No video

JARIBIO LA KUMPINDUA NYERERE LILILOFANYWA NA MAKOMANDOO NA WANAJESHI/Tanzania /mlevi akatoboa siri

  Рет қаралды 344,548

BONGO STAR MEDIA

BONGO STAR MEDIA

4 жыл бұрын

Karibu sana kuendelea kuungana nasi kupitia real time time tv kupata srory,udaku,sports,siku yako iwe poa na makala bomba ungana nasi kwa ku subscribe channel yetu pendwa ya real time tv #habari #burudani #udaku #michezo #maarufu #maajabu #wasafi #wasafifm #wasafitv #thestory #mfahamu #makala #historia #vituvyaajabu #denismpagaze #jimmygodfrey #simulizi #sauti

Пікірлер: 83
@kelvinmtavangu7701
@kelvinmtavangu7701 2 жыл бұрын
Wazungu ndio walipanga kuendelea na ukoloni wao. Nakumbuka 1964 usiku wa kuamkia siku ya Alhamisi tukiwa shambani Ismani, kilimo cha mahindi kilishamili sana Iringa, ndipo Radio Tanganyika Brodcasting Co-oparation TBC, asubuhi na mapema Ilitangaza kuwa kuna baadhi ya wanajeshi wameasi.Hata hivyo walishindwa Nchi ikawa salama na amani. Mungu anipenda nchi yetu tokea iumbwe. Mungu bariki Tanzania.
@amosimariba9820
@amosimariba9820 2 жыл бұрын
Daah, naona kichwa chako bado kinafanya kazi nzuri Kwa kumbukumbu hongera sana
@ellianoah1416
@ellianoah1416 2 жыл бұрын
Kwetu Isimani
@kelvinmtavangu7701
@kelvinmtavangu7701 2 жыл бұрын
ASANTE SANA ndugu yangu. Karibu kwetu Mufindi Igowole.
@ellynutambelwa1948
@ellynutambelwa1948 Жыл бұрын
Hi
@eneryh1253
@eneryh1253 4 жыл бұрын
Mzee alikua noma sanaaa
@bakarbakarali-cw3gc
@bakarbakarali-cw3gc Жыл бұрын
Nyerere waislam alituuwa Sana hatumsamehe
@MalangaMartin
@MalangaMartin Ай бұрын
Good ❤❤
@jaromejonas5910
@jaromejonas5910 4 жыл бұрын
Uko makin sana mtangazaji mungu akubaliki na kupaji chako asante kwa story
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 2 жыл бұрын
S tori yako ni nzuri lakini hujaingia kwa undani zaidi tafuta wahusika wakupe undani wake au tafuta magazeti yaliyoandika hill jaribio
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 2 жыл бұрын
Stories yako nzuri lakini hujaingia kwa u
@mangofish9079
@mangofish9079 2 жыл бұрын
Sio ilikua karibu kumuondoa sema alikuwa tayari keshapinduliwa Muingereza ndio aliekuja kumrejesha madarakani na kule zanzibar Muingereza huyo hyo ndie aliefanikisha mapinduzi kutokea
@ngunitv
@ngunitv Жыл бұрын
Ilikua kidongo jeji WA muondoe mwalimu nyerere kazini jaribio LA mapinduzi yalipanywa na makomadoo//ngunitv
@thestorybookwasafi4225
@thestorybookwasafi4225 4 жыл бұрын
Cheers to The Great mind JK Nyerere
@linuspapiasmanywele3414
@linuspapiasmanywele3414 2 жыл бұрын
Loooooo Mungu Nimkubwa
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 2 жыл бұрын
Umejitahidi lakin bado... kama ni alama nakupa 20%
@adamismailly1784
@adamismailly1784 2 жыл бұрын
Matukio hayako sawa Hatibu gandi magii history yake utaipata muheza kikiji cha mafere ndio kaburi lake liko
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 Жыл бұрын
Sio Jurius Nyelele ni Julius Nyerere aisee
@PetroMabande-ip8pw
@PetroMabande-ip8pw Жыл бұрын
Tunakukumbuka baba
@bahatimohamedi2255
@bahatimohamedi2255 3 жыл бұрын
Mapinduzi safi
@mereybajrey1317
@mereybajrey1317 4 жыл бұрын
story mwisho sio kweli mwinyi hakukamata madaraka 1995. Plus jina la baba wa taifa ni Mw Julius K Nyerere sio Nyelele
@abelyjrxtrail6801
@abelyjrxtrail6801 3 жыл бұрын
Naomba nijue hiyo Background beat inaitwa....😮
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 4 жыл бұрын
Kuna mambo hukuyasema, historian hii huijui vizuri wewe msimulizi.
@happybrayan5793
@happybrayan5793 3 жыл бұрын
Wew unaejuw vizur umeeleza wp asee
@upendotarimo9324
@upendotarimo9324 2 жыл бұрын
@@happybrayan5793 😂😂😂😂😂
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 4 жыл бұрын
Ata Mimi nashang'aa xana, eti Leo hii baadhi ya wasukuma wanaona Kama wao ndo wenye nchi hii, kumbe ngomba ikivuma xana upasuka! But magufuri we chapa Kaz baba ( tatizo ni ukabira)
@samjoseph3954
@samjoseph3954 4 жыл бұрын
Wanajukuta wao ndyo walipigania Uhuru
@jisamjoseph4558
@jisamjoseph4558 4 жыл бұрын
Hatuko hvyo hata kidogo
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 4 жыл бұрын
@@jisamjoseph4558 we unajuwa na zungumza Mimi Kama Nani?
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 4 жыл бұрын
@@jisamjoseph4558 sema siko hivyo , siyo hatuko hivyo !
@jisamjoseph4558
@jisamjoseph4558 4 жыл бұрын
Sasa ukabila unatoka wapi...ukibeba sana jambo moyoni litakusumbua
@deodatuschrizant3736
@deodatuschrizant3736 4 жыл бұрын
Unazengua blood ani sauti inaanzia juu na kushuka
@wangapichitanda5469
@wangapichitanda5469 4 жыл бұрын
Mungu amlaze mahar pema pepon
@tofautistudio
@tofautistudio 4 жыл бұрын
Mie nakupongeza msimuliaji
@BONGOSTARMEDIA
@BONGOSTARMEDIA 4 жыл бұрын
Asante sana j 🙏🙏
@tofautistudio
@tofautistudio 4 жыл бұрын
@@BONGOSTARMEDIA OK
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 жыл бұрын
Apumzike salama
@omaryrashid1873
@omaryrashid1873 4 жыл бұрын
Mapinduz noma
@kakamkubwa9393
@kakamkubwa9393 2 жыл бұрын
Duuuhhh....kaka muongo sana
@emanuelsafari5580
@emanuelsafari5580 2 жыл бұрын
Acha kuwafumbaza watanzania huo ni uwongo ""wanajeshi wa tanzani hawakuitwa JWTZ mwanzoni
@BONGOSTARMEDIA
@BONGOSTARMEDIA 2 жыл бұрын
Waliiitwaje mkuu na nini kirefu cha jwtz? Tusaidie
@jablanco3205
@jablanco3205 2 жыл бұрын
Jeshi la wananchi tanzania?
@alvinwanzagi7797
@alvinwanzagi7797 4 жыл бұрын
Uhondo wa julius
@jamalimatitu8376
@jamalimatitu8376 2 жыл бұрын
Jml
@raymondhipolite5218
@raymondhipolite5218 3 жыл бұрын
Mwamba wa tz
@donardfulo4243
@donardfulo4243 2 жыл бұрын
Francic hingo ilogi mungomo mwingine
@jumashabani8420
@jumashabani8420 2 жыл бұрын
Maganga na wenzake hawana picha zao mkuu
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 Жыл бұрын
Butiama sio BUTIHAMA
@BONGOSTARMEDIA
@BONGOSTARMEDIA Жыл бұрын
Noted sir
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk 4 жыл бұрын
Yaani hapo umechemka mwinyi 1995?
@lirastanley390
@lirastanley390 2 жыл бұрын
Amekosea bahat mbaya walipewa msamaha kipindi ambacho mwinyi anaiaga nchi kimadaraka
@juniormichael354
@juniormichael354 2 жыл бұрын
Matukio hayapo sawasawa katika simulizi hii
@t.h.u.g934
@t.h.u.g934 4 жыл бұрын
Sauti yako ipo down sana
@mlawajunior1603
@mlawajunior1603 2 жыл бұрын
Mlevi nani
@apolomagelanga4863
@apolomagelanga4863 4 жыл бұрын
Mtoa post unataka kutwambia nn?
@mwamedchilung7737
@mwamedchilung7737 4 жыл бұрын
selikahii ni ya kikabila tena ya mama sana yani
@alexlukumay8863
@alexlukumay8863 4 жыл бұрын
Uwongo mtupu hiyo
@castorygeorge9395
@castorygeorge9395 2 жыл бұрын
Hapa umetudanganya sio maganga n mayunga
@salvatorymtunga2802
@salvatorymtunga2802 2 жыл бұрын
Siyo mayunga, ni maganga kama alivyoeleza.
@jisamjoseph4558
@jisamjoseph4558 4 жыл бұрын
Kwamba walitoka kwa msamaha wa rais baada ya mwinyi kuingia madarakani 1995 🤣🤣🤣
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 4 жыл бұрын
UKABIRA HUO MTUME KUUPIGA VITA HUO NI UHIZIBIYA
@dmwt5878
@dmwt5878 2 жыл бұрын
Mh
@BONGOSTARMEDIA
@BONGOSTARMEDIA 2 жыл бұрын
Asante kwa kutizama 👍karibu Saana bongo star media
@michaelcharles8942
@michaelcharles8942 4 жыл бұрын
O
@bonangatuni8077
@bonangatuni8077 2 жыл бұрын
Hufai kuwa mtangazaji Nyelele au Nyerere?
@BONGOSTARMEDIA
@BONGOSTARMEDIA 2 жыл бұрын
😁 😁 Tafuta pesa kaka mwaka ndo unaisha huu usikasirikie watu
@michaelcharles8942
@michaelcharles8942 4 жыл бұрын
N
@emanuelnyanja7558
@emanuelnyanja7558 4 жыл бұрын
NYerere shujaa wewe
@michaelcharles8942
@michaelcharles8942 4 жыл бұрын
H
@laurentlusatho4343
@laurentlusatho4343 2 жыл бұрын
huyu alikua mkeamea maovu
@makeresiapawa7947
@makeresiapawa7947 4 жыл бұрын
1995? Umechemsha hapo
@herifridgmsigwa180
@herifridgmsigwa180 3 жыл бұрын
Mwanikanga pawa
@araphatiali332
@araphatiali332 Жыл бұрын
Huna lolote
@issasalum2883
@issasalum2883 4 жыл бұрын
Nyelele
@magangakayola4175
@magangakayola4175 4 жыл бұрын
Sio Nyelele ni Nyerere haikupita primary bbu
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 25 МЛН
Vita Vya Kagera 1977 1978 Sehemu Ya Pili
31:05
SIMU. Tv
Рет қаралды 1,9 МЛН
KIONGOZI BORA NI YUPI? | MWL. JK NYERERE
5:53
SIMU. Tv
Рет қаралды 964 М.
Oscar Kambona: Shujaa au Msaliti? | The Chanzo Documentary
1:04:34
Hotuba ya MWALIMU Nyerere iliyosisimua zaidi ilivyo mtabiri Rais JPM
14:08
BINGO ONLINE TZ
Рет қаралды 1,1 МЛН
MANENO YA AGREY MWANRI 'YAMKAUSHA MBAVU' MAGUFULI "MAMBO NI BUM BUM"
4:56
Mtanzania Digital
Рет қаралды 1,8 МЛН