Be blessed as you open our eye's servants of God from Kenya
@MariaMdemu-xt5cv9 ай бұрын
Amen
@queenesther26399 ай бұрын
BwanaYesuKristo TUSAIDIE
@vumiliawambula17169 ай бұрын
Amina Amina ninaoswali je watu wasiwe wanatumia Meza ya Bwana makanisani?
@marychristiansen29909 ай бұрын
Ni sawa kutumia lakini bila kileo na kuviombea
@noellyaruu18079 ай бұрын
Shalom shalom Jack tan unajua kuhusu unyakuo TV nabii boniface victory?
@devissyprian15269 ай бұрын
amekuwaje Boniface?
@PromovertvTz9 ай бұрын
Shalom, hapana
@kennethogonda29479 ай бұрын
Tv ama you tube channels za shuhuda ni nyingi. Mtu hawezi kujua zote.
@noellyaruu18079 ай бұрын
Ametoa unabii kuangamia dar
@emmanuelmmbaga52099 ай бұрын
Manabii wa giza hao, ili uamini subir mda alioutoa utapita na hutaona chochote.
@devissyprian15269 ай бұрын
kuangamia kwa mvua hii ya sasa au tusubilie mvua ijayo?
@yesumfalme57989 ай бұрын
Unyakuo tv
@tunajaribu9 ай бұрын
Mlio ona hizi namba huko kwa Niffer mmeelewa ee
@kennethogonda29479 ай бұрын
Nani ametoa? Aston huwa hatoi unabii kama huo.
@lilymwashumbe48909 ай бұрын
Nina swali mchungaji Langistan je, meza ya Bwana ni juice na biskuti au ni wine?
@mercykariithi79199 ай бұрын
Mimi hao wajamaa hua Wana ni bore
@christinemwakio78709 ай бұрын
Why watch kama hujaitwa... mbona sio lazima uwasikilize ! Aty wanakubore?? Why watch them... wewe toka kwa hii wall sisi tuko tayari kuonywa na kutii... Jactan psmoja na team ya promover tunawapenda mno.. ushuhuda uliojaa kweli ufikilie ulimwengu wote ❤ 🇰🇪🇰🇪
@kennethogonda29479 ай бұрын
Je, umelazimishwa kuwasikiza? Uko huru kuwasikiza kina Diamond Platinumz.
@harrietkiden78089 ай бұрын
Wanakubore, because your spirit is not deeply rooted in Jesus. This is a kind of msg Christians have to hear/listen
@anicetnhegetela2 ай бұрын
Mambo hayo ni ya rohoni sana na makanisa mengi hawafundishi na hawayajui,ni rahisi kwa mtu mchanga km wewe kubwa bored