Day2_"kutoka kwenye roho zinazofatilia/laana za ukoo"||SEMINA TABORA TZ NA MCH.AMIEL KATEKELA

  Рет қаралды 13,277

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 73
@VictoriaMachozi
@VictoriaMachozi Жыл бұрын
Amen Amen
@miriambpatrick8754
@miriambpatrick8754 2 жыл бұрын
Mungu aku bariki sana
@apostlerebeccamunguaniinul7073
@apostlerebeccamunguaniinul7073 Жыл бұрын
Mungu aku bariki baba Katekela nime barikuwa sana na mafundisho yako
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Njoo Kigoma tunakusubili kWa hamu,shuhudia zako zimetujenga sana,ukija nijulishee,
@rechomethod8288
@rechomethod8288 2 жыл бұрын
Hilo kanisa lina heka,heka kweli,,nimelipenda😀😀❤❤❤❤❤
@rechomethod8288
@rechomethod8288 2 жыл бұрын
Aminiel Ana Anazidi kupendeza ndani ya yesu
@petermagoye8324
@petermagoye8324 2 жыл бұрын
Yaani mpaka Raha toka moyoni mwangu natamani Nami ningekua hapo pamoja nanyi,, Mungu awe nanyi
@mauwashomari8160
@mauwashomari8160 2 жыл бұрын
Jameni kuubiri vijijini kuna rahaa yake una pokelewa na majani Mungu awabariki
@pastormargaretnyambane
@pastormargaretnyambane 2 жыл бұрын
Amen amen, nimependezwa na hii ibada, siku moja nitakuja Tanzania, Mungu akipenda na nitakuja hapo hapo nijiunge na hicho kikundi Cha sifa. Amen.
@helmashimba7761
@helmashimba7761 2 жыл бұрын
Hallelujah
@sarahsarai8690
@sarahsarai8690 2 жыл бұрын
Amina Amina sifa na utukufu ni za Yesu.Barikiweni sana watumishi
@rakaieva5472
@rakaieva5472 2 жыл бұрын
Mungu akubariki saaaaaana Muzee alio jitoa kwa ajili yako love nawewe Mchungaji Amiel unafungua wengi basi Mungu a protect your life.
@Esthermordecai
@Esthermordecai 7 ай бұрын
Amiel umekuwa wa baraka kwetu.
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 2 жыл бұрын
Haleluuyaa Promover ina watazamaji mpaka hukooo Sikonge
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 2 жыл бұрын
Amen barikiwa sn nataman uje geita semina
@florencemueni1183
@florencemueni1183 2 жыл бұрын
My stronghold Jesus send u to give us strength in his mighty name....i love u bro in Jesus Christ
@rebecashidika7801
@rebecashidika7801 2 жыл бұрын
Bwana awabariki sana kwa kazi yake maana watu wanamrudia Mungu Kwa kuokolewa na kubarikiwa kupitia nyie.
@pammymoraamoraa6702
@pammymoraamoraa6702 2 жыл бұрын
Glory to God almighty for man like Amiel who’s so so happy after his deliverance, and sharing his past live, glory to God almighty amen
@carolinenakirutimana1559
@carolinenakirutimana1559 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukuchunga. Ili sisi binadamu tupate amani
@sophiajonas3459
@sophiajonas3459 2 жыл бұрын
Amen.
@mandyaltrfawi6986
@mandyaltrfawi6986 2 жыл бұрын
Amen Amen barikiweni watumishi na waimbaji wa BWANA
@saraekaingu2557
@saraekaingu2557 2 жыл бұрын
Mungu Azidishe kuwa pamoja nawe Mtumishi wa Mungu juu tunakuitaji sana
@renatuskweyamba6460
@renatuskweyamba6460 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema. Kazi ya Mungu kupitia Mch. Amiel imenibadilisha na kunipeleka hatua nyingine ya kiroho. Taabu yenu siyo ya bure inatuponya
@rusimackems9820
@rusimackems9820 2 жыл бұрын
Utukufu kwa Yesu wa rehema aokoaye 🙏
@lightness9756
@lightness9756 2 жыл бұрын
hallelujah hallelujah hallelujah UTUKUFU kwa BWANA millele
@rakaieva5472
@rakaieva5472 2 жыл бұрын
Wow wow wow strong praise may our lord Jesus christ bless you all
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
This is powerful 🔥🔥🔥🔥🔥 glory to God blessings MCH pamoja na promover injili itaendelea
@carolinenakirutimana1559
@carolinenakirutimana1559 2 жыл бұрын
Yooooo Mungu amekuokowa. ili wengi wapone na mimi ni kati yao
@jescambogoma8394
@jescambogoma8394 2 жыл бұрын
Amina mtumish was mungu
@queenmwaweya9691
@queenmwaweya9691 2 жыл бұрын
Barikiwa saana mtumishi wa mungu namungu azidi kukupa kibari njoo mbeya tunakusubiri
@marifaadolphine3571
@marifaadolphine3571 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaa mchungaji Amiel unatufungua macho kutoka Canada 🇨🇦
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 2 жыл бұрын
Watching from Holland. Mungu wa mbinguni akubariki sana Mch. Amiel na Promover TV.
@glorydenis5111
@glorydenis5111 2 жыл бұрын
Uko Holland sehemu gani
@tamarali8325
@tamarali8325 2 жыл бұрын
Ameeeeeeen pastor Amieli Barikiwa sana. Jacktan Barikiwa sana
@IBRAHIMSOKONI
@IBRAHIMSOKONI 21 күн бұрын
Mch uje na kwetu sumbawanga nkasi namanyere nakupata best ktk kristo
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 2 жыл бұрын
Barikiwa sana kwa Jina layesu
@editarichard3590
@editarichard3590 2 жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi wa Mungu
@ipyanadanny9959
@ipyanadanny9959 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@josephkaveya4284
@josephkaveya4284 2 жыл бұрын
Safi sana
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
Amen
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 2 жыл бұрын
Amen Amen glory to Jesus
@dainesykalinga7133
@dainesykalinga7133 2 жыл бұрын
Amen Amen Mungu akubariki.sana sana.
@evalynenyambaka1002
@evalynenyambaka1002 2 жыл бұрын
Glory Glory to most high God hallelujah
@sifaodette565
@sifaodette565 2 жыл бұрын
Asante sana muchungaji katekela bwana yesu christo akulinde
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 2 жыл бұрын
Nafurai sana
@jessemach4459
@jessemach4459 2 жыл бұрын
Iyo sifa wow...nataka kuwa hapo.kikwetu inaitwa kigocho.halleluya
@rakaieva5472
@rakaieva5472 2 жыл бұрын
Asante sana Mchungaji Amiel Mungu akuvike nguvu tele.
@beatricebukuru7821
@beatricebukuru7821 2 жыл бұрын
Amen amen yesu apewe sifa natena yesu azidi kuwabariki nakuarinda natena namimi barikia niko nawahangaria
@beatricebukuru7821
@beatricebukuru7821 2 жыл бұрын
Na yesu ayibomoe hio mazabahu wariojenga na ibomoe kwajina rayesu
@aishacastrol6369
@aishacastrol6369 2 жыл бұрын
Amina
@amishambar3418
@amishambar3418 2 жыл бұрын
Amina Amina yesu ni bwana
@noelashaoona
@noelashaoona 2 жыл бұрын
We are waiting
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
Bwana YESU Akutanguliye
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
Mtumishii barikiwaa SANA Bwana akuinuwe SANA
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
Mtumishii barikiwaa SANA tupo
@Tumu-zr2ez
@Tumu-zr2ez Жыл бұрын
Iende mbele
@helenkimo1078
@helenkimo1078 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Ameeen
@ibraahngula2449
@ibraahngula2449 2 жыл бұрын
NAOMBA NAMBA YA MCH KATEKELA
@JosePhineWaniha
@JosePhineWaniha Жыл бұрын
Nimependa mchungaji Emiel Katekela anavocheza huyu Mtumishi hajikwezi kabisa
@ibraahngula2449
@ibraahngula2449 2 жыл бұрын
Naomba namba ya mch katekela kwa ajili ya huduma
@jessemach4459
@jessemach4459 2 жыл бұрын
Mmefanya editing sana sehemu nyingi ujumbe wakatika katika.
@reginarkasyoka6914
@reginarkasyoka6914 Жыл бұрын
Bona cid tena wakati cid ni YESU
@elizabethsimbenga4773
@elizabethsimbenga4773 2 жыл бұрын
Baba mimi nakufata niko Marekani, sasa nandugu yangu anaishi hapo Tabora ila nimlemavi na binti yake ameolewa anamiaka mingi anatatizo la tumbo mara inajaa usaa mara uvibe kwa hiyo mniambie mko maeneo gani anawatafuta hawapati naomba majibu.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Tabora tumeshatoka,hiyo ilikuwa semina ya pasaka
@elizabethsimbenga4773
@elizabethsimbenga4773 2 жыл бұрын
@@PromovertvTz okay sawa nashukuru sana kwa taarifa Mungu wa mbinguni awabariki nyote kazi njema
@daimavlog
@daimavlog 2 жыл бұрын
Nimejikuta nataka kuwa hapo
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
Mtumishii barikiwaa SANA hilaa na swali mbona huyo wa nyuma Yako kasimama akaii kulikoniii mtumishii sorry
@stevohjenghor260
@stevohjenghor260 2 жыл бұрын
Hiyo title haiendi sambamba na ujumbe. Ni video gani inaongea juu ya kujinasua
@asifiwealbano2484
@asifiwealbano2484 2 жыл бұрын
Sasa mtumishi bodigadi wa Nini unahubiri vizuri soma zaburi 121
@patricianyale2652
@patricianyale2652 2 жыл бұрын
Mtumishi Amieli nakupenda sana lkn sijapenda uwe na bodyguard mungu anakulinda
@newbornhaule1635
@newbornhaule1635 2 жыл бұрын
Mimi nabarikiwa na sifa za waliokoka hua hakuna Boss labda walioamua kuwa wamataifa hua wanahisi kumtukuza Yesu kuna cheo
@hassanbukambu931
@hassanbukambu931 2 жыл бұрын
Vyeo vipo unaweza kuwafananisha Petro yohana na yakobo na wanafunzi wengine Tisa ukimtoa Yuda iskariote, Ndo maana Kuna falme na mamlaka za Giza na za Mungu
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen
NGUVU YA NAFSI|UKOMBOZI NA MAMLAKA YA KUZISHINDA|Mch Amiel Katekella
1:05:57
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 31 МЛН
NYISAKI CHAULA USHUUDA WA JEHANAM NAMBA 2
8:21
PASTOR NYUNDO
Рет қаралды 4,2 М.
Ushuhuda wote(Part1-9)Apostle Zizi aliyekuwa ameolewa na jini mtu
6:30:54
Day1_"Nguvu ya sadaka" SEMINA ITILIMA SIMIYU NA MCH.AMIEL KATEKELA
1:48:56