KRISTO YESU usinifanye maskini nikalalamika( maana Ni machukizo),,,,Wala usinipe utajiri mwingi nikakufuru🙏😭.Bali unipe vile vinitoshavyo tu nisiaibike YESU🙏..Amen
@seasonepisode33283 жыл бұрын
Yesu ni mambo yote ndani ya yote ukimpata yy umepata vyotee...
@lukasemmanuel46143 жыл бұрын
MUNGU ni mwema, Hongera sana mtumishi wa Mungu aliye hai kwa sababu ulitoka huko.
@lilianachiengministries33863 жыл бұрын
Mungu aniondolee tamaa
@tamaraeliz71143 жыл бұрын
Mtumikie Mungu wa Kweli mwanadamu. Pole kaka kwa ulioyapitia. Jacktan Barikiwa sana na Media yote ya Promover 📺 🖥.
@Joyjoy-ym6th Жыл бұрын
Eeeeeh baba licha ya mapito nitie nguvu nizidi kukutegemea kwa imani testimony yenye nguvu inamafunzo mazuri sana
@leilaamensomonimekuelewaba10892 жыл бұрын
Yarrabi mungu atusaidie
@moseskamalamo46692 жыл бұрын
Muombe mola akusamehe sana
@joycekibasa55432 жыл бұрын
Mungu anitambulishe kwenye jeshi lake la malaika huko mbinguni siku zote sihitaji hizi pesa acha nile.matembele yangu
@maryamayitsa61813 жыл бұрын
Nafuatilizia nikiwa Kenya, nangoja pat 3
@Annieclemens3 жыл бұрын
Hakuna matata. Siko peke yangu .atiriri😂😂😂.Mambo
@lilianachiengministries33863 жыл бұрын
Licha ya mahubiri mungu anatuobyesha wazi wazi.
@egospeltz94863 жыл бұрын
WOW, Thanks Mungu akubariki kwa part 2 nilikuwa naisubiri kwa hamu.
@nativeinfotv96203 жыл бұрын
Mungu ni Mungu tu
@navokisembo3 жыл бұрын
Ameeen Barikiwa mtumishi
@elizanzula83753 жыл бұрын
MUNGU neema yako yatosha nijalie kutosheka na kidogo nilichonacho tamaa ni mbaya heri nikose kila kitu lakini nikauone ufalme wa mbinguni. tuombe sana roho wa MUNGU atuongoze mbila MUNGU maisha hatutaweza .
@saralusinde533 жыл бұрын
YESU NI MWEMA, YESU ALIKUCHAGUA YO A LUCKY BROTHER
@maryamayitsa61813 жыл бұрын
Wasaidie walio huko watoke huko wammjue mungu wakombolewe
@kingsimonsr9644 Жыл бұрын
no wonder why FEAR NOT is mentioned in the bible 365 times Isiah 41:10 Do not fear, for I am with you; do not be afraid, for I am your God. I will strengthen you; I will surely help you; I will uphold you with My right hand of righteousness. Isaya 41:10 Isaya 41:10 BHN Basi, usiogope, mimi nipo pamoja nawe. Usifadhaike, mimi ni Mungu wako. Nitakuimarisha na kukusaidia; nitakulinda kwa mkono wangu wa ushindi.
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Tubu nauombe msamaha na rehema za Mwenyezi Mungu zikuwezeshe
@nadiaaruberi41943 жыл бұрын
Jamani pore sana 😢😢😢🤲🤲mwenyezimungu tu ndie wakutuokowa kweri 👏
@ruthfasha71662 жыл бұрын
Mungu tuhurumie tuokoe.
@egospeltz94863 жыл бұрын
Nasubiri part 3 kwa hamu. Mambo ni moto fire💃
@christophermkundi58843 жыл бұрын
Kweli dada
@jerushanyawera49643 жыл бұрын
Yes seems to be very🔥🔥🇰🇪
@emmanuelmsukuma60993 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza najitokeza kuwashukur wote mnaokoment vizur na vibaya
@nelsonsalumuclovis7533 жыл бұрын
Yesu ni juu ya vyote
@maryamayitsa61813 жыл бұрын
Jehovah jire nisaidie nibaki jinsi utakavio,ili nafsi yangu isipotee
@Annieclemens3 жыл бұрын
😱. God have Mercy on us 🙏🏾🙏🏾. Watching from Germany 🙋🏾♀️🙋🏾♀️
@maryamayitsa61813 жыл бұрын
Mungu atusaidie tusianga mizwe nahao Freemason,na illuminati
@anthonkephasglobalmedia74063 жыл бұрын
Namba 1😃😃😃😃
@egospeltz94863 жыл бұрын
Hongera sana
@anthonkephasglobalmedia74063 жыл бұрын
@@egospeltz9486 asante karbu
@arafatnassoro73983 жыл бұрын
Nangojea sehemu 3
@comboplatter3893 жыл бұрын
Waiting for part 3,
@lilianachiengministries33863 жыл бұрын
Endelea....
@peninahkariuki46793 жыл бұрын
Waa dunia ina mambo barikiwa kwa ushuhuda huu,waiting for part 3..
@lydiamichael55093 жыл бұрын
ASANTE sana kutueleza yaliofichika kwa kweli NAJIFUNZA mengi sana mambo hutokea mengine yakutisha pasipo najibu yakujijibu
@egospeltz94863 жыл бұрын
Mimi ningefungua🏃
@fei36683 жыл бұрын
Muendelezo please
@kassongokittapa32013 жыл бұрын
😀😀😀 Simu 2009 mbona ziliishakuwapo siku nyingi tu!!!
@ananiamkasu88472 жыл бұрын
Sio maeneo yote
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Mashallah akili hio yote ya chemistry biology doh ulikua juu sana
@kimsamespa84903 жыл бұрын
Doh pesa ni sabuni ya roho we hii nikali sana mwalim
@happinessmwenda27733 жыл бұрын
UTAJIRI WA WASUKUMA NA WANYAMWEZI WENGI NI MAGUMBASHI.MRUDIENI MUNGU.
@jesuspower23902 жыл бұрын
na waha wa kigoma
@dismasmosiara4095 Жыл бұрын
Naomba namba ya whatsap ya huyo Mwalimu tafadhali
@tonnyjames50503 жыл бұрын
Jesus Christ all the way
@mwalagokache3752 жыл бұрын
Huyu anachafua imani za wengine na hayo anayoyahusisha na imani ya kiislamu ni mbali kabisa walimtumia kumuaninisha kumbadilisha ili apate kuamini hivyo
@levismike163 жыл бұрын
BWANA YESU ASIFIWE.PART 3 YA USHUHUDA HUU NI LINIII?ZILETE ZOTE PAMOJA NDUGU TWANGOJA SANA,YESU KRISTO MBELE KILA SIKU.
@mwamininyabenda59503 жыл бұрын
Nihatari
@mariam1chuwa5423 жыл бұрын
Acha utapeli .nadanganya watu matapeliwakubwa free Maison ni ujenzi Uhuru tapeli .kubwa
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Asante kwa maoni yako,asante kwa kufatilia.Kama una uthibitisho wa maneno yako tafadhali kuwa huru kueleza kwa uwazi ili iwe faida kwa wote
@gressjoseph56153 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 wew nae ni toleo jipya inaonekan ujui hata Kam Kuna mungu wewe
@Mazoea3 жыл бұрын
Hahahahahaha Mariamu I chuwa umewashustukia ..uyu ni illuminati Wala sio feeemanson
@veronicalaiser83943 жыл бұрын
Hivi fedha hiyo ikiingia kwenye mzunguko haina madhara yoyote au haiyeyuki?
@upendochuma8963 жыл бұрын
Tuma msj
@julioNkulu4 ай бұрын
je vais être freemason
@kmotivation11303 жыл бұрын
Freemason masharti kama ya waganga
@kalssambaboo99323 жыл бұрын
Freemason nisheytwan waganga pia nisheytwan huyo huyo
@donaldmwahalende484110 ай бұрын
Waganga matawi yao
@kheiramour297311 ай бұрын
Chapombe
@a.j.m97402 жыл бұрын
Umasikini na ulaaniwe shenzi kabisa
@manchi__sub19543 жыл бұрын
Duuhh
@salmakiyabosiriyamachoziha87563 жыл бұрын
Watu wakaham tumumjya huyu auuuu du pesa iz za shetan ni kaz zin garam kubwa
@edsonmruma48333 жыл бұрын
Nimeanzia part 2 part 1 ipó wapi?
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Bonyeza link hii kupata sehemu zote kzbin.info/aero/PLXTmPgeqbJ0lDvGf-WJXv7ssiEg4QwVr4 Na wakati wowote ukikutana na video kwenye channel imeanzia katikati,fanya hivi ili kupata mwendelezo,bonyeza link hii ufuate maelekezo kzbin.info/www/bejne/aIW8iqF4hNZ-rsU
@nurually34033 жыл бұрын
We umeamua kutupigia stor tuu.
@pendojeremiah10232 жыл бұрын
Hayajakujuta mpendwa Muombe Mungu,usije yapitia popote coz ipo siku utaolewa hujui atakaekuoa atakuwaje, nakuombea usijeyapitia maana unaweza changanyikiwa.
@pendojeremiah10232 жыл бұрын
Na kama ushaolewa mwombee mumeo asijerubunika
@aryanamendes87003 жыл бұрын
Mi huwa nawashaur mnapotoa ushuhuda muwe mnatuonyyesha na maeneo husika ili tuamini zaidi
@josephjoseph81943 жыл бұрын
Anasema na kwa mganga yup au sio haaahahaha
@gressjoseph56153 жыл бұрын
Vp unataka kwendako na wew
@jumamagasy48743 жыл бұрын
Nafatilia
@heritier51193 жыл бұрын
Maisha ya dunia si zaidi ya kula na kunywa
@pakapakatuondoke67853 жыл бұрын
Shuhuda za kipumbavu kwanini umsujudie shetani ambaye hajakuumba?
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
Yamkini hata wewe unamsujudia kupitia tabia fulani isiyompendeza Mungu. Jitathimini kumsujudia shetani siyo mpaka utoe kafala hata matusi ni kumsujudia.
@kalssambaboo99323 жыл бұрын
@@ngwanafabian9668 nikweli hakwepeki sheytwan
@ashuraniyonzima52143 жыл бұрын
Huuum unasema vibaya sana
@mariam1chuwa5423 жыл бұрын
Umeona. Utapeli
@abdullramadhanii6263 жыл бұрын
Muongooo hujawai jiungaa maana frimason inahatua na hawatowi pesa muongooo