Usijar baba Kaa ktk nafas yako mungu aliyokupangia uwenda kuna kitu umeepushiwa
@christinabageze31883 жыл бұрын
Kabisa rehema
@eastcuisines1243 жыл бұрын
kabisa aise Mungu ana mengi tusiyoyajua
@asteliamwashiuya54333 жыл бұрын
kwer Mungu anamaksud yakee bab usjar kaaa tu sehmu yakoo nzur tu
@somyfrank13 жыл бұрын
Sijajua mwenye makosa ni Nani hapo, Ila nafsi yangu hainitumi kumlaumu huyu waziri mteule...ni hayo tuu
@jacoblaiser76342 жыл бұрын
Ahaaa. Mwisho kukawaje???
@jeremiacoronery92133 жыл бұрын
Hatareee!! Kuna nguvu flan hapo bilashaka
@olivervalentino97883 жыл бұрын
Kabisa
@jessicastephano59743 жыл бұрын
Hatari jamani
@tecnof2353 жыл бұрын
Jaman wangempa nafac yawezekana kuna shida
@judithakoth18343 жыл бұрын
Eeh Mungu bila wewe hatuwezi chochote tutetee,kwa kweli inatia huruma sana, pole sana Mungu yupo pamoja na wewe.
@annamitumba39813 жыл бұрын
Yaan hii dunia bila kumtanguliza Mungu kwa akili zetu hatuwez kitu. Shetani yupo kazini.
@fadhilimahonya45753 жыл бұрын
uchawi upo shehee
@BigZhumbe3 жыл бұрын
Shetani kapewa kazi ni nani?
@RafikimediaTZ3 жыл бұрын
You touch my Soul. Very true my Brother. Mungu tumuweke mbele kabla ya kufanya lolote.
@goodluckjoseph22033 жыл бұрын
Pengine hiyooo hali siyooo yey lakin kwa kuwaa shetan yupo kazin ndoo mana mmetowa
@robinsonmaleo373 жыл бұрын
Ukisikia uchawi ndo huu sasa. Wewe kuitwa kwenda kuapishwa umeshatangazia kijiji kizima. Unatarajia nn
@abdulazizchilwan52023 жыл бұрын
Haha
@manaseelias23513 жыл бұрын
Jamii inajua coz taarifa vyombo vya habari vilitangaza hiyo ni nguvu za giza na fitina , , Mungu atamsaidia kwa upande mwingine
@tecnof2353 жыл бұрын
Mungu msaidie
@vicenttheophil92543 жыл бұрын
Jamani jaman hata kama ndo imani potofu huo ni uchawi tena ugwiji wa uchawi
@falzfalz76783 жыл бұрын
Yesu wangu
@philipo_llovilov13113 жыл бұрын
Ukiskiliza kwa makini kasema "macho"kwa sauti ya chini ikionesha kuna shida hapo
@vitalisntahindwa53293 жыл бұрын
Daaah pole yake
@myalekulwa3 жыл бұрын
Daaaaaahhhhhh anatia huruma xna ,
@zacharymusungu85448 ай бұрын
Rest in peace
@ukk97983 жыл бұрын
YATUPASA KUMTANGULIZA MUNGU KWA KILA JAMBO HATA KAMA UNAONA LA KAWAIDA
@geroldmwinuka64113 жыл бұрын
upo sahh
@vicentshija52303 жыл бұрын
Binadamu mdudu mbaya sana .akiamua kukuharibia anakuharibia usipomtanguliza mungu
@consolatamedard65933 жыл бұрын
Duuuh ii ndyo Dunia Mweken Mungu mbele jaman bola wamekuganya tu ukashindwa kusoma wengine siku unasimama apo ndyo mwisho wako Wa kuish mchen Mungu jaman
@rehemamaduhu56423 жыл бұрын
Pole
@ednamanji3 жыл бұрын
Jamani labda ana matatizo ya Macho, angevaa miwani.
@masundelwa3 жыл бұрын
Labda tatizo ni MIWANI jamanii
@ferouzmasoud47413 жыл бұрын
Kama kuna binadamu alye mfanyia ubaya huyo Baba wa watu Mw/Mungu atamlipia
@pendosisiu12303 жыл бұрын
Hili ni ttzo la macho bn poleeeeeee ucjl bn
@nasrayahaya50073 жыл бұрын
Pole sana
@jalexandergroupcompany20993 жыл бұрын
Safi sana
@wemabakari66053 жыл бұрын
maskin au ni uoga wa kuwa mbele na mkuu labda
@ahadimastonesinkwembe69073 жыл бұрын
Mungu amtetee huyu waziri uchawi upo munge msaidia
@praxedakimario29283 жыл бұрын
Mmmh 🤔🤔🤔
@kelvinvenance36273 жыл бұрын
Kuna kitu hakipo sawa
@jacquelineijumba2483 жыл бұрын
Kwani alitumia vigezo gani kwenye uteuzi?
@georgealila70033 жыл бұрын
Alikua haoni maandishi vizuri sio kama hawezi kusoma
@LISSA0283 жыл бұрын
Mungu anisamehee lkn hapa kuna mchezo mchafuuuu wa kishetani wamuhoji curio
@rhodanangoma73863 жыл бұрын
Mshukuru Mungu Kaka ! Kwani yeye ndiye mwamuzi wa Haki.
@jeremiacoronery92133 жыл бұрын
Hapo alifanyiwa ukemia wa hali ya juu hyo kituu haiwezkani jamanii
@dayanashadrack34753 жыл бұрын
Jamani hapa ndipo naiogopa dunia
@yusufuheri65243 жыл бұрын
Dunia hii ina watu ambao mungu anataka kuwaokoa lakini inawafanya wawe wagumu kweli kweli
@violetpaulsen17413 жыл бұрын
Uchawi upo tumtangulize Mungu kwa kila jambo pole mheshimiwa wakati wako upo
@mwajabushaban68253 жыл бұрын
Mmmmh 🙄🙄🙄🙄
@yudamwakinyala63813 жыл бұрын
Nakupenda Sana rais wangu ila ungemtanguliza Mungu kumstili huyo wazili ingependeza Sana kusoma kwa sauti sio kujua kikubwa utendaji km wako ulio tukuka utukufu baadhi ya walio apa vizuri huwenda nao wakawa sio waminifu kwenye utendaji unaona bola yupi mzee kazi njema..
@ericknchimbi68753 жыл бұрын
Jamani uchawi hupo hadi kiswahili
@hopemusictz93533 жыл бұрын
Mh!
@colethamyonga82283 жыл бұрын
Adi huruma duuh,ndumba izi.
@salmaluhombero84663 жыл бұрын
Na avae miwani mngempa second chance jamani dah
@salmaluhombero84663 жыл бұрын
Binadamu sisi je ungekuwa wewe ndio umeshachaguliwa kuwa raisi alafu wakati wa kuapa kunatokea kitu kama hicho unanyanganywa uraisi ungejisikiaje wangesubiri siku ya pili angeenda kuapa tena watu wanapanick saa nyingine hata rais obama wa marekani alikosea kuapa wakamuapisha tena sijui nyumbani kuna nini was not fair upande wangu imagine saa nyingine huyo kaka angesaidia jambo kubwa sana kwa nchi yetu mbona Mungu anatupa second chance dah it’s sad
@estersaimon18253 жыл бұрын
Dhuuu pore sana
@saheedali74673 жыл бұрын
Kusoma anajua ila macho yake yanahitaji kupimwa
@MrKhatibu3 жыл бұрын
Mtihani kwakweli, ila uongozi ni hekima na busara
@olivervalentino97883 жыл бұрын
Mungu amsaidie kuna nguvu za giza sio bule
@peterbenerd73673 жыл бұрын
Huyo jamaa nguvu ya giza imemshikilia raisi kipindi Kama bunge mwombeeni mungu
@mussamnyama37553 жыл бұрын
Amini kuwa uchawi hupo
@allykazoa70653 жыл бұрын
YANI UYU kuna Kitu Siyo Bure Ndomana Unaambiwa Kabla Ya kwenda Kuomba Kazi Mtangulize Mungu Kwanza Yani Kuna Mkono Wa Mtu Siyo buree pole wazili Aikuwa Bahat yako.
@jacquelineijumba2483 жыл бұрын
Mkeo na watoto wako utawambia nini!
@merymwamwezi92733 жыл бұрын
Duuuuuu umeshindwA kuapaaaaa. Hatareeeeee
@allykiwembo30433 жыл бұрын
atawambia nn kwan wao hawajuwi kama dunia ina mambo
@ericknchimbi68753 жыл бұрын
Duuuuu
@ombenmunisi83013 жыл бұрын
Huyo sio kwamba hajui kusoma kunatatizo wajanja wameshamuwahi
@samwelpaulo73993 жыл бұрын
Jesus
@mrmarwayosiayakobo52093 жыл бұрын
Ziko sababu nyingi ambazo zinaweza zikamfanya asiweze kisoma vizuri.. Ila siamini kama jamaa hawezi kufanya kazi au kisomo chake ni cha mashaka. Maana naamin hata kuteuliwa kwake walitumia vitu vingi sasa inakuwaje inakuwa hivi.
@mrikariakulwa31843 жыл бұрын
Hii ni kawaida kabisa me ningekuwa raisi ningemwambia mh waziri ushapita tayari umeshahapa me nataka ukafanye kazi
@elizabethbusigara45683 жыл бұрын
Mbn kaongea tu vzr
@mjakazijuma7 ай бұрын
Lakin rais magufuli wakati mwengine aangalie Kuna mengine inakuwa ni mazaifu ya mwanadam Mimi Sina hata diploma Lakin kwa pale kusoma ninaweza unaweza kuona sio kwamba hawezi kusoma huenda Kuna sababu nyengine
@jacoblaiser76342 жыл бұрын
Kaonewa tu wala sio mbaya kama alivyokaripiwa we sema simba hachezewi sharubu
@ilove60603 жыл бұрын
Yani happy nanzi na mbuzi na jogoooo wamehusika hapo
@tazedrochannel90973 жыл бұрын
Mh. Rais huyu ana Dyslexia, dyslexic wanakipaji cha pekee katika utendaji & ufanisi wao, tafadhali mfikilie tena nakusihi utaona matunda yake. Dyslexia ni ulemavu wa kusoma, ugonjwa unaoathiri maeneo ya ubongo ambayo huchaka lugha kati ya ubongo & ulimi inajumuisha ugumu wa kusoma kwa sababu ya shida kutambua sauti za hotuba na kujifunza jinsi zinavyohusiana na herufi na maneno au decoding. Hii inamaana gani? Anaposoma kwa sauti moja kati ya mawili yatatokea, akitaka kuelewa anachokisoma wasikiliza hawata elewa au wasikilizaji wakielewa yeye hataelewa anachokisoma, hivyo kumlazimu arudie anachokisoma ili aelewe, na hiki ndo kilitokea jana . Huyu mweshimiwa hana shida yoyote & wala si uchawi ila anahitaji professional help. Kwa sababu ya upungufu wa taaluma hii watu wengi duniani hususani nchi zinazo endelea hata hawajui wako dyslexic. Hivyo basi ningemsihi mweshimiwa rais amsaidie kama anavyo saidia & kuthamini mchango wa walemavu wengine kwenye serikali yake na jamii kwa ujumla. Hii ni orodha ya baadhi ya watu maarufu wenye dyslexia duniani m.imdb.com/list/ls071872465/
@felixmahiri49263 жыл бұрын
Jaman kila kitu ametekeleza lakini kuapa ndo shida duh mi siamin kuna mkono wa mtu apo
@hazibonplatformafrica96173 жыл бұрын
Wengine ibilisi tu,inamana mpaka anateuliwa serikali haikujiridhisha au ndo tuamini kwamba serikali haiko makini mahali🙆
@riphatmashaka71473 жыл бұрын
Dah yani acha tu ndugu yangu
@ellywillisgotora14733 жыл бұрын
Wenge ilo
@halimamsoma4303 жыл бұрын
Pengne panikt hajaamin kama late ulikuwa
@hasybite84513 жыл бұрын
mh
@venstonvedasto3 жыл бұрын
Mheshimiwa nipo hapa.
@JoyceChaleswahili3 жыл бұрын
Labda macho mabovu
@khalidkhazab23483 жыл бұрын
aibu gani hii
@redemptamulokozi58413 жыл бұрын
Nguvu za Giza jamani
@rgtanzania43503 жыл бұрын
Omg 😁😬😬
@makunjatumbo3 жыл бұрын
Naamini kuwa hicho in kitete tu wangemwacha tuu aendelee na majukumu yake
@chibujongo81443 жыл бұрын
aababa umuamnakitu
@sekiondowarema17863 жыл бұрын
Mmmmmh huu n uchawi 😂
@jobjex63623 жыл бұрын
hahahahah
@mrkessi26833 жыл бұрын
Tatizo ww haukum tanguliza mungu kwanza
@jumanneasumn26793 жыл бұрын
Man
@aviwaomar4393 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ilove60603 жыл бұрын
Kalogwa uyo
@yonamwansasu25783 жыл бұрын
Kuna makubwa mengi chin ya jua tatizo sio kushindwa kusoma ni iblisi tu utajuaje labda akawa ana ona giza
@consolatamedard65933 жыл бұрын
Kabsa apo alikuwa aon kabsa bas tu wanadam tunapenda kulaumu Mm nimeumia sana jaman Watu tuwe na huruma unamuharibia mwenzako namna iyo apana jaman
@naturelle10973 жыл бұрын
Kusoma anajua maybe ana eye problemme
@juhudinyamike21893 жыл бұрын
Uchawi upo
@masuzyatz88243 жыл бұрын
Huyo mbunge mwenye vyet hewa wa kwetu
@mansa_islam98983 жыл бұрын
Kipapai kimehusika sio siri
@sammabula73593 жыл бұрын
Aliyemteua ni nani
@charlescharles66643 жыл бұрын
hajuwi hadikuapa kweri hafai
@basumegembotwa41673 жыл бұрын
Nimeshindwa koment
@ramadhanmazije38823 жыл бұрын
Nini kimempata huyu mzee wa watu maskin!!!
@gracemwakikono47743 жыл бұрын
Huuu ni uchawi
@ceciliaonyango54883 жыл бұрын
Huyo haoni anatizo la macho labda kasahau miwani
@beberurafiki35343 жыл бұрын
KUNA vitu ameshndwa kuongea lbd hawez kuongea unafiki. Mfano kwny neno kuilinda katiba, na kumshauri rais. sio kwmb hawezi kusoma.
@moikegandu79963 жыл бұрын
Kenya hauwezi toa mtu Cheo hivo tu
@ahz69073 жыл бұрын
Yani mtu akikuita ndulane ni tusi kubwa sanaaa 😀
@seefeldeen7973 жыл бұрын
(( Coronavirus na kutangaza muujiza wa uponyaji bila chanjo wala dawa .. Imam Mahdi Nasser Mohammad Al-Yemeni. 09 - 12 - 2020 )) 👇👇 www.mahdialumma.com/showthread.php?p=340456
@saheedali74673 жыл бұрын
Pengine macho yake hayavuti
@godlackkitomari90193 жыл бұрын
Itakuwa kalogwa jaman
@elizabethmbunda95143 жыл бұрын
Dah! jaman
@happykimaya27623 жыл бұрын
Mmmmmh. Haibu ya mwaka
@riphatmashaka71473 жыл бұрын
Sio haibu ila haijawahi kukuta ww, uchawi ipo ila mwenyez mungu amemuepuxha nakitu kwny hiyo nafas ya uwazir
@lukacosta35023 жыл бұрын
Kakosa kazi kizembe
@tmedia92263 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eqirhIxnoK13oKs Angalia Ndulane akiwa anaomba Msamaha Jimboni kwao
@hotnews26373 жыл бұрын
Why selecting illiterate personnel
@rwemamutemi95723 жыл бұрын
Tatizo la wizi wa kura huwa hivyo. Cha wizi hakidumu. ZABURI 89:14-15 Cv ziwe zinaangaliwa kwanza kabla ya kuteuliwa, Tanzania inatakiwa kuwa tajiri kuliko Russia ila tukiamua kizalendo!