SHK, SALUM MSABAH JE KIMTAZAMO MAZEHEBU HAYA NI MAKAFIRI IBADHI,SUNI,SHIA

  Рет қаралды 2,830

Adil TV

Adil TV

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@jimjam4148
@jimjam4148 2 жыл бұрын
MASHAA ALLAH
@tahirsalum
@tahirsalum 2 жыл бұрын
Kweli sh msabah huo ndio uisalam Hakuna anaejihukumu mwenyewe anaehukumu ni alla
@abdullahalbalushi3856
@abdullahalbalushi3856 2 жыл бұрын
Huyu sheikh msabaha hodari lakini Ana mapungufu yake
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 4 ай бұрын
hivi huyu anajipendekeza kwa MASHIA,huyu hawafahamu MASHIA!!
@mdimistudio6041
@mdimistudio6041 2 жыл бұрын
Hii dini kila mmoja sheikh skuiz hahah daah
@abunauthar5384
@abunauthar5384 Жыл бұрын
Kwa mujibu wa itikadi ya kishia hata huyu sheikh ni kafiri labda akiwa yeye ni sawa na wao ndo atasalimika na ukafiri.
@nassirhamad9407
@nassirhamad9407 2 жыл бұрын
Hujui itikadi za mashiaa nyamaza kimyaa Angalia Itikadi nyengine ya Mashia is katika kitabu chao کشف الأسرار إن أبا بکر وعمر هما السببان لضلال هذه الأمة hakika Abuu bakar na Omar (Radhi za Allah ziwe juu yao) wao ndio sababu ya kupotea huuu umma. Matusi yao mengine إن النبي لا بد أن يدخل فرجه النار لأنه وطء بعض المشرکات hakika ya Muhammad ﷺ hapana budi (ni lazima) uingie utupu wake motoni kwa sababu amewaingilia baaadhi ya Washirikina (wanamkusudia Aisha na Hafsa wake zake mtume) Jeeeee kuna matusi zaidi ya hayo kayika hiii dini... halafu kuna wanaopewa majina ya masheikh kama huyu akiwatetea mashiaaaaa....ungalitukaniwa baba yako tuu ungaliminyana jeeee anatukanwa mtume na maswahaba na wake zake mtume Kamaaa hujui kitu kuhusu itikadi za Mashiaaaaa nyamaza kimyaaaaa۔۔۔Tunasemaaa kwa kinyaaa kipana kuwaaa kila mshiaaa mwenye itikadi hiii nao ni MARAAAFIDHWAAAA ni Makafiri شئتم أم أبيتم۔۔
@sabraham5308
@sabraham5308 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anatumiliwA
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 3 ай бұрын
Masufi hawajui misingi ya hii dini wala hawajui kuwa iyo laailaha illallaahu inamasharti yake yakivunjwa hatakama mtu anaswali haimsaidii kitu elimu hii utoipata kwa masufi hata siku moja
@SalehSonda-bz3hl
@SalehSonda-bz3hl 3 ай бұрын
Mashia wanawatusi na kuwadharau masahaba sasa unatetea mini rasta msabah kale skanka amani mkoa.
@abunauthar5384
@abunauthar5384 Жыл бұрын
1. Hadithi alioitoa sheikh ni ushahidi tosha kuwa yeyote atakaemusi mtume atakuwa amekataa kuingia peponi. 2. Uislamu una vitanguo vyake, sio kama kabila. Tusome kwanza ndipo tuongee kwa mujibu wa dalili.
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 2 жыл бұрын
Shia wote ni makafiri
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 4 ай бұрын
Lete ushahidi wa hilo
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 5 ай бұрын
Mbona halikuumi la kutukanwa maswahaba na mtume,linakuuma wao kuambiwa makafiri ni makafiri ndio kasome utajuwa uozo wao
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr Ай бұрын
Wewe mbwa wa kiwahabii tukuone wewe uwende peponi
@hamedyahya9846
@hamedyahya9846 2 жыл бұрын
wao wanamin saidiana Ally ndio mtume
@ibrahimabadi6498
@ibrahimabadi6498 Жыл бұрын
Mashia Kuna makundi mengi
@SoudSanawari
@SoudSanawari 5 ай бұрын
Hao wanaowaita wenzao makafiri kwa kweli wengi wao ni jazba na ujahili na upumbavu na ulimbukeni na wengine wanawatumikia mabwana zao ili fluus isikatike
@SalehSonda-bz3hl
@SalehSonda-bz3hl 3 ай бұрын
Na ndiwe
@SalehSonda-bz3hl
@SalehSonda-bz3hl 3 ай бұрын
Umo
@athumanbakari3598
@athumanbakari3598 2 жыл бұрын
Kwa kuwatetea mashia sikuelewi mashia wanafanya mambo yamotoni
@z34-kp9qq
@z34-kp9qq 5 ай бұрын
Eee weye weeee mashia wanasema dhakar ya mtume itaingia motoni. Kwasababu ya wakeze aisha na hafswa ambao wao mashia wanawakufurusha hao mama zetu !!!! Mashia wanasema wanasema maswahaba wote waliritaddi baada ya mtume kufa ispokua maswahaba watano tu , ktk riwaya nyengine wakasema ispokua wa3 tu. Yako meeeeeengi na meeeengi wanayiyaitaqid ambayo yako batili..... Sheikh salim fanya kwanza utafiti kwa kina usikurupuke. Mashia wanamtusi hadi jibriyl sio maswahaba tu.
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 3 ай бұрын
Tukiwa tunasema kwa masufi hakuna elimu mtuelewe sasa huyu anaongea nini hapa?
@abdullahalbalushi3856
@abdullahalbalushi3856 2 жыл бұрын
Kwanini hakati makucha huyu
@hamedyahya9846
@hamedyahya9846 2 жыл бұрын
masshia wao wanasama kuwa jibrili alesalam alikosea kumpa utume muhamad s a w sasa hapo jee hawajakufuru
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 6 ай бұрын
Unauhakika Kwa unachokisema au ndio hadithi tu izoo za kuchafuana tu zisizo na ukweli ndani yake
@salmaalisalim2462
@salmaalisalim2462 2 жыл бұрын
Sheikh hapo kw mashia mbona hapataki tochi ukafiri wao hebu fatilia vyema hayo manyago uone kwanini wawalani Maswahaba na wakeze mtume hizo laana zishawarejea hii mishia ni mikafiri ila imejivisha sura ya uislamu tena wabaya zaidi ya makafi maana wao wana unafik
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 6 ай бұрын
Hiloo jambo ni lakumuachia ni Allah s.w yeye ndie anaejiwa nani wa peponi na nani wa motoni tusikae kuanza kutiana motoni tukajipa madaraka ambayo sio yetu acha kufatilia ya watu fata yako tusianze kuhukumiana 😢
@badilamu
@badilamu 2 жыл бұрын
Shia si waislamu kwa yote wakontafauti wewe wacheza siasa wacha urongo shia miungu ahlubbait na wazinifu na kufru kila aina danganyabwajinga wenzako
@nassirhamad9407
@nassirhamad9407 2 жыл бұрын
Unazungumzaaa vitu kwa ujingaaaa... inaonekanaaa hata itikadi ya shiaaaa haijui huyuuuuu... ITIKADI ya shiaaa haikuishiaaaa katika nani bora baaada ya kufa mtume tuuu... Katika kitabu cha shia kinaitwa کشف الأسرار Ndani yake kuna matusi kama hayaa👇 إن أبا بکر وعمر کافران وکافر من أحبهما Hakika ya Abuu bakar na omar ni Makafiri na ni kafiri mwenye kuwapenda wao (yaaan ni kafiri mwenye kuwapenda Abuu bakar na Omar) Ndo maana nikasema hajui hata itikadi za mashiaaa huyuu
@saidothman2521
@saidothman2521 2 жыл бұрын
Sasa icho alichosema shkh na ulichosema wewe kina utafauti gani
@islamicreminder7451
@islamicreminder7451 2 жыл бұрын
kwenda zako
@badilamu
@badilamu 2 жыл бұрын
Wajua lakini wanafiki wacheza siasa
@ShabanAbdulrahman-b6r
@ShabanAbdulrahman-b6r 7 ай бұрын
Wewe ndo unajua😂😂😂
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 6 ай бұрын
Sio kama hajui Bali tatizo liko kwako wewe acha kufatilia mambo ya watu fata yako kwanza jitizame wewe je pepo ya Allah unauhakika gani kama utaipata ? Huenda ukajionaa unaenda peponi kumbe unaenda motoni na unaweza ukamdhania mtu kwenda motoni kumbe ni mtu wa peponi .kwahiyoo hayo ya kwenda peponi na motoni ni yake Allah ndie atakae hukumu baina yetu ni nani yupoo sahihi na nani amepotea😢
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 115 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
JE INAFAA KUSWALI NYUMA YA IBADHI?
9:03
OMAR KHAMIS MOHAMMED
Рет қаралды 2,8 М.
🔴#LIVE: SHK SALUM MSABBAH: HUKMU YA MUME KURIDHIA AU KUKUBALI ZINAA
1:10:30
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 3,2 М.
Nini hukmu ya kumsomea Maiti Qur'an ambaye ameshazikwa? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
4:50
Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
Рет қаралды 12 М.
LIVE:MASWALI NA MAJIBU NA SHEIKH SALUM MSABAH  05.06.2020
1:13:51
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 10 М.
MUHADHARA. IBADHI HISTORIA NA ITIKADI.
1:23:47
Abu Muslim Alghammawi
Рет қаралды 12 М.
Hukumu ya Mwenye kuacha Sala 1/2 - Sheikh Nassor Bachu
31:06
Islamic Kindness
Рет қаралды 47 М.
Maajabu ya Lailatul qadr || Sheikh Salum Msabah حفظه الله
6:21
Haji Upepo Online tv
Рет қаралды 1,2 М.