Anayafunua haya yote a ikwa sababu ya upendo wake ataki tuangamie Mungu awabarki kwa kazi njema
@fredrickmutunga45602 жыл бұрын
MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI.Mimi nimeokoka na nampenda Mungu na Yesu kama mwokozi wa maisha yangu.Kwa hakika unapomtafuta na kumwabudu Mungu katika roho na kweli uweza kujidhihirisha katika maisha yako.Mimi pia kuna mambo Mungu alinifunulia na kunionyesha wakati nilikesha kwa kanisa nikiomba Mungu aokoe ulimwengu mwaka wa 2020.Niliitwa na sauti ikanielezea kuhusu magonjwa yanayomaliza watu wake.Niliona pia mawingu meusi na mekundu na vision ya nchi zuri na mambo mengi sana ambayo hata nikieleza watu ua hawanielewi.Hakika Mungu yupo na watu watubu dhambi zao na kumrudia(Matthew 3:2).God bless you.
@miria6592 жыл бұрын
Wapendwa tuishi maisha matakatifu sababu hatujui muda na wakati wa kufa.Promover Tv thanks it is always a pleasure to follow you tunapata ufunuo baada ya ufunuo
@leosiayusuph33302 жыл бұрын
Yan nawaza tu hapo jmn Mungu atusaidie kuyaishi maisha matakatifu
@nestorygilbert61702 жыл бұрын
Namshukuru Mungu aliye mjalia ESTA kufika Promover TV nimefurah niliwahi msikia lakn alitoa kiufup nimebalikiwa sana🙏🏼
@rachaelliza26722 жыл бұрын
Ushuhuda mzuri sana,Yesu tusaidie kila mara tukikosa tukumbuke kutubu tusije tukakosa ufalme wa mbinguni
@gemmap8162 жыл бұрын
Asante sana Esta nimebarikiwa sana kuangalia ushuhuda wako WOW what a testimony MUNGU akubariki sana 🙏🏾
@gmdalalimchamungu_tz11702 жыл бұрын
Asante kwa neema hii tuliyopewa kuona nakusikia haya naamini kila mmoja wetu amepokea sawa na shauku nahaja ya moyo wake. Asante kwaajili ya Dada Esta kwa upendo wake kutushirikisha haya.
@felixmelix927 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Dada Esta kwa huduma njema🙏🙏🙏 Hakika tunayo Kazi kubwa ya kutubu na kuwacha njia zote mbaya
@julianawanjala64952 жыл бұрын
Asante dada kwa ushuhuda mzuri...Mwenyezi Mungu awabariki kwa kazi munayofanya
@FatimahAlshehri-gt1gj Жыл бұрын
Amen ni kma vile mmi natamani nafazi ya uombezi
@soeurbetty76672 жыл бұрын
Mungu atusaidiye atupe.mwisho mwema ndugu zangu wakristo
@MadamEunik2 жыл бұрын
Kwa kweli Mungu atusaidie kuishi watakatifu hadi tamati. Promover mbarikiwe sana kwa kuhubiri injili kwa njia inayongusa mioyo mingi sana.
@marykibali75682 жыл бұрын
Glory to God nashukuru Mungu sana kwajili yenyu kutuletea maushuuda nzuri sana na pia nimebarikiwa sana na ushuuda wa dada kwa kweli kuna kitu nimejifunza na Mungu awabariki sana
@SummerTime-v1s2 жыл бұрын
nimebarikiwa sana kwa ushuhuda wako easther..naomba mungu anipe mwisho mwema🙏
@yungharry22042 жыл бұрын
😞 Yesu tusamehe sisi wenye dhambi usitutupe utukumbuke katika ufalme wako hatuwezi bila wewe utuoshe na damu yako takatifu tuwezeshe tutimize mapenzi yako tulinde dhidi na dhambi na na hila za shetani Roho mtakatifu tuoshe na moto wako utunyakue na kufa katika Yesu Katika Jina la Yesu
@saramss72622 жыл бұрын
Daaa mungu nimwema Hallelujah hallelujah atusaidye SANA mtumishii barikiwaa SANA
@lokadi2542 жыл бұрын
What a blessing. We need to hear more of this woman’s teaching.
Asanteni sana kwa ushuhuda huu. Natamani kusikia sehemu ya pili na kuendelea. Nimejifunza mengi lakini bado naona kuna zaidi.
@mwambakibucheche11192 жыл бұрын
Natamani sana siku moja namimi anitokee yani siku hiyo nitafurahi kupita luga kutamka.ubarikiwe sana mtumishi ushuhuda wako umenijenga katika imani na kumpenda Mungu.
@badeuxmlondani72682 жыл бұрын
Amen 🙏🏻 Mungu akubariki sana mama yangu E’Mungu tusaidie BABA 😢🙌🏻🙌🏻
@maryandason18152 жыл бұрын
Amen 🙏🙏 nam sijachelewa kwenye baraka hizi za mbingun blessed all
@vicentphilipo35492 жыл бұрын
Bwana YESU tusaidie sisi wanadam tuishi katika ufalme wako amen
@fm.masesi Жыл бұрын
Mum God bless you, saint from Nairobi Kenya
@marymbodzembodze27072 жыл бұрын
Amen Amen barikiwen sana watumishi wa BWANA
@pastormargaretnyambane2 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua promover tv. Pia awatendee mema. Kindly, part 2.
@kabetafrancine80332 жыл бұрын
Mungu akubaliki mama napenda ngisi anaongeya nakuceka from rwanda
@voctoriangombe61362 жыл бұрын
Ee Mungu tusaidie,endelea kutufunguaJehova
@mputaostin30772 жыл бұрын
Thanx for this message be blessed
@greysonsebastian37382 жыл бұрын
Mbarikiwe sana Promover naomba ikiwezekana watu tunabalikiwa tuwe tunawasafirisha ili tupate shuhuda nyingi zaidi.
@charlesmbena91212 жыл бұрын
Mimi kiukweli tangu nimeanza kufatilia sijawahi kujuta kwa sababu nakumbuka tangu nimeanza kufatilia kuna mambo mengi nimeacha na namuona Mungu maishani mwangu Mbarikiwe jacktan, Erick na team nzima ya promover
@janetjanet86692 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu najua Mungu hataki tupotee🙏🙏🙏
@Summertm8 ай бұрын
- Tunashukuru kwa shuhuda hizi; Ila watu waonywe kuwa "Hizi Sio Injili". Kuna vitu vingine mtu anakuwa ameonyeshwa kwa ajili yake yeye mwenyewe. Watu wasome Bibilia na kumwomba Mungu awafundishe utakatifu na kile Mungu anachotegemea kwao. - Gal 5:22-26 : Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
@karenmuthoki96112 жыл бұрын
Amina
@valentinanduku87182 жыл бұрын
Asante Yesu kwa mambo makuu ulioyafunua kwa huyu dada
@mindenlightenment2 жыл бұрын
We love your testimonies , they have open our eyes🙌🤍🌺
@nyanjigajoyce74842 жыл бұрын
Thanks dear
@tatumluv60542 жыл бұрын
Amen Amen barikiwa sana ushuhuda wa kuhamasisha tumgeukie YESU kujiepusha na moto wa jehanamu
@abelsimon88302 жыл бұрын
MWAMINI YESU ILI AZIONDOE DHAMBI SIYO ILI UEPUKE MOTO.
@WixtonWizzy7 ай бұрын
Amin
@horemow98322 жыл бұрын
Eeeh Mwenyezi Mungu nisaidie nimalize mwendo salama nitie nguvu baba, ushuhuda mzito kweli barikiwa sana kwa shuhuda hizi
@DotoS123 ай бұрын
Ubarikiwe sana dada kw ushuhuda
@maikoandrew582 жыл бұрын
Mimi huwa sipendi kudanganywa, naliamini sana neno la Mungu WAEBRANIA 9:27,
@reubenlusanya35462 жыл бұрын
Wapendwa tumuombe Yesu Kristo atusadie tuishi maisha matakatifu ukweli muda umeisha.
@daisybuyantsi59532 жыл бұрын
Nimebarikiwa na ushuhuda Mungu Mungu akubariki dada Esther
@annacharles28422 жыл бұрын
Mungu atusaidie kwakweli
@lucyakinyiowino86002 жыл бұрын
Ushuda wa nguvu sana naomba pia kuelezewa hizi kanuni za baraka za mbunguni na duniani Mama Mtumishi atakapokuwa anaeleza maanga saba za maombi.Asante
@221moses2 жыл бұрын
What a powerful testmony! waiting for the next part
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Thanks your sister be blessed
@Peace.20182 жыл бұрын
Yesu Kristo atusaidie mwisho wetu uwe mwema
@miria6592 жыл бұрын
Waiting for part 2
@rosepeter89962 жыл бұрын
AMINA.nafwatilia kutoka kenya.
@paulwaweru76182 жыл бұрын
Ushuda huu kweli niwa MUNGU. Imenionya, fundisha na pia kunitia moyo. Atukuzwe MUNGU aliye juu Mbinguni.
@lydiamichael55092 жыл бұрын
Amina Barikiwa sana dada Esta kwa ujumbe mzuri
@elizabethmuthike96232 жыл бұрын
Amen mama (waendeshaji kipindi huu ushuunda nimkumbwa ebu tupangieni vizuri hili tuupate kisahii mana kuna mambo mengi muimu apo tunasitili kuyajua tafathali bwa jactan
@divineidentity32532 жыл бұрын
Ushuuda ni mzuri kwa kutujenga lakini tuwe wenye kusoma Neno kwa sana (Kolosai 3:16) kwa sababu kila ushuuda uwe wa mbinguni au kuzimu ni lazima tuupime kwa kipimo cha Neno la Mungu na sio kwa hisia au mihemko.
@trophywilson72112 жыл бұрын
NDIYO TUNASOMA NA TUNAPEMBUA YAKINIFU,UPO HAPO??HAKUNA MIHEMUKO LABDA WEWE TU NDO IUMEPATA MIHEMUKO,POLE SAANA
@divineidentity32532 жыл бұрын
@@trophywilson7211 ni ushauri tu ndugu yangu unaweza ukauchukuwa au ukaacha ila sipo hapa kubishana na mtu na kama unasomaga basi jambo jema na Mungu akubariki
@edomkyamba66332 жыл бұрын
umeuona dhaifu?
@hellendiana6252 жыл бұрын
Haleluya!, jameni tukaze mwendo ili tuingie mbinguni tukaone huwo uzuri.
@estherngowi81022 жыл бұрын
We Yesu turehemu baba🙏
@piliechildofkingjesus45942 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana wakutia moyo. Barikiwa sana
@elizajeremiah7742 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@tamarali83252 жыл бұрын
Bwana Yesu Akubariki sana mama. Nimejifunza. Jacktan Barikiwa sana. Kaka Audax Barikiwa sana na Promover TV.
@ireneshabani74132 жыл бұрын
Eeeh Mungu tuepushie adhabu hii Roho wako mtakatifu atuongoze Naomba toba eeh Yesu
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@veronicahkhaikwa49292 жыл бұрын
Anga saba promover TV very important don't forget
@joyceisack19082 жыл бұрын
amen mtumishi
@naomysamuel67992 жыл бұрын
Asante
@pastorpraisehappiness21572 жыл бұрын
Hongereni mno wana Promover TV kwa kazi njema. Kwa kweli mmekuwa kipaumbele kuihubiri injili ya Christo, ila naomba ni wakumbushe kwamba bado naisubiria simu yenu kwa ule ushuhuda nliowahadidhia..
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Tafadhali wasiliana nasi
@pastorpraisehappiness21572 жыл бұрын
@@PromovertvTz Sawa kabisa
@elizalaya78872 жыл бұрын
Wow what a testimony ubarikiwe sana Dada na mbarikiwe promover TV
@mwigarleysaid54062 жыл бұрын
Mawaelewa Sana Promover TV
@tumumasha15682 жыл бұрын
Unafundisha vizuri
@telaamtauta22272 жыл бұрын
Mungu tupe mwisho mwema nature watu peponi siyo motoni
@zipporahmibei90072 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@rusiafrancoise23962 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@consolatandanu32642 жыл бұрын
Yesu amrnifunza jambo
@joskyshams47582 жыл бұрын
Mimi ni mkenya na ni mgeni kwa hii channel. Abraham kumtoa Isaka ilikuwa sisi kuelewa picha ya jinsi MUNGU alivyomtoa Yesu Mwana wake wa kipekee. Si kutoa hela. Vitabu hivyo viwili vinaongelea wokovu. Wakristo tuko na shida sana nilidhani ni Kenya pekee.
@alifewithpurpose.3602 жыл бұрын
Biblia ni pana andiko Moja linaweza kutoa maelezo zaidi ya Moja.... Tusikae kwenye uelewa mmoja tu.. Neno la Mungu ni PANA SANA... ROHO MTAKATIFU awesza Mfunulia huyu maaana hii na mwingine maana nyengine..
@gelestianambilinyi77552 жыл бұрын
Mungu tusaidie watoto wako
@eliabuelinafassam61272 жыл бұрын
Aminaa
@millicentywauii23072 жыл бұрын
🙌🙌🙏
@petermkono66432 жыл бұрын
Glory to YHWH
@mestonianatori72542 жыл бұрын
M!! Mbona anafanana na OSINACH NWACHWUKU wa NIGERIA?
@SummerTime-v1s2 жыл бұрын
haha ata mimi mara ya kwanza nimedhan n yeye
@atanasmpigauzi32342 жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi wa mungu,samahani naomba kuuliza alivyo waona Hawa wanafunzi wa yesu walikuwa ni wazungu au weusi?
@foyberichard14352 жыл бұрын
😂😂😂😂ila ww😅
@thanksgivingchannel62472 жыл бұрын
Bwana atupe neema wanadamu
@josephmutemi74942 жыл бұрын
Amen
@saramss72622 жыл бұрын
MUNGU NIMWEMA Atusaidye SANA jamaniii huuu Ulimwengu Ulipofikiaa ni pabaya Yehover hile atusaidye
@mosesmauda5718 Жыл бұрын
Ushuhuda wenye nguvu na Imani huu,wacha Mungu akaweze kutusaidia kueka Imani yetu kwake dhabiti.
@bazurimwemdi90602 жыл бұрын
Eee yesu nisaidie na mimi nipate kukuona
@vicentgodda33572 жыл бұрын
Ujumbe huu ni vema kuandikwa kitabu uwafikie wengi.
@mercyelahuya95222 жыл бұрын
Oh Mungu aturehemu tuepuke jehanamu
@gosbertmuta54216 ай бұрын
Nimerudi tena leo 24.7.2024😂 kusikiliza huyu mama nnavompenda sasa ni balaa
@stanndossy93712 жыл бұрын
Mungu yupo tumrudieni yeye tuepuke moto wa Milele
@bintalmasi23932 жыл бұрын
Tufundishwe zaidi juu ya ma-anga saba.
@sadyrajabu93182 жыл бұрын
Ivi haya mambo hutokeaga Africa tuu mhhh hii Dunia
@dawhiteschola88472 жыл бұрын
Naomba kujua YESU alikuwa na sura Gani ?Asantee
@irenewilfred77672 жыл бұрын
Nyie MUNGU asaidie
@nyanjigajoyce74842 жыл бұрын
Jaman watu wanabahatiiiiiii
@saramss72622 жыл бұрын
Matendo (9)hio
@peterboli94312 жыл бұрын
Kwa Nini Mungu hukunionyesha mambo haya mapema? Nisamehe Mungu
@aminaally41632 жыл бұрын
MUNGU WETU ANATUPENDA SANA NDIO. MANA ANATUFUNULIA HAYA.
@devissyprian93482 жыл бұрын
Tunaomba part 2
@georgemunene66052 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe ! Mimi nina swali ,Bwana yesu alikusemesha kwa lugha gani?