Sky we ni unstoppable...the future belongs to you. Binafsi I'm proud of you
@Burner_AccАй бұрын
Ana changamoto kubwa sana ya matumizi ya L na R. Sehemu za R anaweka L kama umli, tayali, fulsa, selikali etc etc. Wewe kama msomi jirekebishe.
@JosephIsanzu-g1rАй бұрын
Congratulations for being a Dr,congrats too for a gifted voice lady.
@kalengashoppingcenter1108Ай бұрын
Tatizo la wanawake weusi kwenye vipodozi ndilo hilo, wanapenda kujichbua angali wao ni kisiki cha mpingo so huwezi kua kama Mzungu,, Matatizo tunayokutananayo wauza vipodozi moja wapo ni hili, hongera kwa uvumilivu na kumtanguliza Mungu
@nightwishisthegreatestband635517 күн бұрын
Badala ya kufocus kwenye vitu muhimu unafocus kwenye ujinga. Kujichubua kwake ina umuhimu gani kwenye maisha yako?
Hongera sana nakujua sana tangu enzi za china mpk saiv tupo Tz
@NdituTVАй бұрын
Very interesting, asante sana Sky kwa kutuletea huyo dada
@NeemaNyomeyeАй бұрын
Hongera sana
@kalengashoppingcenter1108Ай бұрын
Oyeeeeh nimejifunza vitu apo kwako my younger sister,,kweli kabisa vpaji vingi vpo mtaani vinapotea kwa kukosa kuendelezwa pia tupo na cc tunaoigana mtaani na kununiana coz wafanya kama ninavyofanya😢😢😢😢😢😢
@CarolineMwambaАй бұрын
Very Inspiring
@leonardmadelemo3043Ай бұрын
Daah very interesting story.!!
@kasangagregory5747Ай бұрын
Mungu kwanza mtangulize Mungu
@EmmanuelKiwia-ss9rw18 күн бұрын
Isher, kuna namna baadhi ya watu umewaponya kupitia mapito yako
@hassanhancha1413Ай бұрын
Ulitusahau bro sky sisi watu wa business dairy
@allymwilu80896 күн бұрын
Sura ya baba sauti ya wema sepetu 😂😂😂😂
@jaffarkhamis5986Ай бұрын
Nilichogundua kwa huyu dada kweny kujitafuta kwake ni ukosefu wa research kweny biashara, ni common mistake in TZ
@Burner_AccАй бұрын
Kabisa
@jmasutv2228Ай бұрын
Jackson Masumbuko Wambura is watching
@RamadhanMbwana-o1jАй бұрын
Na hicho ndo Kiswahili cha Tunduma😄
@king_maik637528 күн бұрын
Sauti mbaya kama vipodozi vya kichina, in shot interview mbaya sana