SEHEMU YA 3: JINSI TULIVYOMPELEKA KUZIMU JOYCE | USHUHUDA WA SHEKHE ALIYEOKOKA MCH YOHANA RAMADHANI

  Рет қаралды 12,549

UWEPONI TV

UWEPONI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@DamalesschilonjiSchilonj-fb1yk
@DamalesschilonjiSchilonj-fb1yk Жыл бұрын
Halleluyah mtumishi hongera Sana kwa Kaz ya Mungu
@Esthermordecai
@Esthermordecai 8 ай бұрын
Umekuwa wa baraka Mtumishi,acha Mwenyezi Mungu akulinde,tunakupenda sana,ubarikiwe sana mtumishi.❤️🙏
@pericykiko6198
@pericykiko6198 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa Neno la Mungu na mama hapo mbele toa hayo marasta ni product za ibilis unapozisuka jua upo kwenye hati ya mashitaka unaweza kua mzuri bila hizo takataka
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Anasikiliza ujumbe,Roho akimgusa atatoa,Niliondoa baada ya miaka 13 toka nilipojua siyo nzuri
@veronicamahende3718
@veronicamahende3718 Жыл бұрын
😂😂😂umemfokea mama mchungaji
@everlinekemunto267
@everlinekemunto267 Жыл бұрын
Yaani cha kushangaza,watu wanacheka badala ya Kuomboleza wamulilie Mungu, wanasikia ni story nzuri tu,Mungu awahurumie,huku nimejawa na hofu.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Huyo Kijana bado ni Ajent tu wamwangalie vizuri
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Wanaona kawaida TU
@hellendiana625
@hellendiana625 Жыл бұрын
@@trophywilson7211 Ushindwe kwa jina la Yesu!
@soznessmfubusa5889
@soznessmfubusa5889 Жыл бұрын
Tunaomba sehemu ya 4 ya ushuhuda wa Joyce
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Unaandikaje kuupata ushuhuda wa Joyce??
@jacklinekhayechia4362
@jacklinekhayechia4362 Жыл бұрын
Eeh kumbe kuchoka kwingine sio kawaida ni ya kimapepo mungu atulinde
@LOGOSNew
@LOGOSNew Жыл бұрын
Tafuteni sound engineer jamani!😢
@emmanuelshilagi3302
@emmanuelshilagi3302 7 ай бұрын
Mbona hatuoni mwendelezo
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Tunaomba unyoe vizuri Sio hivo
@scolasticagabriel377
@scolasticagabriel377 Жыл бұрын
Fichua kaka hupokei na MUNGU akulinde
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
huyu roho yangu aina amani nae, alivyo tu.
@ernestpetro9367
@ernestpetro9367 Жыл бұрын
Nyakanazi Kagera tunakukumbuka weka no ya simu nitumie Nina maongezi
@emmanuelshilagi3302
@emmanuelshilagi3302 7 ай бұрын
Nitafute Mimi nitakupa namba za mtu was karibu nae
@zawadimasweto8460
@zawadimasweto8460 Жыл бұрын
Mavazi yaheshimiwe huyu bado hafai kua mtumishi anyoe nywele vizuri avae vizuri saa avae moja na hayo mapete ya kuzinu ayatoe Sasa ninamshaka nae
@florajacobkiduma6495
@florajacobkiduma6495 Жыл бұрын
Alikuja mwanza ila kiukweli saa mbili za nn mikono yote hakumaliza semina alisitishwa ana maroho flan huyo
@Esther-Bri
@Esther-Bri Жыл бұрын
Mbona kavaa Pete Msalaba masaa mikono yote, amenyoa box aaaaaiiiii huyu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Bado Agent tu wa Lucifer anawachota wafuasi pole pole
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Wewe mtu koti tu vifungo nusu Mtumishi wa mungu labda na si Mtumishi wa MUNGU huyo
@veronicahkhaikwa4929
@veronicahkhaikwa4929 Жыл бұрын
Anahubiri nguvu ya sadaka, maombi na utakatifu sidhani kama shetani anaweza kubali atoe hizo siri, he is human still reforming polepole don't be quick to judge
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Kwasiri za Shetani na matukio alofanya hawezi kuwa mfuasi wa Shetani Mapito na mateso alopitia akimuacha Yesu kirahisi basi angesha uliwa na wachawi muda sana. Mungu anajua yeye ni jinsi gani anaweza kumuinua Mtumishi wake msikalili aina ya vitu mkavijengea hoja sikiliza Mahubiri yake tofauti tofauti ndio utajua ni mtumishi wa kweli au la
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Hata sasa bado unatumikia kuzimu vaa yako
@veronicahkhaikwa4929
@veronicahkhaikwa4929 Жыл бұрын
Mbona jamani
@Esthermordecai
@Esthermordecai 8 ай бұрын
Acha kuingilia mtumishi wa Mwenyezi Mungu.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 7 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 33 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 34 МЛН
SEHEMU YA 2: SHEKHE ALIYEOKOKA BAADA YA KUMTOA DADA YAKE KAFARA
11:25
MCH.KATEKELA:MALANGO YA KUZIMU NA MANABII WA UONGO WANAVYOSHIRIKIANA
1:34:31
Mch Yohana Ramadhan. Akiwa Mji Wa Makimbilio Meatu Simiyu Day 1
59:49
Mhe. Mchungaji Isack Ngadula
Рет қаралды 10 М.
TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
50:27
Part 5_USHUHUDA WA SHEHE AMIR ALIYEKUWA USTHADH SASA AMEOKOKA
49:01
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
2:54
ROSÉ
Рет қаралды 65 МЛН
Лилия
3:00
Али Ахмет - Topic
Рет қаралды 3,4 МЛН
Жандос ҚАРЖАУБАЙ - ҚАЛАУЫМ (official video) 2024
2:27
Жандос ҚАРЖАУБАЙ
Рет қаралды 272 М.
ИРИНА КАЙРАТОВНА - ВСЕМ САЛАМ! (MV)
3:28
ИРИНА КАЙРАТОВНА
Рет қаралды 248 М.
ИРИНА КАЙРАТОВНА  - 30 НЕ АУТ [MV]
3:42
ИРИНА КАЙРАТОВНА
Рет қаралды 432 М.
JENNIE - Mantra (Official Music Video)
2:28
JENNIE
Рет қаралды 49 МЛН