Mungu akubariki na azidi sana tena sana kukupatia uwepo wa kuendelea kutuelimisha. Pamoja sana Paster
@JohnMwita-dv4fl8 күн бұрын
It's true
@ScolaMwamlima3 күн бұрын
Mimi huwa naota nipo kanisani mara shuleni hospitali
@ryeidaupendo4834Ай бұрын
Niliotaga sana izi ndoto za Vito vya dhahabu na pesa na magari lakin kukawa kuna mtu ananinyanganya ckuelewa ,nimeokoka napenda Yesu but cjui nn kilipita,ahsnt Mtumishi wa Mungu
@mathiaskagndakaganda6452 ай бұрын
Asante Dada
@GraceBayyoАй бұрын
Amen dada
@ElizabethMahahiraАй бұрын
Yes
@VeronicaMtesigwa-zi4ze27 күн бұрын
Naukiota mmeo anamke mwingine mala kwa mala unamaanisha nini
@annkatumbiАй бұрын
Ukiota ukiumbiri watu wengi alafu unangeuka unaona watu wamengawayika wengine wanasikiza neno la mungu na wengine wako kwa matanga
@Emmanuel-cp1no27 күн бұрын
Dah jitahidi kuandika vizuri nimepata shida sana kukuelewa
@scholasticakasiso95592 ай бұрын
Juzi nmeota napewa elfu tano
@ElizabethMahahiraАй бұрын
Mimi niriota nimeibiwa🎉 7:24 7:26
@beatriceauma3260Ай бұрын
Nliota niko ofisini
@NiceboyTzАй бұрын
Weeeeee izo ndoto uoti ng, o labda unite mbwa
@Cynthia-nw8kgАй бұрын
Mm nimeota mvuwa inaninyeshea ikiwa na balafu nikawa naokota zile balafu badae nikaona zile balafu zikayayuka nikaona ni mchele mbichi jaman apo sijaelewa
@ZainabuAbdul-wb2mxАй бұрын
Je!kuota kama unatema mate au unavuka kinyesi hii ndoto inamahana gani?
@rehemaamidu-wn5phАй бұрын
Ukiota unapigiwa mawe
@BasilisaGulamali23 күн бұрын
Mi huwa naota niko na wasanii wakubwa kama vile diomond nini maana yake
@pastor_Estersamwel3 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y5fJf5euhJqebKMsi=8tS8xmGJTWqXhidj NDOTO ZA VIATU ZENYE Mafanikio
@JoyceMsigwa-gt4rj3 ай бұрын
Amina nimefunguliwa ubarikiwe mtumishi wa MUNGU.
@morrismusili5171Ай бұрын
Thanks nitabarikiwa
@melodious2Ай бұрын
Mmmh yan uote hela tu au biblia haha ndoto haziko ivo bana
@edwinmbunda6709Ай бұрын
Hiyo ya mvua inanihusu
@marywambui678922 күн бұрын
Mvua ni baraka
@damalove8139Ай бұрын
Mie naotanga nikiwa na kisima cha pesa nyingi yaan zimejaa kwenye kisima adi juu adi zimetapakaa