MAGUFULI Awaonya TANESCO Hadharani "Ole WENU Asaini Kwingine"

  Рет қаралды 69,135

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAGUFULI Awaonya TANESCO Hadharani "Ole WENU Asaini Kwingine"
Rais Dkt John Magufuli, leo Julai 26, anazindua mradi wa kufua umeme wa Megawati 2115..
Hafla ya uzinduzi huo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali wakiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri mwenyeji wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi, Naibu Spika, Dkt Medard Kalemani, pamoja na Mkuu wa mkoa wa Pwani, Evaristi Ndikilo.
#StiglersGorge #RaisMagufuli
www.youtube.co.... www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyh

Пікірлер: 166
@emanuelcharles3548
@emanuelcharles3548 5 жыл бұрын
Faida za kuelewa hapa 1. Mradi tunaugharamia kwa pesa zetu wenyewe 2. Hakuna mkopo wa kurejesha baadae 3. LUKU yako utakuwa ukilipia kwa gharama nafuu zaidi 4. Uhakika wa kutengeneza network ya treni za umeme nyingi zaidi 5. Hatua kubwa kuelekea kuwa huru zaidi katika kujiamulia mambo yetu wenyewe 6. Magufuli anathubutu na ni sahihi kutupeleka mbali zaidi
@romeoromeo4125
@romeoromeo4125 5 жыл бұрын
Asante kwa kutupa elimu bila ya malipo kama Serikali ya JPM.
@rizikingabalapole8838
@rizikingabalapole8838 5 жыл бұрын
Kazi kazi
@charleskaselya7744
@charleskaselya7744 5 жыл бұрын
My president my role model katika kazi, hukai ofisini kila siku upo mguu na njia kwenda kuona kazi zinafanyika na kwenye kero unatatua mara moja. Ilikuw inawezekana kabsa ukawa unazunguka duniani na kula raha lakini hujayataka hayo ukajitaabisha kwa ajili ya watanzania Hongera sana. Mnyonge mnyongeni lakini haki yako tukupe, kama binadamu tunajua kweli unayo mapungufu kama niliyonayo mimi na fulani na fulani na wakina fulani, Mungu akulinde. Kamwenee...
@nichorausrichard2347
@nichorausrichard2347 5 жыл бұрын
Jinsi ninavyo mpenda rais wangu magufuli n mungu tu ndo ajuaye,,, mungu akuongezeee zaid na zaidiii our beloved president
@deusdebitkowa9657
@deusdebitkowa9657 5 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa kutupatia kuongozi bora ktk awamu hii ya tano, Mungu akulinde Mh. Rais,ikiwa pamoja na serikali yako. Asante kwa kazi nzuri unayotufanyia Watanzania wenzako.
@clementmwaitebele7687
@clementmwaitebele7687 5 жыл бұрын
Hongera Sana Mh. JPM Rais ndio maana tupo Dodoma wa Tanzania 5000 Wilaya zote kongamano la Maombi tunakuombea madhehebu yote Mungu atakulinda pia wakulinde pia big up
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 5 жыл бұрын
Kwa speed hii, itafika sehemu tunasema "bora mbwa Tanzania kuliko mtu ulaya.
@jonaskilomba4094
@jonaskilomba4094 5 жыл бұрын
Nilitaka nilke Kama kumi kwako imegoma kumbe Ni moja tu
@clementmathias9512
@clementmathias9512 5 жыл бұрын
Ukute aliyeandika hata hajui kesho atakula nini, halafu yuko bize kubwabwaja hapa eti bora sijui mbwa. ACHENI KUKUFURU NAMNA HIYO
@tommymmasi7820
@tommymmasi7820 5 жыл бұрын
Fact
@erickkimario6180
@erickkimario6180 5 жыл бұрын
Rais wangu nilikupenda sana toka ulivyokuwa waziri wa ujenzi nazidi kkuombea na ninakufunika kwa damu ya yesu ikutangulie kila unapokanyaga
@reginaldsukums1812
@reginaldsukums1812 5 жыл бұрын
Excellent,keep the ball rolling our President ,be Blessed Always.
@awamiabbas222
@awamiabbas222 5 жыл бұрын
Daaah huu mradi ungeuita Magufuli siyo kila kiru Nyerere alivo pewa vinamtosha mbna Mkapa kajenga uwanja wa mpira ukaitwa Mkapa haujaitwa Nyerere na wewe hiyo miradi umejenga kwa wakati wako iitwe Magufuli nyie iteni hivo ila mimi nitaiita kwa jina lako Magufuli
@athumanomary1171
@athumanomary1171 5 жыл бұрын
Watanzania wenzangu tuzidi kumuombea raisi wetu kwa imani zetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nasi
@swalehemwenya5062
@swalehemwenya5062 5 жыл бұрын
Mzee magufuli tunakuombea mungu akujalie katika uongozi wako na viongozi waadilifu mungu awalindeee ...... amen
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
Amen
@shabanmlekwa9513
@shabanmlekwa9513 5 жыл бұрын
Amen
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 5 жыл бұрын
Mungu Akulinde wewe na familia yako.pamoja na viongozi wako wote.Awape nguvu Afya njema.
@erickmkwera2784
@erickmkwera2784 5 жыл бұрын
The best leader of all time after of Nyerere in Tanzania
@eugenmgaya6623
@eugenmgaya6623 5 жыл бұрын
Hongera saaaana rais wako. Tupo nyuma yako. Mungu akulinde.... Nataman uwe rais maisha yote kama China sasa.
@ramarite4841
@ramarite4841 5 жыл бұрын
Rais magufuli mungu akubariki sana akuepushe na kila baya
@tommbogo9519
@tommbogo9519 5 жыл бұрын
magufuli rais wangu uko sawa pga kazi asiyekupenda ajitatjimini mwenyewe,"big up xnaaa,!!! "
@paulduta3016
@paulduta3016 5 жыл бұрын
Namuomba Mungu anisikie ombi langu kuwa uongoze maisha yako yote maana unahofu ya Mungu unapenda watanzania wote nakujali rasilimali za watanzania hakika Mungu akushike mkono.
@zenassylvester125
@zenassylvester125 5 жыл бұрын
Magufuli time ni ya kusisimua, Mungu niweke mda mlefu nije kusimulia wajukuu wangu
@saidsahd1971
@saidsahd1971 5 жыл бұрын
Tumeshazoe Ahadi hewa zitokanazo na viongozi lakini makufuli ni Rais wakwanza África anetekeleza Ahadi zake na mpenda maendeleo kwa. Nchi yake kwakweli sijawahi piga kura lakini mumgu akitujaalia kura yangu na mke wangu na. Familia yangu basi nitahakikisha unazipata naishi nje lakini wakati ukifika nitarudi nyumbani nitimize Ahadi yangu mungu akubariki
@musamakuka124
@musamakuka124 5 жыл бұрын
Mungu yakulilinde mheshimiwa Rais
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 5 жыл бұрын
Mliokuwa mnalalamika bila kufikili, semeni sasa, je, huko ni chato?
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel 5 жыл бұрын
Wa ambie mana wana taka chato iwe vumbi ndio wafu rahi watu wenye roho mbaya
@fredingoti1609
@fredingoti1609 5 жыл бұрын
Kiongozi na raisi we2 mkuu, Mungu azidi kukuongoza maana umekuwa mfano wa kuipata. wanao kubeza ni binadamu2 hawaoni badiliko la nchi wasaehe bure wewe chapa kazi.
@masalumathias9217
@masalumathias9217 5 жыл бұрын
"Huyu ni mwanangu ninayependezwa naye, msikilizeni yeye" sauti ilisikika toka mawinguni. This is the best president.
@jumamgema3356
@jumamgema3356 5 жыл бұрын
Duh magufuli ulikuwa wapi
@pendomarenge2025
@pendomarenge2025 5 жыл бұрын
Asante magu wetu ccm hoyeeeeeee
@Itarusii
@Itarusii 5 жыл бұрын
Hao wanaoupinga huo mradi mbona was hawaachi upuuzi wao wa kuzalisha gesi chafu duniani. Achana na hao BBC na vibaraka wao
@jjmeliyo4625
@jjmeliyo4625 5 жыл бұрын
Magu is the best African leader for now
@erickmkwera2784
@erickmkwera2784 5 жыл бұрын
True beautiful intelligent lady love you so much❤
@tundalawokovu
@tundalawokovu 5 жыл бұрын
Don’t say for now He’s He’ll be the best leader until the end of the earth I wish we should have a good leader like him in CONGO Kinshasa
@lexisavage1770
@lexisavage1770 5 жыл бұрын
tunampenda sana rais wetu Magufuli asante sana kwa kazi nzuri unazozifanya
@batromeombogo7131
@batromeombogo7131 5 жыл бұрын
Mungu akubariki baba
@nashonmwinuka6501
@nashonmwinuka6501 5 жыл бұрын
Chapa kazi anko magu sote kuijenga nchiyetu
@martinakyoo148
@martinakyoo148 5 жыл бұрын
Hongera Rais wetu kazi uifanyayo ni njema ,nakuombea ili maono uliyo nayo kwa ajili ya Nchi yetu yaweze kukamilika. Kwa pamoja tunaweza kuijenga Tanzania yetu.
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 5 жыл бұрын
Saafi TZ OYE (JPM VERSION)
@hafidhyousuph7592
@hafidhyousuph7592 5 жыл бұрын
Heshima kwako mzee maana tumecheleweshwa saana
@ramadhanmazije3882
@ramadhanmazije3882 5 жыл бұрын
Ujue sisi wananchi wa kawaida wengi ni wajinga kwa maana hatuna uwelewa na mambo ya nchi yanavyoendeshwa!ili kujua ukweli wa kiongozi inatubidi tuone maneno na matendo ya viongozi hapo ndio tutajua nan mtetezi wetu na nani sio mtetezi.Angalia hutuba ya kuzindua bunge RAIS wetu JPM na matendo na misimamo hadi hii leo.Hakuna km JPM mungu amuongezee kwan ni mengi mema aliyo na anayotutendea!
@bbny3307
@bbny3307 5 жыл бұрын
Kwa kweli Rais John from the bottom of my heart we are praying for you
@aminaabdiabdi7112
@aminaabdiabdi7112 5 жыл бұрын
That y I love him
@DM-ws8tk
@DM-ws8tk 5 жыл бұрын
Nakukubari Rais Wangu
@onesmoalbin817
@onesmoalbin817 5 жыл бұрын
Mungu akulinde rais wangu
@abdulihafidhali5379
@abdulihafidhali5379 5 жыл бұрын
nampenda raisi magufuli mchapa kazi
@davidevarist6371
@davidevarist6371 5 жыл бұрын
Mungu akutangulie katika kutenda kaz njema ,hiyo ndio Tanzania tulio isubilia kwa miaka 50
@petrolaini3736
@petrolaini3736 5 жыл бұрын
Maguffuli mungu akulinde
@athumanomary1171
@athumanomary1171 5 жыл бұрын
Asante san baba yetu asante san kiongozi wetu asante san raisi wetu raisi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
@hermyzmermbah6416
@hermyzmermbah6416 5 жыл бұрын
ur de best presidah...... mungu azid kukuongoza
@drabubakarbakar4273
@drabubakarbakar4273 5 жыл бұрын
"Ukienda sehemu ambapo asali ni wakali, ujuwe kuna asali" JPM.....well said....tutafika kwa kweli
@mawazoselemani614
@mawazoselemani614 5 жыл бұрын
Mazingira hoyee!aliyesikia kuhusu mazingira gonga like!
@theodorymapunda1702
@theodorymapunda1702 5 жыл бұрын
CONGRATURATION AMILY JESHI MKUU, IT NEVER HAPPEN BEFORE , IS TRUE
@musabizulu3153
@musabizulu3153 5 жыл бұрын
Mngu akupe Nguvu na maisha marefu mh magufuli tuko nyuma yako
@rossemissusomuchmjsungura8890
@rossemissusomuchmjsungura8890 5 жыл бұрын
hongera kwa kazi nzuri rais wetu
@ellyreuben1998
@ellyreuben1998 5 жыл бұрын
safi sana our president Magufuli
@mobtv3868
@mobtv3868 5 жыл бұрын
Tunataka maendeleo sio siasa na hayo ndiyo maendeleo,hilo ndilo kubwa kuliko àsante sana mh JP MAGUFULI nimeamini wewe si mwanasiasa ila mwanasayansi!
@nestoryphiliberth4354
@nestoryphiliberth4354 5 жыл бұрын
Nestory Mkalimoto et
@maeally7340
@maeally7340 5 жыл бұрын
Hongera mheshimiwa
@abruthonymkwando1352
@abruthonymkwando1352 5 жыл бұрын
Chapa kazi tunakuelewa
@emmannuelkereth8208
@emmannuelkereth8208 5 жыл бұрын
Big Up my president
@ibrahimmunubi5129
@ibrahimmunubi5129 5 жыл бұрын
all the best mr president
@issamohamed4165
@issamohamed4165 5 жыл бұрын
Baba hatuongei kitu Baba fanya kazi
@michaelmasalago5397
@michaelmasalago5397 5 жыл бұрын
SAFI SANA RAIS WETU PAMOJA NA WAZIRI MKUU KWA KWELI RAHA SANA, kweli Hapa Kazi tu. Kwakweli kelele za vyura kimya.
@samwelching5051
@samwelching5051 5 жыл бұрын
HongerA mh. Magufuli
@malimadadii2278
@malimadadii2278 5 жыл бұрын
safi sana mheshimiwa rais wetu JPM....HAPA KAZI TU
@tommbogo9519
@tommbogo9519 5 жыл бұрын
mimi nilimpa lowassa kura yangu lkn ww n hatari katka kazi 2020mapema tumaua mchezo
@erickmkwera2784
@erickmkwera2784 5 жыл бұрын
Magufuri kiongozi
@jahabdallah1829
@jahabdallah1829 5 жыл бұрын
Duuu baria sabara amka umsikilenze uko makufuli kasanuka watu wanajichukulia mari na kujisepa ulaya rufiji nasikia kutamu uko,waangarie sana uko rufiji watashungulikiwa daa mjomba uyu raisi wetu kiboko kasha sanuka uko rufiji piga uwa lazima amtumbuwe mtu uko kazi wanayo aaaaaa mzee sure Durban umeyasikia ayo kiboko yao m south African jah
@theresiangunda2298
@theresiangunda2298 5 жыл бұрын
JPM Milele
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 жыл бұрын
hawa wehu wanao kuzihaki hakika hawana siku nyingi tuta wazima baba
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 5 жыл бұрын
KAZI KAZINI
@yohanaadolf1884
@yohanaadolf1884 5 жыл бұрын
Be blessed your excellence Hon John Pombe Magufuli.... Wewe ni chuma kweli
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 5 жыл бұрын
Chapeni Kazi Mungu awabariki Viongozi wetu Wazalendo
@arbogastemiykimario2721
@arbogastemiykimario2721 5 жыл бұрын
Watu wanaelekea kukosa kazi kwasababu waliokua wafanya nao kazi waliibia serikali kwelu ni efect lakini mimi hata nkikosa kazi kwasababu hiyo aise sikulaumu kwasababu wanangu na jamii ijayo itaishi vizuri sis twapita tu.
@modestkagaruki4080
@modestkagaruki4080 5 жыл бұрын
Hiiiii chumba shs. 6,900,000/= kwa siku, vipi kodi inalipwa? na kuna lipi la ajabu huko polini?
@jonaskilomba4094
@jonaskilomba4094 5 жыл бұрын
Kagaruki kumbe nawe umeshangaa Kama Mimi kweli nchi ililiwa duuuuu
@melecklaizer8958
@melecklaizer8958 5 жыл бұрын
safi sana ,national park ni nzuri zaidi
@lucasnchora2338
@lucasnchora2338 5 жыл бұрын
Kwahaya maendeleo hakuna mutu atakae kupinga baba tuko nyuma yako tunakutakia utekelezaji mwema
@rsshidiharuna.8961
@rsshidiharuna.8961 5 жыл бұрын
Tunakuombea mungu uishi miaka Elfu1 baba
@danielgwilenza4209
@danielgwilenza4209 5 жыл бұрын
Shikamoo Magufuri wetu
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 5 жыл бұрын
Kumbe nilipoteza muda wangu kuwajibu watu wabishi yaani mtu una mjibu anakwambia acha mbwembwe sasa sijui anataka majibu ya aina gani, ok subiri chadema ipate uraisi siku yakiama labda ili ukiletee chakula ndani na pesa wewe kazi yako iwe ni kulala tu na kula! Maana hata taifa teule la Izrael katika historia ilikuwa hakuna kufanya kazi ila wanapata chakula wakumuomba Mungu awaache asiwasaidie chakula ili waishi kwa kujitafutia na bafo libya nao walimuua mkombozi waliemuita dictator sasa wanatamani afufuke awaongoze tena sasa imebaki majuto tu.
@jamesndunguru276
@jamesndunguru276 5 жыл бұрын
MAJALIWA RAIS 2025
@josephmhaiki7252
@josephmhaiki7252 5 жыл бұрын
Kweli bilashaka majaliwa anatufaa
@akimmbwego797
@akimmbwego797 5 жыл бұрын
Life goes on Love them all
@aminaabdiabdi7112
@aminaabdiabdi7112 5 жыл бұрын
My president magufuli cjui kwanin nakupenda nataman tu nikuckilizee yaan I don't no mungu akpe afya njema usimame Imara
@modestkagaruki4080
@modestkagaruki4080 5 жыл бұрын
hii chumba shs. 6,900,000/- kuna lipi la ajabu huko polini?
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 5 жыл бұрын
Ndio maana wanaupinga huu mradi.
@japhetndunguru4464
@japhetndunguru4464 5 жыл бұрын
Yaan per day?
@salmaoman6347
@salmaoman6347 5 жыл бұрын
Viva magu vivaaaaaaa eu te amo vòcè nko nyuma yako mjomba
@kaswahilianatol2430
@kaswahilianatol2430 5 жыл бұрын
Mzee ikumbuke mwanza ikiwemo shibula umeme sisi zetu dua na maombi tu mungu akuzidishie
@mohamedmbarouk7482
@mohamedmbarouk7482 5 жыл бұрын
sisi tunajenga inch nyinyi shideni kwenye sitting room za wazungu kula vipande vya sousage na kusoma magarazeti
@maikomahundi7631
@maikomahundi7631 5 жыл бұрын
Ni kweli kabisa wananchi tusipoacha tabia ya kufanya shughuli ndani ya ardhi mbichi/oevu/chepechepe na pembezoni mwa vijito/mito, maji yatakauka na miradi yetu mingi ya maendeleo ikiwemo umeme wa maji itakwama. Na hivyo kudhoofisha sana jitihada zetu za kuelekea Tanzania ya viwanda. Umeme ni maji, viwanda maji, maendeleo ni maji, ........
@sharondivine8994
@sharondivine8994 5 жыл бұрын
Safi sana
@denicmsigwa5199
@denicmsigwa5199 5 жыл бұрын
Lakini umeme walea wanaoleta huku majumbani wanapendelea Mi ni mwananchi wakawaida kijijini kwetu tupo sisi tulio lipia 27000 lakini umeme hatujapata baadhi wamepata huu umeme umekua na milolongo mingi mpaka tunapoteza mda mwingi kufatilia lakini majibu hayaeleweki inamaana huu umeme ni wawawatu wachache? Tunduma momba ndiko tatizo liliko Tunaomba msaada wenu
@ramadhanmazije3882
@ramadhanmazije3882 5 жыл бұрын
Boss wa REA ndio alikuwa kikwazo na keshatumbuliwa, alikuwa haendi na kasi ya serikali ya awamu ya 5
@drmuha5419
@drmuha5419 5 жыл бұрын
RAIS WETU WEWE NI MKOMBOZI WA WANYONGE WANAO KUPINGA MUNGU ATAWAAIBISHA KWEUPE
@augustinomtweve250
@augustinomtweve250 5 жыл бұрын
Magufuli jp kazi buti kelele za vyura hazimzuii tembo kunywa maji. Mungu akutangulie tuzidi kunufaika na rasilimali zetu wenyewe
@hashimumwinyimvua4278
@hashimumwinyimvua4278 5 жыл бұрын
Namkubal sana rais wang
@charleskaaya2313
@charleskaaya2313 5 жыл бұрын
Ongera Rais wetu
@mussamussa9032
@mussamussa9032 5 жыл бұрын
maendeleo ndo kama hayo tulokuwa tunayasubili kwa kweli.
@modestkagaruki4080
@modestkagaruki4080 5 жыл бұрын
Hotel ya shs. 6,900,000/= za majangili wa tembo wanajua wanazirudisha vipi.
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 жыл бұрын
Sasaivi Tanesco Wanakata Umeme Kama Saa Ya Macho Mawili Kila Muda Umeme Unakata Sijui Kuna Ajenda Gani Wanaitaka Kwa Raisi Wetu Umeme Kero Kweli Sasaivi
@omaryregga5315
@omaryregga5315 5 жыл бұрын
kinana kakimbia nchi noma sana
@chuwimkali547
@chuwimkali547 5 жыл бұрын
Mzee kashtuka kunahoteli dola 3000 kwa siku
@zikirination6769
@zikirination6769 5 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@Kingnelbo
@Kingnelbo 5 жыл бұрын
My president
@nancyj3234
@nancyj3234 5 жыл бұрын
ASANTE BABA JPM!!!
@mukamasongo6209
@mukamasongo6209 5 жыл бұрын
wewe ndiye PRESIDENT WA KARNE BAB CHAPA KAZI TUKO NYUMA YAKO, NIKUMBUKE UKUU WA WIOLAYA KIPINDI CHAKO CHA PILI
@mohamedmbarouk7482
@mohamedmbarouk7482 5 жыл бұрын
chadema ovyooo
@theresiangunda2298
@theresiangunda2298 5 жыл бұрын
JPM Anatosha kabisa
@kiatu
@kiatu 5 жыл бұрын
USD3000/night? Hotel ya nani hiyo, tunong'onezane jamani?
@franciscogosbert9603
@franciscogosbert9603 5 жыл бұрын
Si bora hiyo kuna ambayo ni usd 20,000 iko mafia 😀
@kiatu
@kiatu 5 жыл бұрын
@@franciscogosbert9603 nachukulia kauli ya rais kama amri kwa waziri mhusika kufanya uchunguzi endapo kodi zinaingia kwenye mfuko wa TZ .
@franciscogosbert9603
@franciscogosbert9603 5 жыл бұрын
@@kiatu nimekuelewa ndugu..
@mawazoselemani614
@mawazoselemani614 5 жыл бұрын
Hunting block,ni upuuzi..wanauwa wanyama kwa ajili ya fahari ya michezo.
@medardjustinian5223
@medardjustinian5223 5 жыл бұрын
Hao BBC wanaopinga wajue kuwa tunajua Hiyo London ulikuwa msitu wakafafyeka na kuharibu mazingira.wakome kabisa
@olotusolo5856
@olotusolo5856 5 жыл бұрын
jwli
@shukranimwalingo6275
@shukranimwalingo6275 5 жыл бұрын
Katika jambo la maana ulilofanya mzee magu kwa inchi yetu ni hili
@aabb-wp5zc
@aabb-wp5zc 5 жыл бұрын
Hila kuna watu wanamuangusha,kama mbunge mwanza wilaya ya ilemela kazi yake ni kulala bungeni watu hawana umeme wala maji
@shukranimwalingo6275
@shukranimwalingo6275 5 жыл бұрын
@@aabb-wp5zc piga chini akalale nyumbani
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 5 жыл бұрын
😁😁😁😁😁nimecheka
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel 5 жыл бұрын
Wewe Nasoro ramadhani wewe una fikiria siasa kila kitu sasa wewe nani ata ku chagua? 👆 Jifikirie kama mta nzania na sio chama tume chelewa sana wa Tanzania
@ibraobed8273
@ibraobed8273 5 жыл бұрын
Jamaan eeeee hivi sikuizi umeme unakatikatika kama zamani ebu tufahamishaneni huko mlipo huku kwetu ni konk umeme kma ulayaaa
@romeoromeo4125
@romeoromeo4125 5 жыл бұрын
Hakuna tatizo la kukatika umeme kwa sasa, hata yale maeneo sugu imepungua sana. Inaonekana matumizi yako ya umeme ni makubwa kuliko manunuzi yako.
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 5 жыл бұрын
Utalii unaingiza fedha nyingi.
@lameckmugetanyaruga4209
@lameckmugetanyaruga4209 5 жыл бұрын
Heshima ya MTU ni kazi JPM kaza buti,usiangalie kelele za vyura tumeshazizoe
@nassororamadhan8756
@nassororamadhan8756 5 жыл бұрын
nyinyi muna taka mchaguriwe tena na ss tuna sema wa tanzania sio wajiga zaman mulikua wap kuogelea umeme
@mohamedgilala8423
@mohamedgilala8423 5 жыл бұрын
Kweli kila mtu na Imani yake kuna chama kingine kweli cha kukichagu? Zaidi ya Ccm
@godlovekasaka4166
@godlovekasaka4166 5 жыл бұрын
Mohamed Gilala 🤣🤣🤣 tena magufuli yupo ndani!! hapo hakuna zaid ya ccm
@clementmathias9512
@clementmathias9512 5 жыл бұрын
@@mohamedgilala8423 Umekula cha mchana lakini?
@mtengulerashid7868
@mtengulerashid7868 5 жыл бұрын
Nasolo nadhani unahitajika upelekwe shule maana unaandika pumba
@farajimrutu8661
@farajimrutu8661 5 жыл бұрын
Kwani MAGUFULI alikua Rais linj tena,inaonyesha wewe ndio huna akili lkn watanzania wenye akili timamu hatuwezi kuacha kumchagua MAGUFULI nyie kaeni na li chadema garasha lkn CCM tunasonga mbele na yanayofanyika tunayaona sio story za DJ MBOWE mchaga feki,juzi Moshi kapelekewa TREN Leo Umeme mkubwa kesho kutwa MWEZI 9 ARUSHA wanapokea TREN ya ABIRIA ikiwa na BEHEWA 20 halafu mnaleta mambo ya kishoga nyie chadema kasaganeni huko
Rais MAGUFULI Alivyowabana TANESCO, Nusura AWATUMBUE!
27:53
Global TV Online
Рет қаралды 303 М.
MBELE YA MAGUFULI: Wazee Wanaotengeneza UMEME Wawalipua TANESCO!
31:10
Global TV Online
Рет қаралды 46 М.
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 61 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 60 МЛН
KILICHOMKERA MAGUFULI AKAMTUKANA INJINIA - "MPUMBAVU WEWE" NI HIKI..
4:33
Lissu afunguka kuhusu madini 'Mungu anasikia.. mtaniambia'
17:29
Millard Ayo
Рет қаралды 377 М.