Ninawapenda katika kristo nimebadilika kwa ajili ya mafunuo yenu
@bettykinyami50968 ай бұрын
Kweli kabisa hizo ni njama za kuzimu, Mungu ametuumba kwa mfano wake. je Mungu hawezi kutuumba vizuri mpaka tujipambe?
@Marthamodest-l7q9 ай бұрын
Amen namshukuru Mungu amenitoa kwenye vifungo vya mapambo nimeacha kabisa saivi nipo na amani Sana najikubali Sasa Mungu jinsi ameniumba
@LucyKapinga-fg4dk9 ай бұрын
Hallelujah !Ongera
@Marthamodest-l7q9 ай бұрын
@@LucyKapinga-fg4dk amen
@bettykinyami50968 ай бұрын
Amina Bwana akubariki
@EvaSimon-g4v2 ай бұрын
Tujuane jmn maana dhhh n Kaz kujitoa huko hatamm nimeacha
@Marthamodest-l7q2 ай бұрын
@EvaSimon-g4v ameen
@StellaPaul-z9y9 ай бұрын
Mungu Naomba unifundishe kuvaa mavazi yakupendezao
@ErnestinaKisinga9 ай бұрын
Badilika
@VeeSunshine-zr3iv9 ай бұрын
Huu ushuhuda ni wa kweli kabisa, kuna kiwi imeandikwa special 555, kwa kweli Mungu atusaidie wanadamu jamani
@Estherabeti76549 ай бұрын
Ndio kabisa mimi niliwahi kununulia wanangu viatu vya upinde usiku wake MUNGU alinifunulia ivyo
@albertongubo81059 ай бұрын
Mbarikiwe watumishi, na kanisa la Kristo......Mwanga unavutia Sana
@lilymwashumbe48909 ай бұрын
Amina nabii ubarikiwe pamoja na Mchungaji Langistan
@susiehollo74349 ай бұрын
Amen!! Mungu asaidie, waojiita walokole ndo wanaongoza kwa kujipamba na kuvaa nguo za ajabu. Wakiambiwa ukweli wanakuwa wabishii sanaa.
@trophywilson72119 ай бұрын
si Wote hata Hao wa Upande wa Pili ni msikitini tu hawajipambi,Nenda Jioni Shemu za Mikusanyiko,Utaomba Msamaha Siku hiyo ,Usiombe hii dunia Ina mengi,Kule Tanga Jioni nahisi watu ni Majini si watu tena jinsi wanavyojipamba na Kuvaa
@carendeborah56879 ай бұрын
Kabisa,ndugu zangu waislamu Huwa nawaambia rangi na makeup,,rangi ya mkono ,rangi ya nywele SI mzuri ila wanaona nawachochea,Bali wakienda mbele za Mungu wanatoa hizo uchafu zote ,Sasa Mimi huwauliza mbona wanatoa kama ni halali mbele za Mungu
@susiehollo74349 ай бұрын
@@trophywilson7211 Yeah! Najua si wote, hata mimi nimeokoka namshukuru sana Mungu amenisaidia nlivyofahamu tu ukweli sikutaka kubisha kwa lolote maana hata sababu ya kutojipamba iko wazi kabisaa sema huwa tunaiga vile tunakuta wakubwa wanafanya. Sasa ukijaribu kuwaeleza ukweli unakuwa some sort of adui hivi, it's like huwatakii mema. Tumwombe Mungu afungue fahamu za watu wake maana wakisubiri mpaka hiyo siku ya ghadhabu ya Bwana itakuwa ishakuwa too late.
@ByamungupoloKapili9 ай бұрын
Aminé aminé
@neemamarko1769 ай бұрын
Mungu awabariki watumishi wa Mungu
@jeradakisavery65219 ай бұрын
Amina mafundisho mazuri Asante Yesu
@GRACENyanda-cn3pg9 ай бұрын
Na nilisikia mtumishi wa Mungu mwingine akizungumza kuhusu mavazi,Mungu atusaidie
@trophywilson72119 ай бұрын
Mchungaji Peter anasema Saana na Watu wanachoma saana Nguo,Ila sasa yeye anafundisha nguo za rangi Mbali mbali kushonwa Pamoja lakin Congo ndo Kwao
@carendeborah56879 ай бұрын
🌈 dresses, devil's advocate dresses and shoes weh Mungu atuongoze katika kila jambo jamani
@RodahAdonice-dz4sm9 ай бұрын
Asanten sana
@AdellaSanga9 ай бұрын
YESU NAOMBA NITOE MIMI
@gosbertmuta54219 ай бұрын
Mtabarikiwa muingiapo na mtokapo......na huyu mchungaji aanaewaalika abalikiwe mnoooooo maana sio rahisi
@NANCYOBURA-co5ph9 ай бұрын
Ameen
@MargaretBaya-m1b9 ай бұрын
Amen
@LucyKapinga-fg4dk9 ай бұрын
Ufalme 555 ,nguo ,chakula,na Mapambo ya njee
@NANCYOBURA-co5ph9 ай бұрын
Ameeen
@queenesther26399 ай бұрын
Shukrani na baraka pia
@MAONYOTVTANZANIA9 ай бұрын
Walokole asilimia 90 wanapenda mapambo wamejiunganisha kuzimu , hawana ufahamu hasa wamama na mabinti
@lightymarco8519 ай бұрын
Mungu atusaidie sana
@LucyKapinga-fg4dk9 ай бұрын
Haswaa Na Ukiwaambia Uwii Ugomvi yani Wanaona Kama MUNGU Niwamazoea Yaan Kristo aturehemu
@YeremiaHusna-ev3un9 ай бұрын
Je kuvaa nguo za maua ni dhambi
@mabondolawrence18129 ай бұрын
Na baadhi ya wachungaji wako nyuma yao, hawawezi kukemea hofu watu wasiwakimbie.
@bettykinyami50968 ай бұрын
wanaogopa wakikemea waumini watakimbia ,kwaiyo Bora waendelee kujipamba halafu watapotelea kuzimu!!
@mwibakechaasanmatu77429 ай бұрын
Kuminambili zanjiaya kwenda mbinguni
@kigomamaranathagospelchoir26429 ай бұрын
555 imeandikwa wapi? Tuache utapeli
@adrianomaulaga15999 ай бұрын
Sio kila kitu kimeandikwa kwenye biblia kwani uvutaji wa sigara umeandikwa wapi? Je sio dhambi kwa kuwa haijaandikwa?biblia haiwezi ikaandika kila kitu ndugu