No video

JE TALAKA YAPITA KWA MAANDISHI AU KUSEMA

  Рет қаралды 24,918

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

7 жыл бұрын

Пікірлер: 28
@abullahkabaka8774
@abullahkabaka8774 4 жыл бұрын
MASHALLAH ALEIK
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 5 жыл бұрын
Watu wataka maandishi iwe kama ushahidi hata ikatokea siku mke amepata mume wakumua na akisema ameachwa atatibitisha vp bila kua na hio barua yakuachwa? Na je kama atakua anaolewa kisha yule mume wake wakitambo aje kuvunja harusi nakusema yy hajakuacha bado sababu huna ushahidi lau hata ungekua na hayo maandishi hata ikatokea kakuruka waeza sema amekuacha na ushahidi unao ambao ndio hio karatasi na sign yake pia iko hapo hapo kwa ivo hakuna litakaloshindikana tatizo liko pale akikuruka nakusema hajakuacha akijua hutaeza jitetea coz hauna utibitisho wakuonesha wazi kakuwacha
@salimfei8411
@salimfei8411 4 жыл бұрын
Ulipo kua wtk kuoa ki siri lzm kue n shahid wawili ndio uoe n ukitk kuacha ukiandk pale hakuna shahid Nafisa Bali umeandika tu kwahiyo mpk nini kauli mdomo ndo watengz n waharibu umemuelewa sheikh...
@issarashid1762
@issarashid1762 4 жыл бұрын
Allah akudhididhie
@zarinazayana6297
@zarinazayana6297 3 жыл бұрын
SHEKH mume Ameniata takriban mwaka mzima nikipijia simu hapatikani Yani hako Kenya Haniangali Kwa lolote Wala mawasiliano Nifanyeje,Na mimi nnahisia yakuolewa na mwanaume mwengine
@ilhamsaid8839
@ilhamsaid8839 Жыл бұрын
Shekh mm mume wang alinipa karatasi lkn haikuwa ya talak lkn kimatamshi alisema km nimekuwasha moja je imesihi km ni talaka
@halimaalnadhir2849
@halimaalnadhir2849 3 жыл бұрын
Mm napewa talaka kwa simu tuu
@halimaalnadhir2849
@halimaalnadhir2849 3 жыл бұрын
Jee yapita
@halimaalnadhir2849
@halimaalnadhir2849 3 жыл бұрын
Antuma tuu barua lkn hakutemka na mdomo wake
@fatwimatzahrau2327
@fatwimatzahrau2327 3 жыл бұрын
Jee mtu ambae nibubu haezi kusema hapo vp
@sakinaahmed1970
@sakinaahmed1970 5 жыл бұрын
Aa nimeachwa kwa kartasi na amenipa yy mwenywe bila kutamka kitu? Je imepita?
@salimfei8411
@salimfei8411 4 жыл бұрын
Skz tena
@khaldamahmoud1329
@khaldamahmoud1329 3 жыл бұрын
Sheikh nimeolewa na mwanaume mwenye mdomo mchafu na muongo na amefikia kusema mm sio mwenzake,na juu ya hivyo hata akininunulia kitu ananisimanga nacho,sisi tuko wake wawili haungami haki katika kugawanya siku Hadi siku atakapo kuwa na haja na mm alafu hataki kuungama haki juu ya ule mwingine kwao kuna pesa na maingine mwengine mengi nimefikia mahali sasa nimechoka siezi tena kuvumilia na nikimweleza anitolea maneno ya ufionzi na hunena ajuwa kuowa hajui kuacha mm siezi tena na Sina mahari ya kumrudishi kwasababu hakunipa chochote alikuwa anitengezee fanicha na zikatengezwa ila anayo zisemea anasahau hizo zangu zilizo mfadhili miyaka yote kabla ya ww kutengeza hizi zake nimetoka siezi tena nimekwenda kwetu nifanye vipi
@nawwarsultwaan6404
@nawwarsultwaan6404 3 жыл бұрын
Fuata taratibu za kiislamu zilizoekwa na misingi yauislamu
@malkiamasumbo7951
@malkiamasumbo7951 Жыл бұрын
Mtembelee kadhi dadangu,akikisha talaka utaipata na misingi ya dini usikorogwe na marafiki
@nashonimchopa949
@nashonimchopa949 4 жыл бұрын
Namna gan watu wa mbali twaweza kukuuliza maswali
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 4 жыл бұрын
uliza kwa no hii +254772611120
@salimfei8411
@salimfei8411 4 жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin A.a
@salimfei8411
@salimfei8411 4 жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin mm nauliza nna hasira kwa mke wangu n Niko mbali lkn n hasira t ila sijampigia simu kumpa talaka n mdomo ila nimemuandikia tu je imepita
@kautharramadhan-ej2iy
@kautharramadhan-ej2iy Жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin assalam aleikum sheikh nimekutafuta wsp mbona hupatikan
@yunusmagimba4928
@yunusmagimba4928 Жыл бұрын
Shekhe Assalam alaykum nina swali Je yaswihi kumrudia mke kwa kumpigia cm
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin Жыл бұрын
ndio ya swihi
@yunusmagimba4928
@yunusmagimba4928 Жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin Shukran Sana mana kunamtihani sana
@kautharramadhan-ej2iy
@kautharramadhan-ej2iy Жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin sheikh assalam aleikum nina swali naomba kukuuliza ikiwa mume atatoka ndani na kuwafata watu ukumbini kuwaambia kua nimemuacha s mke wangu bila kumtamkia mkewe je talaka imeswihi?au mpaka amtamkie mkewemwenyewe
@dullyuwezokadir8953
@dullyuwezokadir8953 3 жыл бұрын
je waweza kuowa mtoto wa babu yako
@nawwarsultwaan6404
@nawwarsultwaan6404 3 жыл бұрын
Haiwezekani
@a.856
@a.856 6 жыл бұрын
Shukran
@yasinseifu3068
@yasinseifu3068 5 жыл бұрын
mimi naona uyushekhe sheria haifahamu vizuri
TALAKA YA MKE MZINIFU
17:37
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 79 М.
NAMNA YA KUTOA TALAKA
57:26
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 12 М.
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 44 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,8 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 19 МЛН
NAMNA YA KUTOA TALAKA Sheikh Ayub Rashid
49:21
SAUTI YA AHLULBAYT
Рет қаралды 1,3 М.
AINA ZA TALAKA
39:32
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 49 М.
MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA TALAKA KWA NJIA YA SIMU
13:01
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 13 М.
SABABU YAKUOMBA TALAKA
8:05
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 12 М.
KAMA MKEO HAIJUI SIRI HII HUNA MKE | SHEIKH IZUDIN
38:55
Adil TV
Рет қаралды 207 М.
JE TALAKA YA MWENYE HASIRA INA SWIHI
7:04
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 7 М.
MAKOSA MAKUBWA YA UTOAJI WA TALAKA KWA WANA NDOA - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
29:30
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 11 М.
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 44 МЛН