P2_USHUHUDA WA MWL.WA BIBLIA ALIYETOKEWA NA YESU KWA MAONO NA KUONYWA JUU YA VIPODOZI NA HUKUMU YAKE

  Рет қаралды 4,916

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@IsayaNyingi
@IsayaNyingi 10 ай бұрын
I wish you Good luck promover tv from heaven ,,,l am blessed from mbeya,,,waletunao fuatilia hii midia gongeni like za kutosha
@sebastianjames6192
@sebastianjames6192 10 ай бұрын
@ramadhaniabdulabdul
@ramadhaniabdulabdul 6 ай бұрын
kwa kweli nimejifunzaa mengi sana ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu. na Mungu aibariki promover TV
@AmosKimata-i1q
@AmosKimata-i1q 10 ай бұрын
Ndiyo , nimekuelewa vizuri mtumishi wa Mungu.
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 10 ай бұрын
Mungu wangu kwa neema yako niwezeshe nifanye kazi uliokusudia niifanye.
@JudithElias-ig5nb
@JudithElias-ig5nb 10 ай бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU
@IdahNambelasiwala-qs3su
@IdahNambelasiwala-qs3su 10 ай бұрын
Amen mungu akubaliki mutumishi wamungu🙏🙏
@DariaJoseph
@DariaJoseph 9 ай бұрын
Mungu nisaidie niishie mapenzi yako
@lilymwashumbe4890
@lilymwashumbe4890 10 ай бұрын
Amen
@Daniella2014-r9n
@Daniella2014-r9n 10 ай бұрын
Nashukuru Mungu saana kwa ujumbe huu,Mungu uendelee kunibadilisha nakuniwezesha kuacha makorokoro yote,unufinyange eeh Mungu ili niwe vile wewe unataka.asante kwa ujumbe
@JuliaMkura
@JuliaMkura 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@JuliaMkura
@JuliaMkura 10 ай бұрын
Nitakutafita Niko mombasa
@سبحانالله-ف7م3ذ
@سبحانالله-ف7م3ذ 10 ай бұрын
Amen mama you really help me..I am ready to change
@martinwekulo8473
@martinwekulo8473 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana, na tuzidi kutafuta Mungu wapendwa. Asante Promover TV Kwa kieneza ujumbe Mungu awape nguvu mpya Kila wakati.
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 10 ай бұрын
Ameen Mtumishi Mungu akubariki na akutunze na akutie nguvu ili kustahimili changa moto unazokutana nazo kwenye huduma.
@leyaedwards8851
@leyaedwards8851 10 ай бұрын
Shida pia ni makanisa mengi, kama yote tuseme, haya hubiri toba na utakatifu wa Mungu. Mimi nimekaa nyumbani tangu 2019 nakaa tu nyumbani. Nimejaribu kutafuta kanisa lakini wapi.... Maubiri ni ufanisi na Imani tu, hawataki kuhubiri ufalme wa bingu na utakatifu.
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 10 ай бұрын
Amen BWANA apewe sifa
@bazurimwemdi9060
@bazurimwemdi9060 10 ай бұрын
Amena
@pastorpetermageta6833
@pastorpetermageta6833 10 ай бұрын
Massage of the season
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 10 ай бұрын
AMEN
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 10 ай бұрын
Amina Asante sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe nzuri zidi kuinuliwa promover team hongereni kwa kazi njema..
@RahabWanjiru-e6d
@RahabWanjiru-e6d 10 ай бұрын
Asante❤❤ mungu
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 10 ай бұрын
Mama ubarikiwe sana sana sana uishi sana
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 10 ай бұрын
Asante Roho mtakatifu, hapo kwa nguo ya shambani na mimi nilikuwa natatizika sana.
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 10 ай бұрын
Samahani ni nguo ya dhamani
@christianmulunga5504
@christianmulunga5504 10 ай бұрын
Amina mbarikiwe sana na asante kwa ushuhuda🙏
@emilianashirima7229
@emilianashirima7229 10 ай бұрын
Samahani Naomba kielewa kama Wewe ni MWALIMU unafundisha wanawake au jinsi zote maana nimewahi kusikia na kusoma biblia kwamba mwanamke haruhusiwi kufundisha kanisa la jinsi zote.
@sarahamri1620
@sarahamri1620 10 ай бұрын
Unasoma Biblia gani wewwe,soma 1wakorintho 11:5 mwanamke anatakiwa ahutubie maana atafundisha ,
@sarahamri1620
@sarahamri1620 10 ай бұрын
Nyie mmeng'ang'ana na mwanamke aruhusiwi soma maandiko mwambie Roho mtakatifu akufundishe kweli
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 10 ай бұрын
Tutafute kuisikia sauti ya Yesu kibinafsi Ili ku verify yasemwayo. Vinginevyo tutapotezwa maana miluzi mingi hupoteza namshukuru Mungu maana watumishi wa uongo na wa kweli huwa nawatambua. Hata mchungaji wangu mimi husikiliza neno kwa neno wakati anafundisha akikosea huwa nafuta Hilo neno kwenye Hansard za moyo wangu.
@evelynekomba7216
@evelynekomba7216 10 ай бұрын
​@@RubenMtuwaMungu-bz8eeMungu akubariki sana. Hata wachungaji wanakoseaga. Unapaswa kujenga msingi ktk neno la Mungu, na sio mtu. Wapo watumishi wanapotosha, lkn unakuta muumini anafuata sbb ameweka msingi kwa Mchungaji wake.
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 10 ай бұрын
Nikama Mnasikia Kuwa Mchungaji mwanamke ndio aitakiwiii
@rerisamba
@rerisamba 10 ай бұрын
Mapambo haswa kwa wamama wanaonaga kama hauna pesa wewe ni maskini sasa lililopo nikutafuta kanisa la wasio na mapambo
@norahabuyeka9617
@norahabuyeka9617 10 ай бұрын
kweli hua wanaona hatuna mpango,mm nimeamua nipate kanisa linalo mtambua Yesu na kazi 6a msalaba
@rerisamba
@rerisamba 10 ай бұрын
@@norahabuyeka9617 mimi bado sijarudi kenya sasa sikuile nitarudi watu watanishangaa kweli
@rerisamba
@rerisamba 10 ай бұрын
@@norahabuyeka9617 mimi bado sijarudi kenya sasa sikuile nitarudi watu watanishangaa kweli
@evelynekomba7216
@evelynekomba7216 10 ай бұрын
Hakika, mm niliulizwa na mpendwa mbona umechakaa hivyo!?! Umekuwaje!?? Wengine wanasema Nina stress😅😅😅
@evelynekomba7216
@evelynekomba7216 10 ай бұрын
Nimehama lile kanisa, maana nilionekana kn sieleweki. Nimeenda kule wako walioikana dunia wenzangu
@everlinekemunto267
@everlinekemunto267 10 ай бұрын
Amen
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 34 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,6 МЛН
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Jesser
Рет қаралды 27 МЛН
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 383 М.
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 34 МЛН