JAFO AMKASIRISHA MAGUFULI "NIMESHANGA SANA STAND KUITWA JINA LANGU, UMEJICHONGEA, SIFURAHII SANA"

  Рет қаралды 70,069

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 181
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 3 жыл бұрын
Jamani kuna mtu anayemkubali Mzee Magufuliii?? Hebu gonga likes teleeeee kwa Rais wetu ambae ni jembe kweli kweeeli.
@jamesjames2368
@jamesjames2368 3 жыл бұрын
Jafo hajamkasilisha Magufuli kama ulivyoweka hapo juu. JPM anatoa mapendekezo yake. Msipende kupotosha kauli za watu! Na kuchonganisha.
@pamelatimoth635
@pamelatimoth635 3 жыл бұрын
Wanaboa sana na heading zao fake na zakushtua. Cjuw nani aliyewaroga, mpaka waongope ndowanaona raha
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 3 жыл бұрын
Bora ya kuangalia x kuliko kuangalia chanel mchwara kama hizi, huyu Milard Ayo nae sijui anakwama wapi siku hizi ana chemka chemka sana siku hizi
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 жыл бұрын
@@machintangachibwena5922 vijana wake wa kazi ndo wanaofanya huu ujinga..!
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 3 жыл бұрын
@@chiefmahucha6847 wana muharibia sana
@ipajam9
@ipajam9 3 жыл бұрын
Ni kweli hawa waandishi mara nyingi wanapotosha wananchi
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 3 жыл бұрын
Wanyonge Kwanzaa wanyonge oyeee msipomkubali JPM unayo kasolo
@nuruelmada9570
@nuruelmada9570 3 жыл бұрын
Kabisa
@mtakatifubony1829
@mtakatifubony1829 3 жыл бұрын
Kama Unamkubaliii Magufuriii gonga Like yenye Akili hapa
@athmanihaji7771
@athmanihaji7771 3 жыл бұрын
Mheshimiwa Dr.John Pombe Magufuli ni jicho,mkono,huruma ya Mungu iliyoshushwa kutoka mbinguni...wanaokubali wagonge like...pia tumuombee ikiwezekana kikatiba aendelee kuwa Rais Kwa miaka 30 Tanzania yetu iwe ulaya africa
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 3 жыл бұрын
Mungu akulinde mh baba yetu wew ni jembe sana.Mungu akulinde mheshiwa
@siafuvideo2541
@siafuvideo2541 3 жыл бұрын
Najivunia sana kuwa Mtanzania Alhamdulilah 🙏
@mtakatifubony1829
@mtakatifubony1829 3 жыл бұрын
Huyu ndiye Rais Tuliyekuwa Tunamtaka, MUNGU Akutunzeee Magufuriii Tunakupendaaa
@hermankifyasi8073
@hermankifyasi8073 3 жыл бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Rais kwa kujali na kuheshimu wanyonge, Mungu akubariki sana,, 🙏🙏
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 3 жыл бұрын
Genius magufuli
@sitellamatni6878
@sitellamatni6878 3 жыл бұрын
Mangufuli mbele kwambeleee 🙏 asante mkombozi wetu👏👏
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Mama ntilie oyeeeeeee nipe like zangu 😀😀😀magufuli oyeeeeeee
@jabalimikechi7750
@jabalimikechi7750 3 жыл бұрын
Tanzania muna bahati kweli, if Tanzania was rich country like my country DRC , believe me Tanzania will be the greatest country in est and central of Africa ( the army of sheep lead by lion can defeat the army of lions lead by a sheep ) so great leader make things happen no matter what, God bless Africa 🙌🙌
@flipflop8409
@flipflop8409 3 жыл бұрын
Are you saying DRC is richer than TZ ? How?
@wardajoseph6909
@wardajoseph6909 3 жыл бұрын
Sana
@ellymaz2187
@ellymaz2187 3 жыл бұрын
@@flipflop8409 Resource wise, Congo is richer than any country in the world.
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
In term of resources I think kipindi anaumba dunia hakuweka tu resources Bali alimimina gold diamond copper Forests everything though Tanzania pia was privileged but siyo Kama Kongo.
@gefmwa-nyigo1596
@gefmwa-nyigo1596 3 жыл бұрын
I'm happy to be tzn
@jamesshao538
@jamesshao538 3 жыл бұрын
Best President in Africa ,we love you mr.magufuli
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 3 жыл бұрын
Mmmmh mtani wangu Suleiman Jafo umelikoroga mwenyewe mjomba wangu hataki masihara,umetaja jina MAGUFULI mwenyewe WaFa
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Hahaha uwiii
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 noma Sana
@moshacav1061
@moshacav1061 3 жыл бұрын
Ee BABA MUNGU tunakushukuru kumpata kiongozi bora anaewapenda na kuwajali watu wooote,
@amosyohana5351
@amosyohana5351 3 жыл бұрын
Rais wa wananchi
@fatumahassan8212
@fatumahassan8212 3 жыл бұрын
Mheshimiwa rais unaonyesha dhamani kubwa kwa watanzania..Allah akuongoze kwa kila hatuwa akulinde daima
@khatibumkwisu4071
@khatibumkwisu4071 3 жыл бұрын
Kweli mzeee tunakukubali
@khatibumkwisu4071
@khatibumkwisu4071 3 жыл бұрын
Lakini mazao hayana beyi masoko hakuna mahindi Michele tunaumia sana
@khatibumkwisu4071
@khatibumkwisu4071 3 жыл бұрын
Tazama na hili LA wakulima na wafanya biasha za mazao mwaka wapili huu hatuelewi
@barobarotz2129
@barobarotz2129 3 жыл бұрын
Magufli baba lao
@emtiyarajwani5065
@emtiyarajwani5065 3 жыл бұрын
Your vision ni best of the best My Dear President Mungu ikubariki mbaka mwisho wa Duniya Tanzania oyee CCM oyee
@mussajuma1736
@mussajuma1736 3 жыл бұрын
Kila anako toka mtu dara dara itafika mbezi !! Mbezi hoyeeeeee.
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Nakukubali Sana mkuu mtetezi wa wanyonge MUNGU akubariki Sana raisi wetu mpendwa John Pombe Joseph Magufuri HAPA KAZI TU
@barakalabani7399
@barakalabani7399 3 жыл бұрын
Magufuri ar the winner for every idea 👍
@mjinihakuna5550
@mjinihakuna5550 3 жыл бұрын
Hundio ukweli mtupu baba
@elizabethswai9670
@elizabethswai9670 3 жыл бұрын
Maombi mengi kwa rais na wanyonge wote
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 3 жыл бұрын
Asante saana baba pongezi nyingi yani natamani nikuone baba wa Taifa ubarikiwe uzidi kutetea haki Za wanyonge pongezi wananchi woote. Husemi uongo kweli tuupu
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 3 жыл бұрын
Mashaa'Allah Mashaa'Allah Mashaa'Allah ww ni Rais mzalendo ukiondoka utakua umeacha alama kubwa nahakuna wakuja kukuzid Allah akulipe Khery kutokana na nia yako ❤️
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Hongera sana mwana wane kwa kuwajali wanyonge mungu akubariki sana
@solemba595
@solemba595 3 жыл бұрын
Waangalie tena Bei ya Vizimba, ni kubwa wanyonge wengi hawataweza
@damxon3013
@damxon3013 3 жыл бұрын
Shingp wanafanya
@solemba595
@solemba595 3 жыл бұрын
@@damxon3013 elfu 40 kwa mita Moja ya mraba(1X1), msikilize mkurugenzi: kzbin.info/www/bejne/lWfOYmmcqatpq9k
@damxon3013
@damxon3013 3 жыл бұрын
@@solemba595 thanks
@wardajoseph6909
@wardajoseph6909 3 жыл бұрын
Mashaallah umeongea maneno ya hekima sana najifunza mengi juu ya rais wangu
@mweyoms5548
@mweyoms5548 3 жыл бұрын
Baada ya Mwalimu Nyerere,huyu pia ni Rais wa Watanzania waliowengi ambao ni pangu pakavu.Hongera JPM
@hadijarajabu7198
@hadijarajabu7198 3 жыл бұрын
Real I preciate you much and always be blessed president through the power of God , keep doing uishangaze dunia
@naivashaazori6233
@naivashaazori6233 3 жыл бұрын
Namkubali huyu mzee mpaka naunwa jamani asante mungu kwa kutupa Rais kama huyu tunakupenda sana
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Km mm yaani mungu ampe maisha marefu
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Yani Mimi zaidi namkubali Sana huyu kiongozi
@hkifofficialtz2105
@hkifofficialtz2105 3 жыл бұрын
Magufuli oyeee
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 2 жыл бұрын
It was good speach,and still alive legacy of Magufuli's President 👍💪🇹🇿
@devothajonathan747
@devothajonathan747 3 жыл бұрын
Mungu akupe ulinzi baba yetu na rais wetu kipenzi, watanzania wengi tunakuelewa na tunakuombea maisha marefu.
@daudkhatib81
@daudkhatib81 3 жыл бұрын
Muheshimiwaa. Rais maguu. We. Huns mfaanoo mwingii WA. Hakuna. Kwanzaa wanyongee big. Up
@geom4051
@geom4051 3 жыл бұрын
U should be King
@nuruelmada9570
@nuruelmada9570 3 жыл бұрын
Nakupenda sana Baba yaani Sanaa
@norbettz3244
@norbettz3244 3 жыл бұрын
Hongera anko magu jembe🕺🕺
@charleserastusnsense1305
@charleserastusnsense1305 3 жыл бұрын
mh rais mimi nakupenda sana tufaye kazi tu
@pamelatimoth635
@pamelatimoth635 3 жыл бұрын
Mabasi mabovu yasiingie humo sasa 😅
@kelvinmselle8977
@kelvinmselle8977 3 жыл бұрын
Hongera sana Raisi wetu Hakuna kama wewe hakika
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 3 жыл бұрын
Mzee Baba Mitano tena tukikuongeza siyo Mbaya
@nicotitus2987
@nicotitus2987 3 жыл бұрын
Wewe ndo raisi bwana barikiwa sana mungu akulinde akupe afya njema
@leilatsangali3945
@leilatsangali3945 3 жыл бұрын
Yani watanzania jeuri hii nani atatupa tena jamani.....nano atatukingia Kia wanyonge😭😭
@happynesskasanda7275
@happynesskasanda7275 3 жыл бұрын
Yaani huyu baba mm wala sjui ni mtu wa aina gani naamin mungu ana makusudi yake kutuletea huyu baba binafis sina chama ila huyu baba nampenda Sana mwenyezi mungu amulinde ampe maisha malefu na afya njema
@hawwahawwa9590
@hawwahawwa9590 3 жыл бұрын
Mashalllah Allah akupe umri mrefu baba Wa taifa letu nimependaa iyo hasira yako kuwekaa njia nanee🤣🤣🙏🙏
@daudkhatib81
@daudkhatib81 3 жыл бұрын
Hongeraaa. Dr. Maguu
@halimakihame1744
@halimakihame1744 3 жыл бұрын
Magu.magu.magu.magu asanteeee
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 3 жыл бұрын
Kipenzi cha watu
@aminaissah2693
@aminaissah2693 3 жыл бұрын
Uwendele two kuongoza
@mathewmshiu1424
@mathewmshiu1424 3 жыл бұрын
Safi sana mh
@pamelatimoth635
@pamelatimoth635 3 жыл бұрын
Shida TRA kodi kubwa Baba kwa wafanyabiashara registered
@reymasenya6450
@reymasenya6450 3 жыл бұрын
Nakukubali Sana Mungu Hakulinde
@williammussa5621
@williammussa5621 3 жыл бұрын
Piga kazi mwamba tunakuombea
@daudgerevas2610
@daudgerevas2610 3 жыл бұрын
Daud gervas JPM ukovzur ibadilishe Tanzania Kama ulaya
@maribaisack8389
@maribaisack8389 3 жыл бұрын
Ila kazi nzuri baba!!!
@maishacenter-eastafricatv3976
@maishacenter-eastafricatv3976 3 жыл бұрын
Naangalia hii video, natokwa na machozi, hivi kwanini Africa mashariki isiwe nchi moja tumpe huyu mzee atuongoze?
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
Kabisa
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 3 жыл бұрын
We mwandishi acha uchochezi. Magu na Jafo ni watani. Mzaramo na msukuma
@simonnick1242
@simonnick1242 2 жыл бұрын
Ndiyo mjipange 2225 huyu bibi lazima tupige chini machinga na wanainchi wote matozo yy mwenye macho na masikio aone nakusikia
@babphonc5794
@babphonc5794 2 жыл бұрын
Yani alivyo visema ndo hivyo vinaonekana sasa,#JPM
@eng.lazarongoro
@eng.lazarongoro 5 ай бұрын
hapa alikuwa strong lakini ilikuwaje akapotea ghafula
@mohamedmatogoro4067
@mohamedmatogoro4067 3 жыл бұрын
Apo kwenye usafi ndio changamoto
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 жыл бұрын
Wakielimishwa wanaweza kupafanya kuwa pasafi, ali mradi tu nao wawajibike kufuata taratibu zitakazokuwa zimewekwa pale, na anayedharau na kuvunja sheria basi ataadhibiwa kulingana na sheria yenyewe. Watanzania lazima pia tubadili tamaduni na tuanze kuvienzi na kuvituma vitu vyetu.
@seiphomary3435
@seiphomary3435 3 жыл бұрын
Dodoma ndan mbona hawapo rais faraja zako wakat mwengine hakuna
@katemachanda7035
@katemachanda7035 3 жыл бұрын
Ipeni jina langu Kama vp...
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 3 жыл бұрын
MUNGU akuweke Raisi wetu akuondolee mitihani akuepushie Maradhi hakika ww nimtetezi wawa nyonge ulikua wapi siku zote jamani
@valenakomba4453
@valenakomba4453 3 жыл бұрын
Kweli Magufuli Umeweza!!!. Unasitahili SIFA. Kama kuna watu walie da shule, basi wewe ndo msomi.
@samuelmasanja2276
@samuelmasanja2276 3 жыл бұрын
Safi
@flavialeonardissangu1311
@flavialeonardissangu1311 3 жыл бұрын
Ubungo ilikuwa karibu sana , ni ktkti ya jiji Sana ,
@jojosmedia5515
@jojosmedia5515 3 жыл бұрын
Ni kawaida jiji linapokuwa?
@siwonikewiliam5104
@siwonikewiliam5104 3 жыл бұрын
Jiji linapanuka mzee
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
Jiji linapanuka hakuna palipo mbali
@siwonikewiliam5104
@siwonikewiliam5104 3 жыл бұрын
Kabla ya ubungo kulikuwa na mnazi mmoja kariokoo na kisutu stendi ilipopelekwa ubungo watu walilalamika Sana mwisho wake Wakazoea
@henrylugongo632
@henrylugongo632 3 жыл бұрын
@@siwonikewiliam5104 usijekuta unaemwelimisha alikua halijui hilo
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
JPM baba laoooo
@naftalimhemi1208
@naftalimhemi1208 3 жыл бұрын
Wanatupiga vita ili tukose kujitegemea tuendelee kuwa tegemezi kwao ili watunyonye zaidi.
@valenakomba4453
@valenakomba4453 3 жыл бұрын
Tena uwaambie hao, hapo tayari wameshafanya Mtaji. Hata huyo Jafo anachake hapo
@yusuphsamweli1541
@yusuphsamweli1541 3 жыл бұрын
Good sana
@valenakomba4453
@valenakomba4453 3 жыл бұрын
Wakomeshe kwa Vitendo wazungu hao, Wajue.
@kaisarimbisso7579
@kaisarimbisso7579 3 жыл бұрын
Sawasawa mzee wetu, JPM
@paulmbassa8203
@paulmbassa8203 3 жыл бұрын
Millard unazingua sasa
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 3 жыл бұрын
Haya Mhm Rais tumekuelewa
@venancephilbert9397
@venancephilbert9397 3 жыл бұрын
Fuatilia wote waliopewa sehem za kibiashara humo utakuta ni wenyewe tu
@chingawadunia3621
@chingawadunia3621 3 жыл бұрын
Njoo dodom utusaidie baba yetu sisi tutakup miaka mingne tutakuombea San kw mung amina
@thomaschales2642
@thomaschales2642 3 жыл бұрын
Umekosa lakusema
@mtunguja1
@mtunguja1 3 жыл бұрын
Hongera sana Raisi, lakini kilichotokea hapa kinaitwa “Super Spreader”, ni kweli Korona ipo, mikusanyiko kama hii ni mambo yanayo sababisha maambukizi makubwa.
@junioryasin5306
@junioryasin5306 3 жыл бұрын
Kwan wamelazmishwa kwenda
@kulwaswetu7883
@kulwaswetu7883 3 жыл бұрын
Nawwkafie mbele aunazambinyingi mbonaunaogopakufasana? Kolonakolona hukowanakojifungiandani wamekwambiahawafi kwakolona?
@epifaniamaningu8771
@epifaniamaningu8771 3 жыл бұрын
Kwenda huko ww watanzania hatuna korona jifungie wew na familia yako pumbafuu kabsa
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
Iwekwe vyoo vya kutosha na wawekwe watu wa kusafisha na wawepo kampuni au watu walioajiliwa maalumu kwa usafi. Na pia sehemu ya kutupa taja na zikusanywe kila siku ka si hivyo itakuwa balaa
@kalingamazda
@kalingamazda 3 жыл бұрын
Barakowa ziko wapi
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 жыл бұрын
Mungu ndiye barakoa
@nelsonlindi9655
@nelsonlindi9655 3 жыл бұрын
Nyie wamama wa ccm mna nn eti ccm ndio nn sasa au unazan ni mirad ya chama iyo
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 3 жыл бұрын
Mm napita
@maribaisack8389
@maribaisack8389 3 жыл бұрын
Miradi ni mingi, uchumi bado ni mdogo so that mwananchi anazidi kuumia.......
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 жыл бұрын
Point
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 3 жыл бұрын
ETI WAFAAA
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Wana shangilia ccm
@josephatmakaranga7043
@josephatmakaranga7043 3 жыл бұрын
Kwa akili yako unataka washangilie na unajua kabisa serikali ni ya CCM na ilani inayotekelezwa ni ya CCM. Unataka washangilie chadema au act, acha kujitoa ufahamu
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 жыл бұрын
Miradi yote hiyo imo kwenye ilani za uchaguzi ya CCM za miaka 2015/2025
@ibrahimkitsakingkitsa2327
@ibrahimkitsakingkitsa2327 3 жыл бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@tellymapito632
@tellymapito632 3 жыл бұрын
M
@moureendelvin6289
@moureendelvin6289 3 жыл бұрын
Mh!!
@ellyitete938
@ellyitete938 3 жыл бұрын
Akija mwingine je?
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Ni sw unavyosema Ila ukishaondoka tuu hawafanyi km ulivyoagiza t r a na watendaji kazi wa stendi watasumbua Sana wakiisinginzia serikali
@adeltusmurockozitvtangazab3732
@adeltusmurockozitvtangazab3732 3 жыл бұрын
Yafa
@flavialeonardissangu1311
@flavialeonardissangu1311 3 жыл бұрын
Lakini mtuonea kunawatu wanatoka mbali mpka kufika Mbezi Ni mbali sana ,
@farhannjama3808
@farhannjama3808 3 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa. Nashangaa huku TZ stendi zote nimewekwa nje ya mji sasa hao wanaoishi upande mwingine au kusini ya hapo DAR ndio watakao umia. Nimetembea ulaya karibia nchi zote stendi ya mabasi na treni ziko hapo hapo zaidi ya miaka 150, wao wanazipanua hapo hapo, hawahamishi,
@ahmadnassor7375
@ahmadnassor7375 3 жыл бұрын
Eneo la ubungo halikuwa maalum kwa stand ni eneo ambalo UDA ilikuwa yard yao . lakini pia tayar lilishakuwa eneo finyu sana kwa stand kuu ya mabasi TZ Ukilinganisha na hadhi ya jiji ya Dar es Salaam. Sio mbaya kinachohitajika hapa ni connections ya fider roads ili mbezi kufikike kwa urahisi.
@hamisasalum270
@hamisasalum270 3 жыл бұрын
Mkurugenzi wa ubungo nishida sana
@mbarakaiddi8209
@mbarakaiddi8209 3 жыл бұрын
Nadhani lamda wanataka kupanua mji zaidi maana kule watu wataenda kujenga nyumba magest na mambo mengi hayo ni mazowazo yangu
@salummtosa3885
@salummtosa3885 3 жыл бұрын
kama unatoka mbali pale kuna sehemu ya kulala mbure kabisa ile ni stendi ya kisasa na imezingatia jogorafia ya dar es salaam ndug kama abiria anatoka mbali anaenda stendi jioni anaka kwenya kiti kizuri akitaji kulala analala masikari wapo masaa 24
@japharliberatus2590
@japharliberatus2590 2 жыл бұрын
,
@mustaphasultan6688
@mustaphasultan6688 3 жыл бұрын
Mi nalia na jafo. Anajenga kwa wenzake anashndwa kujenga stand ya mana kule kisarawe kweli??
@uwembatvonline
@uwembatvonline 3 жыл бұрын
Ka stand kameinama Bondeni 😂😂😀😀
@siwonikewiliam5104
@siwonikewiliam5104 3 жыл бұрын
Stendi ya kwenda wapi,km stendi ya kwenda Msanga ipo buguruni
@ibrahimmazwile2852
@ibrahimmazwile2852 3 жыл бұрын
Baba sis tutaliajee jamani
@mustaphasultan6688
@mustaphasultan6688 3 жыл бұрын
@@siwonikewiliam5104 ndug yangu una uhakika na unachosema.?? Stand ilijengwa kisarawe lakn madereva wamegoma wanatumia kigogo sokon.
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 3 жыл бұрын
Ajenge kwao wamseme?
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
MAKONDA AMLIPUA MBUNGE GAMBO “NENDA KWENYE VIKAO”
3:30
Millard Ayo
Рет қаралды 23 М.
Rais MAGUFULI Alivyowabana TANESCO, Nusura AWATUMBUE!
27:53
Global TV Online
Рет қаралды 305 М.
MAGUFULI Awaonya TANESCO Hadharani "Ole WENU Asaini Kwingine"
58:02
Global TV Online
Рет қаралды 69 М.