ISHARA KUBWA 3 KUWA UMEZUNGUKWA NA MALAIKA By Pastor Mbasha

  Рет қаралды 7,292

NABII WA NDOTO ( Dream Prophet).

NABII WA NDOTO ( Dream Prophet).

Күн бұрын

Пікірлер
@OdeaAdamu
@OdeaAdamu 16 күн бұрын
Amen barikiwa sanaa mtumish 🙏🙏
@MwehuMuganza-z1k
@MwehuMuganza-z1k 17 күн бұрын
Jambo mtumishi wa mungu nielezee maana ya ndonto hii: uota kuibiwa mukaba .
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 15 күн бұрын
Ameen ❤
@marklenana4394
@marklenana4394 21 күн бұрын
Amen Glory be to God 🙏
@Apostolicrestorationmira-xk5ix
@Apostolicrestorationmira-xk5ix 21 күн бұрын
Amina baba naomba kuwa moja wa hicho kikundi cha uombezi
@JulithaRobert-bl6fr
@JulithaRobert-bl6fr 27 күн бұрын
God bless you pastor
@MaryAmaiza-th2fo
@MaryAmaiza-th2fo 26 күн бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU,mm niki lala naona mwanga nikifungua macho sioni,mwanga huo uonekana sana kama ume zunguka kichwa changu,nini maana yake tafathali.
@KwayayaMtakatifuYohanePauloII4
@KwayayaMtakatifuYohanePauloII4 26 күн бұрын
Kila nisikiapo mafundisho yako Kwa Crip A natamani kuendelea na Crip B Kwa maana ni short and clear. Unahot kwenye point bila kuzunguka Kam wengine wanavyofanya. Asante Kwa Hilo na MUNGU azidi kuwa nawe. AMINA
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 26 күн бұрын
Amen 🙏🌹
@BakaliJidali
@BakaliJidali Ай бұрын
Mtumish nishawah kuota naona angani kuna upanga una makali kotekote unangaa sana adi ule mwanga unanijia kama mwanga wa radi nikawa nakimbia naogopa unanifwata unanimulika nikua natetemeka
@gladnesskwayu5292
@gladnesskwayu5292 Ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
@FrankMwaluswaswa
@FrankMwaluswaswa Ай бұрын
Pastor nimekuelewa ubarikiwe sana
@PauloKeneth
@PauloKeneth 6 күн бұрын
Toto la emmakulata
@hekimahomedecor
@hekimahomedecor Ай бұрын
mungu akubari mtumshi
@millicentrabera
@millicentrabera Ай бұрын
Amen Amen 🙏
@Marthamodest-l7q
@Marthamodest-l7q Ай бұрын
Amen, prophet hii ya kusikia kama moto mkali huwa inanipata mara kwa mara, hata na wakati wa kuomba kuna muda huwa napata nguvu sana adi nabaki kujishangaa. Pia naomba unisaidie huwa naota naona mtu mawinguni si mweupe sana wala mweupe sana alafu kama mzungu kama muafrika yani anakuwa haeleweki. Mara naona mawingu yamejichora mfano wa kondoo
@stevendominic8185
@stevendominic8185 Ай бұрын
Pia mimi hiya hali ninayo yaan kama nikiomba moto unapita au nikisoma biblia hiyo hali unitokea au nikiwa naongelea habar za kumcha mungu
@BakaliJidali
@BakaliJidali Ай бұрын
Mtumish hua naota watoto weng wamenizunguka kitandan na watoto wenyewe ni umri kuanzia miaka miwili mpaka mitano na pia wachanga naweza kumkuta mtoto kalala ndani mchanga analia namsaidia kumsafisha kama kakojoa ama kajisaidia alaf namuweka wengne watoto wameachwa nawachukua nawaogesha nawapeleka salun mara wengne nawakumbatia nimewafunika vzr hadi wanalala imenitokea sana
@GaspardSelemani
@GaspardSelemani Ай бұрын
Amen
@JanetJumwa-zf7nn
@JanetJumwa-zf7nn Ай бұрын
Ameeeni
@Lucy-t7n
@Lucy-t7n Ай бұрын
Asantii sana
@BakaliJidali
@BakaliJidali Ай бұрын
Mtumish nisaidie hua naota mwanga unanitokea na wakat unanitokea unakuja kwakunishtukizia pemben ya jicho zaidi ya miezi 4
@YustinaPascal-e3y
@YustinaPascal-e3y 27 күн бұрын
Naomba namba yako pst
@AngelWilberd
@AngelWilberd 4 күн бұрын
Nabii nisaidi katika maombi niipate kpona mapepo
@GRace-hm9ek
@GRace-hm9ek Ай бұрын
Nasaidie hii kwa sababu imentokea mara kadhaa.naeza kua nmajutuliza tu kidogo lakin sijalala bado nkajikuta nmesimama n ntembee kama step mbili hiv halaf fahamu irud na hua inatokea wakat nkiingia kwa maombi tafadhali nisaidie n jue n nn inaendelea
@GRace-hm9ek
@GRace-hm9ek Ай бұрын
Ukiota una paa
@NeemaJonathan-d2e
@NeemaJonathan-d2e Ай бұрын
Wachawiii hao wanakupaisha..😂😂😂
@BakaliJidali
@BakaliJidali Ай бұрын
Mimi niliwah kuota kuna watu wawili mmoja ni mwanaume mwingne ni mwanamke mwanaume amekaa kwenye kiti mwanamke kasimama mara nikawakaribia nikapiga magot wakanipa makaa meusi wakaniambia niyapeleke kinywan nikawa naogopa kuungua wakaniambia usiogope naomba nisaidie maana ake
@SantaCharo-g8v
@SantaCharo-g8v Ай бұрын
Ndoto ya kuumwa na nyoka manake ni nini mtumishi
@lysterrichard8417
@lysterrichard8417 Ай бұрын
Na Mimi nimeota sanaa naomba atujibu
@jumachanewstrends6899
@jumachanewstrends6899 Ай бұрын
Hiyo ni Ishara ya mbaya wako anakuandalia ama kukutendea ubaya ni ndiyo mbaya sana
@AgreyAckim-pt3wv
@AgreyAckim-pt3wv Ай бұрын
Wanaokushambulia wamefanikiwa kukuingilia
@kbabyshorts..4152
@kbabyshorts..4152 24 күн бұрын
Blunders.. Ukiwa umezungukwa ukifumba macho tu unapewa vision cio kupapasa au ukiwa katika kuabudu hujihis pekeako utaona upo unaongozq kundi...
@stevendominic8185
@stevendominic8185 Ай бұрын
Mi adi shoti kwenye ulimi najikuta naomba san
@Marywambua-qv2gg
@Marywambua-qv2gg Ай бұрын
Amen amen
@hdhjdh775
@hdhjdh775 Ай бұрын
Amen
@ochilotv1255
@ochilotv1255 Ай бұрын
Amen
@Richard-s6g
@Richard-s6g Ай бұрын
Amen
@WendeKimilike
@WendeKimilike Ай бұрын
Amen
@tunumilanzi5097
@tunumilanzi5097 16 күн бұрын
Amen
@WelingsWilliam
@WelingsWilliam 12 күн бұрын
Amen
ISHARA 7 ZINAZOONYESHA ROHO MTAKATIFU YUMO NDANI YAKO - Innocent Morris
1:07:20
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 892 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
MAOMBI YA KUOMBEA MIKONO - Innocent Morris
16:34
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 7 М.
IPM ATOA SIRI KWENYE BIBRIA DINI NI HII !
9:02
IPM TV
Рет қаралды 13 М.
JINSI YA KUZUNGUMZA NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
57:31
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 18 М.
Subhanallah!Namna Mji wa Sodoma ulivyo leo hii
10:35
Kalamutz
Рет қаралды 121 М.
KWANINI UNAPOOMBA, VITA VINAONGEZEKA? - Innocent Morris
59:27
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 36 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 391 М.
HUU NDIO MTI UNAOFUNGUA UCHAWI WA MAFUNDO SHEIKH YUSSUF BIN ALLY
24:55
AL FAJR TV TZ ONLINE
Рет қаралды 25 М.
SIRI YA MAOMBI YA USIKU WA MANANE - Innocent Morris
1:06:15
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 84 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН