Part2_USHUHUDA WA REGINA ALIYEKUWA MALKIA KUZIMU KITENGO CHA MUZIKI NA UMISS(Devil Within Churches)

  Рет қаралды 9,169

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 17
@yasinta2948
@yasinta2948 Жыл бұрын
Alleluhaay God to God, umeniimalisha kiimani sana , na Mimi matatizo yangu yanaenda kuisha this year Alleluhaaaay
@gracegachigi8
@gracegachigi8 7 ай бұрын
Kazi nzuri mungu amulinde promover tv. Kila siku nazindi kumshukuru mungu juu ya huduma njema.
@joshuanjiuka2870
@joshuanjiuka2870 Жыл бұрын
ILA PART 3 JARIBUNI KWENDA VZR. USHUHUDA WAKE NI MZURI LKN ANARUDIA RUDIA SANA. MPAKA UNASHINDWA KUELEWA MTILILIKO WAKE. PART 1 ALIENDA VZR LKN PART 2 HAIJAWA VZR TILILIKO WAKE.
@mariahyera3737
@mariahyera3737 Жыл бұрын
Mwanzo habari haikuwa na mtiririko mzuri kuhusu huyo binti wa kazi ilianzia ktktk. Hivyo kujirudia tumeelewa vizuri zaidi.
@alainmuhigirwa5151
@alainmuhigirwa5151 Жыл бұрын
Amen Promover TV. Kila siku tunajifunza
@josykogei7647
@josykogei7647 Жыл бұрын
Nikurudia unarudia ama juu sielwi
@Shalom2018
@Shalom2018 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@juliuskalama2746
@juliuskalama2746 Жыл бұрын
Jacktan tunapataje hicho kitabu huku Kenya
@liliankamanga4294
@liliankamanga4294 Жыл бұрын
Hicho kitabu ndugu Jacktan hivi munaweza kuifanya audiobook? Naona simulizi itafaa kwa kweli. Shukrani
@marykibali7568
@marykibali7568 Жыл бұрын
Mimi nakitaka na niko Kenya nitakipataje
@forjesus1382
@forjesus1382 9 ай бұрын
Huyu mwimbaji ni naniii tusifuateee
@juliuskalama2746
@juliuskalama2746 Жыл бұрын
Jacktan huu ushuhuda unarejearejea
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Usisikilize mwanzo tu sikiliza zaidi mpaka mwisho
@joshuanjiuka2870
@joshuanjiuka2870 Жыл бұрын
bado kuna kurudia rudia. hii part 2 haijakaa vzr kama part 1. part 3 boresheni kama ipo.
@lydiambwele7026
@lydiambwele7026 Жыл бұрын
How can I contact promover
@innocentkaramuta8200
@innocentkaramuta8200 Жыл бұрын
Hii ni part 2 ama anarudia?
@joshuanjiuka2870
@joshuanjiuka2870 Жыл бұрын
Afadhali, kumbe na wewe umeona hicho kitu. anarudia rudia, tunashindwa kupata mtililiko mzuri.
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 125 МЛН
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 9 МЛН
JINSI YA KUTAMBUA ROHO CHAFU NYUMA YA HALI UNAYOPITIA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 12/09/2024
1:45:02