Je inafaa Kuswali Nyuma Ya Ma'ibadhi? (Jibu kutoka kwa Sheikh Salim Barahiyan)

  Рет қаралды 12,841

IHSAAN TV

IHSAAN TV

6 жыл бұрын

Hosted by: Nassor Bin Shabaan
Guest: Sheikh Salim Barahiyan
الجواب الكافي
{Jibu lenye kutosheleza}
RADIO IHSAAN FM
TANGA, TANZANIA
ANSAAR MUSLIM YOUTH CENTER

Пікірлер: 91
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 3 ай бұрын
Wewe mzee muogope Allah izoo sifaa zako zitakupeleka motoni shauri zako
@mohammedmajeed5648
@mohammedmajeed5648 5 жыл бұрын
SubhanAllah mtihan nakuonea huruma sana Ndugu yangu katika Imani.
@stonecolly
@stonecolly 4 жыл бұрын
Subhanallah , kweli kuna masheh ndevu na masheh kanzu . Sasa tukuweke wapi. Allah akuhidi.
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x 6 ай бұрын
MSHAWAHI KUWASIKIA AU KUSOMA VITABU VYAO MCHENI ALLAH UONGO UNAMPELEKA MTU MOTONI
@ahmedoman7751
@ahmedoman7751 6 жыл бұрын
Mashia ndio wanao wakufurisha Maswahaba. Mashia wame watukana maswahaba mpaka bibi aisha mama wawa umini Radhia Allahu anhaa na ukisema mashia bakubali kwasababu ndio itkadi zao potof Allah atuepushie miongoni mwa hao amiin
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Jamani mashekh ALLAH anatusubiri
@hamoudel-mughery9396
@hamoudel-mughery9396 5 жыл бұрын
Leo sheikh barahian nimeona barua yako kuhusu sheikh kishk mashallah
@khalfansharji9790
@khalfansharji9790 5 жыл бұрын
Ukisoma coment mhhhhh!!! Mijahili kama Barahiyani ipo mingi ALLAHUMA ARNA LHACKA HACK WARUZUKUNA TIBAA WAARINAL BATIL BATILAN WARZUKCKUNA JITINABA ALLAHUMA AMEEN. ALLAH ATUKINGE NA HII FITNA KUTOKA NAJDI.
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x 6 ай бұрын
WANAZUONI WENU SIO MASWAHABA SIO, MATABI, SIO MATAABIINA SIO MATABITABIINA NA HAO MAIBADH WAMEKUJA MAKARNE MINGI SANA KULIKO NYINYI NA HAWAKUFURISHI MASWAHABA HAYO NI MANENO YAKO NA MASHEKHE ZAKO MCHE ALLAH
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu kwanini asionekane maibadhi someni uislamu
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 3 жыл бұрын
Masha Allah upo sahihi Akhy...wanaopinga wajichunguze vizur elimu yao na uislaam wao
@msafiriduwiya7765
@msafiriduwiya7765 Ай бұрын
SI NDO MTOE USHAHIDI WA HAYO MADAI
@fahadjuma5150
@fahadjuma5150 5 жыл бұрын
Sheikh Barahiani Allah ANAKUONA
@ahmedoman7751
@ahmedoman7751 6 жыл бұрын
Wala hakuna maswahib radhi za Allah ziwe juu yao. wa mtume muhammad (S.A.W) walio kufurishwa. Na maibadhi Nenda ukasome vitabu vizuri kama kuna maswahib( r.a) Wala hakuna maswahaba walio kufurishwa. Hichokitu hakuna
@issamasanjala4653
@issamasanjala4653 5 жыл бұрын
Ahmed Oman umesoma?
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 5 жыл бұрын
Barahiyan yuko sawa kwa kusema kweli hata kama itawauma maibadhi
@hamoudel-mughery9396
@hamoudel-mughery9396 5 жыл бұрын
Allah atakuongoa kupitia mikono yako...!!! mashallah angalia neno "(alkhawairi)"umekusudia alkhawairi lakini Allah alrraham amejalia mikono yako kusema ukweli badala ya moyo wako na mdomo...bado miguu yako yako sasa unamuonea choyo sheikh wa kimataifa anavyofanya jitihada take na kupendwa na kina mmoja hata wasio waislamu naamini wanampenda.. mashallah. اليوم نختم علا أفواههم وتكلمنا ايديهم وتشهد أرجلهم بماكنو يكسبون....الله اكبر حسبنا الله ونعم الوكيل...الحمدالله
@MohammedMohammed-tr7bb
@MohammedMohammed-tr7bb 5 жыл бұрын
Wewe sheikh wapi sie maibadhi tumesema ya kuwa masahaba ni wa motoni au ulimsikia sheikh gani wa kiibadhi akisema kuwa saydina uthman ni wa motoni? HACHENI KUZUSHA
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 5 жыл бұрын
Subhanallah yan skuiz mtu amesoma sura moja basi amekuwa ni shekhe na anaanza kutoa tofaut ya wenzake kuwen makini jmn hawa sio mashekhe mbn hakujitoa sura yake kama yeye ni mkwel inatia hasira kwel
@AhmedAli-os2dq
@AhmedAli-os2dq 5 жыл бұрын
Huyu baada ya kunyimwa msaadacna Ibadh,ndio anasema maneno haya,msikiti wa Ansar Barbara ya 19,umejengwa na ibadhi,sehemu ya chini,na kiwanja kilichangiwa na Ibadh,mbona hawauwachii?Dada yake ,huyu Salimu Barahiyani baba mmoja,mama mmoja aliolewa na Ibadh mara mbili,na amezaa na watoto na waume wa kiibadhi,kwa dada yake alikuwa akizini?Shangazi yake ndugu na baba yake,mume wake ni ibadh na amezaa watoto,huyu shangazi hana ndoa,anazini?Watoto wa dada zake wameolewa na Ibadh,wanazini?Ndugu yake baba mmoja mam mmoja alioa Ibadh akazaa na watoto,hawa watoto ni wa haramu? Hii chuki yote kwa Ibadh ni kukosa misaada kutoka Ibadh,na kuona shule zake,hazina maendeleo.
@AhmedAli-os2dq
@AhmedAli-os2dq 5 жыл бұрын
Dada yake Huyu,anaitwa Rigea,ameolewa mara mbili na Ibadh,kwanza aliolewa na ibadh,akazaa naye watoto wengi tu,akaolewa mara ya pili na Sheikh wa kiibadh,ambaye alikuwa katibu wa Istiqama Tanzania,amepata naye watoto,shangazi yake baba mmoja,mama mmoja na mama yake kaolewa na Ibadh,kazaa watoto,ndugu yake wa kiume baba mmoja mama mmoja,alioa ibadh,akafa amepata watoto na huyu mwanamke karibia 3,wa kiume.Watoto wa dada zake wameolewa na ibadh,wengi tu.Sasa hawa wote ndugu zake wanazini?Ndoa zao hazisihi? Au huko kunyimwa misaada na ibadh ndio aropokwe,wakati ndani ya familia yake uibadhi upo,tena mwingi tu.Kusoma Alhamdu,ndio amekuwa Sheikh,hata kuswalisha,hajui,wala hajahifadhi hata juzuu moja.
@maalimjuma6833
@maalimjuma6833 4 жыл бұрын
Shekh kasome utaona
@adammaulid2356
@adammaulid2356 11 ай бұрын
Kam umeumia si acha uibadhi njoo njia ya usawa!!!!
@kibibimwanamvuamohammadmoh9823
@kibibimwanamvuamohammadmoh9823 6 жыл бұрын
SubhaanAllah
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 4 жыл бұрын
Mh Subhanallah
@parasuminazi4403
@parasuminazi4403 5 жыл бұрын
We ni mnaaffikk.kwanza nyinyii wenyewe muko na akida tofauti baina yashaffii nanyinyi mawahabi mulioijua Dini kwakupewa msaada wavisima.mbona wenzenu shafii walionailmu huwa wanaswali nakusalisha miskit yalbadh nahawana longolongo
@Mofaiz_11
@Mofaiz_11 5 жыл бұрын
Alichosema ni sawa sawaa mawahabi/maanswari mnavyojiita hawamo kabisaaa in ahlus Sunnah waljamaa na nyiee kumsifia mtume mmekataaa so kuswali nyuma yenu haifaaaaiiii
@abdulazizal-mazroui3363
@abdulazizal-mazroui3363 5 жыл бұрын
mtihani kwa kweli
@salmahilaly9708
@salmahilaly9708 5 жыл бұрын
Shekh jitambue na usome uibadhi uelewe maibadhi wanaharamisha kilichoharamishwa na Allah km zinaa suni wanahalalisha zinaa kuwa waliozin waweza oanacna ibadhi tunakipinga hilo km huujui uibadha usiongelee
@111dudi
@111dudi 4 жыл бұрын
Na wale wanao waudhi Waumini wanaume na wanawake pasina wao kufanya kosa lolote, bila ya shaka wamebeba dhulma kubwa na dhambi zilio dhaahiri. AHZAAB 58
@jumamzee6999
@jumamzee6999 4 жыл бұрын
Nyinyi Mashekhe ndio mlio kwenda kusoma nchi ya mayahudi kuupotosha uislamu mukawagawa waislamu na makafiri wakapata njia ya kukubomoweni
@qassimyahya1401
@qassimyahya1401 5 жыл бұрын
Shkh naombaa utumiee kwenye kitabu gani baadhi tume semaa sayyed othaman ataingia motoni
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 10 ай бұрын
Huyu mshenzi kwa misimamo yake hiyo anakuwa tayari kashawakufurisha waisilam wote kwani hata hata hao masuni tsyari kashawakafirisha
@shamasautolampscan8775
@shamasautolampscan8775 5 жыл бұрын
Nadhani kuna umuhimu mkubwa Istiqama waliopo tanga kuwatafuta hao wahabi Wa tanga na kuwajibu hoja zao ,hivi karibun sheikh kishk alipokuwa oman,akawasifu maibaidh ,basi hao jamaa wakarudia maneno Yao kweny media, Nasema hawa sio watu wakuachwa hivi hivi .inshaAllah wajibiwe kwa Mara nyengine Tena .
@amoursalum3585
@amoursalum3585 5 жыл бұрын
Masikini wee huyu Shehe kwanza alinganiwe na kina Mazinge arudi kwenye mstari maana kina Mazinge wakisema kitu hutoa naushahidi sio yeye anasema kwa matamanio ya nafsi yake Mungu atamhidi inshaalla
@Sekenke123
@Sekenke123 5 жыл бұрын
Nashaka na ushekhe wako, acha kuwazulia uongo Waislamu wa kiibadhi. Wote ni Waislamu, Ahl Sunah, Ibadhi, shia, salafi, wote ni Waislamu. Acha ubaguzi katika Uislamu, hii dini ya Mungu, sio yako, Je wewe ndio utawahukumu watu siku ya kiyama? Hiyo ni kazi ya Allah ya kumjua nani Muislamu wa kweli na nani mnafiq, hii sio kazi yako. Namuomba Allah akupe hidaya, Ameen.
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 4 жыл бұрын
Hakuna ibadhi katika uislamu Hilo linaleta mashaka
@asasally3978
@asasally3978 5 жыл бұрын
Waislam wote mtambue kuwa mna wajibu wa kutafuta ukweli sio kufuata tu kila kitu wachosema mashekhe.Mashekhe wetu wengi wanaona wanna wajibu wa kupinga misimamo ya wenzao kwa hali yeyote .Kwa kupinda ukweli au kusema uongo kabisa.Mfano:Shekhe katoa aya inayosema Mungu ataonekana siku ya kiama.Sawa.Suala kwa namna gani ataonekana?Ukianza kumpa miguu,mikono ,uso_waislam lazima wapinge.Kwa sababu kuna aya za Quran zinazosema Mungu huwezi kumfananisha na kitu chochote.Waislam nawambia tena:Yastamiuna lkaula wa yatabiuna ahsana.
@seifissa4506
@seifissa4506 Жыл бұрын
Huyo barahiani sio shekh muhuni tena kafir
@Sekenke123
@Sekenke123 5 жыл бұрын
Huyu anaejiita Sheikh aliwahi kutoa fatwa eti inafaa kunyonya nanhi ya mwanamke.
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 5 жыл бұрын
Ww shekhe mungu anakuona wacha uwongo wako Maibadh hawaja kanusha nabii wala swahaba yeyote na endapo mtamfata huyu shekhe basi mjue anapotosha kwanza ujue tofaut ya ibadh na mashia jmn kuwen makini ktk kuelezea jambo la kidin uislam sio siasa ya chama. Toa ushahid kama Maibadh wamekanusha chochote ktk dini. Subhanallah Allah awasameh woote wanaomsikiliza huyu sheikh na kumfata pia sheikh jirekebishe mm nakuona haujasoma na kama umesoma basi ustoe tofaut ya wenzako wakat ww haujui kitu.
@ludacrissrangiyabank3737
@ludacrissrangiyabank3737 5 жыл бұрын
Maibadhi hawana tatizo lolote acheni fitna tatizo kila mmoja aheshimu ufahamu wa mwenzake
@khalfansharji9790
@khalfansharji9790 5 жыл бұрын
Mawahabi uzushi ndio kazi yao khasa hawajaanza leo kila kukicha wanalo lakuzua na hamtawaina hata siku moja kuleta ushahidi.Katika madhehebu ibadh hakuna iliposemwa saidina Uthman mtu wa motoni.Huyu shekh yeye aendelee kumgonga sheitan kwa kidole kwake sawa na bismilah asiitaje sawa lakini uongo achaaaa!!!WAISLAM WANA ILIMU NA AKILI wewe ponda tu pesa za wasaudi waisilamu waache na dini yaooooo!
@ahmedoman7751
@ahmedoman7751 6 жыл бұрын
Muogopeni Allah hayo nimaneno yenu tu kiukweli hakuna kwenye vitabu vya ibadhi au masheikh wa ibadhi n.k panapo semwa sayyidana Othman Radhia allahu anhu eti niwamotoni سبحان الله سبحان الله wala hatuna kauli hiyo sisi Na maibadhi washaitwa mpaka mashia n.k
@hassanjuma5580
@hassanjuma5580 5 жыл бұрын
Allah atatulipa sisi maibadh kwa maungo ya masheikh tangu nizaliwe cjawahi kuwaskia othman bin Affan kama ni kafiri kwa maibadh mara wengine wasema Ally bin Abitwalib kafir inauma sana nyinyi masheikh wa zama hizi
@imash04tv20
@imash04tv20 3 жыл бұрын
laanatullah alaika ikiwa unasema uongo ilhali kila siku mnajibiwa kuhusu tuhuma hizo wapi maibadhi wamesema othman bin affan motoni wakwanza ulokua haifai kufuatwa kuswali ni ww kila mtu kakufuru ispokua ww tu ndio upo sahihi wallah huyu kijamaa hakifai hata kusikilizwa kinapotoa watu ambao mustawa wao wakielimu ni wa chini sana
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 2 жыл бұрын
Muhabi hakanyagi arthi yoyote ila atainajisi kwa fitna zake, Inatosha kujuwa uwovu wa kiwahabi nikuwa hawakutani mawahabi wawili ila mmoja atamkufurisha mwenzake
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 5 жыл бұрын
Ibadhi wacheni kufuru rudini katka uislamu uliosahihi
@abamotv532
@abamotv532 5 жыл бұрын
Weh ustaz mbona unaongea Maneno yasio sahihi Kama unasikia tu Maneno kwa watu usiseme mpaka usome Najuata kuskiliza hii
@fahminasser3855
@fahminasser3855 5 жыл бұрын
ASALAM ALEYKUM SHEIKH BARAHIYAN KAMA WATAKA KULINGANIA KITU BORA ZAIDI KWAKO UANZE NA KILE UNACHO KICHUNGA KWANZA UMLINGANIE DADA YAKO KARITADI NA KAZAA NNJE YA NDOA ANZA NA YEYE NDIO UWENDELEE NA UNAO WAITA MAKAFIRI
@fatmaali2050
@fatmaali2050 Жыл бұрын
Aliyozungumza huyu sheikh hayana mashiko yoyote ila kulingania unatakiwa ulinganie hata km watu wako wa karibu ni maasi kwa sababu mtume Alikuwa na watu wake jamaa zake walikataa kusilimu na mtume Nuhu mwanae na mtume lut mkewe kwa hivyo kulingania unatakiwa ulonganie
@user-rt1bz7lk4s
@user-rt1bz7lk4s 10 ай бұрын
Nyinyi hamuna kazii kumwitaa huyoo mzee sheikh ety ndo anajiona sheikh ndio maana mawahabii wenzio wakakukataaa mnafiki
@ahmadzubeir9113
@ahmadzubeir9113 5 жыл бұрын
Huyu sheikh kama ni sheikh,mimi ninawasiwasi nae juu ya elimu yake
@khalfansharji-ez7pg
@khalfansharji-ez7pg Жыл бұрын
Kuwa mkweli BALAAKHIYANA WE Japo spichi Moja wa ibadhi wakisema Ababaqar r a ni mtu wa motoni ama kweli mawahabi ni majahil mia fil mia
@user-rt1bz7lk4s
@user-rt1bz7lk4s 10 ай бұрын
Muongooo mnafik wewe mzee huna usheikh wewe ni mnafiki
@mohammedhafidh6016
@mohammedhafidh6016 5 жыл бұрын
huyu sheikh akili zake mbili
@hamoudel-mughery9396
@hamoudel-mughery9396 5 жыл бұрын
Na sio mawahabi wote ambao hawasali nyuma ya Ibdhi(ahlul faradh) ni baadhi Tu ambao wana lengo la kisiasa na KSA pia ni kivuli cha mayahudi wanaotakia Shari katika dunia na akhera...Allah wetu ni mmoja na dini moja na qurani na hadithi ndio mwongozo mmoja...hizo ikhtilafu tukumbuke zimetoka wapi...ni kama hivyo munavyashajihisha nyinyi mawahabi wa KSA...kutafuta Imani na amani ndio kitu muhim Sana Leo hii tunapasa kuishi hata na asiemuislam jee kumtukana Shia au ibadhi huoni no njia ya kumuweka mbali na itikati yako ....onyesha dalili zako nzuri ili afuate...na masuala ya ikhtilafu hayo hayana nafasi katika kutengana hata kama kuna sheikh wa ibadhi kamuingiza Othman r.a basi na yy atajibu hoja hio mbele ya hukmu...inafaa kumtajia mtu mema yake Tu na sio mabaya...hata mtume. S.A.W alikuwa anakosea kama binadamu...! Allah aalam
@Mofaiz_11
@Mofaiz_11 5 жыл бұрын
Huyu baraiyaan mwenyewe alifumwa in muheza na wagangaa alivyokua aumwa
@rajabumzuwanda7505
@rajabumzuwanda7505 5 жыл бұрын
Tusipakane mafuta ukweli ni kwamba madhehebu yote kila moja haifai kuswali nyuma mwenzie mfno hao shafii na wahabi kila moja aqida tofaut kuhusu Allah yupo wapi wahabi wanasema yupo juu shafii wanasema yupo kila sehemu hiyo vp pia shafii wanakubali tawasuli wahabi wanasema shirki sasa vp mnaswalishana sikwambii utofaut uliyopo kwa qaadiriya muridi yabligh ibadhi shia
@saeedmohammed1067
@saeedmohammed1067 5 жыл бұрын
Hakuna dhehebu la wahabi sheikh.
@parasuminazi4403
@parasuminazi4403 5 жыл бұрын
Elimu yako kidogo inawalakin juu ya maibadh .achana nakitabu tutakupa shida kukipata tupatie clip moja tuu hatakamakunashekh wakiibadh aliekosea nakutamka hilo LA sayyidnaa Othman kua ni MTU wa motoni basi ss tutakua wafuasi wako
@Sekenke123
@Sekenke123 5 жыл бұрын
Wewe Muongo, Hakuna ibadhi anayesema kwamba sahaba Othman رضي الله عنه ataingia motoni. Muongo wewe, Hakuna ibadhi inasema hayo, kama bado unabisha leta ushahidi wako, najua huna ushahidi na hautopata ushahidi, acha kudanganya watu, wewe sio Sheikhe, nasikia maibadhi walikunyima msaada ndio maana ukaanza kuwakufurisha tokea siku hiyo..
@salmahilaly9708
@salmahilaly9708 5 жыл бұрын
Huyu si shekh na wala hatahiki kuwa shekh ni mpotoshaji kwa wasiouelewa uislam Allah atahukum kwa yeyote aneupotosha uislam km huyu
@aminahassan4642
@aminahassan4642 2 жыл бұрын
Tatizo la waislam hawana umoja wangekaa pamoja wakasoma vitabu wangetatua tatizo kila mtu ana kibri anajiona yeye yuko sawa lakini mtakwenda ulizwa na Allah nyie mashekh mnaopotosha watu huko hakuna hoja.
@ahmedoman7751
@ahmedoman7751 6 жыл бұрын
Sio kweli wapi maibadhi wamesema sayyidna (othman radhia allahu anhu) niwamotoni wapi tupe jibu au ume sikia. Tu watu wana sema
@goantanamoo9117
@goantanamoo9117 6 жыл бұрын
kwenye vitabu vyenu maibadhi ndo mulivoaandika , kasome uache ujinga ww
@goantanamoo9117
@goantanamoo9117 6 жыл бұрын
tena c othman peke yke ni maswahab wengi munawakufurisha
@mohdseif4394
@mohdseif4394 5 жыл бұрын
Goanta Namoo nadhan una akili finyu mgonjwa wewe
@el_chilubi7458
@el_chilubi7458 5 жыл бұрын
Goanta Namoo wapi imeandikwa? Au weka nukuu basi
@MohammedMohammed-tr7bb
@MohammedMohammed-tr7bb 5 жыл бұрын
@@goantanamoo9117 wewe unasema kuwa sisi maibadhi tunasema kuwa saydina uthman ni wa motoni je unaoushahidi au unaropokwa tu? Tafadhali toa ushahidi kwa unayoyasema kuwa sisi maibadhi tuna wakufurisha masahaba ?
@bakarabajana3433
@bakarabajana3433 5 жыл бұрын
Mbona sheikh unachanganya mada ni maibadhi au mashia ndio wanaosema saydna umary motoni nibadhi wako sawa2 acha kupotosha umma
@ibnabou1886
@ibnabou1886 5 жыл бұрын
Maibadh kataen tu kua hamtukan maswahaba lakn nyie itikad zenu n sawa na mashia kwan #mashia wana itikad za kusema uwongo ili tuwaamin #ibadh pia itikad hii mnayo, msijali tunawajua vzr wala msijali endeleen kujitetea mitandaon lakn kwenye vitab twavisoma.
@Sekenke123
@Sekenke123 5 жыл бұрын
Nakushitaki kwa Allah, Ameen. Yeye ndio tunayemtegemea sisi Waislamu.
@user-ue8zi5xs9y
@user-ue8zi5xs9y 2 ай бұрын
Hawa wanakula mchana ni wa bidaa wa mwanzo
@makamemufadhil627
@makamemufadhil627 5 жыл бұрын
Mimi ilikua sijui kumbe ibadhi ndio ajenda yao hiio daah Astaghafirullah
@shimuld6721
@shimuld6721 5 жыл бұрын
Wewe sheikh naomba ukasome wewe ni mzandiq na elimu yako jaahil ibadhi hawapo hivyo unavyo eleza wewe fanya ukasome tena halafu ndio uzungumze
@johahilali7243
@johahilali7243 4 жыл бұрын
Ibadhi gani alosema sayyidina Othman mtu wa motoni
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 Жыл бұрын
soma vitabu vya kiibadhi
@mohdseif4394
@mohdseif4394 4 жыл бұрын
Chanel ya fitna allah aiangushe
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 10 ай бұрын
Jamani barahani ni jahil kubwa
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 5 жыл бұрын
Watu bida kama ma ibadhi hawamwona allah
@abdulazizal-mazroui3363
@abdulazizal-mazroui3363 5 жыл бұрын
mtihani kwa kweli
@pembaspices377
@pembaspices377 Жыл бұрын
Salafi wao wapinga wazi jihadi wanaunga mkono tawala dhaalim
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 2 жыл бұрын
Shukan sana Sheikh wetu Nimuhimu sana kuwambia ukweli hawo watu wa bidah uzushi maibadhi
@nassorseif2799
@nassorseif2799 10 ай бұрын
Soma uelimike usiwe mjinga
Mwasema Maulidi ni Bidaa, Mbona mwafanya Mashindano ya Qur'an?
10:02
JE INAFAA KUSWALI NYUMA YA IBADHI?
9:03
OMAR KHAMIS MOHAMMED
Рет қаралды 2,2 М.
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 87 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
🌊Насколько Глубокий Океан ? #shorts
00:42
MUTHAMAKI URIA UGWATHANA -PART A | Apostle Ndura Waruinge | Bethel Clouds TV
58:47
Ibadi - Islam's third major branch
14:56
Let's Talk Religion
Рет қаралды 546 М.