Pt1_Tuliiba miaka ya watu na kuwagawia waabudu shetani waliokufa|USHUHUDA WA JEREMIE MANGUIZA WA CAR

  Рет қаралды 19,628

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 37
@rerisamba
@rerisamba 10 ай бұрын
Tulio okoka tuzidi kuokoka na kuishi maisha ya haki hapa duniani sio salama kabisa
@rusimackems9820
@rusimackems9820 10 ай бұрын
Kweli kabisaa, Mungu atutie nguvu ya kusimama Imara
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Shida sio kuokoka, shida ni nini unaabudu?. Je unaabudu Mungu mmoja?
@robertsilington-cu4dz
@robertsilington-cu4dz 9 ай бұрын
Okoka YESU anakupenda
@RamadanPaul
@RamadanPaul 9 ай бұрын
@@robertsilington-cu4dz .. Kwan wewe unaabudu wangapi❓
@robertsilington-cu4dz
@robertsilington-cu4dz 9 ай бұрын
@@RamadanPaul T_A_G Tanzania Assemblies of God
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 10 ай бұрын
Kanisa tuamke ktk usingizi ufalme tunao pambana nao ,haulali juu yetu tujitaidi kuomba kwakila tunacho fanya Baba Mungu tunakutegemea wewe ktk safarihii ya Mbinguni
@florencemueni1183
@florencemueni1183 10 ай бұрын
Asante Yesu kwa kutufunulia mengi sifa utukufu ni wako
@salomekemunto1373
@salomekemunto1373 10 ай бұрын
AMINA,Bwana nipe nehema ili Kila wakati nisimame kwenye pengo la familia yetu. Kwa Hakika ushuhuda huu umenijenga Sana, Baraka Baraka katika Jina la Yesu Kristo AMINA.
@HappyChemistryExperiment-hp9mq
@HappyChemistryExperiment-hp9mq 7 ай бұрын
Tukiwa bila maombi sisi wakristo tutakuwa Kama mauwa mbele ya maadui zetu tutakuashwa na tunaanguka. Maombi ni nguvu na usalama wetu. Amen
@maryandason1815
@maryandason1815 9 ай бұрын
Blessed kaka jacktan the power of testimony❤....mm jamn hiz shuhuda kadri navyozd kuzskiliza nataman at nisiwepo dunian mambo mabaya nayo ndo yanazd kulko ..YESU yuko njian nisije nkaachwa😢..nisaidie MUNGU wangu😢
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 9 ай бұрын
AMEN.hakuna pa.kukimbilia.zaidi.ya kwa YESU KRISTO
@OmAn-jw4jt
@OmAn-jw4jt 10 ай бұрын
Ni kweli kabisa tujiachilie kwa yesu
@rerisamba
@rerisamba 10 ай бұрын
Mimi hapa number 1
@nellydeborah943
@nellydeborah943 10 ай бұрын
Amina barikiwa sana PROMOVER tv
@SabinaEzekiel-vb5nh
@SabinaEzekiel-vb5nh 7 күн бұрын
Yesu anatupenda anatufunulia tuijue mipango ya shetani.
@MarthaZabron-gg3uj
@MarthaZabron-gg3uj 10 ай бұрын
Ni kweli Neno ndio kioo, tusijetoka kwenye mstari wapo kweli na wao go
@user-jv1qw8rw3k
@user-jv1qw8rw3k 9 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi shuhuda zimefungua sana ufahamu wangu
@frolamugurusi9657
@frolamugurusi9657 7 ай бұрын
Mungu ni mkuu siku zote
@YoungsHilary-xd2ml
@YoungsHilary-xd2ml 8 ай бұрын
Asante sana kwa ujumbe
@NellyMadeni-yv6fd
@NellyMadeni-yv6fd 10 ай бұрын
Jak tan jitahidi kupunguza maneno mengi pia wasikiaji mjipime kwenye neno la Mungu, maans ni siku za mwisho
@PromovertvTz
@PromovertvTz 10 ай бұрын
Maneno yapi yapungue ndugu?
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt 10 ай бұрын
​@@PromovertvTzkazi iliyotukuka unafanya jackjesus mimi nakuita hvyo japo sijatoa sadaka ya kusapoti kazi na makanisa najua nitapata tuu
@PromovertvTz
@PromovertvTz 10 ай бұрын
​@@UsafiMichael-mc8ktAmen ubarikiwe
@estachengula3902
@estachengula3902 10 ай бұрын
Damu ya yesu kiristo itufunike siku zote za maisha yetuu
@user-zb6yn2ou5d
@user-zb6yn2ou5d 10 ай бұрын
​@@estachengula3902Amina
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 10 ай бұрын
Amen Asante kwa kazi zenu zinafungua wengi akili
@dianaobanda5114
@dianaobanda5114 10 ай бұрын
P
@dianaobanda5114
@dianaobanda5114 10 ай бұрын
P
@dianaobanda5114
@dianaobanda5114 10 ай бұрын
Pppp
@Jonathankaghese
@Jonathankaghese 7 ай бұрын
Asante Kwashuhuda nawafata Toka congo
@erickmsimbe5424
@erickmsimbe5424 9 ай бұрын
Mungu akubariki
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 10 ай бұрын
Amen
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 9 ай бұрын
AMEN MUNGU TUSAIDIE
@levismike16
@levismike16 9 ай бұрын
Yesu tulinde kwa damu yako.Amen
@jephersonjustine7407
@jephersonjustine7407 10 ай бұрын
Bwana atusaidie
@juniorkalinge5861
@juniorkalinge5861 10 ай бұрын
The powers of Satan he has he was given by the almighty GOD OUR CREATOR, SO IT MEANS WE ARE MORE &MORE POWERFULLY THAN SATAN
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,3 МЛН
IBADA YA ALHAMISI-TAREHE-15 AGOSTI 2024 /THURSDAY SERVICE-DATE 15th AUGUST 2024.
2:06:47
Kings Global Tabernacle Church
Рет қаралды 18
Nyisake Chaula_Historia
47:51
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 8 М.
PART 1 TABIA ZITAKAZOKUFANYA USHINDWE KUNYAKULIWA USHUHUDA WA AUGUSTO
13:44
SHUKA ZAKAYA CHINI [by Apostle Ng'ang'a] ALICHUKUA MIZIGO YANGU, ACHA KUSUMBUKA & YESU NI DARAJA
29:43
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 10 М.
NENO LA UZIMA. By Shimanyi FM (Official Music Video)
6:25
KWAYA YA MT. BONIFACE(KMB) SOMBETINI ARUSHA
Рет қаралды 65 М.
Kazi na Matokeo ya Neno la Mungu kwa Mwanadamu || Brown Mwakipesile
56:37
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН