JE, OKELO ANASTAHIKI KUWA SHUJAA WA MAPUNDUZI YA ZANZIBAR?

  Рет қаралды 6,803

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 30
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 8 ай бұрын
Wazanzibari walio wengi hawataki muungano
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 8 ай бұрын
Hakutaka kufukua makaburi kwasababu yy ndio mkosa kwa uchaguzi wa 2020 hayo ya mapinduzi hatunayo khasaa usimsifu tuu mwambie pia atende haki aende kwenye uchaguzi kwa kujiamini na sera zake asilazimishe lazima atangazwe kua rais wakati hajashinda hakuna kitu kibaya km dhulma na Allah kishasema anaedhulumu hamsamehe musisifu na mabaya semeni au nyamazeni
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 8 ай бұрын
Hayo marikwama unayosema bado tunabeba na wanawake wanafanya kazi majumbani kwa shida ni aibu kusema vitu ambavyo bado wazanzibar wanateseka navyo 😢
@solomonadams6337
@solomonadams6337 8 ай бұрын
is only I want to say Kama wewe sio Mzanzibar usiizungumzee Zanzibar,Kwa sababu Zanzibar wanaijua Wazanzibar wenyewe tuu sawa,as feather I know Zanzibar kulikua hakuna haja ya kufanya Mapinduzi watu walikua wazungumze tuu Sultan alikua ni Mzanzibar,na Serekali iliokua bora na haitotokea tena Zanzibar ni ya mwaka 1963....Raia wa Wazalendo hawatopata maendeleo mpaka dunia itakwisha kwa sababu ya dhulma Allah yeye amejiharamishia dhulma lakini katika Zanzibar kuna watu wanajiita Waislam lakini kila baada ya miaka mitano wanadhulumu ,sisi Wazinjibar tuliokueko n'nje inshaallah tutakuja huko kutembea tuu sawa...hakuna diaspora wala nini sawa.thanks
@sleyumalgheithy3268
@sleyumalgheithy3268 8 ай бұрын
Mambo yalipikwa na waingereza marauding na mauretania kuwaua warabu walokua majumbani ndo walouwawa, Okelo kakodiwa tu soo mapinduzi ni mavamizi ndo mana nchi imekwenda na making na kutawaliwa mpaka sasa
@msabahaali758
@msabahaali758 4 ай бұрын
Waafrika wa Zanzibar mpka leo wanafanya kazi za chini wanaendesha bodaboda mpka leo wanauwawa barabarani pia kazi za ndani mpka leo dada zetu kwa dhiki zetu wanafika arabuni kutafuta maisha mapunduzi ya Zanzibar hayana faida wala mabadiliko zaidi ya kuingamiza Zanzibar
@user-rd2fw2rh5i
@user-rd2fw2rh5i 8 ай бұрын
Mlikuwa nyote mshtakiwe
@absalomkibanda
@absalomkibanda 8 ай бұрын
Kuna jambo hapo Mzee Enzi Talib analisema lakini hajaliweka sawa na kama hujapata kukaa na wazee wengine wa Zanzibar au kusoma maandishi ya mapinduzi huwezi kumuelewa. Hoja yake ni kwamba dhamira ya mapinduzi hasa ilikuwa na kumng’oa Sultani na si kuua watu hovyo mitaani na kuwaua watu kwa sababu ya rangi zao. Mzee Enzi anachosema ni kwamba, Okello na wenzake walikuwa ni wahuni waliotumia Mapinduzi kuua watu hovyo mitaani tena kikatili na kuna mifano kaitoa Mzee Enzi hapo kama yule bubu aliyeuawa kikatili akitoka msikitini. Haishii hapo anayataja pia mauaji mengine ya watu 25 waliouawa kwa risasi. Kwa hoja ya Mzee Enzi Talib, huyu Okello alipaswa kutangazwa kwamba mhalifu aliyeshirikishwa na vijana wa ASP katika kupindua dhamira njema ya mapinduzi ya kujenga taifa la haki wao wakageuka na kuua watu.
@MrMcama
@MrMcama 8 ай бұрын
Shukran sana kwa hii clarification! You’ve saved me some precious time.
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 8 ай бұрын
1. Kapinduliwa Mzanzibari, sio muarabu. 2. Mapinduzi = Mavamizi. Yameandaliwa na USA. Yametekelezwa na kibaraka wao Nyerere. 3. Kama 1 na 2 sio kweli, nijibu yafuatayo: A. Dola ya Zanzibar iko wapi? B. Mamlaka ya Zanzibar yako wapi? C. Sarafu ya Zanzibar iko wapi? D. Jeshi la Zanzibar liko wapi?
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 3 ай бұрын
Hayo makaburi yanayozungumziwa kwa zanzibar huwezi kusema unafukua au hufukui kwa sababu bado yapo wazi na yanawaumbua madhalimu, waliouawa kwa dhulma haki zao watazikuta kwa ALLAH, na anayebeba dhimma hii ya dhulma kubwa ni adui namba moja wa zanzibar ambaye ni nyerere.
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp 8 ай бұрын
Mzee wetu twakuamini ila tetea mambo yote sio sio ya john okelo tu😂unayajua yote ya znz na chaguzi zote za Zanzibar si zahaki ni za kimapinduzi umwagaji damu ulaghai ubadhirifu na hayo yatetee ili tujue kwabwa unapenda haki
@kombohassan2802
@kombohassan2802 8 ай бұрын
Elim yanyu ndago sijiwi nini lakini mnaujua mnatuchanganyaa. Hatuwasomi hatui mmepanga nini hatuhitaji nyuma so tunahita hapa tulipo tunatokajey hilo ndiyo muhim Raisi wetu mbona yupo sawa msiwe wajinga nyuma ibaki hisotoriya mtume muhamadi alpingwa nani muhim kame yeye je Mimi na wewe kiongozi Fanya kazi mungu atakulinda ❤😂🎉🎉
@111dudi
@111dudi 7 ай бұрын
Elimu ndogo, John Okello aliua waafrika wengi zaidi kuliko waarabu na waasia. Fanyeni utafiti, historia inayasema haya
@reformerthrone972
@reformerthrone972 4 ай бұрын
Mimi sitoshangaa kama huyu alioandika Habari ni kwamba katumwa na analengo maalum ambalo la kuporomowa japo la diaspora wanataka kuliharibu kwa hio lazima Raisi mwinyi alizungumze kiwazi hili kule Bara.
@rajabjuma277
@rajabjuma277 8 ай бұрын
Mpemba gani alomleta Jon okelo sema kweli km Jon okel kakodiwa aje kufanya mauwaji
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 8 ай бұрын
Tena kiswahili alikua hakijui kakodiwa kwa mauwaji tuuu na naam kayatimiza 😢
@DaudaBilikesi
@DaudaBilikesi 3 ай бұрын
Amlipaye mpiga zumari ndiye huchagua wimbo!
@user-pm7yo3xi3h
@user-pm7yo3xi3h 2 ай бұрын
John okelo ni muuaji tu .kaletwa zanzibar na makanisa kuuwa waislamu na kuuwa uislamu. Kasomeni kitabu chake. Ndio mpaka leo zanzibar inatawaliwa na kanisa. Na wakala wa kanisa hilo ni Tanganyika
@babawatoto4312
@babawatoto4312 8 ай бұрын
Big up mzee wetu
@zinjibaryetu8451
@zinjibaryetu8451 8 ай бұрын
Madhalim walioshiriki mapinduzi ya Zanzibar ni wengi na wanajulkana.. mzee Enzi amewataja wawili watatu tunahitaji wazee wengine kama huyu afanye more exposure ya madhambi ya uvamizi wa 1964
@alijuma8009
@alijuma8009 8 ай бұрын
You're right
@suleimansaid7486
@suleimansaid7486 8 ай бұрын
Enzi talib pasuaaaaaa. Wazanzibari walifunikwa blanketi.
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 8 ай бұрын
Hakuna Jon okel wa makalio ya okel kanyeni uko mnaididimiza Zanzibar mpk kesho
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 8 ай бұрын
Huyu mzee, ni moto wa kuotea mbali !
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 8 ай бұрын
BABU SEMA KWELI NAUWE MLWELI ALIO YAFANYA NYERERE LWA WA ZANZIBARI NA MAGUFURI WAZUNGUMZIE ,INA ENDESHWA NA TANGANYIKA HIO NIHAKI ?
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 8 ай бұрын
YUPO MOTONI MWANAHAMU WA KIGANDA BASTARDS NA WATANGANYIKA WALIO JIHUSISHA. FIRE 🔥🔥🔥🔥🔥 WILL BE THEIR HOMES IN SHAA ALLAH AMEEN.
MFAHAMU MSANII WA PEMBA MWINYI MPEKU NA SAFARI YAKE YA CHINA
44:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4,6 М.
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 12 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
KUTOKUYAFANYA HAYA NDIO SABABU WATOTO KUHARIBIKA
32:39
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 2,8 М.
FITNA 7 ZA MUUNGANO ZA MLIZA  MAKAMU WA KWANZA WA RAISI ZANZIBAR
25:43
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 34 М.
(SIRI) PEMBA ILITUKUZWA NA MITUME WA ALLAH (SEMA NASI)
30:26
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 58 М.
JE, PESA YA MWANAMKE NI LAZIMA KUTUMIKA NDANI? (HIBBUL HALAL)
34:13
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 1,1 М.
MKANJUNI KATIKA HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964
12:11
Mohamed Said
Рет қаралды 1,6 М.
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 238 М.
HII NDIYO TOFAUTI KATI YA NDOA NA HARUSI
15:44
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 8 М.
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44