Itakuwa Hatari Kubwa sana Kama Tutapitisha Katiba ya Machifu Tanzania - Humphrey Polepole

  Рет қаралды 8,129

Dizzim Online

Dizzim Online

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@mburawambulanga3500
@mburawambulanga3500 2 жыл бұрын
Mh. Balozi Humphrey Ezron Polepole mtu makini sana sana
@kiatu
@kiatu 2 жыл бұрын
Polepole ni mmoja wa viongozi wachache sana wenye vision hapa nchini
@timboxlee919
@timboxlee919 2 жыл бұрын
Excellent polepole
@zainabkiluwa8650
@zainabkiluwa8650 2 жыл бұрын
Huyu ni kambarage Nyerere kazaliwa upya mungu mbariki polepole.🙏🙏
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Huwa nakuelewa sana mh polepole
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Mama Kawaondowa Magufuli team kuwatesa Watanzania walio wengi. Kairudusha Tanzania nyuma sana kwa kukiuka na kuacha kuifuta legacy ya Hayati Magufuli. Akitaka Tanzania iendelee ni kupigana na watu wachache wanao itafuna Tanzania. Lakini ndiyo anawasikiliza na kumpoteza. Kupotea kwake ni mateso makubwa kwa Watanzania walio wengi. Hawo wachache wana mutu pia sifa za uwongo na kumufanya aone anayoyafanya yote ni sawa kumbe Watanzania wanaumia kwa tozo kwa wizi unaoendelea.
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Mimi pole pole nime muelewa kwenye huo uchifu tena nimemuelewa sana
@davidgustavkomba2521
@davidgustavkomba2521 2 жыл бұрын
Watu wawili Tu ninaweza kuwasikiliza wakihojiwa. Ahmed ally na hamphrey polepole
@josephrutta6834
@josephrutta6834 2 жыл бұрын
Ni ngumu sana kuwa mwadilifu katikati ya WAHUNI. Maana wao hufikiria nafsi zao na ndugu zao tu hamna cha Taifa. Wamemsukumia MALAWI jamaa. Ila wazalendo tunakuelewa sana kijana, Mungu akulinde huko.
@-KINKAU
@-KINKAU 2 жыл бұрын
Huyu jamaaaaa anajua sana
@kaguripenina63
@kaguripenina63 2 жыл бұрын
Mtangazaji unaonyesha akilindogo ubishi
@hassankidilikia5566
@hassankidilikia5566 2 жыл бұрын
Polepole bado tunakupendaa
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 2 жыл бұрын
KATAA WAHUNI!! C,JUI HAMWELEWII!! ILA IPO CKU WATAMWELEWA TU🇹🇿✍️
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Hicho kichwa sana ndugu mchome utamuuliza maswali sana huyo hata wakimtupa wapi ajae huyo ni kama ukimpiga chura teke unamuongozea mwendo huyo mungu akimjalia kuna uwezekano mkubwa akawa Rais au waziri mkuu
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 Жыл бұрын
kuelewa ni kujaliwa huyo hakueliwi mheshimwa Polepole
@kizbeka369
@kizbeka369 2 жыл бұрын
Huyu mwamba ni level zingine kabisa na ndio maana mama S kaamua ampeleke mbali na tz
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Kiz beka huyo ni kichwa sana hata akimtupa wapi ni kama kumpiga chura teke unanuongezea mwendo naamini kwa nguvu za mwenyezi mungu atampa nguvu kwa maombi anaweza kuwa Rais au waziri mkuu na nyie vijana mtashangaa huyo bado mtoto
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 2 жыл бұрын
Huyu Mwamba,au basi tuu Ila huyu Mtangazaji ni mgumu kuelewa sana 😁😁😁😁 U chifu haufai asei,ni Mwanzo wa Ukabila Maana ile Majuzi Hanganya alivyo kutana na Ma chief watu wa kabila flani walianza kuhoji uhalali wa mmoja wa ma chief wao na kumpa tuhuma ya kuuwa na kudhurumu
@shabbyprotus6552
@shabbyprotus6552 2 жыл бұрын
Mama katualibia chama cha mapinduzi kaweka makundi ya kinafki na wapigaji rest in peace jpm
@wilsonzephania491
@wilsonzephania491 2 жыл бұрын
mtangazaji mugumu kuelewa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Mchome unauliza sana maswali nenda pia ukaulize kwanini mafisadi wamerudishwa tena na kupewa nafasi kwenye taasisi mbalimbali wakati awamu hiyo ile walikuwa pamoja wakati walikuwa pamoja wakiwatoa mafisadi hao na wshujumu uchumi iweje warudishwe tena kuna siri gani hapo nyuma ya pazia
@solomonnanguni2688
@solomonnanguni2688 2 жыл бұрын
Huyu jamaa alikuwa Polepole.kweli, ila saivi ametukatisha tamaa . Ulweli sasa haumo.ndani yake. Kesha.kunywa maji ya bendera ya chama CCM.
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Wezi na wahuni kwenye serikali wamefanya juu chini, mpaka wamemuondowa na kumpeleka Malawi. Tujiulize ni kwanini? Kaondoka Polepole bungeni kwa sasa tumebaki na wabunge kimya wanaogopa ni kupiga makofi tu vitu visivyokuwa na maana.
@GeorgeLio-e7v
@GeorgeLio-e7v 2 жыл бұрын
KWA WALE WANAOHITAJI MAMBO YA WAKUBWA, KARIBUNI UYAPATE, 🍑🍆💦kzbin.info/www/bejne/lYKXn2iIe5ygp82cttps://kzbin.info/www/bejne/lYKXn2iIe5ygp80
@youngthugmmange3778
@youngthugmmange3778 2 жыл бұрын
Na kama utafufua uchief ili wasolve matatzo sas wenyekit na madiwan wa nin sas?
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Kutuchanganya vichwa wamekosa mbinu ya kuendesha nchi .Badala wafufue viwanda tupate ajira wanatuletea mambo yaliyopitwa na wakati. Kwanza ni kumpinga Mwalimu ,Tanzania nchi hii viwanda vimekufa kila kitu kuagiza nchi za nje aibu tupu
DIPLOMASIA || Mazungumzo na Balozi Humphrey Polepole
27:26
Azam TV
Рет қаралды 14 М.
Mkasi | S11E01 With Humphrey Polepole
29:42
MkasiTV
Рет қаралды 15 М.
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 145 МЛН
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
MasomkaMagic
Рет қаралды 38 МЛН
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 20 МЛН
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 7 МЛН
MAHOJIANO YA HUMPHREY POLEPOLE  NA STAR TV
51:05
Amb. Humphrey H. Polepole
Рет қаралды 35 М.
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 145 МЛН