ITAKUTOA MACHOZI: maneno ya MAKONDA na KILIO kaburini kwa MAGUFULI CHATO

  Рет қаралды 58,997

Habari Digital

Habari Digital

9 ай бұрын

Пікірлер: 142
@AdellahNdaro-cr4ni
@AdellahNdaro-cr4ni 9 ай бұрын
Ubarikiwe kiongozi muheshimiwa Makonda rip JPM
@user-pl4ug9qj6w
@user-pl4ug9qj6w 9 ай бұрын
Mungu akupe umri. Mrefu bwana poul makonda uendelee kuwatumikia wananchi kiongozi wa chama chetu ukiongozwa na mama yetu pedwa mama SSH ubarikiwe Sana 🙏
@jumastephano2688
@jumastephano2688 9 ай бұрын
Makonda makonda makonda 😢😭😭😭😭 wew umekuwa mtu wa kwanza kumpa heshima marehe Dk.John pombe magufuli nashukur sana mungu akubariki 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😢
@noelbryson7840
@noelbryson7840 8 ай бұрын
Siyo kweli.. Wacha kuongea uwongo..
@user-zi3kt4yy9l
@user-zi3kt4yy9l 9 ай бұрын
Tunashukuru kwa küm kumbuka kiongozi wetu
@mariaikombe7839
@mariaikombe7839 9 ай бұрын
Nimejikuta Malia Bila kutegemea😭😭😭😭
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 9 ай бұрын
Mama ulifanya vizur sana kumweka Paul makonda, Tutafika mbali sana nakupenda sana mama
@user-ek6td4kt4t
@user-ek6td4kt4t 9 ай бұрын
From the bottom of his heart. Mungu akujalie ukawe mwema na nyota yako ingae
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 9 ай бұрын
Uwe rais tu ❤❤❤❤maaaana ww nikichwa nafurahia kumkumbuka magu😭😭😭😭😭mkombozi wa nchiyetu komando wa wezi
@helentelemla5623
@helentelemla5623 9 ай бұрын
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie MAGUFULI aendelee kupumzika kwa amani. Msamehe kama kuna mahali alikosea.Mungu naomba utupe kiongozi wa aina ya Magu.
@AdellahNdaro-cr4ni
@AdellahNdaro-cr4ni 9 ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu kwa sababu ya wengi muheshimiwa makonda
@ThomasMagoti-it4ty
@ThomasMagoti-it4ty 9 ай бұрын
Makonda Anajikaza2 lkn hayuko sawa kiukweli
@shawnmansour5695
@shawnmansour5695 9 ай бұрын
Katika nchi hii walishatangulia mbele ya haki Mwl. Nyerere na Mzee Mkapa;... ila kwa mawazo yangu naona kama msiba wa huyu Mzee unawasumbua hivi 🙃
@jacksonstephano8570
@jacksonstephano8570 8 ай бұрын
Makonda Nena alio yanena Jemedari JPM mungu atakuweka njia njema
@marymchina6557
@marymchina6557 9 ай бұрын
Jaman mnaniliza mimi MAGULU hato nitoka ndani ya moyo, Mungu msamehe makosa yake umkalishe patakatifu Amen!
@jeanettenashoni
@jeanettenashoni 9 ай бұрын
😭😭😭😭😭 Sitomsahau pia
@kingnyamafutv8646
@kingnyamafutv8646 9 ай бұрын
Tunashukuru mama samia kuteuwa makonda pia MUNGU amlaze pema peponi mpetwa wetu babayetu babuyetu Raisi JONH POMBE MAGUFULI amina🙏
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 9 ай бұрын
JPM A PRESIDENT OF THE WORLD 🌎 IN HARD TIMES(COVID-19) I WILL NEVER FORGET IN MY LIFETIME.
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 9 ай бұрын
Ifike mahala serikali itenge siku ya kifo Cha mh hayati Magufuri iwe siku maalumu
@nicksonmremi3412
@nicksonmremi3412 9 ай бұрын
Daah naona ameenda kutembele kabur la jembe lakeeeee safiiii
@JosephMilinga-nl4zh
@JosephMilinga-nl4zh 9 ай бұрын
Kifo cha jpm hakitazoeleka ni kama kazikwa jana,leo kwa mala nyingine nimejikuta nimelia tena juu ya kifo chake,msiba wa Mkapa haukuliza watanzania ila jpm mpaka leo tunaendelea kuomboleza
@user-vf5gs7ik7w
@user-vf5gs7ik7w 9 ай бұрын
Hakika..zutasema kazikwa sasa hivi
@noelbryson7840
@noelbryson7840 8 ай бұрын
Wacha kupotosha watu wewe?. Unawezaje kusema msiba wa Mkapa haukuliza watanzania ? .. Akili ndogo..
@marrymwashinga1942
@marrymwashinga1942 8 ай бұрын
Me Sina mengi yakusema zaidi yakukuombea maisha marefu,na mungu akuepushe na mabaya yooote🙏
@jeanettenashoni
@jeanettenashoni 9 ай бұрын
😭😭😭😭😭 JEMEDALI Magufuli , kuna wakati sitakagi hata kusikia sauti yake maana natoaga machozi mnooo😭😭. Rest in peace daddy
@aminamiraji9032
@aminamiraji9032 9 ай бұрын
Tumshukuru Mwenyezi MUNGU Kwa zawadi ya maisha yake, alifanya KAZI yake kikamilifu na ilikuwa njema, tunamuomba MUNGU muumba wa ulimwengu wote na vyote vilivyomo ampe Sasa mtumishi wake tuzo ya ufalme wake usiokuwa na mwisho Raha ya milele umpe Ehe Bwana na mwanga wa milele umwangazie 🙏
@sadalaelias5882
@sadalaelias5882 8 ай бұрын
Asante Makondo umemsemea Rais wetu mpendwa Dr Samia suluhu. Kazi iendelee.
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 9 ай бұрын
Kati ya vitu alivyovifanya mama ni kumteua Makonda ambaye ni zao halisi la Magufuri,awakumbuke pia kina Pole pole
@OS-pf6op
@OS-pf6op 9 ай бұрын
Tunamkumbuka Rais wa kweli wa bara hili la Afrika.
@rachelkaaya5539
@rachelkaaya5539 8 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mh Makonda
@user-bq9me7st6z
@user-bq9me7st6z 8 ай бұрын
Nakupenda kwa moto huo mungu akubariki
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 9 ай бұрын
❤❤JPM R.I.P
@misheckmrk8848
@misheckmrk8848 9 ай бұрын
😢😢😢😢😢 Sina megi jila na MUNGU litukuswe milele 🙏🙏
@florachogo243
@florachogo243 9 ай бұрын
Tutakukumbuka daima 😢
@user-zy6vq6lz7z
@user-zy6vq6lz7z 9 ай бұрын
Pumzika kwa Amani JPM mungu akupe pumziko La uzima😢😢😢😢
@johnmworia1062
@johnmworia1062 9 ай бұрын
RIP somo wangu John.Mungu akupe raha ya milele.Amen ila makonda chapa kazi,usimwangalie mtu usoni.Uwe mfano wa magu.kwani yoote magu aliyoyarekebisha kuanzia maadili ya kiutawala yametoweka kabisa.Viongozi wanastarehe tuu na kuota viburi.sii mahospitalini,si wapi.Usanii umekuwa mwingi kiutendaji kazi.Viongozi wanajali maslahi yao tuu,huku wananchi wakitaabika.
@SamweliMwankisi-zk3xm
@SamweliMwankisi-zk3xm 9 ай бұрын
Ameni mungu akubaliki
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 3 ай бұрын
Komando wa Africa ❤❤❤❤ umetutoa matongongo watanzania mungu akupe amani jembe letu.
@martinemandagani9583
@martinemandagani9583 9 ай бұрын
Kaka yetu ,Paul Makonda ,kama jpm,alivyokuwa mchapakazi na mwadilifu ,basi nawe pia tunakuomba ufuate nyayo zake,. Sisi wtz wanyonge tuna Imani na wewe,
@paskalinaleopold3251
@paskalinaleopold3251 9 ай бұрын
Dah 😢😢😢😢😢😢😢inaumaa Mungu akulindeee paul makonda kumkumbuka nimejikuta naliaa 🙏🙏🙏🙏
@davidrutalomba4371
@davidrutalomba4371 9 ай бұрын
RIP JPM
@user-gu3yc1gw3v
@user-gu3yc1gw3v 9 ай бұрын
Tutakukumbuka daima
@happysanga6846
@happysanga6846 9 ай бұрын
Kipenzi Cha wa TANZANIA tutakukumbuka mile😭😭🙏🙏
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 9 ай бұрын
Ipo siku kweli itajulikana na kisasi kitalipwa
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 9 ай бұрын
Kisasi Cha nini tena mwenzetu mmhhh?
@user-gb4yp3um8o
@user-gb4yp3um8o 9 ай бұрын
Hogera sana makonda umetukumbushia msiba tena mungu akulinde ktk majukumu hayo uliyopewa,pia hongera kwa kuwa na shukrani wewe ni zao lake,Raha ya Milele Ampe ee bwana na mwanga wa milele amwangazie apumzike kwa Amani ameni
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 9 ай бұрын
RIP Rais wetu kipenzi tutakukumbuka Daima. Bandari imeenda Ngorongoro imeenda.Hatuna namna lakini Mungu atatubakizia Masalia. Komred Makonda utafika mbali Mungu akufiche dhidi ya Maadui wabaya.
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 8 ай бұрын
Wallah umeniliza 😢😢 mh makonda mungu akutangulie katka kaz zako Ameen
@modesterjephter6252
@modesterjephter6252 9 ай бұрын
R.I.P.JPM.
@zacharyyesaya
@zacharyyesaya 8 ай бұрын
Hii ndio nchi pekee ambayo wafu wake hawapunziki wanaoendelea kung'ang'aniwa waendelee kuchapa kazi za nchi na chama hata akiwa peponi.Sijui kule aliko Kuna vyama na serikali?.Duh tungemuacha apumzike, si tuhangaike na yetu. Sasa naelewa Hilo kaburi lilivyojengwa vizuri kumbe halikuwa kwa ajili yake Bali kwa ajili yetu, Ili tukimhitaji tumkute hapo.Niishie hapa kwanza.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 8 ай бұрын
Kaka unaona mbali sana.. A big thinker..
@eligiuselias4469
@eligiuselias4469 8 ай бұрын
Mimi ni mwanume lakini machozi yamenitoka daaah😢
@catherinemukami4190
@catherinemukami4190 9 ай бұрын
Kwa kweli tunamkumbuka ,ila Mungu kampenda zaidi.
@elikanaernesti8440
@elikanaernesti8440 9 ай бұрын
Pumnzika Kwa Amani magufuli
@issackntacho4498
@issackntacho4498 9 ай бұрын
So Sad
@AgnesKalinga-if3uf
@AgnesKalinga-if3uf 9 ай бұрын
.......Namwogopa Mungu
@JohnGamma
@JohnGamma 6 ай бұрын
Mungu amlinde
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 8 ай бұрын
Dah pumzika kwa amani baba yetu😢😢 daima tutakukumbuka
@user-pf5gg5gk6i
@user-pf5gg5gk6i 9 ай бұрын
Big up paul makond u will
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 9 ай бұрын
Aisee Makonda anajua kuomba kama mchungaji!!! Kumbe ni mwanasiasa.
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi 9 ай бұрын
Hadi leo hii rais ni Magufuli. Ukiniambia amekufa ni kama unanitania. Kimwili hatuponaye, lkn kiroho tuponaye kila siku. Jmn nilimpenda sana Magufuli, nilimpenda sana. Machozi yananitoka hadi leo. Ukinikumbusha kidogo tu naanza kusikitika kwelikweli. Makonda Mungu akubariki sana. Amen.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 8 ай бұрын
Me nikimkumbukaga Nyerere nahuzunika…
@ThomasMagoti-it4ty
@ThomasMagoti-it4ty 9 ай бұрын
Mungu Ww ni Mwema Daima
@zenobiakapere1379
@zenobiakapere1379 9 ай бұрын
Apumzike kwa amani.
@rahelsimon2014
@rahelsimon2014 8 ай бұрын
Mungu akulinde makonda mama amefanya maamuzi mazuli nchi ilikuwa inazama
@user-we2qz1kb8h
@user-we2qz1kb8h 9 ай бұрын
Tutakukumbuka daima😂😂😂😂 Asante mungu🙏
@GerardWilliam-xt8pb
@GerardWilliam-xt8pb 9 ай бұрын
Ndugu tusisshau bandari 😂😂
@user-hk3uu1du7l
@user-hk3uu1du7l 9 ай бұрын
Apumzike kwa aman baba yetu
@user-vk4mv8iu4h
@user-vk4mv8iu4h 9 ай бұрын
Asant kwa kumbuka kiongozi wetu🙏
@latifalayla9990
@latifalayla9990 9 ай бұрын
Mnajivisha Ngozi ya kondoo Km n wakweli na hayo machozi twambieni kipi kilimsibu mzalendo mpk alale hapo? Yawezekana si mapenzi ya M'MUNGU ni ya watu flan yaliyosababisha kulala hapo wengine ndo haoahao.
@kibaladangohe6399
@kibaladangohe6399 8 ай бұрын
Dah mungu mpe pumziko njema baba yetu😂😂😂
@user-bn2eh7os7l
@user-bn2eh7os7l 9 ай бұрын
Mungu akbarik
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 9 ай бұрын
Mwamba WA mabeberu umelala kwa Aman. Kazi zako na matendo yako yanaishi😭😭
@user-xz4mc4ec7x
@user-xz4mc4ec7x 8 ай бұрын
Daah Yan kila kinifika mbez aseee
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 8 ай бұрын
Makonda umeangalia mbali na siujanja wako kuzuru makaburi ya viongozi Hawa ni nguvu ya mungu imekuongoza hakika makonda Nakuona mbali mnomno umebarikiwa makonda
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 8 ай бұрын
Bro/Mkuu Paul Makonda.Kwa huo moyo wako napia mwenendo wako mzuri.Mi nakutabiria makubwa sana mbeleni kama MWENYEZI MUNGU akitujalia uzima.Maana ww kijana mwenye kuthubutu siku zote
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 8 ай бұрын
Maua yanaanzia duniani.upendo usio na unafiki.Mungu anasikia.hata mawazo yetu anayajua tokea mbali.umemwambia Mungu utasimamia haki.na utende.au Mungu atakupiga.
@sharommiriam2674
@sharommiriam2674 9 ай бұрын
Amina❤
@user-dh8eg7nu3j
@user-dh8eg7nu3j 8 ай бұрын
Pole sana
@abdallabundala404
@abdallabundala404 8 ай бұрын
Makonda big up sana
@jeremiahmwasomola1252
@jeremiahmwasomola1252 8 ай бұрын
Ipo cku mungu atakuinua makonda umeniliza sana. Saf
@josephlorri431
@josephlorri431 9 ай бұрын
Kuna huyo mwamba just kushoto ya makonda,mwenye kapero..ana akili sana..wala hakuvutwa na hisia kali za makonda..wengi wanalia... hapo ni hisia zaidi..wala kweli halimo ndani yao.
@user-le1mo8ru7u
@user-le1mo8ru7u 9 ай бұрын
We ni mjinga sana kifo cha maghufuli imemgusa kila mtu mimi hapa machozi yananilengalenga pole sana mwanangu Paul makonda
@josephlorri431
@josephlorri431 9 ай бұрын
@@user-le1mo8ru7u namna pekee ya kumwenzi JPM..acheni ufisadi...sio kulia na kuamsha hisia za majonzi.. hapo makonda anacheza na hisia zenu..acheni ujinga
@joshuamgoba6705
@joshuamgoba6705 9 ай бұрын
😂
@judyngowi391
@judyngowi391 8 ай бұрын
Kamshtukia jamaa msanii tu
@mathiasgodfrey8004
@mathiasgodfrey8004 8 ай бұрын
Daah MUNGU akutangulie kwenye utumishi wako na akulinde kwenye kila hatua
@salumjrsaidjr7150
@salumjrsaidjr7150 9 ай бұрын
Baba kulia Unaomba msamaha Kwa jpm?
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 9 ай бұрын
Anaomba msamaha kwani alimkosea nini?
@ombendaud5938
@ombendaud5938 9 ай бұрын
Baba yetu Magufuli ulioko amka utuone Samia anavyotunyanyasa ameuza bandari na ngorongoro amerudisha mbuu na vyandarua.Hii ndo kazi ya kikweta baba amka Magufuli
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 8 ай бұрын
Lala salama baba 😭😭😭
@johnmahu5060
@johnmahu5060 9 ай бұрын
Ccm kweli ni mashetani yan mnalia kaburin kma ndo anazikwa ? Bosi wa makonda wauaji wakubwa Mungu awalipe tu hpo mnaomba lkn baadaye mnatoa kafara baraka ya kuongoza kibabe?
@mushumbaeric4916
@mushumbaeric4916 9 ай бұрын
Ata wana wa Israel pamoja na kuongozwa na Mungu fece 2 fece ila wanafki kama nyinyi walikuemo
@robertigohe7477
@robertigohe7477 8 ай бұрын
JPM alitangulia mbele za haki,ninacho amini akina jpm wengi wapo na watazidi kuzaliwa.keep it Makonda
@jumastephano2688
@jumastephano2688 9 ай бұрын
🙏🙏🙏
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 9 ай бұрын
RIP Mpendwa wetu mbele yako nyuma yetu RIP MH JPM
@ramadhanisimba3443
@ramadhanisimba3443 6 ай бұрын
Ni heri kufa Kwa tumaini la mungu kuliko kufa kwa tumaini la binadamu,😂😂😂😂
@barakavalencendola1117
@barakavalencendola1117 9 ай бұрын
Rip Jpm
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 9 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@judyngowi391
@judyngowi391 8 ай бұрын
Vituko nchi hii jamani!
@marymchina6557
@marymchina6557 9 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢
@awadhawadh5828
@awadhawadh5828 9 ай бұрын
Ameen
@ThomasMagoti-it4ty
@ThomasMagoti-it4ty 9 ай бұрын
😭😭😭😭😭
@robertigohe7477
@robertigohe7477 8 ай бұрын
😢😢 kinachofanyika Juu ya teuzi mbili zimelenga kuuhadaa umma wa watanzania hususani Kanda ya ziwa wakiandaa 2025. Jamani hamshituki,mnahongwa na teuzi mbona yule nshomile bashiru walimtoa?
@josephjosephati4841
@josephjosephati4841 9 ай бұрын
Kuna jamaa amemwangalia san makonda hapo uyo wa jiran yake duu
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv 9 ай бұрын
Namm nimeona jicho Lina jambo hilo
@HappinessSawe
@HappinessSawe 8 ай бұрын
Atakua wa usalama banaa😂
@judyngowi391
@judyngowi391 8 ай бұрын
Anamshangaa jamaa alivyo msanii
@judyngowi391
@judyngowi391 8 ай бұрын
Usanii mtupu wala hamna chq kuniliza hapa!
@edwinsilas4326
@edwinsilas4326 9 ай бұрын
Jamani nimejikuta nalia mno mungu tusaidie
@joycehaule9717
@joycehaule9717 8 ай бұрын
Yan hapo nikama anaandika nimerudi baba madarakini jamani
@user-ut6jq4pl3p
@user-ut6jq4pl3p 9 ай бұрын
Ulipanda wakati wa kikwete na JPM akakupokea na Mwisho alikutema .
@alexanderdustan8872
@alexanderdustan8872 9 ай бұрын
Acha umbea Jpm alimtema ?
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 9 ай бұрын
Pole Paul
@Sulla924
@Sulla924 9 ай бұрын
Amen
@Antelius-ew6it
@Antelius-ew6it 9 ай бұрын
Asante kwa kumkumbuka kamanda wetu
@MichaelLinda-vd8rx
@MichaelLinda-vd8rx 2 ай бұрын
Magufuli wetu pumzika baba😭😭😭
@Toysstoretz
@Toysstoretz 9 ай бұрын
😭
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 10 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
MHE. RAIS SAMIA AKITEMBELEA KABURI LA HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI
9:42
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 625 М.
MAGUFULI AMPIGIA MKURUGENZI TAKUKURU LAIVU, AMFUKUZA KAMISHNA WA MKOA!
13:52
Tanzania All Stars - Lala Salama (Magufuli) Official Video
11:01
Wasafi Media
Рет қаралды 12 МЛН
Rais Magufuli Amaliza Bifu la Makonda na Ruge Jukwaani
3:39
Global TV Online
Рет қаралды 14 М.
TAZAMA RAIS WA IPU DKT. TULIA ALIVYOTUA JIJINI MBEYA HAIJAPATA TOKEA
9:09
🤣🤣❤️
0:26
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 2,5 МЛН
AAAAH
0:10
F L U S C O M A N I A
Рет қаралды 14 МЛН
Маленький кролик-курица
1:00
КиноАнгар
Рет қаралды 1,3 МЛН
All creatures are from God #jesus #jesuschrist #jesuslovesyou
0:19
Jesus By Your Side
Рет қаралды 59 МЛН