Part 4_USHUHUDA WA MWALIMU ALIYEKUWA FREEMASON NA BAADA YA KUJITOA AKAPEWA MASAA 72 YA KUISHI

  Рет қаралды 61,968

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 147
@adelinaerrobee6615
@adelinaerrobee6615 9 ай бұрын
Hongera mtumishi kwakweli inahitajika Neema ya Mungu kuvuka kumbe ukitoka ila nimeenda ujasiri wako hongereni Promova Tv
@Joyjoy-ym6th
@Joyjoy-ym6th Жыл бұрын
Ameeeen Ameeeen and Ameeeen damu ya YESU Christo ina nguvu hakika ni ushuuda wa nguvu Mungu azidi kukutawala🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@rajabhussein7794
@rajabhussein7794 3 жыл бұрын
Pole Sana ndugu mwalimu mwenzangu,maisha yanatutesa sana
@janegacheru9287
@janegacheru9287 3 жыл бұрын
Started since part one,,and am realy amazed with what God works,He works greatly in this guy..watching from Kenya
@mutabirwakashasha5428
@mutabirwakashasha5428 3 жыл бұрын
Ushuhuda mzuri sana Mungu ni mwema sana aisee
@fatumanaliaka2210
@fatumanaliaka2210 3 жыл бұрын
Pole sana kwa yote Mwenyezi Mungu aendelee kukupikania akushindie akuweseshe akulinde salama akutunze salama akutawale akupikanie akuongose vyema na azidi kukupa nguvu na afia njema na uzima tele pamoja na familia yako na pia jipe moyo kuwa na Imani endelea kumwamini Mwenyezi Mungu kwa anawesa na anachua yote na hakuna jambo lililo ngumu la kumshinda yeye maana yeye ndiye mwenye uweso na mamlaka kwetu na pila yeye hatuwesi chochote kweli na anastaili kila wakati maana yeye ndiye kimbilio tegemeo na msaada Pekee Kwetu kupidia Kwa Jina La mwanae YESU Kristo aliye Bwana na Mwokozi wetu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@emmanuelmsukuma6099
@emmanuelmsukuma6099 3 жыл бұрын
Amina fatuma
@lilianmugyabuso8908
@lilianmugyabuso8908 2 жыл бұрын
Shetani hana huruma,Hana cha kupoteza hana cha bure kabisa pole na Hongera sana Mungu Akusaidie usimame na Mungu vizuri
@josefomoises9521
@josefomoises9521 Жыл бұрын
Pole sana mtumichi, nilikuwa na nia ya kujiunga icho chama lakini basi nimekoma.
@FerdinandNjau
@FerdinandNjau 3 жыл бұрын
Huu ushuhuda umenigusa sana. Hakika Mungu wetu nimwanifu
@Berchmansngendakumana
@Berchmansngendakumana 8 ай бұрын
Burundi tunawasikiliza kila siku neema ya Mungu iwe juu yenu wapendwa
@penninahngau7399
@penninahngau7399 3 жыл бұрын
Tumengundua mengi mungu akubariki sana hutaokoa wengi kweli😍
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 3 жыл бұрын
Pole sana mwalimu kwa yote uliopitia ulingizwa pasipo wewe mwenyewe kujua Mungu aendelee akikupigania AMINA
@JaneMsegu
@JaneMsegu 10 ай бұрын
Mungu Akutunze Daima
@joannembaja6053
@joannembaja6053 Жыл бұрын
Damu ya Yesu inene uzima maishani mwako popote unapotajwa Emmanuel
@fatmawanjiko251
@fatmawanjiko251 3 жыл бұрын
Am watching from Kenya and am amazed for that testimony thank you...
@jeanbb1385
@jeanbb1385 3 жыл бұрын
Shetani ahana cha bure asante kwa ushuuda mzuri Sana
@saraphinaSamweli-rv7bv
@saraphinaSamweli-rv7bv 3 ай бұрын
Duh ama kwer mungu saidia family yang pamoja na watu wengine
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 3 жыл бұрын
Watching from 🇰🇪,A blessed Testimony 🙏🙏
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 3 жыл бұрын
Mungu akuwezeshe katika yote Damu ya Yesu ikufunike.
@marthamaligo458
@marthamaligo458 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana na akusimamie kwa yote
@hebronsdaughter1661
@hebronsdaughter1661 3 жыл бұрын
Hakika huu ushuhuda ni mkubwa sana barikiwa na Mungu azidi kukuinua
@kithia100
@kithia100 3 жыл бұрын
Wanne leo twende kazi🇰🇪🙋
@happynesskimt6249
@happynesskimt6249 3 жыл бұрын
Asante sana hii ni elimu tosha,
@failaprince9250
@failaprince9250 10 ай бұрын
Pole sana ndugu
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 3 жыл бұрын
Nimeupenda sana huu ushuuda kwakweli nimebarikiwa mno.
@gideonwekesa4033
@gideonwekesa4033 3 жыл бұрын
Jesus christ is the lord,, from kenya God bless you
@anitamageni3487
@anitamageni3487 3 жыл бұрын
Asante kaka jacktan kwa kutuletea ushuhuda mzuri mungu akubaliki
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 3 жыл бұрын
Mungu alikua na kusudi na maisha yako mchungaji,ili uokoe nafsi zengine.mungu akuinue zaidi my brother
@kasakimba3547
@kasakimba3547 3 жыл бұрын
Tena ndugu katika yesu,unaadisia vizuri kabisa
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Eee Mungu wa Israel,nipe nguvu zaidi ya ufahamu wangu Baba yangu nikutumikie Kwa ukweli na Roho ijapo ni Kwa umaskini wa kiasi gani nibaki kuwa mwaminifu kwako milele na hata milele
@flm1530
@flm1530 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@janegabriel78
@janegabriel78 11 ай бұрын
Kweli mungu akulinde. Na azidi kukuinua😢😢😢😅
@PeterNzinza
@PeterNzinza 10 ай бұрын
Kole kazi yauwalimu uliacha
@MaggieG276
@MaggieG276 3 жыл бұрын
Thanking God for your salvation
@lilianachiengministries3386
@lilianachiengministries3386 3 жыл бұрын
Asante kuendelea..
@Mbenja12
@Mbenja12 3 жыл бұрын
MUNGU awabariki Sana na awapiganie..
@sharondivine8994
@sharondivine8994 3 жыл бұрын
Rehema ya Mungu yatosha
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 3 жыл бұрын
yan huyu jmaaa amshukur mungu sana, maan altoka hakuw na iman kabsa, yan kanisa shetan anakujavip kuliharibu? ndo ujue walimnusulu tu na kuamua kumtesa tu
@LOGOSNew
@LOGOSNew 3 жыл бұрын
Psalm 46:1 God is our present help in times of trouble. Romans 10:3 Whoever calls upon the name of the Lord shall be saved.
@HBI-TV
@HBI-TV 3 жыл бұрын
Mungu nimwema
@fei3668
@fei3668 3 жыл бұрын
Asante yesu
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 3 жыл бұрын
Pole sana mwalimu mandugu zangu yafaa tujue hakuna kitu chochote hupatikanana kwa Raisi lazima utoe jasho hata Neno linatuambia asiyefanya kazi naye asile? Mbona tukimbilie pesa ziko tiyari pasipojua kule zimetoka uzuri umemkimbilia Bwana Yesu ndio mwanzo na mwisho
@joycesikana4513
@joycesikana4513 3 жыл бұрын
We ni mshindi
@anthonkephasglobalmedia7406
@anthonkephasglobalmedia7406 3 жыл бұрын
Namba 2♦️♦️♦️ tunabarikiwa sana jaman
@kasakimba3547
@kasakimba3547 3 жыл бұрын
Yesu asifiwe
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen
@nakiwalahjulliet9208
@nakiwalahjulliet9208 3 жыл бұрын
Doing great job promover TV.long live promover t.v
@lispamagu5810
@lispamagu5810 3 жыл бұрын
Hatr
@fridamwikuka5402
@fridamwikuka5402 3 жыл бұрын
Du dunia hii ina makubwa sn.bora nikae na umaskini wangu
@saraholuche1117
@saraholuche1117 3 жыл бұрын
Ukweli, heri nife maskini
@xiwuyan457
@xiwuyan457 3 жыл бұрын
Kaka nisikufuche huu ushuhuda ni moja kati ya ushuhuda BIG 🙏
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 3 жыл бұрын
Huu ushuda Ni ushuda Bora kabisa na Ni ukweli asilimia 100.
@LOGOSNew
@LOGOSNew 3 жыл бұрын
Mtego wa Shetani huwa hivyo : anaanzia vishawishi vidogovidogo hadi unajikuta kwenye kina kirefu cha majaribu !
@egospeltz9486
@egospeltz9486 3 жыл бұрын
Mateso ya mwenye haki ni mengi, lakini Mungu atamponya nayo yote.
@jeffersonmontero3597
@jeffersonmontero3597 11 ай бұрын
Subhanallah 😭😭
@Mbenja12
@Mbenja12 3 жыл бұрын
Nimependa ujasiri wako..
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 3 жыл бұрын
kumbe haukuw na nguvu ya mungu bali walikusamehe tu na kuchukua mali zao,ndo maan ulipofngua kanisa lakin yaliharbika kwa sababu alipo yesu wa kwel nguvu za giza haziwez kusogea, na wangetaka kukuuwa wangekuuwa tu
@levismike16
@levismike16 3 жыл бұрын
BWANA YESU ASIFIWE MILELE.JACKTAN ASANTE NA MUNGU AKUONGOZE SANA NA UJASIRI'
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Amen
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 жыл бұрын
TUMTAFUTE MUNGU KWA BIDII SANA
@horemow9832
@horemow9832 3 жыл бұрын
Jamani wapendwa tuelewane sio kila mtu amepewa huduma ya kufungua kanisa ukweli ni kwamba haukumjua huyu Bwana Yesu vizuri makanisa ni mengi ila niwachache mno wanaoingia mbinguni
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 3 жыл бұрын
Ndio..hata mimi na shangaa mbona alifunguwa kanisa na bado hajasima vizuri
@trilionea_online_TV
@trilionea_online_TV Жыл бұрын
Ongea bro nakupata vema, mm nilikuwa na cheo cha Craft, ni cheo cha tatu kutoka vyeo vya Kanda na Africa mashariki ni daraja la 29, So mwalimu funguka watanzania wajue, hasa vijana ambao wanatamani kuingia huko, funguka
@linuxlipawaga1696
@linuxlipawaga1696 3 жыл бұрын
Oooh ila nimewahi twende kazi
@vomalizavomaliza746
@vomalizavomaliza746 2 жыл бұрын
Hawa wanaume wanashinda
@emmanuelmnyoro3560
@emmanuelmnyoro3560 Жыл бұрын
Naipataje namba ya huyu mchungaji
@sevenmund
@sevenmund 3 жыл бұрын
ujamalizia kuhusu inshu ya kanumba
@godsavethesociety1392
@godsavethesociety1392 3 жыл бұрын
Sizani kama ni kweli
@mwikalijoeephine1522
@mwikalijoeephine1522 3 жыл бұрын
And mama kanumva keeps accusing lulu while his son was this own problem . May God have mercy . In any area of my an connected to satanism system I command the connection be broken and consumed by the fire of holy ghost in Jesus name Amen
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 жыл бұрын
Zinaitwa pesa jamani doh
@HilarioAfonso-en1gv
@HilarioAfonso-en1gv 9 ай бұрын
Maisha ni kupitia
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Kwahyo hyo huduma ulikua unafanya biashara au
@KhadijaAlly-j1s
@KhadijaAlly-j1s 11 ай бұрын
Cha ajabu ni kwamba wote wanaotoka hukumbilia kanisani na si msikitini why this ?!! Kuna siri zenu hapa na kwa nn hukueleza kwann uliambiwa uchague jina la othman ambl ni la kiisilam??!! Kuna siri gan napo hapa.?
@DRIPPINGPAIN
@DRIPPINGPAIN 3 жыл бұрын
HAMNA KULAZIMISHWA OBVIOUS KWA KUWA SIYO RUHUSA YA MUNGU ...
@graceshikulu7257
@graceshikulu7257 2 жыл бұрын
Shuuuuuu
@neemaernest4167
@neemaernest4167 3 жыл бұрын
Duuu
@JN-bq8dh
@JN-bq8dh 3 жыл бұрын
kwa nini kuhuzuliya mikutano usiku??
@blessingmmbone6638
@blessingmmbone6638 3 жыл бұрын
Jesus,jesus your christ
@lilianachiengministries3386
@lilianachiengministries3386 3 жыл бұрын
Kiwango cha yule mtumishi wa kwanza kiliishia pale,kwa hivyo bado ni yesu alikusaidia,hadi akakupeleka kwa mtumishi mwingine
@carolinewanjiku5727
@carolinewanjiku5727 3 жыл бұрын
Kama hungeitishwa familia yako ungeendelea kupeana watoto wawenyewe surely people are heartless
@edinambaga776
@edinambaga776 3 жыл бұрын
Mke wako alijuwa anajuwa sababu ya hayo mpito au anajuwa ulikuwa freemaso
@karrolleschon3986
@karrolleschon3986 3 жыл бұрын
🇰🇪😧
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Kwani kitimoto dhambi? Nakula bila shaka
@Blessed7doc
@Blessed7doc 3 жыл бұрын
What is kitimoto in english?
@karensylvester3753
@karensylvester3753 3 жыл бұрын
@@Blessed7doc pork
@chuggapjt3782
@chuggapjt3782 3 жыл бұрын
Yesu hakuwa na nguvu katika dini hiyo?
@tiamo726
@tiamo726 3 жыл бұрын
Dini gani swali lako sielewi
@godsavethesociety1392
@godsavethesociety1392 3 жыл бұрын
Muongo mkubwa sana huyo hakuna ukweli wowote ni muongo nani agent mkubwa wao, Biblia hata haijui bc MUNGU atusaidie tusijiunge na chama hicho hakika ni hatari sana
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 3 жыл бұрын
Aligusua kuhusu kanumba LAKINI hueleza
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Alivokufa
@tiamo726
@tiamo726 3 жыл бұрын
Ndio nangoja pia
@DRIPPINGPAIN
@DRIPPINGPAIN 3 жыл бұрын
2TIMOTHY CHAPTER 4 VERSE 7 GOING ON... I HAVE FIGHT A GOOD FIGHT.. I HAVE FINISHED MY COURSE... THE REST WE LEAVE FOR JESUS CHRIST THE RIGHTEOUS JUDGE TO JUDGE AMEN 🙌💞💞🔥🙏🙏..
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 3 жыл бұрын
Je hao mapastors pia hutia wife zao.au watoto
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 3 жыл бұрын
Hutoa wake zao kafara
@tiamo726
@tiamo726 3 жыл бұрын
Machawi hana huruma ndio wanaweza
@evansmwathi6176
@evansmwathi6176 Жыл бұрын
😂
@mariachannelke9769
@mariachannelke9769 3 жыл бұрын
Mbona naona mwarudia jameni?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Tumerudia nini jamani
@mariachannelke9769
@mariachannelke9769 3 жыл бұрын
@@PromovertvTzmnarudia hii testimony Nikienda kwa playlist ushuhuda nishauskiza hadi part 7
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Barikiwa,hatujarudia bali wewe umefahamu kuupata kupitia playlists,wengine tulishawaelekeza hiyo njia lakini hawajafahamu.
@mariachannelke9769
@mariachannelke9769 3 жыл бұрын
@@PromovertvTz nashukuru mbarikiwe Mimi nangoja mwendelezo wa vyumba 351)part 9 na kwendelea pls
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Sawa
@achsahcharles6728
@achsahcharles6728 3 жыл бұрын
Mmhh huyu alikua kwenye kilinge tu cha waganga ila sio freemason 😃, lakini pia kisaikolojia mtu akiwa anasimulia kitu anapiga miayo fulani kama huyu jamaa anavyofanya, kunakua na kitu hakiko sawa, ila msiniulize ni nini
@nkugi
@nkugi 3 жыл бұрын
Uganga, uchawi, freemason vyote ni vidhehebu kwenye ufalme wa giza. Freemason ni uchawi pia, ila ni wa viwango vya namna ile ambavyo unaouona. They are all wichcrafts. Tafuta vitabu vya Ike Nathan Uzorma mnigeria aliyekuwa mchawi utajifunza mengi
@piusmtwale7690
@piusmtwale7690 3 жыл бұрын
Kweli kabisa hivyo vitabu ukivisoma vitakusaidia san
@achsahcharles6728
@achsahcharles6728 3 жыл бұрын
@@nkugi nimeshawasikiliza wote nawajua vizuri, but still mganga na freemasons hata kama wote ni watumishi wa ufalme wa giza, wako tofauti
@DRIPPINGPAIN
@DRIPPINGPAIN 3 жыл бұрын
ULIKUWA ZOBA KWELII ENZI HIZO.. SIJUI TUKUPE POLE AU... ILA MUNGU ANAONA.. NA ANASAMEHE 😏😒🚮
@allyawadh8492
@allyawadh8492 3 жыл бұрын
Yaani wakristo ni waongo hizi shuhuda ni story ambazo hazina ukweli wowote na hawa watoa hizo shuhuda wanachofanya ni kuunganisha story za watu mbalimbali kisha wanazionganisha, kwasababu wakristo elimu zao ni ndogo basi moja kwa moja wanaamini tena wanamuona kama mtu wa mungu kwa kufata hizo hadithi zake, wakristo kila siku dini yenu inakosa thamani kwasababu ya watu kama hawa, tena cha kusikitisha hata hiyo biblia yenu haina thamani wala kufundishwa kila unae mskia badala ya kufundisha neno la mungu wao hufundisha hadithi za vijiweni.
@edinambaga776
@edinambaga776 3 жыл бұрын
Atushangai kwa shutuma zako wewe ingia maana niwakwenu tuaachie ss tujifunze ili tukae na yesu wetu
@edinambaga776
@edinambaga776 3 жыл бұрын
Na alama za ajari zimeundwa
@edinambaga776
@edinambaga776 3 жыл бұрын
Mahakimu anaokutajia uongo tunakushahuli ndugu mtafute yesu sio utajiri was shetani mpendwa
@fundirangistallatitus3735
@fundirangistallatitus3735 3 жыл бұрын
Mbona nyiny kutwa kutwa kuponda ukristo kwann msifundishe yenu mpaka mponde
@fundirangistallatitus3735
@fundirangistallatitus3735 3 жыл бұрын
Mbona nyiny kutwa kutwa kuponda ukristo kwann msifundishe yenu mpaka mponde
@johnnjoroge2773
@johnnjoroge2773 3 жыл бұрын
I've listened Pt1 and Pt2. And my Conculution is this is a very Big liar. Who wants publicity. You were Never Never Ever in Freemason. Wewe ni Mu ongo. And also to make money. Shame on you..
@johnnjoroge2773
@johnnjoroge2773 3 жыл бұрын
You could have shown us the Freemasons Uniforms or even Diagrams. Freemasons don't meet in houses but in their Temples. Stop the lie.
@emmanuelmsukuma6099
@emmanuelmsukuma6099 3 жыл бұрын
Barikiwa na mawazo yako
@eleonorandole9244
@eleonorandole9244 3 жыл бұрын
Kwaio temple zenyewe ni nn? Kwamba hazina ukuta?? Temple ndo nyumba hizo hizo labda kwa sababu ww unaongea kingereza
@emmanuelmsukuma6099
@emmanuelmsukuma6099 3 жыл бұрын
@@eleonorandole9244 Amina waache wangee huwa hawakos kama John njoroge
@stanleywaweru1714
@stanleywaweru1714 3 жыл бұрын
It's good you have taken interest listen to both parts. He is saying the truth whether you believe it or not. Kuzema ni uongo haibadirishi jambo lolote.
The IMPOSSIBLE Puzzle..
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 192 МЛН
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,2 МЛН
ALIYEKUWA AKIFUGA MAJINI 4004-Part 2
29:55
PROMOVER TV
Рет қаралды 9 М.
The IMPOSSIBLE Puzzle..
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 192 МЛН