JE YESU ALIKUJA KWA ULIMWENGU MZIMA AU ISRAELI PEKEE?

  Рет қаралды 4,078

Habari Njema TV

Habari Njema TV

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@junicnamuwenge6957
@junicnamuwenge6957 Жыл бұрын
Amen Amen mungu awabariki sana🙏🙏🙌🙌🇺🇬
@gablielsamwely1081
@gablielsamwely1081 3 жыл бұрын
Mmechambua vizuli sana nawapenda sana from Tanzania
@hamisimfaumenamwewe193
@hamisimfaumenamwewe193 3 жыл бұрын
HAMNA LOLOTE. YESU KATUMWA KWA WAYAHUDI HAWAHUSU. MATAYO 15:24)
@mugabekazimiriam6693
@mugabekazimiriam6693 4 жыл бұрын
asanteni mimi nipo kigali rwanda
@enockmkasulu3573
@enockmkasulu3573 5 жыл бұрын
hakika mnanibariki na nyinyi mbarikiwe kwa kazi kubwa muifanyayo mungu hatowaacha kamwe kwenye ufalume wake
@hugowilfredlukoo4971
@hugowilfredlukoo4971 3 жыл бұрын
Hiyo ndio faida ya kusoma na kuwa mtafiti wa kimaandiko sio kubishana na kutukana mbarikiwe sana
@winniehall5569
@winniehall5569 4 жыл бұрын
"Akatuvusha mpaka binguni. Hili ndiyo tumaini la wanaompenda Isa bin Mariam waliokombolewa na damu yake. Bei Kali sana." Asanteni kwa hili somo ndugu zanguni.
@davisrotich116
@davisrotich116 5 жыл бұрын
nawapenda sana walimu wakiislamu kwakua waziwazi kuonyesha uthaifu wao wa elimu ilipowafikia ,maana hukita tu kwa andiko moja. sio vibaya ila nikuonyesha elimu yoa ya uelewa ndipo ilipo fikia, bali, walimu wakikikristo nimaprofesa
@hamisimfaumenamwewe193
@hamisimfaumenamwewe193 3 жыл бұрын
Hakuna mkristo mwenye akiri. Akiri yakumuabudu yesu hiyo akiri. Ukristo ufreemason
@mugabekazimiriam6693
@mugabekazimiriam6693 4 жыл бұрын
mada ambayo mlio izungumzia wala hamku ifafanua kama ipasavyo bado bado sababu yesu mwenyewe bado hakutuma mtou yeyote kwa walimwengu
@mugabekazimiriam6693
@mugabekazimiriam6693 4 жыл бұрын
bali ni paulo jamani yesu hajazungumzia mataifa mengine mimi hua na benda kufata izo debet
@tresorkihungu4156
@tresorkihungu4156 4 жыл бұрын
Nataka nambar kutoka kwenu niweze kujifunza
@tresorkihungu4156
@tresorkihungu4156 4 жыл бұрын
JC awabariki Sana kwahiyo Walahi nilikua napenda nijuwe na quaran pia
@shabanirukundo4272
@shabanirukundo4272 4 жыл бұрын
Lengo kwamama huyo ulikua nininimtot wake apona ama??. Huyo binge kasema isaq nimtot waviuno siomkweli kakosea
@shabanirukundo4272
@shabanirukundo4272 4 жыл бұрын
Unajua ninimaana yamkazo Mimi sijawapatavizuri kuhusu mkazo hivi kweli maana ya mungu kusema kwawanawaisraeli .lazima awaonye waistael siokwawatuwote msipotoshe maanaya mkazo
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Hata aibu huoni 😜😜😜ningekua ww ningekaa kimya
@ismailkaita8183
@ismailkaita8183 3 жыл бұрын
Kwanini mnajifungia chumbani mnajadiliana wote wa dini moja badala ya kukutana na waislamu kama mnasema kweli
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Lengo lao sio kubishana huu sio wakt wa kubishana Ni wakat wakupeana maalifa yakimungu sio kimtu flani uktaka kaa ueleweshwe
@kasandapatrick1762
@kasandapatrick1762 3 жыл бұрын
Yesu hashubuliki na wewe kama hauamini kama hunaimani ya MUISRAEL... yule mkanani aliyakiwa alionekana ni mkanani kwa umbo la nje lakin imani yake niya MUISRAELI kama mimi sio MUISRAEL lakin nina imani ya MUISRAEL (MUISRAEL wa KIROHO)
@fatumakalombo392
@fatumakalombo392 2 жыл бұрын
HALAFU HILO TAIFA LILIMKANA YESU TOKA LINI BINADAMU AKAMUUA ALIYEMUUMBA? YULE ALIYEULIWA NI MTUME WA MUNGU, NA NDIYO MAANA HADI LEO ISRAEL INALAANA INAUA WATU HOVYO.
@kasandapatrick1762
@kasandapatrick1762 3 жыл бұрын
Mm natofautiana na nyie , nasema ivi nyie hamuelewi maana ya MUISRAEL/TAIFA LA ISRAEL.. Sikilizen kwa makin niwafundishe , apa kuna makundi mawili 1. ISRAELI - watu wanao muamini Mungu muumbaji (Mungu wa ibrahim, isack & yakobo- ndiye aliye mtuma Yesu)na kufata amri zake 2. MATAIFA - watu wanao amini miungu wengine (sio Mungu wa ibrahim,isack na yakobo)hawafati amri ... Sasa ili Yesu akuponye nilazima uwe na imani ya MUISRAEL yani uwe MUISRAELI KIROHO (umwamini Mungu wa ibrahimu - ndiye aliye mtuma -Yesu)yule mwanamke alimwa mini Yesu - aliyetumwa na Mungu wa Ibrahim, isack na yakobo kwamaana hiyo alikuwa mkanani kimwili lakin alithibitisha kuwa Muisrael kiroho ndipo uponyaji ukaji
@fatumakalombo392
@fatumakalombo392 2 жыл бұрын
MNAKAZANA KUONGEZA MAONI YENU YA KICHWANI BILA KUONGELEA POINTI,MBONA MNATULAZIMISHA WAISLAMU TUAMINI KUWA YESU NI MUNGU? HALI YA KUWA YESU SI MUNGU? NYIE JIAMINISHENI MLIVYOAMINI NA WAACHENI WAISLAMU WAAMINI WALIVYOAMINI. YESU SI MUNGU NI MTUME WA MUNGU, KWA HIYO KWENYE BIBLIA KUNA ALIYOTAMKA YESU NA ALIYOTAMKA MUNGU.
@thepresidenttobe5481
@thepresidenttobe5481 5 жыл бұрын
Mch. Dominick acheni habari ya kuongea lafudhi ya Kiislamu. Sisi Wakristo tuna namna yetu ya kuongea na hata kumwita Mungu wetu. Kusema Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma japokuwa ni kweli ni mwingi wa rehema, ni kama kuhalalisha Uislamu. Kuliko kuonekana umetaja kama Waislamu, bora kutumia lugha nyingine. Biblia inatutaka kutoka katikati yao na kutengwa nao. Tutengwe nao kiimani, kimatamshi, kimavazi, nk.
@HabariNjemaTV
@HabariNjemaTV 5 жыл бұрын
1 Wakorintho 9:20-23 [20]Nalikuwa kama Myahudi kwa Wayahudi, ili niwapate Wayahudi; kwa wale walio chini ya sheria, nalikuwa kama chini ya sheria, (ingawa mimi mwenyewe si chini ya sheria), ili niwapate walio chini ya sheria. [21]Kwa wale wasio na sheria nalikuwa kama sina sheria, (si kwamba sina sheria mbele za Mungu, bali mwenye sheria mbele za Kristo), ili niwapate hao wasio na sheria. [22]Kwa wanyonge nalikuwa mnyonge, ili niwapate wanyonge. Nimekuwa hali zote kwa watu wote, ili kwa njia zote nipate kuwaokoa watu. [23]Nami nafanya mambo yote kwa ajili ya Injili ili kuishiriki pamoja na wengine.
@davisrotich116
@davisrotich116 5 жыл бұрын
@@HabariNjemaTV umemjibu vyema yaonekana hakujua kua yanatuhusu wakristo
@jamesmgonda
@jamesmgonda 4 жыл бұрын
Umemjibu kabisaaaa... Maana Lugha haiathiri kitu
@hugowilfredlukoo4971
@hugowilfredlukoo4971 3 жыл бұрын
Majibu Safi kabisa
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Sio hoja hiyo hapo hajamtukuza mtu kamtukuza mwenyez mungu mwing wa rehema, km uktaka hivo bas makanisa yaliyoko uarabuni itakuaje
YESU KRISTO NI MUISLAMU
57:14
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 156 МЛН
Trick-or-Treating in a Rush. Part 2
00:37
Daniel LaBelle
Рет қаралды 45 МЛН
Safari ya kwenda Israeli kwenye kaburi la Yesu. Mtanzania akisumulia
15:56
WAUMINI WA KANISA KATOLIKI
Рет қаралды 8 М.
UFUNUO WA YESU KRISTO (7.) ADAM WA PILI
55:08
Habari Njema TV
Рет қаралды 138
POMBE NA UKRISTO
12:11
Servant Ivan Kibiki
Рет қаралды 10 М.
IBADA YA SABATO YA KWANZA 2022  || JANUARI 1, 2022 || PR. DOMINICK MAPIMA
2:12:12
JE YESU ALIKUFA
1:15:22
Bible Ministry
Рет қаралды 21 М.
Ustaz Manis :: Rupanya Inilah Sebab Tanah Gaza Menjadi Rebutan
45:59
Unais Mediaworks
Рет қаралды 21 М.
5 QISO || SHIIKH MUSTAFE  || DHIIRIGELIYE
2:32:42
odeywa.com1040
Рет қаралды 10 М.
UFUNUO WA YESU KRISTO (8.) IBRAHIM NA YESU USO KWA USO
57:07
Habari Njema TV
Рет қаралды 133
YESU NI MUNGU AJE?
46:11
Ukweli Ministries
Рет қаралды 9 М.