Shukran shekh wetu kwa kweli tunateseka kwa haya mapenz mola akuhifadhi inshaallah🤲🏽🤲🏽🤲🏽
@noorynmohammedy60633 жыл бұрын
Walykum msalam warahma tullah wabarakatu Nakupenda kwaajili ya Allah.
@ليليليلي-ج4ز2 жыл бұрын
shukraniiiii 😍y Sheikh ALLAH 🙏 akujalie afyia njem uwez kutufunz dua mbal mbal wenda tukatatua shid zetu kupitia dua mbal mbal tusiz zijua in shaa Allah y Rabbih ❤🙏❤
@shemmaster7swaleyuun228Ай бұрын
Ustadh shukran. Na kufatilia Sana ila punguza maongez. Muda ni mchache mambo ni mengi. Bando ni kikwazo
@HalimaAmiri-h1u2 ай бұрын
Shukran.jazila.shekh
@SADIKIMALISAWA-ou8sk8 ай бұрын
Jazaka allah alkhaira
@hubaamuj51293 жыл бұрын
Shukran jazzakkah Allahu khery..... In sha Allah khery yaa Rabby
@HalimaAmiri-h1u4 ай бұрын
Shukrani.jazila.allah.akuifadhi
@mariamtumwebaze389 Жыл бұрын
Jazakalahu khail Sheik
@AjyAjy-yo6kc8 ай бұрын
Ni suratul mumtahina Aya ya 7 Kwa wale mnaoulizia Iko wapi hii Aya nawatakia kheri inshallah
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Asante tunaomba utusaidie
@mariamripiti21373 жыл бұрын
Assalam aleykum warammaturah wa Barakatuh nitoe ushuuda wa kile unachokifanya nimejifunza vitu vingi sana kupitia wewe nimetatua matatizo yangu mengi kupitia mafundisho yako Allah akuzidishie
@SalmaSoko-vp8lg Жыл бұрын
Msaada wa io duaa dada
@SalmaAli-i2j10 ай бұрын
Naomba hiyo dua yakutatua matatizo
@MariamuJuma-t8zАй бұрын
@@SalmaAli-i2junaomba Dua yakutatua matatizo humsikii anaefundisha
@ZainabuMwambashi Жыл бұрын
Shukran
@mamibaybii26693 жыл бұрын
Maashaallah shukran shekh kwa mafundisho mzr Allah akujaze kila la kheri inshaallah
@LatifaMtulia9 ай бұрын
Naomba unitumie hiyo dua inshaallah
@mwanaidihamisimtupa51263 жыл бұрын
Nilimiss mawaidha yako hatari nakupenda kwa ajili ya mawaidha yako
@hosnabintmariam3287 Жыл бұрын
Aamiyn
@mahmoodalghefeili53703 жыл бұрын
Walayka salamu warahmatulkah
@mohammedmbaruk20343 жыл бұрын
A.A NI AYA GANI HIYO DUA SHEIKH
@eshamohamed9833 Жыл бұрын
Aasa Allah an yajAAala bay alum wabayna alladheena AAadaytum minhum mawaddatan wallahi qadeerun wallahi ghaoorun Raheem
@halimaduka5 ай бұрын
Assalamu alaikum warahmatullah wabarakatuh, sheikh nkokaz ila nasumbuka
@AishaBasaida Жыл бұрын
Wallahi kama mimi
@hibaalfarsi77563 жыл бұрын
alhamdulillah.
@shemmaster7swaleyuun228Ай бұрын
Sura ya 60 Aya ya 7 Ingependeza ukataja Jina LA sura shekhe mara nyengine wengine hawajui ivo
@manasadunia34583 жыл бұрын
Walaykum Salam warhamatullah wabarakatuh wapendwa naombe hiyo Aya mniandikie kwa kiswahili mana sijui
@khalidikhaliffa20822 жыл бұрын
Upo sahihi inshaAllah mwenye kuijua afanye hivyo
@shemmaster7swaleyuun228Ай бұрын
Hii Aya kwenye sura Gani?
@AlbaloshiAlbaloshi-f1w7 ай бұрын
❤
@RonaldinyoOmari2 ай бұрын
Mm sijui nini kilifanika sina mke wala gfriend wote wamenikataa nimetumia pesa mingi but sijafanikiwa sielewi ata
@hofumlewa8531 Жыл бұрын
Sheekh hiiyo Aya IPO juzuu yangapi
@nazmakneya46423 жыл бұрын
Waalekum salaam warahmatullah wabarakatuh, hii aya ipo juzuu ya ngapi, mbona ayah ya 60 lakini huja sema ni juzuu ya ngapi sheikh islam
@nazmakneya46423 жыл бұрын
Naomba jina la sura tafadhali
@زينبعليعبدالله-ز3س3 жыл бұрын
@@nazmakneya4642 inaitwa surat mumtahanah
@eshamohamed9833 Жыл бұрын
Surat mumtahanah
@EddaBaraka11 ай бұрын
Nikiwa sababu wengi hatujui kiarabu
@RonaldinyoOmari2 ай бұрын
Ninabaki kulia tu wenzangu wameoa mwaka nienda mwaka kurudi niko palepale sielewi shida iko wapi
@badshah_pro3 жыл бұрын
A.alaykm, Je kama umekosea idadi mfano umezidisha kidogo au umepunguza kidogo itakuwa haina neno? Na je inafaa kwa mtu ambaye si mkeo ila unataka umuoe lakini hataki hakupendi.
@mwajumaissa23582 жыл бұрын
Ni bora uzidishe idadi kuliko kupunguza idadi
@HadijaMaarufu11 ай бұрын
Mimi nina mtoto mdogo anayenyonya, huwa usiku anashituka nikiwa mbali naye sasa nifanyaje?
@swahibulfalak43782 жыл бұрын
Huyu nae anaongea nini
@sfiaalanazi54792 жыл бұрын
Huna matatizo ndio maana sisi wenye matatizo ndio tunamuelewa anachokiongea🙏
@halimajumanne8335 Жыл бұрын
Kwa kweli ajui
@farhannahomary5505 Жыл бұрын
Yaa akae pembeni tu
@AsmahaniOmar-w3m Жыл бұрын
Shukran
@HadijaMaarufu11 ай бұрын
Mimi nina mtoto mdogo anayenyonya, huwa usiku anashituka nikiwa mbali naye sasa nifanyaje?