IPI NI NAFASI YA YESU KWA MUNGU? NI MWANA AU MUNGU? UST. BAKOZI, SHAFII VS MCH. NDACHA, MWL DANIEL

  Рет қаралды 13,788

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

Күн бұрын

Пікірлер: 92
@navokisembo
@navokisembo 4 ай бұрын
Barikiwa Ndacha na waallimu wenzio Yesu awalinde
@SAYIMBOYI
@SAYIMBOYI 4 ай бұрын
Mm nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mihadhara ya kiisilamu na kikiristo nimegundua yesu ni njia sahh ya kutupeleka mbingini tukubali tusikubali
@aliroro9344
@aliroro9344 4 ай бұрын
😂😂😂...Njia ykwenda kwenu au 😂😂😂
@hafidhissa4405
@hafidhissa4405 4 ай бұрын
Wakati unasikiliza ulikua unasikia kinacho ongelewa au shabiki tu? Walimu wa kikristo hawana elemu ma Ukristo wao
@aliroro9344
@aliroro9344 4 ай бұрын
@@hafidhissa4405 😂😂😂...Kaka hao washapotea achna nao 😂😂
@makenaOG
@makenaOG 4 ай бұрын
@@SAYIMBOYI haya twambie yesu ni (1) mwana wa mungu( 2) mungu au (3) mtume
@smadon5638
@smadon5638 4 ай бұрын
Yesu atakupeleka motoni ukimuamini kama Mungu😂
@Philipopetro-oj9ph
@Philipopetro-oj9ph 4 ай бұрын
Huyo shekh wa mwisho aliyetoa andiko la 1wakorintho 15:18 hajalielewa andiko ukianzia 1 Hadi mwisho utaelewa vizuri mkristo Linda Imani Yako aaaamen
@AbdirashidmohamedNoor
@AbdirashidmohamedNoor 4 ай бұрын
Shafii Mungu akubariki . Umeuonyesha ukweli kama wanaamaani yesu ni mwana wa mungu Biblia inasema ibrahimu ni mwana wa mungu pia hyo waamini hata wana wa Israeli wote . Watu hawa wakiristo watadanganywa mpaka lini😢 ukweli ni kwamba yesu ni mtume wala sio Mungu . MUNGU anafanya nini na mwana subhanaallah
@NemaShabani
@NemaShabani 3 ай бұрын
Amiiiiin thumma amiin 🤲
@Philipopetro-oj9ph
@Philipopetro-oj9ph 4 ай бұрын
Wakristo tupo mikono salama 🙌🙌
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 4 ай бұрын
Yesu ni mwana wa pekee wa Mungu jamani
@NemaShabani
@NemaShabani 3 ай бұрын
Usisahau kuwa Adam nae hana mama wala baba nae ni mwana wanani
@LeilaMuhamed-n3v
@LeilaMuhamed-n3v 4 ай бұрын
Ndacha anarudia mala nyingi sijui kwann wanacheka jambo dogo tu so kwamba yesu nimungu ila mtt wako akiitwa ww kuna ubaya gani umesha ambiwa mwana wamungu Sasa kuna baya gani ukimuita mungu tena umeambiwa wapekee
@waluohopaulo2116
@waluohopaulo2116 3 ай бұрын
Elohi ni jina lingine ya Mungu,yani Mungu wa Israeli.Yes alimuita jina ya baba yake.
@karanjawanyoike7188
@karanjawanyoike7188 2 ай бұрын
Malaika Gabriel alitumwa na mungu kwa mariamu, kuringana na uisilamu yesu ni mtu kwa kuwa alitumwa na mungu, basi huyu malaika aliyetumwa na mungu pia mtu
@healingsschool4630
@healingsschool4630 4 ай бұрын
Imanuel maana yake Mungu pamoja nasi maana Yesu ni Mungu 100%, Mwanadamu 100%. Qurani inasema Mwenyezi Mungu anauwezo wa kugawa nafsi, Biblia hakuna lisilowezekana kwa Mungu hii ndo sababu ya utatu Mtakatifu. Midahalo ni muhimu itawafanya vijana waache uhalifu kama michezo na kazi maana wengi hawana kazi wamekata tamaa. Pia tusiache kuombea vipofu, walemavu, wagonjwa na wenye shida mbali mbali kwa jina la Yesu, maana wengine watafunguliwa kwa miujiza na kwa Neema za Mungu kupitia Jina la Yesu Kristo
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 4 ай бұрын
@@healingsschool4630 Ndacha anakwambia utatu mtakatifu ni ushetan hapo vp
@NemaShabani
@NemaShabani 3 ай бұрын
Sio kwel ingekua ni hivo vipof vingeona walemavu wangetembea acheni kundanganya watu hawez tu kusema kwa jina la yesu eti ndo ulemavu ukaish kueni wa kwel
@NemaShabani
@NemaShabani 3 ай бұрын
Sio kwel ingekua ni hivo vipof vingeona walemavu wangetembea acheni kundanganya watu hawez tu kusema kwa jina la yesu eti ndo ulemavu ukaish kueni wa kwel
@NemaShabani
@NemaShabani 3 ай бұрын
Sio kwel ingekua ni hivo vipof vingeona walemavu wangetembea acheni kundanganya watu hawez tu kusema kwa jina la yesu eti ndo ulemavu ukaish kueni wa kwel
@WillyAlfred-n4t
@WillyAlfred-n4t 4 ай бұрын
Niulize wa islam, Nimesikia Yesu ana Heshima Duniani hata Akhera, Akhera aheshimiwe, kwani hamjiwazi kwanini aheshimiwe, na kwanini si wengine manabii ? Yaani na malaika wznamheshimu, yeye ni nani ?
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ 4 ай бұрын
Skiliza vizuri munavyo chapwa na hio hio bibilia yenu inatosha ku wachapa nayo wenyewe 😂😂😂😂😂
@makkawi4294
@makkawi4294 4 ай бұрын
Hamuezi elewa mambo ya kiroho na ki mwili😂😂😂😂😂
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 4 ай бұрын
Wakristo hawajielewi Hawana uhakika na uwepo Wa mungu mpaka Leo hii midahalo nmeanza kufuatilia Hao kina muyahud na wenzake Walikuwa wakisema Yesu ndiye Mungu mkuu muumba aliyejivika mwili Wa mwanaadam kwajil Ya kuukomboa ulimwengu Leo hii Leo wanakwambia mungu mwana kwasabab mwana Wa mungu nayeye ni mungu kupitia Babake ilhal hapo nyuma Walikuwa wakikomaa yesu ndo mungu mwenyewe muumba Wa kila kitu
@Mtumisi
@Mtumisi 4 ай бұрын
Wahitaji kukombolewa
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 4 ай бұрын
@@abuumaryam1922 wewe ndo ujielew
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 4 ай бұрын
@@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k wewe wa zungumzia ushabiki lakn mie nasema kitu kilicho waz Hao Walim Wa kikristo mafundisho Yao kuhusu mungu Hawana uhakika muyahud na wenzake mara zote Walikuwa wakisema mungu ni mmoja ambaye ni Yesu alikuja kwa nafs tatu kama aliuvaa mwili ujifananisha na mwanaadam kama mwana Kama mtumwa Wa mungu lakin ni yeye huyo huyo mmoja alijifanya hivyo lengo kuukomboa ulimwengu Leo ndacha anasema kuna mungu na kuna Yesu mwana Wa mungu aliyepewa mamlaka ya uungu na mungu na ukirud wakristo wote Dunian bado wanamvutano kuhusu mungu na Yesu wapo wanao amini Yesu ni mtume na mwana wapo wanao amini Yesu ndo mungu hakuna mwngne alijifananisha tu na wana Adam kwajl ya kuukomboa ulimwengu we fuatilia kwa Walim Wa kikristo mbali mbali huwez Pata jibu Moja kuhusu mungu Ubarikiwe sana
@سعدياقوت-ت2خ
@سعدياقوت-ت2خ 4 ай бұрын
Ukweli mchungu na tatizo kubwa ni sakramenti mkate wa mavi mulio lishwa kanisani 😂😂😂😂
@tetritetrino693
@tetritetrino693 4 ай бұрын
@@abuumaryam1922 Nadhani wewe Ndo hujitambui hata kidogo, Imani ya mtu ni Imani yake, Kuna watu wanaamini ng'ombe ndiyo Mungu wao, na kwa Imani yao wanaamini wakimwomba huyo Mungu wao wanafanikiwa, Kuna watu wanaabudu jua yaani Mungu wao ni jua, na wakiliomba jua huenda wanafakiwa, Sasa hawa watu utawaambia nini juu ya Imani yao? Kama wakristo wanaamini Yesu ni mwana wa Mungu Sasa wewe utawageuza wasimwamini? Haya labda nikuulize wewe mtume Mohamad alikuwa mhuni tu Ndo maana alioa kitoto Cha miaka 6 akakifanya kuwa mke, je wewe kwa akili zako unaweza kuoa katoto ka miaka 6? Haya unaamini mtume wenu Mohamad alilogwa? Unaamini kuwa Mungu wenu ana mguu moja? Pia soma Quran sura ya pili mstari 173 kama wewe kweli ni mwislamu, labda Sasa nikupe elimu ya Mwisho hizi dini zoooote ni mapekeo ya tamaduni za watu huko uarabuni na huko kwa wazungu, lakini mababu zetu walikuwa na dini zao ambazo nao waliomba mvua na ilinyesha, waliomba washinde vita walishinda Sasa vipi Leo hii tunatoana roho kwa dini za mapokeo? Bro mind you please
@aliroro9344
@aliroro9344 4 ай бұрын
😂😂😂...Wakrsto Emu jitambueni basi, Bibiliaa yenu inajichganya tu 😂 alieandika Bibiliaa anafrai tu uko alko maana kondoo wanpotea tu😂😂😂
@felixyared
@felixyared 2 ай бұрын
Ndacha Apewe mauwa yako sababu ta kusema hivyo ni hiii anapapana na mashehe wote wa mdaharo Mzima
@SAYIMBOYI
@SAYIMBOYI 4 ай бұрын
Kwa sababu uislamu umeanza mwaka 600 baada ya yesu kuondoka duniani kwahy kabla ya mtume mhamand kuanza kazi ya utume je watu walikuwa dini gani kama si uposhaji
@evansotieno9692
@evansotieno9692 4 ай бұрын
wanacheka nini hawa......si wabatiszwe.
@fatumakiboto6157
@fatumakiboto6157 4 ай бұрын
wakristo ni makafili t hawan in akili wapumbavu
@salomaoussenesamsonussenes3628
@salomaoussenesamsonussenes3628 4 ай бұрын
Vipi mamako?
@jameskilasa759
@jameskilasa759 4 ай бұрын
Quran inasema muislam akibadili dini shart auwawe kwann waislam mnahukum watu kwa kuwaua?
@waluohopaulo2116
@waluohopaulo2116 3 ай бұрын
@fatumakiboto6157... Muhammed aliyeowa mtoto ndio kafiri namba moja
@SalmaAbdul-zz7dy
@SalmaAbdul-zz7dy 3 ай бұрын
​@@waluohopaulo2116ukafiri kaanza Paulo alochukua mke wa mtu aitwae popiya na kafa kifo cha kunyongwa.....halafu kafiri wa pili wakafuata wazee wako walokutoa katika uislamu wakakubatiza ukawa kafiri...maana ulipozaliwa ulikua muislamu
@waluohopaulo2116
@waluohopaulo2116 3 ай бұрын
@@SalmaAbdul-zz7dy Nipe maandiko kwenye Apostle Paul alioa huyo Papiya yako.
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 4 ай бұрын
Mjinga utmjua tu mijamaa inacheka kama mibwege maana wamefungwa na shetani
@SalmaAbdul-zz7dy
@SalmaAbdul-zz7dy 3 ай бұрын
Ushalaaniwa wewe na misalaba yako.....kafiri uloshiba mikate ya mavi
@clewis520
@clewis520 4 ай бұрын
Koraan ni mavi….
@chuseboy
@chuseboy 4 ай бұрын
Waislam tumefundishwa ustaarab na unyenyekevu sisi tunakuombea dua allah akusamehe kwa maana aujui usemayo ila bangi acha zitakufanya uwe chizi
@AllyRamadhansheshui
@AllyRamadhansheshui 4 ай бұрын
Ya mama ako
@clewis520
@clewis520 4 ай бұрын
@@AllyRamadhansheshui … Allah ni mkojo ya punda.
@kiumbekiumbe4711
@kiumbekiumbe4711 4 ай бұрын
@@AllyRamadhansheshui mwenyewe kddk
@Elecovid
@Elecovid 4 ай бұрын
Hawajui kuruani yao
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
54:25
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 49 М.
MCH. NDACHA AWAKABA KOO WAHADHIRI WA KIISLAMU, UST SHAFII, BAKOZI, KINYOGORI
20:44
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 185 М.
053 HABIB MAZINGE | JE SACRAMENTI NI MWILI WA YESU 2/2
58:24
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 443 М.