongea, mara mti wafichua siri, mara mganga kanena eeeii nashangaa mwenzenu kaondoka mwacheni apumzike kwa amani
@Deborahndunge-q1c3 ай бұрын
Jamani watazania muna mengi yakutisha lakini hukumu ya maisha ya mwanadamu iko mikononi mwa Mungu
@EvelyneChemtai3 ай бұрын
Ww unanyesema juu ya Marco ulikuwa wapi, kusema ukweli Marco akiwa hai ndio sai unadoa tarifa ya uogo? mungu akusamahe
@ElizaMtitu-l5g3 ай бұрын
Ni kwelii yupo kumwimbia mungu mbingunii
@consolatamasunga9033 ай бұрын
Yaani ww unataka watu tu wamaize mb zao Kwa uongo wako eti kaburi limeogea??!! Acha kudanganya watu
@UlimwenguKilika3 ай бұрын
Wasameheni hawajui walitendalo wala hapo sio makabuli aliye lala mpendwa wetu mimi nimehuzulia mazishi mwanzo mwisho
@RoseYohana-m4v3 ай бұрын
Sauti ya mtu mzima,lakini maelezo hayaendani,
@ELIZABERTWILISON2 ай бұрын
amna lolote bhana jmn muogopeni allah
@LilianLuvuka3 ай бұрын
Human being are wicked,familia ya Marco wako na uchungu na wewe umefurahia kueneza uongo,ujiulize nani ataeneza yako,Wacha kushughulikia maisha ya mwenzio,kwani vile Marco amekufa wewe unalala hapo ukisikiza makaburi yanavyoongea mind your business
@AshulaHiza3 ай бұрын
Jaman ndg zangu kwanini mambo yanakuwa mengi uongo mwingi acheni hayo tumuombee tuu apumzike kwa amani
@Nicetha2 ай бұрын
Achen maneno ya uzushi badala ya kumuombea mwenzenu apumzike kwa amani mnaongelea mambo ya ushirikina ,je ni nan aliyekuwepo wakati kaburi linaongea tafadhari tuwajue
@Teaching3563 ай бұрын
Ivi nyinyi mnataka kuona nini! Nauliza mnataka kuona nini bado bado mtaongea sana maana mngeongea kitu kimoja maybe watu tungeamini sasa mara mchepuko,mara jiwe limeongea mara kaburi bado mtasema na kinyesi cha marehemu kimeongea😳tuliza makomwe yenu mtu katulia zake Mbinguni kwa Baba nyinyi ngojea mtaambulia jehanamu ya moto endelelea kujitia dhambi za bure ziwa la moto la wangoja nawaambia.
@benakizmannews3 ай бұрын
Acha uongo ni kaburi njo lumeongeya ama wew njo umeongeya umekosa kazi za kufaa acha umbeya wew
@simionmomposhi17283 ай бұрын
eeeeeeee kwani wanatanzania mnasikwa tu kwa msitu ivo hakuna nyumba hata moja,,,hamuwesi sika mtu wenu nyumbani Ala!!
@esterrobart97503 ай бұрын
Mh jamani mbona balaa hili
@mwanaidsaid3 ай бұрын
Mambo yote tumwachie Mungu hakuna mtu ajuaye usafi wa moyo wa mtu mwingine
@pili47583 ай бұрын
Kabisa
@Nomi-c5v3 ай бұрын
Ana wazimu huyu au yuko na akili kwenda huko hufai hata sauti yako kusikika kwa watu☹️
@bahatisayi52613 ай бұрын
kweli hata la kabuli yesu halikuongea
@BervalineMhalid3 ай бұрын
Lakini ni kama unanga kazi ni kuangalia walio kufa upeleke umbea siku moja keti chini ujiulize nikifa nani atapeleka mdomo tubu,tubu tubu jamani tubu😂😂😂😂😂
@yembachungu95802 ай бұрын
Acheni uzushi ili mradi MB zetu ziliwe kama kuumia tumeumia acheni uzushi
@DorkaOpiyo3 ай бұрын
Maico akuzikwa maeneo aya wee n muongo na mzushi mkubwa weww MUNGU anakuona
@KELLENMAINA3 ай бұрын
Aki plz, mwache familia ikae na amani . Plz
@kavirajanine48933 ай бұрын
Mnajuwa mumekosa vya Kufanya Sasa Nani alikutuma Huko
@DorkaOpiyo3 ай бұрын
Wee mbona unafuatilia sana maisha ya marehemu we ulifata nini uko ushindwe shetani wewe mzushi muongo tapeli mkubwa weww
@JanethMashala3 ай бұрын
Dunia haipo mwisho binadamu ndo tuko mwisho kwa nn useme kabuli linaongea shetan anamengia lohon mwa watu
@Sarah-g8v3 ай бұрын
Hamkosi la kusema njaa ya pesa inawasumbua ....
@GakuyaJaneWanbui-fd7qb2 ай бұрын
Huyu mtu ntamunfollow
@WilsonIkungu3 ай бұрын
Kichwa cha ujumbe kiko tofauti na kile unachokiongea,kwan shida nn?
@HildaMbetwa3 ай бұрын
Ni kweli akufaaye kwa dhiki ndye rafiki
@aliceyustohatammcierewi80743 ай бұрын
Mmmh mbona umeongea wewe au wewe ndo kaburi? Kwani ukiandika kichwa Cha habari Leo tunatembelea kaburindi haieleweki so kusema uongo
@branicemunyanya3 ай бұрын
Fala nyie acheni marehemu apumzike Kwa Amani, familia wa heal Kwa Amani pia uongo ya nini jamani nkt
@patiencejuma19303 ай бұрын
Waongo hawa wa tz...
@EmmanuelKasitu-qh7jm3 ай бұрын
Hauna kazi yakufanya alafu rudi shuleni ukajifunze kiswahili
@ruefullykalekye33373 ай бұрын
Wewe ongea tu upate LIKES AND COMMENTS but kumbuka vile familia ina maombolezo na machungu basi una nguvu ya kuzidi kuwaumiza zaidi. Ole wako
Acheni umbea , ni kaburi gani limeongea??? Mm nimesikia tu sauti yako, ongeeni vitu za ukweli na zilizo na maana
@simionmomposhi17283 ай бұрын
kabiza huyu anaongea tu na unaenda kufanya nini kwa kaburi pole
@ماريماريا-ب2د2 ай бұрын
Kabisaa
@DamarisMoragw2 ай бұрын
Wacha kwaaribia mwingine sifai bana ata kama ameaga
@JaneModest3 ай бұрын
Kama umekosa Cha kuweka ktk you tube ,nenda sokoni ,chukua picha ,kuliko kutengeneza uongo ,utakao haribu sifa njema ,ya kampuni yako ,,tafadhali acha Mara moja .
@ruefullykalekye33373 ай бұрын
Ningekuwa hizo roho zimelala hapo ningeamka kukuchapa vizuri wewe, if you got nothing to do enda chooni
@PoulletOkanda3 ай бұрын
Udaku mtaach nyinyi watanzania watu tunaomboleza nyinyi mnatafuta unga na umbea
@prudecemosha18163 ай бұрын
Mungu ndye ajua yote
@NeemaMwakosya3 ай бұрын
Mambo Gani wewe acha mambo yawatu
@AncyMerci-un2nu3 ай бұрын
Kwani serekali iko inawaasha watu kama hawa iwapeke wawekwe jela hawana kazi lakufanya bila kuangaika nakusema uongo ebu toka pale nenda ukalime,na usisubutu tena kulitaja djina la Marcos ona alivio sura yake,ao ni ww uliehusika 😂😂😂zoba yooo
@GeraldKapera-zw2qx3 ай бұрын
Hata ww pia utakufa, acha maneno mengi ongea point ya msingi.
@SharunAa2 ай бұрын
Wachen uongo kabis bro am siz
@anicetmutsunga95243 ай бұрын
Mmelaaniwa ninyi.
@Kokimirie3 ай бұрын
Unatafuta sifa wewe chochote mkisemacho mungu atawahukumu siku ya mwisho mtajibu hayo yote ,,,swali ni je bona ugeyasema mtu akiwa uhai
@DAWASADAWASA3 ай бұрын
Hizi media zimekuwa kero
@ChristinaMsau3 ай бұрын
Polenta jamani
@josphataberi11733 ай бұрын
If you were a Kenyan ningekujapa kofi kwa kuongea kinyume na mada yako but have a smooth day bro.
@phoebemoraa33693 ай бұрын
Bloggers mko na shida acheni dugu akapmsike na malaika mbinguni
@FaithMwenda-gf5hd3 ай бұрын
Chunga kiboko ya Mungu kaka acha uogo
@edithkinugu76703 ай бұрын
Brother tafuta kazi ingine ya kufanya .wacha Marco apumzike kwa amani ....wewe ukifaa nani atafuatilia maneno yako .wacha umbea
@EmanuelSanga-vw8yg3 ай бұрын
Hv kwan huyu mtu anaahida gani
@JoyceRichard-qo4gn3 ай бұрын
Kwan huyo kaka anakazi ya kufanya siakasaindi ata wazanzi wake kazi
@MoosesKuloba3 ай бұрын
Wewe ni muongo sana
@RachaelAmon3 ай бұрын
Ya babako ndo imeongea acha ujinga ww mpuuz
@MikajoseNankola3 ай бұрын
Naa hii sauti naijua ni ya yule kijana samweli muongo muongo
@MikajoseNankola3 ай бұрын
Ila media za bongo jamani
@DorkaOpiyo3 ай бұрын
Unarecod kwa simu yako iyo n media gan uyu n tapeli tu mtumishi wa shetani
Mbona hamukuongea wakati ako mzima. Na tena mbona wewe unapenda kukaa makaburini? Tunachu guuza mambo yako yako
@ElizabethAlphonce-m5o3 ай бұрын
Jmn nyie wtu ni wambea cn
@PendoEliamani3 ай бұрын
Ivi wewe unaakili kweli au umezikalia em acha uwongo bhn kwani makaburini umeenda kufanya nini na wewe sio mke wake na sio mwanafamilia muongo mkubwa IPO siku yako wew chukua wenzako video na wewe utachukuliwa Kama unavyochukua wenzako dunia inazunguka wewe mzee angalia isikupate chizi kweli,😭😭
@RoqaiIbrahim3 ай бұрын
Nikajua wanawake tu ndio wambea kumbe na Wanaume niwambea kwakweli Sasa nyie vina wahusu nini
@PAJERONTENGA-o1u3 ай бұрын
Kweli au uzushi
@JamesHome-t2d3 ай бұрын
Kesho pia wewe tutaitwa na utaitika
@LILIANAWINJA-kf1ky3 ай бұрын
Haki nyinyi hamwezi Acha marehemu apumxike kwa amani watu tunaomboleza na wewe unatafuta View 😢
@Haroonlguo3 ай бұрын
Mbona mnakuwa waongo
@JoyceIjengo3 ай бұрын
Polenisasa na
@DennisOmondi-ii8lf3 ай бұрын
Kifo cha mwenzio ni kitega uchumi kwako brukenge wewe