Uko sahihi dadangu, chadema inawategemea watu kama wewe big up
@MkungwaNgwarumbwa18 сағат бұрын
Ni wake zao au vimada 😂😂
@FellaMbogela14 сағат бұрын
Safi sana mwanamke rushwa ya ngomo imekwamisha mengi sana
@dennisungonella20514 сағат бұрын
Ni kweli chadema wanahitaji kufanya mabadiliko makubwaaa
@dennisungonella20514 сағат бұрын
Huyu dada Yuko sahihi, viti maalumu miaka 20+ sio sahihi hata kidogo
@bajagihaji892320 сағат бұрын
Demokrasia ya ukweli ni ngumu sana
@NeemaPaulo-wf3oz6 сағат бұрын
Jaman watanzania mnawasikiliza chadema,nimaslah tu
@b.truthful15 сағат бұрын
Lisu Ndie kiboko
@JemeslaizerJemeslaizer15 сағат бұрын
Sasa rushwa wa ngono... Nini tena..
@evelina962113 сағат бұрын
Mungu.wasaidine.wajan̈e.wapewe.kipaùmbele
@PelagiaKayunga13 сағат бұрын
Asante baba una akili sana
@LoiteyoAmakoMako8 сағат бұрын
Nikisema lisu mnasema heche lisuuuuuuuu❤
@johnnzumbe6 сағат бұрын
Mbowe ametumia sana huu upenyo, kuna Viti Maalum wana 20 years. Ni wakati wa Mabadiliko.
@ZubedaRamadhan-s9f19 сағат бұрын
Dada nimekuelewa
@NeemaPaulo-wf3oz6 сағат бұрын
Maslah maslah maslah,Hawa wanatafuta maslah tu
@deusdeditkullwah558610 сағат бұрын
Sawa hongera
@AbdulmalikFredrick11 сағат бұрын
Wakuwavusha nyie ccm Chama imala muungeni mkono Mwenyekiti wa ccm mueshimiwa laisi wangu mpendwa Samia suluhuhasani
@HassaniFakhi10 сағат бұрын
Kuongea kwenye unaonagea kama shoga Sasa laisi ndo nn
@danielshauri63905 сағат бұрын
Wapenda rushwa ya ngono ndio mnataka mupewe nchi????? 😂😂 acheni ujinga
@ZuzuTheGreat-e8d10 сағат бұрын
Mbowe Sasa basi uliyo yafanya yatosha Sasa unavo sema upewe miaka mitano tu! Kwani umesahau Nini ? Cha muhiku tukuerewe
@JuventusNyachiaСағат бұрын
Unachosema ni kweli,ukabila nao ukiondoka usawa utakuwapo
@fastonsambo-du4rd2 сағат бұрын
Hakuna chama duniani kisicho na rushwa ,wote ni wanadamu,hakuna mwanadamu asiye na mapungufu
@rebekakulwa615912 сағат бұрын
Kwani mbona mafisiemu machache yanafaidi rasilimali ya za watanganyika
@sophiamalinga1829 минут бұрын
Huyo dada hana busara wala hekima
@FannyKaliath-b7l5 сағат бұрын
Chacha Wangwe
@PendaelLema-hm6wj11 сағат бұрын
Kuweni naakiba ya naneno.Kama tunamuunga mkono Lisu tusitumie majukwaa kuchafua Chama. Kwakufanya hivyo tunanufaisha maasimu wetu.
@jetymagereja40589 сағат бұрын
Du dada zetu wamelika.
@nanubob19692 сағат бұрын
MUARUBAINI WA TATIZO HILI NA MENGINE WANACDM NI MABADILIKOOO!!!!!
@gowekogoweko58039 сағат бұрын
FOR SURE
@melch309719 сағат бұрын
Lkn kwanini hamkupendekeza hayo
@melch309719 сағат бұрын
Watanznoa sasaivi wamepigika chochote sasaivi ni lawaama
@EmmanuelMlowe-u1v11 сағат бұрын
Ili upate viti maalum lazima uliwe na mwenyekiti
@deuskamugisha36278 сағат бұрын
Jipimie dada yangu kwenye maongezi ...mfano hizo tuhumu za rusha za ngono uliziona na ukashindwa kutoa taarifa wakat mna vikao??? Kwa hiyo kweny vyombo vya habari ndo Kuna suruhisho au? Asee hamtaona kura yangu tena maishan sabab mnaongea mno kana kwamba hamnaga vikao
@FrankMashauri-t4t6 сағат бұрын
Io Kura yako moja ndo itutishie aman we io kura yako moja kaa nayo tu ata hatuitaki😂😂😂😂😂
@cristinajeremiah24503 сағат бұрын
Mmeisha jichafua wenyewe
@vascomwalongo45115 сағат бұрын
Sasa Ndoto zenu kumbe ni Kufanikiwa nyinyi kama Nyinyi ..siyo Kuwatumikia. wanachi?
@FyudaMsusi10 сағат бұрын
Mtasema mpaka yote
@alphoncewilliam432512 сағат бұрын
Leo ndio mnakumbuka😂😂
@kadilamore80212 сағат бұрын
Sababu wamepata mgombea mwingine boraa
@AlbinMsechu9 сағат бұрын
Sasa wewe umekua mwenyekiti, viti maalum unataka vya nn tena? Ujinga mtupu