IRENE KAMUGISHA wa FIX YOU afiwa na MUMEWE kwa AJALI ya MAJI ‘Alikuwa na furaha sana siku hiyo’

  Рет қаралды 52,134

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 243
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 10 ай бұрын
Pole sana Dada najua unaumia mno tofaut na watu wanavyofikilia isipokuwa imani yako ndo yakuongoja uwe jasir na nimejifunza kitu kulia sana syo ndo kuonyesha uchungu mno nooo , hata ulie vipi mwenyez mungu ashakamilisha kaz yake pole mpendwa.
@BhokePastory
@BhokePastory 10 ай бұрын
huu sio ujasiri,,,ni ule uchungu ulizidi yani hadi unakuwa huwezi kulia ..kama uchungu wa kuzaa,inafika mahali unalia ilamachozi hayatoki,,,sio ujasiri ni uchungu
@veronicagregory6211
@veronicagregory6211 10 ай бұрын
Pole sana Mimi naelewa watu hivi ndio wanakuaga na uchungu kuliko wanaolia na kuzimia
@violethndowo-fr3rc
@violethndowo-fr3rc 10 ай бұрын
Poleee sana dadaang dada Irene Mungu azd kukutia nguvu kila wakat
@mohamedlegacy255
@mohamedlegacy255 10 ай бұрын
Duuh pole sana dada Irene Mungu akutie nguvu, Ila your courage is unmatching🙏.. I think watu tujifunze kitu hapa kulia sana si suluhisho maana hawezi kurudi lakini tuzidi kuombea tuwapendao❤
@kanubhobalokola896
@kanubhobalokola896 10 ай бұрын
Hayo maumivu atakuja yasikia baadae
@christermapunda503
@christermapunda503 10 ай бұрын
Mungunakukumbatie Irene, Yeye aliye asili ya faraja akufariji. Usije pata mshtuko wowote. Mungu agange jeraha la moyo wako. Nilikupenda sana vipindi vyako. Hata sijajua nini kimekutokea! Ila Mungu aliyeruhusu, hatakuacha wala kukupungukia. Keep your eyes on Jesus. He is able to do wonderous things than you can imagine nor pray. Pole sana.
@norabenjamin7701
@norabenjamin7701 10 ай бұрын
Pole sana Irene Mungu azidi kukupa nguvu na watoto wako 😭😭😭
@SamiathMohammed-mb4jk
@SamiathMohammed-mb4jk 9 ай бұрын
Pole dada . Mungu akupe moyo wa subra
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 10 ай бұрын
Pole Irene japo ww ni mkubwa kwake
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 10 ай бұрын
na mimi naona mke bibi
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t 10 ай бұрын
Ndio man amejikaza sana .
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 7 ай бұрын
Jmn ukubwa na siba wap na wp
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 10 ай бұрын
Dada pole sana nimeamini unamjua vizuri Mungu ndo maana una ujasiri kweli wengi tumeumia sana maana unavyoendeshaga kipindi chako
@salomekombo6166
@salomekombo6166 10 ай бұрын
Pole Sanaa cster irene Mungu azid kukupa nguvu pumnzika kwa aman Walter odemba🙏🙏
@estherboneka1341
@estherboneka1341 10 ай бұрын
Pole kipenzi Roho mtakatifu akushike haswa my dear
@salomekombo6166
@salomekombo6166 10 ай бұрын
Munguz azid kukupa ujasir huo huo dada irene nmejfunzq kitu kutok kwako much love😥😥
@hellenmachibya2681
@hellenmachibya2681 10 ай бұрын
Pole saana ndg yangu,,Mungu hatakupungukia,,umelia mcba wa mumeo Kwa Imani kubwa mnoo,,basi Mungu hatakuacha kipenzi
@madamrita9685
@madamrita9685 4 ай бұрын
RIP lovely 😍 Husband, Dad, Gentleman...In God we trust 😢
@AsimweMyaka
@AsimweMyaka 10 ай бұрын
Mungu akufanyie faraja ya pekee
@OnlyRuky
@OnlyRuky 10 ай бұрын
Inalilahi Wainailahi Rajeehun. Pole Saana sister Irene Mungu akutie nguvu huu ujasiri watu wakisha sambaaaaaa🥺🥺🥺🥺🥺🥺Mungu aendelee kumtia nguvu
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 10 ай бұрын
Dah!dada au mdogo wangu Ireni pole sana Sana sana ,cjashika cm kipindi chote hiki ckujua kitu kuhusu hata hivyo kunamtu anajua nakufuatili ndo kaniambia yaliyokukita nasikitika pamoja nawe japo kufa ni Kristo kuishi ni faida.
@saulichannel5053
@saulichannel5053 6 ай бұрын
Pole sana dada yangu ndio najua haya Leo .Mungu azidi kukupa ujasiri mkubwa!
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 10 ай бұрын
Pole sana Irene
@jennytugara9470
@jennytugara9470 10 ай бұрын
Duh am so shocked. Dada yetu irene Mungu akutie nguvu nimekua naangalia sana fix you. Jokes zote kuhusu wewe na ndoa yako zimetujenga wengi hata huku US. We keep you in our prayers🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 10 ай бұрын
Duu pole Sana kipenzi,,be strong my love irene.kwakufiwa na mumeo
@HappyPalingo-br8zs
@HappyPalingo-br8zs 9 ай бұрын
😂
@queenmollel6739
@queenmollel6739 10 ай бұрын
Duuu pole sana, najua utaumia sana kumkosa kwenye maisha yako ila Mungu atakuvusha dada.
@MariamGundula
@MariamGundula 10 ай бұрын
Pole sana Hongera Kwa ujasiri Mungu akupe nguvu mpya
@agnesschongolo4527
@agnesschongolo4527 10 ай бұрын
😢😢😢😢nalia mimi ambae hata simjui Mungu akutie nguvu dada umekujasili kwa uwezo wa Mungu lakin maumivu ulio nayo makubwa mno
@leticiampeka1488
@leticiampeka1488 10 ай бұрын
Pole sana Irene, Mungu akupe faraja kuu katika kipindi hiki kigumu
@emmyjimmyK
@emmyjimmyK 10 ай бұрын
Mungu azidi kukuimarisha Irene mydia
@vailethrobert2935
@vailethrobert2935 2 ай бұрын
Pole mpenzi
@SuzanaMtena
@SuzanaMtena 10 ай бұрын
Pole sana dada Irene mungu akutie nguvu mpendwa
@julianhapili7661
@julianhapili7661 10 ай бұрын
Pole sanaa ndugu yanguu
@celinaphysoo4919
@celinaphysoo4919 10 ай бұрын
Pole Sana Dada Irene Mungu azidi kukutia nguvu mpendwa inaumiza sana
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 10 ай бұрын
Inna li llah wainna ilaih raajiun, poleni kwa msiba nyote muliofiliwa. 🤲🤲
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 10 ай бұрын
Pole nyingi sana kwa Irene na wanafamilia wote. Hugs for you Irene.,Mungu akupe neema yakuyakali haya. So young soo soon dah
@vibetz9991
@vibetz9991 10 ай бұрын
Swimming pool za bagamoyo hotels,, sjui zina nini,,Hata mimi kuna siku kidogo nizame swimming pale OCEANIC BAY HOTEL 😢😢😢😢Na sauti ilikua aitoki kupiga kelele
@merryaugustin8814
@merryaugustin8814 10 ай бұрын
Seriously????Sintokaaa niende huko kbsa
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 10 ай бұрын
Hamuoni anavyomove move hapo watu wahivi wakizika aiseeee mnaweza mpoteza kbs
@hidayamwakalindile9257
@hidayamwakalindile9257 10 ай бұрын
Pole sana kipenzi
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 10 ай бұрын
Pole sana dada angu ila kwa ujasiri huu mungu akuzididhie ujasiri
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 10 ай бұрын
Pole sana Irine....Mungu akutie nguvuuuu😅
@ramadhanseleman6051
@ramadhanseleman6051 10 ай бұрын
Polee sana mpendwa😢
@hopechidera
@hopechidera 10 ай бұрын
Pole sana Irene 😭😭😭😭😭😭Mwenyezi Mungu akufariji na kukutia nguvu dada yangu😭😭😭😭😭 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@willykaovela5485
@willykaovela5485 10 ай бұрын
pole sana irene.
@shubirarutaihwa4829
@shubirarutaihwa4829 10 ай бұрын
Dada Irene pole Sana Jamani Mungu akupe nguvu
@IreneMselle
@IreneMselle 10 ай бұрын
Pole sana dada irene, Mungu akutie nguvuu na akawe mfariji pekeee🙏
@anicyaedward6257
@anicyaedward6257 10 ай бұрын
Oooh no jamani . I love the woman daaaa RIP baba aiseeee jamani jamani u can't hold this uwiiii Mungu ampe nguvu
@officialcandleboy6923
@officialcandleboy6923 10 ай бұрын
Pole sana kwa sister IRENE KAMUGISHA
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 10 ай бұрын
Innalillah wainna ilayh rajiun😢 Pole sana Irene,Mungu akutie nguvu.
@WinWilly4162
@WinWilly4162 10 ай бұрын
Ooh pole sana irene
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 10 ай бұрын
Pole sana Irene.Ukapumzike salama😭😭😭🙏
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 10 ай бұрын
Pole Irene kwa kufiwa na mumeo walter, especial Lilian mwasha !
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 10 ай бұрын
Lilian mwasha tena
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 10 ай бұрын
Lilian mwasha kafanyaje?
@RoseRobert-ku3nt
@RoseRobert-ku3nt 10 ай бұрын
Pore. San. Dada. Mungu. Akurind
@ByamunguBatumana-ff9de4zx6p
@ByamunguBatumana-ff9de4zx6p 10 ай бұрын
Pole Sana kbs mungu amutiye nguvu
@adbellar338
@adbellar338 10 ай бұрын
Dahhhh Dada Irene. May God give you strength.
@tantinebettynduwimana380
@tantinebettynduwimana380 10 ай бұрын
😢😢😢😢Mwenyezi akutie nguvu Irene si jambo rahisi
@witnessmallya5114
@witnessmallya5114 10 ай бұрын
Pole sana Irene, ni mapema sana lakini tumwachie Mungu ana makusudi yake😢
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 10 ай бұрын
Mwee! Irene pole sana mama, duu, hili ni zito mnoo, Mungu Akutie nguvu mama
@jannethygibson686
@jannethygibson686 10 ай бұрын
Jamani uzungu mwingine ni aibu sn
@jeanneluhabanya1252
@jeanneluhabanya1252 10 ай бұрын
Oh my God simama nayu dada 👏🏾👏🏾
@homeandaway2811
@homeandaway2811 10 ай бұрын
Pole Irene Mungu akutie nguvu wewe pamoja na familia nzima, Pole sana, lala salama Walter
@KanyamaleMakula
@KanyamaleMakula 10 ай бұрын
Pole sana irene wetu
@PhinaGeorge-o5m
@PhinaGeorge-o5m 10 ай бұрын
Pole sana ailen
@bennamush4616
@bennamush4616 10 ай бұрын
Yani mfiwa yupo strong lakin Mimi mtazamaji nimelia pole Sana dada kwa maumivu unayopitia
@ameulmontan6753
@ameulmontan6753 10 ай бұрын
pole sana irene daah nimeudhunika sana
@jescalutegonsombnambyakoda6719
@jescalutegonsombnambyakoda6719 10 ай бұрын
Majina huwa yababeba hatima jina lake Walter kafariki ktk bwawa la maji 😢😢 pole Irene
@marypartson8409
@marypartson8409 10 ай бұрын
Irene ataumia sana baadae...sahz hajui kilichomtokea kwa sasa
@rehemamapuga5789
@rehemamapuga5789 10 ай бұрын
Ni kweli, kwa sasa ni kama yuko ndotoni bado
@Lashymreal96
@Lashymreal96 10 ай бұрын
Pole sana Irene be strong
@ChristinaJackson-d7w
@ChristinaJackson-d7w 10 ай бұрын
Anatoa wapi nguvu za kuongea hayo maneno yote
@adolfobaridih370
@adolfobaridih370 10 ай бұрын
Dah polee sana Irene Mungu akutie nguvu 😢😢
@elizabethmziray2461
@elizabethmziray2461 10 ай бұрын
Shock, na atalia sana wakati atakapoachwa na waombolezaji peke yake,haloo😢😢😢😢😢
@mamukinyogoli5549
@mamukinyogoli5549 10 ай бұрын
Pole dada irene daah😢😢😢😢
@nkurunzizalydia1720
@nkurunzizalydia1720 10 ай бұрын
Pole Sana Irene wetu Mwenyezi Mungu akupe nguvu 😢😢😢😢
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 10 ай бұрын
inalilahi wainailahi rajiun 😭Pole sana Irene dah mwaka mpya na kuondokewa na kipenzi chako😢💔
@salmaChituta
@salmaChituta 10 ай бұрын
Pole inauma sana sikiya kwa mtu tu,
@HappinessSawe
@HappinessSawe 10 ай бұрын
Pole dada Irene
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 10 ай бұрын
Namkubali sana huyu dada. Pole sana. Namwombea.
@randombeb
@randombeb 10 ай бұрын
😢😢😢😢😢 woi she is so young to be a Widow pole irene and Walter is equally young woi 😢😢😢😢😢
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 10 ай бұрын
Imagine😢😢😢 this is so dad
@vulstanandrea523
@vulstanandrea523 10 ай бұрын
Pole sana Dada Irene na wanafamilia wote wa fix you na sns😭
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 10 ай бұрын
Daaaa inauma isee mpaka basi,pole dada irene pole kipenzi
@peninashungu6633
@peninashungu6633 10 ай бұрын
Pole sana
@orsolinaleonsminja6436
@orsolinaleonsminja6436 10 ай бұрын
Mungu akutie nguvu.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 10 ай бұрын
Pole sa n a dada😢😢
@pillykinabo8722
@pillykinabo8722 10 ай бұрын
Pole sana irene. Mungu azidi kukutia nguvu na ujasiri ktk kipindi hiki kigumu🙏
@khadijaabdala6876
@khadijaabdala6876 10 ай бұрын
Innalillah wainallillah rajiun pole sana mdg wangu Irene
@gloriakilonzo4706
@gloriakilonzo4706 10 ай бұрын
Oooh God I know this family Mungu akutie nguvu Irene 😭😭
@ghelimafilemon9653
@ghelimafilemon9653 10 ай бұрын
So sorry to her
@naomhyprima3525
@naomhyprima3525 10 ай бұрын
Jaman. May Lord Give you Strength during this difficult time
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 10 ай бұрын
Hii courage ishawahi nitokea when my brother died I just thought he slept he will wake until the last moment I woke up from those thoughts I just cried out so bittely when I saw him going in his grave 😢 mungu ampe nguvu huyu dada na familia yote
@michaelgilbert1531
@michaelgilbert1531 10 ай бұрын
Kumbe unajua kiswaili😂
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 10 ай бұрын
@@michaelgilbert1531 mie mbongooooo tz
@edefridalivigha6049
@edefridalivigha6049 10 ай бұрын
Sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea mungu akutie nguvu wakati u mgumu kwako
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 10 ай бұрын
Dah jmn I can't imagine kiukweli. Pole sana owamae
@Zaoplus
@Zaoplus 10 ай бұрын
Pole sana Dada Irene,Mungu Akupe Nguvu
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 10 ай бұрын
Hii ni kuiga vya wazungu unapataje nguvu ya kuongea yote hayo hapakuwa na penzi hapo labda alimsukuma kwenye maji😭😭
@naomipieter4627
@naomipieter4627 10 ай бұрын
Pole sana nimefiwa na mumeeamgu 14 january hii mafikishs miaka 3 ila naona kama jana..😢
@elizajuma5616
@elizajuma5616 10 ай бұрын
Pole Sana dear Irene
@onanarosse9657
@onanarosse9657 10 ай бұрын
Pole Sana Dada
@cmoshi7014
@cmoshi7014 10 ай бұрын
DAH.......😢😢😢😢😢😢😢😢 AM SPEACHLES. MUNGU AKUTIE NGUVU MAMA 😢😢😢😢😢😊
@fadhilangamilo7506
@fadhilangamilo7506 10 ай бұрын
Pole
@wilsonsamsonwilliams
@wilsonsamsonwilliams 10 ай бұрын
Pole sana dada irene
@jacqueli18
@jacqueli18 10 ай бұрын
Nashindwa kuelewa mfiwa anatoa hotuba?
@SallmaXg
@SallmaXg 10 ай бұрын
Pole sana kipenzi 😢😢😢
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 10 ай бұрын
😢😢😢aya tena majina yazingatiwe,,,water kafa na water.
@stellasimon8306
@stellasimon8306 10 ай бұрын
Jamani
@christinamsoka
@christinamsoka 10 ай бұрын
Bado hujaelewa vzr mjane ni nini..bado ningependa ungekaa kinya tuu.kufiwa na mume ni janga kubwa we ongea tuu hapo
MZEE WA NGENGA AKIWA HARUSINI ZANZIBAR NI FULL HANDAS!!!
17:33
Mzee wa Ngenga Tv Show
Рет қаралды 11 М.
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 4,7 МЛН
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
HARD_MMA
Рет қаралды 2,7 МЛН
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 20 МЛН
БУ, ИСПУГАЛСЯ?? #shorts
00:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 3 МЛН
Dato Ingat Dato Malaikat Ke, Padu Ayob Khan SOUND Golongan Atasan
16:45
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 4,7 МЛН