Part14_UKIONA DALILI HIZI TAMBUA NYOTA YAKO IMEKAMATILIWA|ALIYEEKUWA CHIFU WA KABILA LA KICHAWI

  Рет қаралды 145,755

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

4,500$ inahitajika ili kufanikisha safari ya mtumishi wa Mungu Aston Mbaya nchini Kenya.Tafadhali wezesha safari hii ya injili kwa kuchangia pesa yoyote uliyonayo.Tumia namba hizi kuchangia ama kwa mawasiliano.
M-Pessa: +255766294335
Airtel Money: +255784074462
WesternUnion/MoneyGram:Jacktan Arbogast Msafiri
City:Mwanza
Country:Tanzania
$ 4,500 is needed to make the journey of God's servant of God Aston Mbaya to Kenya. Please facilitate this gospel journey by donating whatever money you have. Use these numbers to donate/communication.
M-Pessa: +255766294335
Airtel Money: +255784074462
WesternUnion/MoneyGram:Jacktan Arbogast Msafiri
City:Mwanza
Country:Tanzania
KUJIUNGA NA GROUP MAALUM LA WHAT'SAPP LA SAFARI YA ASTON MBAYA NCHINI KENYA, BONYEZA LINK HII chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Kama unashindwa kujiunga mwenyewe tuma kwa What'sApp neno "Niunge Promover tv Kenya" kwenda No. +255784074462 .Kama unahitaji kuungwa Tafadhali hakikisha umetuma ujumbe kwenye What'sApp usitume kwa ujumbe wa kawaida yaani sms.
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 208
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Kwa kila jambo Mungu Analo sababu litende,ni Mungu mwenyewe aliruhusu shetani akatuma yale mapepo yakakuchukua kuzimu hili kisha baadaye akutoe huku uje kutufundisha,na lengo lake tujue yaliyo rohoni na jinsi ya kuomba
@miriamtutorial
@miriamtutorial 2 жыл бұрын
Very true
@dorkasjohn688
@dorkasjohn688 Жыл бұрын
Yes
@Soni-lt6oi
@Soni-lt6oi Ай бұрын
MUNGU akubariki sana kwa hio maneno hata Mimi Kuna wakati niliambiwa na mtumishi wa Mungu sikuwa nafaa kuwa nateseka nilikuwa nafaa niwe Europe but nimeelewa hio mambo
@anitasamson7850
@anitasamson7850 2 жыл бұрын
Haya ni mafundisho mazito sana na yandani sana, Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Tutaomba mpaka kieleweke. Luka 10:19
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Asante mch amiel damu ya Yesu iendelee kukufunika umenigusa kwenye ndoa nahitaji ukombozi
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Hey mtumishi sichoki kukuskiliza ...mafundisho yako n ya Hali ya njuu saana waiting for next part how take back our stars
@frankinspired6486
@frankinspired6486 2 жыл бұрын
God's blessings to Amiel na Jacktan. Sasa naelewa kwanini waganga utizama mkono wasome nyota. Naninasubiri hapo kwa kurudusha nyota, na pia mitume na nanabii wa uongo..
@barakakubalyenda683
@barakakubalyenda683 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, tunaomba uandike vitabu vya material ya shuhuda hizo. Asante sana.
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu hakika nimengi tumejifunza tusiojua kazi nzuri Mola awazidishie
@apostlerebeccamunguaniinul7073
@apostlerebeccamunguaniinul7073 Жыл бұрын
Hakika Mungu ana watu wake ambao ana funulia siri zilizo fichwa Yesu Kristo aka sema na enda mbiguni nita watumia roho mutakatifu naye ata wafunulia mengi kuliko niliyo wa funulia mimi barikiwa mutumishi wa Mungu
@yvettekyalika907
@yvettekyalika907 2 жыл бұрын
🔥Aduwi mudjipangeeeeee madjeshi ya YESU inafufukaaaa🔥🔥❤️❤️❤️💃💃
@janetndonye7709
@janetndonye7709 Жыл бұрын
asante sana kama mimi nina biashara sasa nina miezi mbili zijafungua nikiamua kwenda mwili utaki
@nicholaskiragu2797
@nicholaskiragu2797 2 жыл бұрын
Thanks alot Pastor.. you are revealing alot of things we didn't know. And you are helping us on how to fight our spiritual battles.
@glodynkondo9800
@glodynkondo9800 2 жыл бұрын
God bless u pastor kwa hushuda wako gisi umesema pembe ya kusikiya nikweli mimi mama mukwe wangu Ana nisikiya sana nikiseme kitu kweli anafata
@patricianyale
@patricianyale Жыл бұрын
Juzi nliota wanataka kukata kidole changu Cha mamlaka nkapigana nao mpk nkapata nafasi yakutoroka leo nimepata maana yake Asante Sana mchungaji
@mauwashomari8160
@mauwashomari8160 2 жыл бұрын
Asante kwa ushuuda huu,,apa kwa nyota kwakweli Mungu saidiya familia yetu kwakweli maisha tunayo yapitia tume ibiwa nyota Mungu tusaidiye
@bahatijohn1958
@bahatijohn1958 Жыл бұрын
Na Mungu anaenda kuwasahidia Kwa jina la Yesu kristo
@helenbahati8038
@helenbahati8038 2 жыл бұрын
Ahsante Mungu kwa kumpeleka mtumishi wako kule ili azijue siri za kuzimu na kuja kutufunulia mtunze ee BWANA. Barikiwa sana mtumishi Jactan kwa kazi njema 🇰🇪
@laurenciarobert6953
@laurenciarobert6953 Жыл бұрын
AMINA, ABARIKIWE SANA.
@emmaaugustine5606
@emmaaugustine5606 Жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwaminifu uwa anafanya kazi na watu wale walodharauliwa umwinua mtu toka mavumbini na kumketisha na wakuu hakika Mungu hakutie nguvu uzidi kutupa siri hizi
@DignaMeela-gs8vi
@DignaMeela-gs8vi 9 ай бұрын
Mchungaji please nyoa nywele zako kawaida unatuchanganya🙏
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 2 жыл бұрын
Jamani leo umenifurahisha sana mchungaji from oman
@magrethtuma5843
@magrethtuma5843 Жыл бұрын
Kwakweli kila linalotokea ni mpango wa Mungu,huyu pastor mungu akimpeleka kuzimu na kufanya kazi huko ili baadae aje afichue sir za shetani,man tusingeweza kujua haya yote Mungu ambariki sana
@neemalekey4138
@neemalekey4138 3 ай бұрын
Umewaza kama mimi
@abrahamjuma9761
@abrahamjuma9761 Жыл бұрын
Asifiwe,Yesu kristo mtumishi,naomba nijue nivipi yaya nyota yanaweza kurudishwa ajee....
@hakizimanaphilemon9968
@hakizimanaphilemon9968 2 жыл бұрын
Kuliko tukimbilie kujitakasa ,tutakimbilia kutafuta nyota zetu,jiadhari sana.Kristo ndio mfalme,tujitakase tutakua mbali na shetani ndugu atatukimbia
@vumiliawambula1716
@vumiliawambula1716 2 жыл бұрын
Amen mtumishi hio nikweli kumbi kila mtu Ana ndowa
@tamarali8325
@tamarali8325 2 жыл бұрын
Pastor Amieli Mungu Aendelee kukutunza Barikiwa sana. Jacktan Mungu akulinde na Akubariki sana
@user-po1vi4du6h
@user-po1vi4du6h 10 ай бұрын
Balikiwaa sana baba me nahitaji maombi yako niliota nimechukuliwa kidole changu cha katikati mkono wa kushoto sielewi hata
@kashindiibrahim9788
@kashindiibrahim9788 11 ай бұрын
Asante Sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho amboyo, yametusaidia ndani ya maisha yetu. Na zaidi ya yote, naitaji msaada wa maombi yako kwangu.
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 2 жыл бұрын
Asante sana kwa kutuelimisha sana barikiweni sana mtumishi na promover tv
@siwemaful
@siwemaful 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu mungu akubariki sana kwa haya mafundisho
@sallymumia8425
@sallymumia8425 2 жыл бұрын
O Lord Jesus Christ continue,using pastor,Amiel,and the whole promover Tv,more blessings, teaching us, what Jesus Christ,wanted us to know,in this time.
@mpesastatements2265
@mpesastatements2265 Жыл бұрын
Amen
@Grace-zw5jj
@Grace-zw5jj Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
@simonjnrmabula3785
@simonjnrmabula3785 2 жыл бұрын
Asante YESU, bila YESU haya maisha sijui yangekuwaje ?
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 4 ай бұрын
Mungu wa kweli ukube kibali ishi miaka mingi ili usaidie watu
@rusimackems9820
@rusimackems9820 2 жыл бұрын
Duu eee Yesu tufungue, yaani me siamini ni mambo mapya kwangu, narudia kusikiliza mara mbilimbili.
@aloycemary1968
@aloycemary1968 2 жыл бұрын
Ahsante kwa maarifa
@dadaz4653
@dadaz4653 2 жыл бұрын
Yan nimeelewa kuna mtu Yan anahama mikoa Hadi siyo vzr,, kwao kigoma,,akaja dar kakaa ,karud kwao tena katoka huko kwenda tanga, katoka huko kaenda Moro , katoka huko kaenda kigoma, ,katoka kaenda tena Mwanza ,mara geita mara kwao tena mara Moro mara kwao saiv yupo tabora
@jackswat
@jackswat Жыл бұрын
Ahsante promover tv, lakini ninapata picha ya kusudi la Mungu kwa mpendwa wetu huyu - Mungu alimkusudia kama alivyofanya kwa mtume Paulo - amemtenga na ulimwengu huo, akamuokoa ili atufunulie na kuudhihirisha ufalme huo wa giza katika zama hizi zilizojawa na uharibifu mbaya - ni zama za hatari. Namshukuru Mungu kwa kutuletea neema hii, Jina la Bwana libarikiwe.
@AbelLucas-ho3be
@AbelLucas-ho3be Ай бұрын
Amina sana
@isayanyingi6622
@isayanyingi6622 2 жыл бұрын
Be blessed the whole team eimee
@veronicahmui6419
@veronicahmui6419 2 жыл бұрын
Tueleze pia jinsi ya kujitambua.... yaani kujua nyota yangu
@aivanalexander
@aivanalexander Жыл бұрын
Ubalikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@catemacharia8499
@catemacharia8499 2 жыл бұрын
Following so much 🇰🇪🇰🇪
@charigrace5993
@charigrace5993 2 жыл бұрын
May the LORD fill and supply to all this vessels good work. Tich maber
@millicentochieng5740
@millicentochieng5740 Жыл бұрын
🙏
@prosmutonyi3706
@prosmutonyi3706 2 жыл бұрын
You are a blessing . Asante sana brother.
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
N kweli mtumishi wa mungu aombe ndoa pia mm nko hivyo sija alewa
@saradavirginia-kd7tn
@saradavirginia-kd7tn Жыл бұрын
Ni kweli mm niliolewa tulipita ktk shida mblmbl lakini aliniacha ghafula
@kakadkarima2448
@kakadkarima2448 2 жыл бұрын
Mchungaji ni more fire. Umetisha sana
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 2 жыл бұрын
You have helped us alot n may God bless you
@noelashaoona
@noelashaoona 2 жыл бұрын
Asante sana we need more of this
@janetnzai9866
@janetnzai9866 2 жыл бұрын
Bwana akubariki sana Pastor
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Asante watumishi wa Mungu aliye hai Jactan na Amiel Katekela
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@rebeccaomar3523
@rebeccaomar3523 2 жыл бұрын
Mafunzo mazuri sana
@noridamuhami3855
@noridamuhami3855 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi naomba namba yako
@Esperancia-jo8pm
@Esperancia-jo8pm Жыл бұрын
Mbarikiwe sana tunaelimika sana, naomba mawasiliano ya huyo mt.
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
AMINAA, NIPENDA SANA MFANO WAKO WA MAGUFULI.
@ayetafatuu8715
@ayetafatuu8715 2 жыл бұрын
Siumenifungua mtumishi amina
@antlucifermovement7276
@antlucifermovement7276 Жыл бұрын
Asante sana duu ndo maana niliteseka sana
@deusmiburo8735
@deusmiburo8735 Жыл бұрын
Mungu akuongezee uhai mtumishi wa Mungu.
@cecyaghabu3211
@cecyaghabu3211 2 жыл бұрын
Asanteni but tunaamini next episode ataongelea namna ya kurudisha nyota zilizoubiwa as alianza kutaka kuongelea ila mtangazaji alimbadirishia topic Mtumishi.
@zeldamzena9295
@zeldamzena9295 2 жыл бұрын
Jacktan nae anatuondolea uhondo😆😆😆
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
@@zeldamzena9295 " sio jacktan walla mtumishi anapewa mafunuo na ROHO MTAKATIFU kwahyo cha kufundisha anapewa
@zeldamzena9295
@zeldamzena9295 2 жыл бұрын
Asantee ndugu
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa MUNGU
@rachelnasimiyu4296
@rachelnasimiyu4296 2 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa kutuelimisha
@maloleproduction1769
@maloleproduction1769 2 жыл бұрын
Nimepona Sana leo
@colethakahemela3713
@colethakahemela3713 Жыл бұрын
Be blessed,nimejua kitu leo
@makoye8388
@makoye8388 2 жыл бұрын
Asante Sana pastor, kwenye pembe ya uongozi umenipatia maana naanzisha kilimo vizuri ila mwishimo mambo yanakuwa sio mazuri. Nitafuatilia mada ijayo ili nikomboe pembe yangu ya uongozi.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 жыл бұрын
Asante BABA kwa mafundisho . Jacktan hingera!
@tinokaroli3853
@tinokaroli3853 9 ай бұрын
ASA MIMI NAWEZA KUKUNJA VYOTE NA KINABAKI HICHO CHA MWISHO KIKO WIMA NA SIO KUSIMAMA TU HADI NAKICHEZESHA CHENYEWE NA VYOTE VIMEJIKUNJA
@salimaechessa8933
@salimaechessa8933 2 жыл бұрын
Barikiweni kwa mafundisho haya
@patriciafabiani1938
@patriciafabiani1938 Жыл бұрын
Asante mtumishi
@arthurmaleke8245
@arthurmaleke8245 Жыл бұрын
Jamani sasa tufanyeje jamani maana ni Mimi kabisaaaa
@carendeborah5687
@carendeborah5687 Жыл бұрын
Star of marriage Star of possession Star of God's favour Star of good health Kingly star Na tushafunzwa hizi vitu na pastor Fulani Kenya.
@user-tb6uz5zy4b
@user-tb6uz5zy4b 7 ай бұрын
Asam Asante Bwana
@EliasHerman-qy4gt
@EliasHerman-qy4gt Ай бұрын
Asant San mchungaj maneno hayo na ushuhuda huo umenigusa San baba yangu Ana dalili hizo naomba nisaidie kumuombea
@mkaryenyoka6853
@mkaryenyoka6853 2 жыл бұрын
Asante Kwa mwendelezo
@rehemaibrahim4448
@rehemaibrahim4448 3 ай бұрын
Amina
@danieljonkey-vh8fc
@danieljonkey-vh8fc Жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe kwa kutufungua
@lilymwasi1221
@lilymwasi1221 3 ай бұрын
Amen
@paschazianestorymatunda5972
@paschazianestorymatunda5972 Жыл бұрын
Watu wamedanganywa sana kuhusu nyota zao kwakweli
@asnathlaizer2126
@asnathlaizer2126 2 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu nina swali kuna mtu alienda kwa mganga miaka ya nyuma kdg akachanjwa ni kama miaka 20 iliyopita sasa ameokoka lakini machanjo bado anayo mwilini msaada tafadhali.
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Hizo chale ni rada ya wachawi,kwahyo anatakiwa aende kwa mchungaji wake
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
AMINAAA.
@janetjanet8669
@janetjanet8669 Жыл бұрын
Amina kwakweli nmepata maarifa hapa za kumshinda shetani 🔥🔥
@BernadoAbeid-mi7cs
@BernadoAbeid-mi7cs Жыл бұрын
Thanks for..... Respect for you
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
Your a blessing 🤍🙌🙌😂 , thank you jacktan and pastor Amiel
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@margaretakoth6150
@margaretakoth6150 Жыл бұрын
Nisaidie wachawi wali chukua nyota yangu.
@egospeltz9486
@egospeltz9486 2 жыл бұрын
Halleluya
@simonlaizer6261
@simonlaizer6261 Жыл бұрын
Ameeen 🙏🙏
@margaretogega8836
@margaretogega8836 2 жыл бұрын
Nambari ya su ya Mch. Amiel
@rosemarry2020
@rosemarry2020 2 жыл бұрын
Aminaaaaaa
@stanlymaingi1065
@stanlymaingi1065 2 жыл бұрын
Kutoka Kenya kwa kweli umeogea vizuri nyota ya mtu ndio yeye make Mimi naendelea kushikwa na uoga nikiona watu ata kama ni mtoto naogopa niombee please
@ok-hm3ph
@ok-hm3ph Жыл бұрын
?..,
@ashuramuhammad8813
@ashuramuhammad8813 5 ай бұрын
Ameena
@madopriyan6576
@madopriyan6576 2 жыл бұрын
Amen nauliza mtu akilala akimka asubuhi kayolewa hio inakuaje napia Kujikomboa inakuaje naomba kijibiwa tafathar
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Omba Sana kataa kemea kabisa hapo soon utachukuliwa
@user-po1vi4du6h
@user-po1vi4du6h 10 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe nahitaji maombi juzi niliota wachawi wamekuja nikaona wamechukua kidole hiki kilefu kupta vyote munombee jamani
@TingaMedia
@TingaMedia 2 жыл бұрын
Tunazidi Kujifunza ....!!
@maloleproduction1769
@maloleproduction1769 2 жыл бұрын
Nafurahia mafundisho yako
@motelutula3380
@motelutula3380 2 жыл бұрын
Mtumishi tunaomba utueleze pia kuhusu ndoto! Na ndoto za uharibifu zinakua zipo namna gani
@saumukarisa9873
@saumukarisa9873 Жыл бұрын
Mtumishi katekela kuna kaka yangu alimshika babangu mdogo akimchanja kwa mkono... alikua na biashara vizuri saa hii amesambaratika amekua mlevi ata hajielewi
@nsabimanaalice5847
@nsabimanaalice5847 Жыл бұрын
Sasa Baba yoooh Vidore vyote sinaaaaaa Basi nakusubiliya virudu Kukupitiya
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 2 жыл бұрын
Jamani nina swali mimi mwanangu wakwanza ni mwanaume lkn alipozaliwa ana vidole vyote lkn ulikuja upepo waajabu uka unga mlango ukabana kidole kidogo kikakatika fundo moja kikatoka kabisa kimaajabu namlango nili wekea jiwe mlango
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Pole
@hasanipoy3976
@hasanipoy3976 2 жыл бұрын
swali haieleweki
@salimaechessa8933
@salimaechessa8933 2 жыл бұрын
Pembe ya kwanza ya mamangu ilinyakuliwa,na yangu ya pili ya ndoa.Mungu tufungue ka jina la Yesu.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Mliishi na Pembe??
@emmanuelshilagi3302
@emmanuelshilagi3302 2 жыл бұрын
Duuh aisee
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 9 ай бұрын
Hata mmi hapa sijaolewa Niko na watoto wawili kila mtoto na baba yake.
@edigamashauri7443
@edigamashauri7443 2 жыл бұрын
nime kuerewa sana mtu wamungu
@godfreymautta5089
@godfreymautta5089 8 ай бұрын
Nakusuta
@monicahnjeri257
@monicahnjeri257 2 жыл бұрын
be blessed pastor
@samoramussa5336
@samoramussa5336 Жыл бұрын
Hii habari nikweli nilikua vizuri sana katika utendaji wakazi zangu lakini sasa napelekeshwa tu hatakazi ningum kudum nayo pesa ndohainitaki kabisa, hafu nimeokoka mchungaji, mtu unawaza kwenda kwa mganga, mandiko yanasema malamia duniani mbona walokole kwa machoo yakawaida tunateseka, nimejua sasa.
@AKIMANAAfsa-ki3vk
@AKIMANAAfsa-ki3vk 8 ай бұрын
Mimi nilikuwa Niko nabisnes hapa Kenya wakanioneya
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 52 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 105 МЛН
Implications of cabinet dissolution
21:35
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 25 М.
KUNA MTU ANATUMIA NYOTA YAKO PART 1
32:16
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 127 М.
THAMANI YA WOKOVU; MWINJILISTI AMIEL KATAKELA.
31:51
NY TV
Рет қаралды 8 М.
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 364 М.
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 52 МЛН